Тёмный
No video :(

HUZUNI YATANDA MSIKITINI KILICHOMKUTA SHEIKH MWAIPOPO KATIKA KUTANGAZA DINI UTATOKA MACHOZI.. 

SHEIKH MWAIPOPO TV
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 686 тыс.
50% 1

Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya RU-vid ya SHEIKH MWAIPOPO TV
..
Like pamoja na kushare
kwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.
...............
من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب
..
مثل مع المشاركة
للآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 485   
@luswetichetekeilusweti2879
@luswetichetekeilusweti2879 2 года назад
Audhubilahi minasheitani rajim...Shari zote na zikuepuke sheikh Wetu...mawaidha yako yalifanya nisilimu...Jazakaala khaira.. Inshallah Mola akufanyia njiwa yako iwe nyepesi Katika kazi ya Allah (S.W).. Alhamdulillah ni mwangazani sasa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
Sheikh yaani wewe ndo mwenyezi Mungu amekuchagua katika ushuhuda kuanzia uliposilimu mara tu alipokupa ulaini wa moyo kwa kuijua kweli! Nakuombea heri sheikh wetu!
@noblechild5652
@noblechild5652 3 года назад
😭😭😭Pole sana shayk. Allah akuhepushe na kila mabalaa. Utalipwa kila la kheri hapa dunian na Akhera inshaAllah 🙏
@josephatmgeka8678
@josephatmgeka8678 3 года назад
Amini ww kuwa yesu sio Mungu na dini kiristo sio dini ya Mungu Ila ni kwa Imani yk.. Tumsifu yesu kiristo milele amina
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 года назад
Neema ya mungu iwe juu yako Mtumishi!!!
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Ishalla Mungu atakulipa frdaus shehe wetu pole kwayote Mungu yupo na nyny mkono Kwa mkono had pepon ishalla
@shamsaal-kindy4762
@shamsaal-kindy4762 3 года назад
Barakallahufik shekhe wetu Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe pamoja na waislam Amin yaa Rabil'Alamina
@fatumahamisi7064
@fatumahamisi7064 3 года назад
Pole sana Allah awe nasi daiman ktk kheri sh. Fanya kazi yallah na allah atakulinda abadani
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 3 года назад
Mashaa-Allah ALLAH azidi kukuhifadhi sheikh mwaipopo (Nairobi kenya)
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 года назад
Ma shaa ALLAH Ma shaa ALLAH Ma shaa ALLAH Wallahi shekh mwaipopo ALLAH akupe umri mrefu na tuzidi kuongoka
@omarijawadu4047
@omarijawadu4047 3 года назад
Allah akulipe kher shukran saan
@rukiauledi8179
@rukiauledi8179 3 года назад
Mashaallah Mwenyezi mungu akuhifadhi duniani na akhera
@yusufumaganga6128
@yusufumaganga6128 Год назад
Nimepata faraja na furaha sheikh Allah aendele kukuhifadzi napepo iwe makiziyalo pamoja na mimi. Allah amin.
@ayushiashanty9818
@ayushiashanty9818 3 года назад
Pole sana shekhe Allah atakulipa kheri
@wardakanyinyi1325
@wardakanyinyi1325 3 года назад
Pole shekhe Allah ndiye muweza kwakweli
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 3 года назад
Pole Sana sheikh kwa yalio kupata. Allah atakulipa IshaaAllah
@abdulshakur8425
@abdulshakur8425 3 года назад
Amiin
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 года назад
Yesu alisema :msifurahi kwa kuwa mapepo yanawatii bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni". Sio mnapata.wafuasi ama mapepo kuwatii. "Yasemeni / hubirini maneno ya Mwenyezi Mungu yenye kuleta amani, upendo na kheri duniani na ahera". Mbarikiwe
@kudramzee4638
@kudramzee4638 3 года назад
Subhanallah MWENYEZI MUNGU atunusuru
@maryamal-busayd416
@maryamal-busayd416 3 года назад
Maa shaa Allah. Allah akuzidishie shekhe
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 года назад
inshallah mwenyezi Mungu azidi kukupa subra! pole kwa mitihani iliyokukuta shekhe wangu.
