Тёмный

INATISHA!! BABA MZAZI AMFANYIA UKATILI WA KINGONO BINTI YAKE WA KUMZAA |ALIKUWA ANANIFATA USIKU!! 

Maximum Tv Online
Подписаться 454 тыс.
Просмотров 99 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@maystellakajuna5461
@maystellakajuna5461 7 месяцев назад
This young lady is a trail blazer!! Nakuombea Mungu akuinue sana hadi ulimwengu ushangae, ushuhuda wako utainua wengi.
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 9 месяцев назад
Aise binti mzuri na story yake ya huzuni but she's so strong na ananipa furaha sana anavyo elezea story yake ,even though it's so painful she's still smile ,Tena mchapa kazi ,I salute you my sister, don't judge book by it cover 📔,kwa yote Mungu ndo anamlida ,God bless you brother Zahir imekuwa mda mrefu sana 👏👏👏❤
@dignatarimo1110
@dignatarimo1110 9 месяцев назад
E
@fatmaally7252
@fatmaally7252 9 месяцев назад
Wanaume wanaume daaaah mtoto wako wa kumzaaaa mungu atusaidie nimelia kwa uchungu sana dada pole sana
@wendynkya1309
@wendynkya1309 9 месяцев назад
Dada pole sana kwa majaribu,tafuta msaada wa maombi kuvunja hayo matamko aliyokusemea baba yako kuwa hutakaa uolewe yy ndo mume wako,bila maombi hautaweza kutoka kwenye hicho kifungo utaangaika sana.Baba yako ndo amekufunga kwa matamko yake maovu tafuta msaada wa maombi na urudi kwenye dini yako uliyobatizwa Mungu atakusaidia
@bakariomari8758
@bakariomari8758 8 месяцев назад
Hakuna laana, yoyote baba mwenyewe mchafu mungu haikubalii laana yake. Yemwenyewe huyo baba analaana za, mungu
@safiaimran6455
@safiaimran6455 8 месяцев назад
Sio kila laana inashika
@scolasticamayanda9048
@scolasticamayanda9048 8 месяцев назад
Baba yake ndio mwenye lahana hata mungu awezi kusikiliza matamko yake ya machafu
@davidmwatonoka1973
@davidmwatonoka1973 8 месяцев назад
Mtafute Yesu akusafishe laana damu yake itakusafisha na kukuweka huru ,Okoka maanisha
@linakabendera9232
@linakabendera9232 7 месяцев назад
UYO baba akamatwe kwa kumdhalisha MTOTO selekali ichukue shelia
@angelngendo3071
@angelngendo3071 8 месяцев назад
I've watched this lady to the end but I can tell you she's blessed you're a fighter may God bless you ma'am
@ASALABOY
@ASALABOY 9 месяцев назад
Dah pole sana Dada yangu hizo n changamoto z maisha mungu atakusaidia Katika maisha yako. Dada yani mpaka Léo unaendelea kumuita Baba. Uyo sio baba n shetan Moja tu
@wilsonjuma6885
@wilsonjuma6885 8 месяцев назад
Pole sana, dada yangu Mungu afungue mlango wa ndoa yako. Pia hongera kwa Imani kwa Mungu Muombe Mungu na kuikataa hiyo raana ya baba yako. Na Mungu awalinde kwa nguvu zake. Ombi langu msamehe baba na wengine waliokukosea na Mungu atafungua MAISHA yako. Mungu akubariki sana.
