Hadi wa leo sijawai amimi Marco is no more 😢 kwani kunaedanga aje.Mungu tusaidie kuzidi kuhesabu siku zetu.we shall meet him in paradise if we remain to be faithful.poleni sana Wana Zabron .kweli inauma sana.
Kama machozi yangeweza kuamusha mtu aleye kufa basi Marco angeamka leo maana nimelia sana😭😭😭😭😭😭 ila hatuna hiyo uwezo rip shujaa,,,pole zangu from Kenya mungu hawatie nguvu😭💔
I am in U S A. 19000 miles away from Tanzania but I love the songs of this team. I am writing this with a lot of tears. I wish I can be next to this brothers and sisters and sing this with combo with them. Someone needs to talk to be please.
Mungu tujalie mwisho mwema, tutaonana tena Marco Mungu awe mfariji wenu familia na zabron singers kwa ujumla.. ! Pumzika kwa amani bwana alitwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe!😢
mungu asie waacha wana wake ,, -kwa hiki kipindi kingumu sana mungu awe upande wenu kuwafariji . hapa kenya twaomboleza na nyinyi na tunawaombea neema ya bwana iwe juu wenu ndungu na dada zetu❤❤❤❤ tunawapendaz. neema itoshe😢
Mungu awafariji mioyo yenu Marco ameiaga dunia sissi tumebaki tusonge mbele na kutumainia MUNGU asubuhi njrma inakuja wafu wafufuke waliolala ndani ya YESU..poleni sana
I used to play their,mkono wa Bwana daily in my work place computer daily from 9 am to 8pm Monday to Saturday,but from Friday nimeshindwa am in deep pain,imeniumiza Sana.Pole Sana our neighbors Tanzania.
Ikiwa machozi yanaweza kumuamsha kaka Marko hakika angeamka ni wapi pumzi ya uhai inauzwa niwapi pumzi ya uhai inauzwa hakika wangenunua kaka aamke ....ASANTE MUNGU TUFUNDISHE KUHESABU SIKU ZETU😢😢😢
From Kenya, So painful. May God give fortitude to Zabron Singers and the entire family. @ Japheth and Victoria na wengine, mungu awafariji wakati huu mgumu. Mjane wa Marco pole sana. Siku moja tutakutana nae na tujumuike pamoja kwenye kiti cha enzi. Poleni
Nimelia sana Yan nmeliaaa Mungu nitie nguvu maana huyu kijan kaniumiza Sana kwanini majambazi na wahalifu wengine wanaishi Ila huyu kaondoka mapema sana😢😢😢😢😢 daaaahh
Hakika kizuri hakidumu kama ambavyo wasemavyo wahenga wetu, hatuna namna ya kusema au kufanya ,zaidi ya kumrudishia utukufu wake Mungu,pumzika Kwa Amani kipenzi Cha wengi,aAmina
Ties has fallen after listening to this song,rest in peace my dear brother...at first i thought that it was a joke 😢😢now I can see that it's true you have left us by b
Poleni wan Zabloni singers familia jamaa na marafiki, sisi kama your fans twaendelea kuwashikilia na maombi. Amani ya bwana na iwe nanyi mkimpumzisha. Mpendwa Marco