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 3 года назад
Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako amiin
@ghaniyashaban9845
@ghaniyashaban9845 3 года назад
Allah atakuhifadhi in shallah sheikh kwa sababu una tangaza neno la Allah subhana llaha
@michaelmunene738
@michaelmunene738 3 года назад
Huo niuongo mtupu anasimulia mwaipopopo Somali wanawasumbua wakristo tu na siyo waislamu wacha uongo
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 3 года назад
Pole san ust mwaipopo kwa yailyo kukuta 😭😭😭😭
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 года назад
Subhnllh...Allaah atunusuru na hayo..polesn
@najmashaame1030
@najmashaame1030 3 года назад
Waullah nimelia kwa imani allah ni mwema takibiiiir
@mamymamy7938
@mamymamy7938 3 года назад
Allah akbar
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 года назад
🤲🤲😭😭
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 года назад
😭😭😭pole baba pole san jaman nalia san
@zulfaabdala7370
@zulfaabdala7370 3 года назад
Mungu akulinde zaidi inshallah
@NASMEDIATV
@NASMEDIATV 3 года назад
Masha Allah shehe mwaipopo, mungu akueke
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 года назад
Allah akulipe kilaa la kheir,, Allah akujalie kwa dunia na akhera yako
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 года назад
Atujalie mema kwa dunia yako na Akhera yako
@abeidneggopipoo2405
@abeidneggopipoo2405 3 года назад
Anaetetea dini ya ALLAH YUKO PAMOJA NAE MASHALLAH MUNGU AKULIPE KHERI
@nagmajoseph2675
@nagmajoseph2675 3 года назад
Nasma polesana shehe mwenywnzi mungu akurinde akuhepoahe nahayo mazwahama
@rashidissaabdulla6627
@rashidissaabdulla6627 3 года назад
Allah akuhfadhi na mabalaa
@rahakesho5550
@rahakesho5550 3 года назад
Subuhnallah m mungu atakupa ujira mwema na atakuandalia mahala pema peponi kwa kazi kubwa uliyoifanya na unayoendelea kuyafanya . Mnapata shida kubwa sana katika kuwaelimisha watu.
@mamiewana7224
@mamiewana7224 3 года назад
Allah akujaalie mwisho mwema
@barkemohamed4198
@barkemohamed4198 3 года назад
Allah atakulipa kheri from mombasa
@bonefasmallya1480
@bonefasmallya1480 3 года назад
Ma shaa Allah Masha Allah Allah akup umri mrefu shekh wetu
@ln3147
@ln3147 3 года назад
Umewadanganya hao waumini wako hakuna Mkristo anahangaika na mtu at kasema Yesu si Mungu anajitetea mwenyewe na km walikuumiza kwajili ya Hilo walukuinea au wewe ni Muongo ZAIDI ya YOTE YESU NI MUNGU UFAHAMU WAKO HAUELEWI
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 года назад
Manshallah,manshallah 😥😥😥😥😥😥pole sana sheikh wetu.
@khalidkiwelu7583
@khalidkiwelu7583 3 года назад
NAMUOMBA ((ALLAH)) AKIZIDISHIE KHER SHEIKH WETU
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 3 года назад
Taqbeer mashaallah allah walipe inshallah
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 года назад
Pole sana Allah akulipe kheri
@musamusamm6418
@musamusamm6418 3 года назад
ما شا اللہ الحمد للہ علی نعمة الا سلا م
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 года назад
Masha Allah Allah akuhifadhi
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 года назад
Mashallah ishallah seheh wetu mungu atakulinda kwayote yLiyokufik ia llahyuko pamoja na wewe
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 года назад
Alwahu akibaru😭😭😭
@hamismwita623
@hamismwita623 3 года назад
Wbc
@mwananzengo6682
@mwananzengo6682 3 года назад
Mbona mnateseka na makafiri na yesu wao kwani msifanye yenu na makafiri muwaache warende motoni?