@GraceKimenanga
@GraceKimenanga 9 месяцев назад
Pole sana mwanangu wewe no mama hakika nakupenda sana naomba namba notakusaidia
@bakariomari8758
@bakariomari8758 8 месяцев назад
Namba ipo hapo juu
@TheresiaKiritta-fi4rr
@TheresiaKiritta-fi4rr 7 месяцев назад
Kwa kweli nimeumia sn sn ila ss imeishia pale hatujajuavkm Yule mume wake aliondoka au la? Pole mnoo Mungu akijalia utaniona kwny na yk. Ila maombi omba, omba omba, ,Funga hata 3 kavu Maanisha toa sadaka Mungu atakujb hadi utakimbia
@irenemboya7899
@irenemboya7899 7 месяцев назад
Cha kwanza uyo binti aache. Kuzaa. Siyo kila mwanaume unaye mpata lazime uzae. Kwasababu mwisho wa siku wewe ndo unahudumia watoto peke yako. Na cha pili unatakiwa uwe na mwanaume ambaye. Ataki kuzaa kama ww. Maisha nimagumu mdogo wangu usipo kuwa makini utajikuta una watoto saba wote hawana baba which is sad😢. Acha kuzaa enjoy life na leya watoto ulionao kwa sasa. Mimi nina miaka 28 na nina mtoto mmoja tu, ila haimanishi kwenye maisha yangu yote nimekuwa na mwanaume mmoja . Ila nimeshajifunza siyo kila anayesema ananipenda basi ni mzarie mtoto
@KeruboIrene1333
@KeruboIrene1333 9 месяцев назад
Dada rudi kwa YESU Chrito🙏 Baba yako Muslim🥲🥲🥲 kashakuharibia maisha 🥲 YESU tu ndio atakusaidia🙏
@BilhudaBakari
@BilhudaBakari 9 месяцев назад
Sio kweliiiii
@BilhudaBakari
@BilhudaBakari 9 месяцев назад
Hata akiwa muislamu dini niyamungu sio yababa ake amuombe mungu aswali sana
@zamBakar-y3j
@zamBakar-y3j 9 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akusaidie Sana, nimetokwa na machozi simulizi yako inaumiza Sana
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 8 месяцев назад
Kabisa wote 😢
@shu-r3r
@shu-r3r 9 месяцев назад
ndugu yangu sasa rudi kwa mungu wako sali sana omba utakacho m mungu yuko nawewe usijali songa mbele iko siku utafanikiwa usikate tamaa weka imani ya mungu
@lucygeorgewairimu5136
@lucygeorgewairimu5136 9 месяцев назад
Pole sana dada, nisha ona mahali unafeli, wewe bado ni mchanga ila jambo unalo faa kulifa nikutembelea kituo cha huduma ya afya ili upate ushauli wa mpango wa uzazi. Manake hata baada ya kumzaa yule alie tumboni, bado utatamani mwanume.
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 8 месяцев назад
Dada pole sana Mungu akutangulie ktk maisha yako nimeumia sana usiwaache watoto wako
@kelvindaudi1063
@kelvindaudi1063 9 месяцев назад
Pole sana dada mi nimekupeda bule mungu ni mwema sanaaa❤❤❤❤
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 9 месяцев назад
Mwanangu salum jmn 😭😭mtt aliumia huyo jmn wazazi tunapoachan n wanaume tuondoke n watt wetu chochote watakula tu
@nassysakia9511
@nassysakia9511 9 месяцев назад
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi 😢😢😢
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 9 месяцев назад
Dadangu rudi kwa Yesu Christo naendelele tu kuomba kwa Jina la Yesu nayote yatakua sawa..kwa Jesu ndio njia tu maana yuko haii nahabadiliki milelee
@tasneemhayati092
@tasneemhayati092 8 месяцев назад
Jamani mwombeni aliyemwuumba yesu, huyu yesu Ni mwanadamu Kama nyingi,Tena mtume,yeye si Mungu,Dah😮
@abdallahtipuka1451
@abdallahtipuka1451 7 месяцев назад
Yesu atamsaidia nn
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 6 месяцев назад
Wangapi wako kwa yesu na wanateseka mkombozi wa maisha ya mtu yeye mwenyewe
@edson2450
@edson2450 9 месяцев назад
Nimeangalia hii interview yooote nimesikia huzuni sana, Yan kiufupi dada ameeleza ukweli wote na amesha athirika kisaikolojia mahali pakubwa anahitaji msaada. Hilo zee lenye laana sidhani kama linastahili kuwa uraiani. Kuna watu wanapitia mambo mazito sana Duniani.
@AmeenaAmeena-un9qk
@AmeenaAmeena-un9qk 9 месяцев назад
Dada nimekupenda kweli pambana na watt wako ❤❤❤
@babewajeff
@babewajeff 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 месяцев назад
Dada imwongo anapiga hela zetu za MB
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 8 месяцев назад
​@@emmanuelmlowe-ew7gxkwani ulitumwa uangarie
@ThobiasMahenda
@ThobiasMahenda 9 месяцев назад
Dada pole sana! Naomba No yako.
