Mashaalah, pia nami nimetokea kwenye ukristo, niliaza kupenda kufuatilia mawaidha ya kishki sana, na sasa nimuislam japo Sina muda mrefu, naombeni Dua zenu nizidi kustawi katika uislam
Mwenyezi Mungu akupe nguvu uzidi kutufundisha.kutuonya kutuelimisha kwa uwezo wa Alla.na mimi nimesilimu. Kutoka grace mpk BARKISS tangu nafatilia darasa nimekuwa kiimani kwa kias kikubwa.
Mashaallah Mashaallah..Mashaallah..hicho ni kipawa ulichopewa na Allah na muomba ALLAH usiku na mchana afungue kifua changu ni jue Dini yake inshaAllah
MAASHAALLAH,MAASHAALLAH....Allah akupe umri mrefu utufunze yale ambayo hatuya faham tuyafahaam kupitia kwko na vilevile Allah akupe mwsho na kauli tabith na akupe Jannatul al firdous aamiin thuma aamiin yarabby
Masha'Allah shekh. Kweli shekh Katani hata mimi nimesoma kwake kidogo na yeye pia alikua mkristo. Na mimi pia nilikua mkristo nikavutiwa na adhana ilikua ikitolewa hapo masjid dahwel ilala boma ilikua karibu sana na nyumbani
MaashaAllah, sheikh Allah akujaaliye umri mrefu afya njema na siha, na anjaaliye niweze kupata tiba yako kwa kuwa mimi ni mgonjwa mda mrefu inshaAllah, natoka bungoma Kenya
Maa shaa Allah Allah mtukufu atuongoze zaidi kwa sote jamii islaamu Natamani uwe mkwe wangu lkn watt wangu waduchu sana in shaa Allah Allah akupe wtt wema wenye kher duniani na Akhera
Allah akubarik , akupe kila la kheri . Sh. Makeme Sheha sasa ni Al Marhum. Ni Sahibu yangu sana na ni mpenzi mkubwa mno wa AL QARI Mustaffa ISMAIL Nimefuraha sana kuskia baada ya Allah kuwa yy ndie aliekuathiri hivyo..
Masha Allah nime subscribe hata ukawa nazo zote nitafanya hivyo. Mwenyezi Mungu akulinde milele wewe na familia ya umat Muhammad Swalla lahu aley wasalam
Asalam alykum. Màa Shaa Allah. Barakallahu fik. Nifuraha kuskia maisha yko na usivunjike moyo wavute wte ahli zko uwalinganie ktk dini ya haq. Dini ya Islam. Allah akuhifadhi ww nasi na vizazi vytu. Alhamdullilah. Shukran
Mashallah!!! Tabarakallah!!!! Allah anakupenda lazma utafaulu madam uko karibu na yeye. Allah akupe mengi zaidi. Twakupenda sanaaaaaa kwa ajli yake Allah, na tutazidi kukupenda mashallah! Allah akupe umri wenye afya furaha amani na mafanikio duniani na Akhera.
Tunajifunza mengi kupitia kwako. Alla akulipe mema kwa kazi kubwa unayoifanya. Allah tupe vizazi kama hivi ili nasisi tupate mkbal mwema hapa duniani nakesho akhera.
MashaAllah Sheikh Uthman, nimekua nikifuatilia mawaidha yako kupitia Masjid Online Tv...Ningependa kufaidi kidini na ushauri wa dini kutoka kwako...Naeza kupata kwa njia gani online?