@yasruhumile2438
@yasruhumile2438 2 года назад
Mwaipopo we ni jasili San inshallah mungu akujalie
@eliabuedward8755
@eliabuedward8755 3 года назад
Haswaaaa, tunahaja ya kuhubiri kweli ya Mungu Si vinginevyo. Note:DINI NI MAHALI PANAPOMWONGOZA MTU KUISHI KUTII, KUNYENYEKEA, KUPENDA NA KUAMINI. si mahali pa uchonganishi au uchochezi.
@machinjashabani5331
@machinjashabani5331 3 года назад
ALLAH akuzidishie kila jema
@shamilamuhamedi7904
@shamilamuhamedi7904 2 года назад
Mwaipopo mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 года назад
Amani iwe nawe daima🤲 Allah aliyekuwezesha majaribu hayo anakupenda kuliko unavyojijua
@zainabzainab9724
@zainabzainab9724 3 года назад
Subuanallah. Pole sheikh mwaipopo.malipo kwao kwa allah.
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 года назад
Jazaka Allah khaira shekh
@bellbell9294
@bellbell9294 3 года назад
Allah akulipe kher sheikh wetu
@makamechapa5166
@makamechapa5166 3 года назад
Mungu akulinde na msimamo wako
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 3 года назад
Mashalaah allah akulipe mema khakiyamungu nimelia hadithi yakuhuzunisha nayenye mafundisho
@jamalabdul6113
@jamalabdul6113 3 года назад
Pole sheikh, ndio wanayopitia wenye imani hayo.
@mename6020
@mename6020 3 года назад
Mwaipowe Mwaipopo Alhabiby... Allah a kuhifadhi na akulipe malipo mema...
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Amiin
@tausshasani2064
@tausshasani2064 3 года назад
Amiin
@princeeddiekingsley8719
@princeeddiekingsley8719 3 года назад
Pole jameni nimekuonea huruma mno hata japo mi si mwislamu .Mola akuneemeshe uishi miaka mingi uhubiri injili yake watu wamfahamu mwenyezi mungu wamwabudu yeye tu
@zainabomar9139
@zainabomar9139 3 года назад
Allah azidi kukuhifadh na akuepushie namabalaa
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 года назад
Maa shaa Allah Allah akuzidishie🤗🤗🇪🇭🇪🇭
@hamzafishten4276
@hamzafishten4276 3 года назад
Tabkir Allah akulipe kwakweli
@rehemamwakinyaka3167
@rehemamwakinyaka3167 3 года назад
Ashukulliwe Mungu Alie juu aliekuokoa ameni
@boraimanijumamahenge7554
@boraimanijumamahenge7554 2 года назад
Sheikh Mwaipopo.. Nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 года назад
Pole sana allah akusimamia paka mwisho wako.
@asmamwatandara4109
@asmamwatandara4109 3 года назад
Allah azidi kukutilia wepesi kwa kila jambo
@ratohabi6459
@ratohabi6459 3 года назад
Yesu sio mwanadini. Yesu ni Neno la Mungu. Wewe na waisilamu ni wanadini na ni sawa tu. Akini Dini tu haitoshi, ndio mana unaona kuna unafiqi mwingi katika Dini zote ikiwemo Dini ya Islam. Yesu wachana nae yeye sio mwenzenu. Yesu ni Neno, Njia na Uzima. Punguzeni utapeli.
@zubedatatu7852
@zubedatatu7852 3 года назад
Subhanallah... Shukran Jazaqallah kher Sheikh
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Год назад
Mashallah
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 года назад
ALLAH AKULINDE SHEIKH WANGU MWAIPOPO.