@salmakashindi4629
@salmakashindi4629 8 месяцев назад
Pole saana. Dunia hii imekwisha baba unamlawiti mtoto wako tena unitumie nguvu du mwanangu Allah yuko pamoja nawe na atazindi kukupingania. Kwanza unaonekana uko strong. Mungu akujalie ule watoto wako. Huyo baba yako Mungu kamuadhibu
@bakariomari8758
@bakariomari8758 8 месяцев назад
Sisi wanaume msituamini hata sekunde.
@RoidaMbemba
@RoidaMbemba 4 месяца назад
Pole sana dada yangu Usikate tamaa naamini mungu atakupigania hayo ni mapito mungu Kuna Mahali atakupeleka na atakuweka huru kabisa.
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 9 месяцев назад
Pole sana mdogo wangu, Allah akusimamie inshaAllah yatapita
@RoidaMbemba
@RoidaMbemba 4 месяца назад
Nakuhakikishia hakuna mahali unafeli ni mapito,umri walo no mdogo sana ukilingamisha na matukio yaliyokukuta na bado una nguvu.Kuna watu wazima kama huyo baba yako hawawezi kupambana huku wana ujuzi.uko vizuri.maombi unayoyataja ndiyo njia sahh na mungu atafungua njia.hao watakupigia magoti siku moja.mungu hutenda na atatenda kwako.
@KhadijaSimbamwene
@KhadijaSimbamwene 9 месяцев назад
Zaa mwanangu wanao watakulea mlilie Mungu hiyo laana itaondoka tu
@Chosen2Save
@Chosen2Save 8 месяцев назад
Asha umepona tayari. Sifa kuu kwake Mwenyezi Mungu, wazungu wanasema ukikubaliana na jambo basi umepona sana sana ukilisema kwa uwazi. Naomba yako please
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 9 месяцев назад
Mungu Akusaidie na Kukutetea Dada
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 9 месяцев назад
Very strong woman ♀️♀️♀️.
@bethgambaloya1757
@bethgambaloya1757 8 месяцев назад
Pole dada Mary kwa yote unayopitia ile kauli ya babako kuwa hutaolewa ila yeye ndiye mumeo kuanzia sasa NAIFUTA KWA JINA LA YESU NA NINAKUFUNGUA KUTOKA MATESO HAYA KWA JINA LA YESU. Nakushauri tafuta kanisa la wokovu uokoke Mungu atakubariki.
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 9 месяцев назад
Daaa hii kali aisee mungu tuhurumie wanawake
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 9 месяцев назад
Kihukweli kwanini watanzania iyo munayo sn mtumzima kabisa ulale na mtoto wako kweli watanzania iyo nikawaida yenu 🇨🇩 😭😭😭 poleni sn
@vincentasava1529
@vincentasava1529 9 месяцев назад
Mambo hayo magumu Mungu akutulize moyo Dada
@SalmaHassani-i7h
@SalmaHassani-i7h 9 месяцев назад
Duu pole sana dd Mungu akusaidie usijali utayavuka itakuwa historia Mungu ni muweza wa yote.
@banziega254baomar7
@banziega254baomar7 9 месяцев назад
Kaka zahir mwabie ajifunze dini asali madam ashakua muislam asali amuombe mungu atamfungulia njia Insha Allah
@fatmaali9305
@fatmaali9305 9 месяцев назад
Kweli kabsaa Swalla yaondoa matatizo yote
@sifaapendeki4639
@sifaapendeki4639 9 месяцев назад
Can I have your phone number please 🙏
@MathiasJermiah
@MathiasJermiah 9 месяцев назад
Ll
@monicalewisky4925
@monicalewisky4925 8 месяцев назад
Mbona haikumuondolea nabii wenyu matatizo?
@halimaomar3280
@halimaomar3280 8 месяцев назад
​@@monicalewisky4925alikua na matatizo gani tujuze inakaa we unajua ?
