Jamani hizi clip wanatoa ili mtu mmoja ajifunze sio kuombea like kila siku mko busy na kuomba like badala ya kutoa kile ulichojifunza ili wengine wapate kuelewa 😢 kila siku mi wa kwanza naomba like tuambie umejifunza nini kwa kila epsod unayoitizama
Wadada wa kazi Wana Kazi Kwelii 😢😢😢😢😢 yaan vaiii ety nitamsaidia hee Ndio msaada huu sahiv mnaenda uchawiniii Bila shida yyt😢😢 shenziiiii mmeanza Vizur mnataka kuharibu weee vaiii nilikupenda ulisema utawasaidia kumbe utasaidia kutoa kitumbua kumdhulum Mwanamke Mwezio Ndoa yaKe mtayapata mnayo yataka😢😮 hovyo