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 3 года назад
Subhaanallah pole sana Shekh wetu 08:37 -09:04 pamenihuzunisha Sana
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 2 года назад
ALLAH AKBAR MUNGU AKUJAALIE MWISHO MWEMA
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Год назад
LAAHAULA WALA QUWWATI ILA BILAH SUBHANALLAH KWELI KABISA MANENO YAKO SHEKH اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين صلى الله عليه وسلم
@kihweleibra8568
@kihweleibra8568 3 года назад
mashallah....Allah akujalie afya njema
@user-ue4os3os7d
@user-ue4os3os7d Год назад
allah akujalie maisha marefu shekhe,,,,,,,
@castrokassoga7271
@castrokassoga7271 3 года назад
Kwa nini dini ziko nyingi jawabu 2wathesalonike 2:4 yule mpingamizi ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama cha kuabudiwa hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu akijionesha nafsi yake kana yeye ndiye Mungu Shetani tangu mwanzo anataka kujifananisha na Mungu kwa hiyo alijua Mungu anapatikana na kuabudiwa hekaluni kwa hiyo na yeye ili aabudiwe ikabidi aingie hekaluni. 1timotheo 2:3-6 hili ni zuri nalo lakubalika mbele za Mungu mwokozi wetu,ambaye hutaka watu waokolewe na kupata kujua yalio kweli kwa sababu MUNGU NI MMOJA NA MPATANISHI KATI YA MUNGU NA WANADAMU MWANADAMU KRISTO YESU ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote utakaoshuhudiwa kwa majira yake. Mungu ni mmoja na ili aabudiwe ni lazima aabudiwe kwa jina la Yesu Kwa hiyo wote wanaoabudu mungu pasipo jina la Yesu (waislamu wahindu budha nk)hawamwabudu Mungu ila wanamwabudu shetani.
@aliabeid3802
@aliabeid3802 3 года назад
Mashallah Allah wabaarik
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 года назад
"Ukizungumza ukweli maneno ya Mungu usiwe na shaka Mungu atakusimamia tu"
@janenabwire6629
@janenabwire6629 3 года назад
You are the servant of God you will live long🙏🙏🙏😭
@stanleyrocky2278
@stanleyrocky2278 3 года назад
Ww unasapoti nn hapo? Wkt watu wana imani za ubaguzi na za kikatili?
@munaahfarina2934
@munaahfarina2934 3 года назад
Takbir Allahuakbar ☝️ Allahuakbar lailahailallah Mohammad rasullullah
@user-bf1ps5cb4b
@user-bf1ps5cb4b 9 месяцев назад
Wala hatumshangai tunamuona snaitikadi kali ww unaweza badala yakusemea mashallah
@sikudhanichikambo4244
@sikudhanichikambo4244 3 года назад
Mungu akujaalie umri mrefu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 3 года назад
Upuuzi mtupu kumbe hadi akimu naye anasupport . Mungu akuoneshe njia maana ulishapotea
@hassankasimu1517
@hassankasimu1517 3 года назад
Mh ongera ramadhani Kareem
@zeanamohamed4072
@zeanamohamed4072 3 года назад
Subukhanallah mungu kupe kila lakheri
@kassimibrahim4776
@kassimibrahim4776 3 года назад
Sheigh Mwaipopo, kuanzia leo nimebahatika kuona clip yako ya kwanza, natafuta na zingine zote na nitakuwa msikilizaji mzuri wa clip zako zijazo
@missmrs829
@missmrs829 3 года назад
Hawanaga hata point yaan niuchochez tu ndio maisha yao yaan badara kubadilisha maisha ya watu waache dhambi wao ni uchochezi
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
subhanallah subhanallah mtihan wallah
@rashidismail3006
@rashidismail3006 3 года назад
Allah akuzidizishie Zulu na baya
@shoottv4543
@shoottv4543 3 года назад
Pole sana Allah akuliepe
@paradisefelix1218
@paradisefelix1218 3 года назад
Nimeipenda SoMo lako Allah wakibal
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 3 года назад
Allah'Akibar 🤲🏿😭
@Salma-kf6xd
@Salma-kf6xd 2 месяца назад
Allah akusaidie😢
@lelasalum555
@lelasalum555 3 года назад
Laila haila llahu mohamadu rasululahi hakika allh atakuongoza mpk siku ya umulkayma
@hamisirajabusaidi472
@hamisirajabusaidi472 3 года назад
Poleni.