@victaboy7273
@victaboy7273 9 месяцев назад
Dah😭😭😭 harafu dada mzuri, libaba limumharibu jamani
@ThomasErro-jy3sv
@ThomasErro-jy3sv 6 месяцев назад
Pole sana binti Mungu akufungulie riziki yako apa duniani
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 8 месяцев назад
Pole sn dd nimejikuta nalia2.fanya ibada yote yataisha2 hakuna kubwa kwa mungu
@hasnaram4044
@hasnaram4044 9 месяцев назад
Ukisikiliza story kwa mtu una pata nguvu ya kucheka kwa sababu ni kama hadithi, ila siku likikukuta ndo utajua kuwa sio hadithi pole sana dada yetu ila inabidi utumie uzazi wa mpango kwa maisha unayo pitia
@EsterWilliam-cv2jb
@EsterWilliam-cv2jb 9 месяцев назад
Kwann ujaenda kuripot polis ile cku ya kwanza
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 8 месяцев назад
Unachekaje kitu kama hiki, mwanaume anae fanya haya uhai wake na uwe mfupi
@teedullah5708
@teedullah5708 9 месяцев назад
Pole Sana nimeisikiza pka mwisho duh pole Sana MUNGU atakufunguliya njiya
@ansila-ed6sm
@ansila-ed6sm 6 месяцев назад
Simulizi ya muda kidogo lakini leo nimeisikiliza nimeumia sana pole sana huyu dada jasiri sana hongera sana
@JeanneYamungu-f8n
@JeanneYamungu-f8n 9 месяцев назад
Hakika kunawatu wanapitia kipindi kigu sana hapa chini yajuwa mmm dada pole sn kweli mungu akusaidiye sana nipe namba yako ya simu niongee na wewe
@LILLIANNAKANYIKA
@LILLIANNAKANYIKA 7 месяцев назад
Yaani mwanangu kumbuka laana baado lipo na linafanya kazi Sasa nakusihi umutafute mungu kwakuwatafuta waombaji wakusaidie
@emmanuelahmedbyona2353
@emmanuelahmedbyona2353 8 месяцев назад
Kweli hakuna mapya chini ya jua alisema mfalme Souleymane😢😢😮but FORGIVE, FORGET AND BE FREE.
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 7 месяцев назад
Duh pole sana mdada na hongela sana. Bora wewe unajitambua Kuna wengine kazi Yao ni kutoa toa tu
@TausiMokiwa
@TausiMokiwa 9 месяцев назад
Pole sana mpambanaji mwezangu
@revinaraphael-bk8fu
@revinaraphael-bk8fu 9 месяцев назад
Omba yasikukute dada Mungu akutunzie watoto
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 7 месяцев назад
Uyu dada anaakili sana Marshallh Allah akuongoze
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 8 месяцев назад
Bint mzur MashaAllah ila ungeziba sura
@JANETHKimambo
@JANETHKimambo 9 месяцев назад
Mmmmmmmm pole dada kwa istoria yako pia wanaume kama hawa wavivu awataki kazi wapo ndio maana na mm nilimkimbia na nikamnyima mtoto ata kumuona tuu mpaka leo
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 6 месяцев назад
Pole sana Mdogoangu yatapita unahitaji cancelling Pia hongera sana kwa kupambana
@wsws998
@wsws998 8 месяцев назад
Pole dada jitume tu mwenyewe,tena dada bible imeandikwa anae lala na babake amelaniwa,fanya toba utakazwe na MWENYEZI MUNGU.na utafunguliwa,utakuwa uhuru.
@MaryamAbass-z1x
@MaryamAbass-z1x 8 месяцев назад
Pole sana dd kwauliyo yapitia ila zahir tunaomba kwenye matukio km hy usineshe sura yake
@سيتيالسالم
@سيتيالسالم 7 месяцев назад
So sad pole sana dada watching from Alhofu Saudi Arabia 😊😊😊
@TheLastMinuteMessages
@TheLastMinuteMessages 7 месяцев назад
Mdada unaakili nyingii pole na hongera sana kwa upambanaji
@KherryPapaa
@KherryPapaa 8 месяцев назад
Nasikitika sana tena sana kwakushindwa kusaidia ,natamani sana tena sana Mungu akutie Nguvu Dada haa Naumia sana 😭😭😭😭
@chobushaka7650
@chobushaka7650 9 месяцев назад
MWENYEZI MUNGU akupiganie mdogowangu kwaupambanaji huo ikosiku maumivu Yako yatabaki story
@monicayohana5937
@monicayohana5937 9 месяцев назад
Kakazahiri hongera ila huyumdogo amepitia kama mimi ilamimi nizanje mimi nimsingida mwenzako mpakasasa namtoto mjapani na nimeacha wakiuime kisa nauli na sàsa sijaongea namwanangu zahiri nisaidie natamani huyu wakike awezekukutana
@gladishaule9261
@gladishaule9261 6 месяцев назад
Yesu kristo anakupenda..Tafuta kanisa ufunguliwe.
