Тёмный

Idris Sultan asimulia alivyopigana vikumbo na Jlo, Beyonce na Jay Z, kuigiza filamu na Ramsey Noah 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

February 3, 2020 Idris Sultan alihudhuria fainali za ligi ya NFL ya Marekani ambayo hujulikana kama Superbowl. Anasimulia mengi yaliyomshangaza, mastaa aliokutana nao na alichojifunza. Pia anaeleza kushiriki filamu moja na mastaa wa Afrika Kusini na Nigeria akiwemo Ramsey Noah
#ChillnaSky

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@naswiharashid7166
@naswiharashid7166 3 года назад
Idris sultan ur my favourite star keep it up my dear nimeipenda sn Ahadi usiwache ni kuswali usiwache kumuabudu Mola Wako utazidi kuwa na nuru nakupenda cos of Allah
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 4 года назад
I like Idris Sultan congratulations bro😘😘😘
@eipro_
@eipro_ 4 года назад
idris fala sana......anakupa hadithi unahisi n kama ulikuwa kwenye hyo show......ebu mnipe likes ake tafadhari........kama unamkubali huyu mwamba
@susanruo8087
@susanruo8087 4 года назад
Kitu namheshimia Sky ni vile ametoka mbaaali na watu wakubwa ,mastaa wengi lakini yuko cool tu. Hananga kubrag. Big up Bro Sky, I look up to you as a mentor
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Kabisa hana hata time Yani🙌🏽
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 года назад
Your right
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Love u Sky love u Idris
@jacklinejackson9212
@jacklinejackson9212 3 года назад
Sky u have a great voice bro. .big up
@OmarOmar-ri9eg
@OmarOmar-ri9eg 3 года назад
Slay queen uliesema before 1 yr that was exclusive
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 года назад
Kumbe ulienda kwenye super ball sikujua hongera sana bro
@kaizerkaroli4037
@kaizerkaroli4037 4 года назад
daaaah big up San broo idris
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 4 года назад
Pamoja sana kaka....Sky
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 года назад
Mashallah
@KiooNetwork
@KiooNetwork 4 года назад
Nimeenjoy stori za Idris
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 4 года назад
Mashaallah 😍😍
@iddimalifedha8163
@iddimalifedha8163 4 года назад
Anajuwa kujieleza Wajina wa kwanza Leo
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 года назад
Hongera Idris,....!!!
@fredrickashery5415
@fredrickashery5415 3 года назад
Hivi noma
@ndrwdotts4347
@ndrwdotts4347 3 года назад
aisee
@chobalikosimon6459
@chobalikosimon6459 4 года назад
Noma na nusu
@neylikatspatel1287
@neylikatspatel1287 4 года назад
Big up
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 4 года назад
Km ulisubiri hii interview 4more than 4 days press here
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 года назад
Piga kelele kwa idrisaaa akeeee
@fredsengo4122
@fredsengo4122 3 года назад
😄😄😄 uyu mchizi ni muongo mpak yuko funny
@nyotamy3678
@nyotamy3678 3 года назад
🔥
@nkwabitz233
@nkwabitz233 4 года назад
SKY!
@queenshamy5366
@queenshamy5366 4 года назад
❤❤
@dimittivee7519
@dimittivee7519 4 года назад
Kila mmoja ananunua IST du
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@noonelike6382
@noonelike6382 4 года назад
Show tamu Sana. Next time mualike Tena Idris hahaha
@2116-n
@2116-n Год назад
2023 ombi lako limefanyiwa kazi
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 года назад
God bless you Bro
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 4 года назад
Huyu jamaa n kanumba levels ila watz waajifanya hawaoni mpaka afe ndo utawaskia 😅
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 года назад
Kweli kabisa
@jacksonjackson8607
@jacksonjackson8607 4 года назад
Tata Tata vuvuvu,,,chaa chaa
@famitonawanda4831
@famitonawanda4831 4 года назад
Duuu
@AAa-xv2mw
@AAa-xv2mw 4 года назад
Iddris nakupenda hatar
@amneshi
@amneshi 4 года назад
Idris naJaleel White aka Steve Urcle
@dashcombokinondoni1992
@dashcombokinondoni1992 3 года назад
Si alisema hakuwai kuongea popote kuhusu slay queen mh
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 4 года назад
Kwahiyo nikatoka apo nikaingia zangu Toi,😂😂😂
@ndrwdotts4347
@ndrwdotts4347 3 года назад
daah
@baterams1828
@baterams1828 4 года назад
☝️👊😘👏
@davidmasambu6660
@davidmasambu6660 4 года назад
Idris ndo mTanzania sasa 😂 wengne waBongo😪em tukataften pesa😒
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 4 года назад
Idris nae ni Mkenya au
@veeJesus
@veeJesus 4 года назад
Kwa nn
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 4 года назад
@@veeJesus wakenya hawachelewi kusema wakwao
@veeJesus
@veeJesus 4 года назад
@@faucynkrctian6607 watoe wapi iyo rangi
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Hv hv vitu anaongea ni siriaz au utani maan mm cjamuelewa kam ni kwel
@maundumwingizi8027
@maundumwingizi8027 4 года назад
Show ya kibabe sana
@Burange666
@Burange666 4 года назад
Mbona mshamba mshamba huyu aliyevaa kofia kwanza suruali yake imechanika hizo nguo za wavuta bangi yeye mtu mzima lakini anavaa kishamba kibangibangi.
@zulfahomaryomary4742
@zulfahomaryomary4742 4 года назад
Msukuma Masanja nilitaka kukujibu nimeamua nikae kimya sio kosa lako ni kosa la wasukuma wote 😂😂😂😂😂
@ceciliamarco6837
@ceciliamarco6837 4 года назад
Tatzo ww msukuma😂😂😂
@queenshamy5366
@queenshamy5366 4 года назад
Peleka ushamba wako uko
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Kila 1 na akipendacho
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
Mkasi - SO5E09 With Mr Blue
29:33
Просмотров 148 тыс.
MAOKOTO | Uchambuzi chambu chambu | Billnass
3:54
Просмотров 20 тыс.
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1
33:07
Просмотров 313 тыс.