@gracemwaipopo3209
@gracemwaipopo3209 2 года назад
Ndagha Mwaipopo Kaka gwangu
@binmweritz6843
@binmweritz6843 3 года назад
Dah!! Wallah watumishi wa dini yanapitia tabu sana!
@sauhatmoses5414
@sauhatmoses5414 3 года назад
Mashalaaa
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 года назад
😭😭😭 Allah akulipe jannatul firdaus
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 года назад
Aammin
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 года назад
Aaammin
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 года назад
Amiin
@ismailradjabu3871
@ismailradjabu3871 3 года назад
Subhanallah
@michaelsaimonmuhojamichael8430
@michaelsaimonmuhojamichael8430 3 года назад
Kwanii ulisema yesu sio mungu,ubaguzi wa kidini.
@sophiamakokha9669
@sophiamakokha9669 3 года назад
Na pia wewe jiulize yesu atakuwa aje mungu
@michaelsaimonmuhojamichael8430
@michaelsaimonmuhojamichael8430 3 года назад
@@sophiamakokha9669 sophia kama mwanaume hajatahiliwa utamkubali.
@mwenyembiozakenyingisana4105
@mwenyembiozakenyingisana4105 3 года назад
Vijana wa alshabaab wanaumiza sana sisi wanyonge.Sheikh Mwaipopo wewe ndio uliyo shuhudia na ukweli wote kwa wale wasiojua angalieni majirani zenu wakenya tunavyoumia hususan katika maeneo ya lamu,mpeketoni,mandera,Garisa na maeneo mengi sana tu.Mungu atulinde inshaallah alshabaab sio watu wa mchezo.
@abubakarabdilah9044
@abubakarabdilah9044 3 года назад
Jeshi LA Allah hilo jeshi LA Kenya lina uwa waislam wenzetu huko ngoja na wao wakatwe shingo huko
@ibnqassim7002
@ibnqassim7002 3 года назад
Uliwa kafiri lazima uumizwe
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 3 года назад
Pple are soo selfish n GOD is otherwise, to me Muslim n Christians are brothers, but killing your brothers does not make you right before God
@petromachanga29
@petromachanga29 3 года назад
Hahaaaa kumbe Allah anaalishababu , siutaki wislam wa kuufikilia
@abubakarabdilah9044
@abubakarabdilah9044 3 года назад
@@petromachanga29 uislam haukuhitaji wewe Bali we we ndo unauihitaji uislam
@habibumussa7712
@habibumussa7712 3 года назад
Masha Allah Allah akuongoze
@aloycesimba3656
@aloycesimba3656 2 года назад
pp0
@ashamaggimba747
@ashamaggimba747 3 года назад
Allah akunusuru Hilo na jingine
@ashianaser9275
@ashianaser9275 3 года назад
Yaallah mpe shekhe mema ya finish na akhera
@waytvtz2549
@waytvtz2549 3 года назад
Mwaipopo unajua kuwadanganya waislamu alafu kumbe waislamu wanadanganyika kuliko wakrsto mwaipopo unajua tu kwamba unatafuta maisha kwa waislamu acha unafiki
@kaismohamed7856
@kaismohamed7856 2 года назад
Allah akulipi kher
Далее
SHEIKH MWAIPOPO AWATIKISA WAISLAM MSASANI
41:28
Просмотров 8 тыс.
KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024
29:36
Просмотров 45 тыс.
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 9 млн
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
MCHUNGAJI ALIE TUKANA QU'RAN SASA YAMKUTA
39:17
Просмотров 56 тыс.
DR SULLE SASA BASI AKAMATWA KWA UTAPELI
19:46
Просмотров 168 тыс.
MWAIPOPO YAMFIKA SASA JICHO KUTOLEWA
43:52
Просмотров 4,8 тыс.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
Просмотров 105 тыс.