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 9 месяцев назад
Astaghfirullah jamani mtihani mkubwa huo
@winladyemanuel9435
@winladyemanuel9435 9 месяцев назад
😢😢😢 so painful, jamani inauma nimeliaaaa Sanaa
@babewajeff
@babewajeff 9 месяцев назад
Umelia saa gapi 😮
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 8 месяцев назад
@@babewajeff😂😂😂😂😂
@Portugal309
@Portugal309 8 месяцев назад
​@@babewajeff😂
@nusaibahhassan733
@nusaibahhassan733 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅​khaaaaa@@babewajeff
@bupemoreen9974
@bupemoreen9974 9 месяцев назад
Jamani pole sana dear nimeumia sana hii story nimekua kama nipo kwenye ndoto 😭😭😭😭😭
@hellenngala-o2l
@hellenngala-o2l 8 месяцев назад
Pole dadangu,,pokea nyota ya ndoa mwanangu,uoleke kwa heshima.
@GraceKimenanga
@GraceKimenanga 9 месяцев назад
Mungu atakusaidia usigope namba zako tafadhali nitakusaidia
@goldmansun5859
@goldmansun5859 8 месяцев назад
Muwafiche sura ,itakuwa vizur
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 8 месяцев назад
Alafu ukificha sura ndo nini sasa
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 месяцев назад
WEWE BABA NA ULAANI SANA WEWE NA KIZAZI CHAKO. MSHEZI SANA WEWE. BABA NI MJINGA SANA NA HUYO MAMA NI LIJINGA SANA HALINA AKILI
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 8 месяцев назад
Wewe unasema alaniwe na kizazi chake khaaaaaa????!! Kosa afanye yeye kizazi 😮watoto wake walaniwa wanamakosa Gani????Anitha nawe utalaaniwa kama unagawa laana Kwa namna hiyo
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 9 месяцев назад
Dada pale ulipobatizwa tu ungeyashika mausia ya Bwana Yesu ungeepuka mengi.Kaa ndani Yesu kwa miguu 2 upone na hayo mapito.
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 8 месяцев назад
Kumuomba tu mungu,baraka neema hutoka Kwa bwana kwani waliobatizwa hakuna wenye matatizo au changamoto????? Kila linalomkuta mwanadamu si Kwa sababu hakuufuata ubatizo fanya tafiti vzr
@SylviaMagoda
@SylviaMagoda 8 месяцев назад
Dada wewe ni mchapakazi ila unapofeli ni hali yakuamini wanaume kila mwanaume anayekuja kwenye maisha yako unamuamini nakuanza kuzaa haujiangalii unamtoto mdogo na bado mambo yako hayajakaa sawa jalibu kutuliza akili yako peleka watoto shule mana unavyohama leo huku kesho kule watoto wanasoma saangapi? Katika zunguka zako hebu angalia ni mkoa gani katika utafutaji wako unanafuu basi baki hapo na uanze maisha hapo hao wanaume wanakufelisha pambana kufanya kazi zako watoto peleka shule nipo tayari kukusapoti kwa kidogo nilichojaaliwa
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 9 месяцев назад
Hii imefka nyumban dom pole sana bunt
@chobushaka7650
@chobushaka7650 9 месяцев назад
Binti mrembo saaana Nakuombea kiiilalililojema Yesu akutunze
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 9 месяцев назад
Nyumba kweli ilikuwa ya kisheitni,na ukatili.
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 9 месяцев назад
Waallah Yasin jina zuri na ndio mm..
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 9 месяцев назад
Jamani marungu hamna mm nampasua
@FatmaYussuf-k2j
@FatmaYussuf-k2j 9 месяцев назад
Jikaze Dada usiache uislam Mungu atakusaidia
@doreenkaiza8037
@doreenkaiza8037 9 месяцев назад
Kiukweli kuna watu uwa amna akili aliyefanyia ovyo ni mkristo si mwislamu kwa Nini umchagulie dini
@japhetstanley4302
@japhetstanley4302 7 месяцев назад
Pole sana Mungu yuko hai!
