Тёмный

IJUE MBOLEA ZINAZOFAA KUWEKA KIPINDI NYANYA ZIMEANZA MAUWA 

Kilimo Kijani
Подписаться 2,8 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@mwitadavid5531
@mwitadavid5531 2 месяца назад
Hongereni Kwa hivi mvifanyavyo, pili. Hizi min valves nazipataje mkuu ?
@princesstmusic3917
@princesstmusic3917 2 года назад
Sawa kaka
@WakidiUlasa
@WakidiUlasa 10 месяцев назад
Dawa ya mnyauko ni ipi tunaumia sana kwakweli
@WakidiUlasa
@WakidiUlasa 10 месяцев назад
Nijulisheni jaman apa mom Nina nyaya ila Kuna mnyauko wengine wanaxema Kuna wadud apo kwenye mizizi sijui ni kweli
@Tanzania12
@Tanzania12 10 месяцев назад
Pole kama ni mnyauko hauna dawa ila unachotakiwa kufanya shamba kulibadilishia mazao panda mazao has mii ya mikunde na mahundi Baada ya muda ndio urudie kupanda Nyanya
@salumjuma9153
@salumjuma9153 2 года назад
Kaka habar maelekezo yako nimazur lakini ni aina gani ya mbolea una tumia wakati nyny imeweka watoto
@Tanzania12
@Tanzania12 2 года назад
Wiki 3 Baada ya kuzipandikiza weka mbolea Ya Naitrobo-Kwaajili ya kuboresha maumwa na matunda-Ukikosa NAITRABO TUMIA MBOLEA YOYOTE YENYE POTASSIUM KWA WINGI
@Tanzania12
@Tanzania12 2 года назад
Lakini Pia unaweza Piga Booster za Yara Tracer Bz ua Booster nyengine kama Tecmilbrix au flower tones - Kama mfuko unakuruhusu Unaweza kununua zote 3 ukawa Kila wiki unapiga Aina moja ya Booster
@johnmwangove9928
@johnmwangove9928 7 месяцев назад
Mbona ume ignore mbolea ya phosphorus ambayo ndio mbolea mama kwa maua na potassium ni kwa ajili ya kuendeleza maua na matunda
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
Naweza kupata uduma ya kutengenezewa kitalu nyumba na gharama zake zikoje?
@Tanzania12
@Tanzania12 Год назад
0629194348 Nipige Tuzungumze
@evilesmatende1917
@evilesmatende1917 2 года назад
Unatumia dawa gan ya kanitangaze
@Tanzania12
@Tanzania12 2 года назад
Kantangaze tumia-Malt alfa Plus yenye viambata Ammamectin benzoate na alfacypermethrin
@PrYonaRubinza
@PrYonaRubinza Год назад
Tunataka jina la mbolea ya kiweka pind nyanya zinaanza kiweka maua
@Tanzania12
@Tanzania12 Год назад
Weka Naitrabo-Au can
@JosephNgudu
@JosephNgudu Месяц назад
Inatakiwa, kuweka, mbolea,, gani, wakati, mche, uko, namna, hiyo
@Tanzania12
@Tanzania12 Месяц назад
Tafuta Naitrabo-Au mbolea ya NPK
@omariselemani4358
@omariselemani4358 2 года назад
kaka mbolea gani umeweka?
@Tanzania12
@Tanzania12 2 года назад
Weka mbolea ya Naitrabo- kama Hajapata naitrabo Tafuta Mbole yenye Photashiam nyingi
@omarmwatasa3943
@omarmwatasa3943 2 года назад
Tutawasiana vip omar ni mkulima wa nyanya niko Kenya kwale
@Tanzania12
@Tanzania12 2 года назад
Unaweza nichek kwa Imail. kpazzy78@gmail.com au watsaph 0719357472
@kanyawanamachel5369
@kanyawanamachel5369 2 года назад
Mbona hamtaji aina ya mbolea
@Tanzania12
@Tanzania12 2 года назад
Hatutaji Aina ya mbolea kwasababu ya kibiasha sio vyema kufanya matangazo ya bidhaa ya mtu bira idhini Uliza kwa kukoment nasi tutakujibu -Ni. Kosa kisheria kutangaza Bidhaa ya mtu bila idhini yake
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p 6 месяцев назад
Toa no yako
Далее
ZIFAHAMU MBINU ZA KUZUIA MAGONGONJWA KWENYE NYANYA.
9:24
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
18:22
Просмотров 3,1 тыс.
Kilimo Cha Nyanya
3:47
Просмотров 13 тыс.
Kilimo cha papai, kilimo chenye tija
31:00
Просмотров 31 тыс.
MRISHO MPOTO NDANI YA KILIMO CHA NYANYA
31:30
Просмотров 15 тыс.
MBINU  11 ZA KUDHIBITI MAGONJWA YA NYANYA
9:16
Просмотров 19 тыс.