Shukran sanaaa Sheikh Othman. Allah akupe unayo muomba. Akupe mema na nguvu za kuendelea katika kutukuza ki dini. Mashaaa Allah. Allah na mtume wake wanakupenda. Shukran sanaaa Sheikh wetu. Mungu akuhifadhi.
I’m washing u all the best sheikh Michaell, inshalah mungu azidi kukuzidishia elimu sheikh, shukran sana sheikh kwa mchango wako sheikh... Inshalah tutazidi kuzingatia mchango wako sheikh inshalah
Ma shaa Allah ! Shukran Sheikh Othman Michael mada Nzuri sana! Alafu Shiekh Othman Michael sauti yake ina fanana sana na Sheih Othman Maalim wa Zanzibar🤔 kuongea na hata anavyo wakilisha mada.
Hawa ndio mashekh,anaongea taratibu unamuelewa vizur siyo wale wa wazee wakuongea kuiga waarabu mtu anapga.kelele mpak unajiuliZa....jini si lolote si chochote mbele ya Allah ..wallah ww shekh i wish uwe mwalimu wang
Asalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh, mikuna kitu kina nikwaza kwanini mna katakata maneno kwani mnatununulia bando sielazetu weka mawaidha yote tusikie au kama unaona nindefu weka 1 na 2 sio mna kata kata maneno mnatukata stimu bwana, vocha nizetu wengine hatupo huko tz tuna angalia darsa kwenye simu mna tufanyia vibaya. Mjirekebishe tena darsa zashekh othman michael nyingi nihivyo