@RasulAyubu
@RasulAyubu 9 месяцев назад
Polle San dada yang Tena San Allah akufanyie wepes dada yang pole San umepitia magum San
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk 9 месяцев назад
Wanawake cc ni wepec sana kudanganyika ila nakushauli kutumia uzazi wa mpango na hongera sana kwa ulez mzur wa watoto
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 9 месяцев назад
Et nna mtt mmoja tu jmn
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 9 месяцев назад
Sisi wanaume jamani daa mpaka shida
@isayacharles2850
@isayacharles2850 9 месяцев назад
Haya serekali, vyombo vya dini, wanausalama, vikundi vya kutetea haki ya binadamu, poilsi mmesikia hiyo! NAAM -Mmelaisishiwa, SHERIA SASA
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 9 месяцев назад
Story ya kweli inajulikana tu tnashukuru kaka Zahiri,,,,,sio kama hao kina king poo,foxe story zao za kutunga
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 месяцев назад
Hata hii niyakutunga huoni?
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 8 месяцев назад
Duh mungu atunusulu na vizazi vyetu eeh mungu 😭
@flezzyroshan9380
@flezzyroshan9380 9 месяцев назад
S😢opainful jamani 🥺 mrudie Mungu atakutetea
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 9 месяцев назад
Babako ni lichawi mngelichangia mliuwe,mngekubali halafu mchemche mafuta moto,likivua nguo mwagie kwenye hilo uchi walo.
@NeemaJumanne-h5d
@NeemaJumanne-h5d 8 месяцев назад
Kwaweli
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 8 месяцев назад
Ila mdogo wangu bora ungeziba sura pole sana😢
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 9 месяцев назад
Ila uyu dada mpambanaji mng akusaidie utimize ndoto zako n wtt wako watajua t
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 9 месяцев назад
Pole Sanaa
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 9 месяцев назад
Jifunze dino dada una faeli.kwa sababu ujitambui.na mililie Allha kwa imaninya kisram
@babajaden3525
@babajaden3525 8 месяцев назад
Mmmh huko ndo angeharibikiwa
@RabiaDosa
@RabiaDosa 8 месяцев назад
Huyo dada kaniliza sana mungu atakusaidia
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 9 месяцев назад
Kaka Zahiri mm mukenya, na Nina kuamini saana kwa visa unavo vileta hapa100/🎉🎉
@babewajeff
@babewajeff 9 месяцев назад
Mukenya, mkenya 😂
@SalmaSamir-df3tz
@SalmaSamir-df3tz 8 месяцев назад
@@babewajeff we jamani unakaosoa mmmmh
@ShijaBoy-y5h
@ShijaBoy-y5h 7 месяцев назад
Dah pole Sana dada nzega ndo nyumbani
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 9 месяцев назад
Dunia ina mambo mengi sana dah! Pole Dada
@fredyhappy769
@fredyhappy769 8 месяцев назад
Pole sana nenda Hospital fanya ukishazaa nenda Hospital ukapate ushauri nasaa pole mwanangu chaguo unalochagua siyo sahhi poke
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 9 месяцев назад
Ila huyu mschana ni hodari wa kujieleza, inaonekana ni kweli kabisa kwa maisha aliopitia, 06.01.24.
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 9 месяцев назад
Amesha athirika kisaiklojia yaani inauma sana kiukweli yaani kuna wababa ni majini
@MiriamLaurean-k3v
@MiriamLaurean-k3v 7 месяцев назад
Pole sana kipnz
@salamabakari8384
@salamabakari8384 9 месяцев назад
Pole sana inatufunza stori
@saimonntani6831
@saimonntani6831 7 месяцев назад
Wewe mwanamke nimrembo sana,ila tatizolako unapenda sana kuwaamini wanaume. Umeng'atwa nanyoka lakini hujifunzi .achakuwa mzembe.utajikuta unazaa watoto10 babazao tofauti. Hiyo inakuwa kaama makusudi sasa.
@Chosen2Save
@Chosen2Save 8 месяцев назад
Mwanamke Jasiri sana. Mungu akuongoze mno. Toa number yako ya simu 😢
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 9 месяцев назад
Huyu Dada alipata sexual child abuse anahitaji msaada wa kisaikolojia kuna mahala bado hayuko sawa
@sulekhaabdul468
@sulekhaabdul468 8 месяцев назад
Walahi. Nimeliya so sad and heartbreaken😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
@mfaumemkigoma4370
@mfaumemkigoma4370 9 месяцев назад
pole sana rahma mm naishi tanga Ila kwasasa Niko ubena natamani tuonane kama nikipata anuani au contact zako
@ThomasRabura
@ThomasRabura 6 месяцев назад
Pole sana dada
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 8 месяцев назад
Pole na hayo dada ni mitihani ya dunia isipokuwa naomba no yako ya cm nataraji kuja Tanzania nitakutafuta
Далее