Тёмный

IRAN yaishtaki ISRAEL kwenye Umoja wa Mataifa, Khamenei afunguka 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Авто/Мото

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 254   
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 30 минут назад
Proud to be ni watu wa kulia lia sana ni watu wakulifind wakiligate wanakua victim
@josephpeter8511
@josephpeter8511 Час назад
Isreal ni mtoto wa simba!! mwana simba huyo!! akiamua kitu hakuna wakuzuria!!! Mungu aliye ziumba mbingu na nchi yupo upende wake!! ni taifa liliundwa kwa vita taka apo mwanzo❤❤❤ Israel 🇮🇱
@jumasuleiman7171
@jumasuleiman7171 Час назад
Achana masuwala ya vitaa muhimu kulinda tafaa lako na watu wako ❤
@kafitiwilliam8358
@kafitiwilliam8358 2 часа назад
Siii walisema wamekufa wanajeshi wawili leo wanne kesho tutaambiwa kumi ila nadhani uharibivu uliofanyika ni mkubwa sana sema hawataki kusema kweli ila mda utaongea
@mudighurayra
@mudighurayra 2 часа назад
Habari za kuficha utazipata Israel na marekani iko
@SelemaniMsuya-q8n
@SelemaniMsuya-q8n 2 часа назад
Hebu tupe zakweli
@Abdulrazaki92
@Abdulrazaki92 Час назад
mda umeshaongea kwamba ni wanajeshi wanne we unataka kuongeza wako tena😂😂 mbona israel alificha athari ya makombora ya iran picha za satellite ndio zimewaumbua😅
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 Час назад
Ndo mana Jina lako Lina Anza na kafiri huwez kuwa na akili
@DuuSaid
@DuuSaid Час назад
Wamepiga kutoka kambi ya marekani nchini Iraq sio wao kasaidiwa😂😂😂
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 часа назад
Kwa maana hio yeye alivyoipiga Israel walivyoipiga ikae kimya,haiwezekani kucheza na TAIFA LA MINGU wa Israel
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 3 часа назад
🎉
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 2 часа назад
Taifa la Mungu sio myahudi. Haingii akilini: • Wamemkanusha Yesu kwa kusema Yesu nj mwanaharamu. •Wamemzulia Mary (Maryam) mama wa Yesu kama ni malaya aliyezaa mwana haramu. •Hawautambui Ukiristo. Ebu nielemishe- Mungu gani atawateua ? Hao Mapadri wa kizungu wamelazwa kwa pesa za mayahudi wakupitoshe na kukulaza usingizi. Na aje wewe unakubali kuwa Mungu hakupendi?
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 часа назад
Akili za Aina hii ndizo zilitumika mwanza kupeleka mzungu akagunduwe ziwa victoria
@yuscoramadhan8462
@yuscoramadhan8462 Час назад
Aya mengine ni mataifa ya mashetani au co jitambueni mnasoma maandiko yapi
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 часа назад
Shambulio moja tu, washa anza kushitaki😅😅
@rogersiddy
@rogersiddy 3 часа назад
Apo sasa Watajua hawajui shubaamiti zao😂😂
@abdulatifismail4747
@abdulatifismail4747 2 часа назад
Acheni ujinga jibu linakuja hio wanatowa muhtasari kabisa badae hakutakiwi lawama mtaelewa nyinyi mnaojifanya wakiristo wakati hao zionist wanajuwa yesu ni mtoto wa haram tulien tu mtaelewa washabiki maandazi
@mudighurayra
@mudighurayra 2 часа назад
Iran ni mjanja sana anatumia sheria zao wenyewe kushambulia ww kenge maji ndio hujui ktu
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 2 часа назад
Huyo ndiye israeli mtoa roho!
@Jurbeg
@Jurbeg 2 часа назад
​@@mudighurayra achafujo kenge matope wewe 😏😏😏
@hudsson75
@hudsson75 2 часа назад
Ugomvi wa hawa jamaa si wa kuushabikia hata kidogo. Si Iran 🇮🇷 wala Israel 🇮🇱 anaetaka kupigana na mwenzie vita kamili, na ndio mana hata mashambulizi yao wanayafanya yasiwe ya kukasirishana sana. Athari ya vita ya hawa jamaa ni kubwa sana kwa dunia. So tuache ushabiki
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 52 минуты назад
Kweli
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 3 часа назад
Kumbe wanaujua moto wa Israel ila wanapuuza tu.
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 часа назад
Hujaelewa sikiliza vizuri😂😂😂
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 часа назад
​@@kassimrajabu7805hana akili ya kuelewa huyo 😅😅😅
@Awatee
@Awatee 3 часа назад
​@@kassimrajabu7805sasa ataelewa nini anawaza kula tuu na kulala kufikiri aah 😂😂😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 часа назад
@@Awatee tatizo mihemko na udini
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 часа назад
Wanalia lia tu
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 2 часа назад
Tatizo uelewa mdogo, Hivi mnamjua Mungu wa Ibrahim, Isaac na Jacob,??? Kamuulizeni Faraoh alivokaidi maagizo yake Mungu kupitia kwake Moses(Musa)!!!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
Magaidi wote lazima muumie😂😂😂😂😂😂 Mwenye nguvu aende Gaza au Lebanoni 😂 Akaonane na IDF😂😂😂😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Час назад
S-300 air defence systems nne zote za Rassia zimeenda...na ndomaana Mzee analalamika.... hakuna air defence system yoyote hapa duniani inaweza kumzuia Israel... Kwa wale waliokuwa wakipiga kelele na air defence system za Rassia nadhani ujumbe umefika😂
@LelemaMtusi
@LelemaMtusi Час назад
😂😂 c walisema Israel ikirusha tu hata jiwe itakumbana na jibu kali zaidi.sasa kiko wapi wameufyata
@StarMerinyo
@StarMerinyo Час назад
😂😂😂😂 Kweli hawa watu wanachekesha yaani mabomu yale yote leo wanaishtaki 😂
@lowasamollel9852
@lowasamollel9852 3 часа назад
Mbona wakiguswa wanaanza kulia
@aediaygo8546
@aediaygo8546 3 часа назад
Na wewe mmsai myahudi🤣🤣🤣🤣
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
Iran mbona analiaa😂😂😂
@frednassary7210
@frednassary7210 3 часа назад
Imagine nchi inapigana na nchi 4,labanon( Hezbollah), Palestine (gaza), bado Iran 😅
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 часа назад
Mmmmmmh mkiitwa mashoga mna kataaa
@RAKIIMRAKIIM
@RAKIIMRAKIIM 3 часа назад
Mpumbavu Wewe Nchi Gani Nne Gaza Ni Nchi Lebanon C Wanamgambo Wa Isbullah Acha Aendelee Kuchezea Sharubu Za Simba Teheran Kaingia Kwa Adabu C Amezoea Kupambana Na Wanamgambo Na Kuuwa Raia Ovyo Mbona Ajafanya Hivyo Tehran Na Hv Navyokuambia Haja Fanikisha Hata Lengo Lake Moja Toka Ameanza Kuuwa Wanawake Na Watoto Wasio Na Hatia
@raydanfrenk
@raydanfrenk 3 часа назад
😂😂😂 Kaka awa wapumbafu wa madras wanao jifunza ngono awawezi kuelewa
@Awatee
@Awatee 3 часа назад
​@@raydanfrenksasa nani wanao jifunza ngono kati ya waislam na wakiristo kushawahi kuona muislam kaenda madrasa na kimini Heshimu wengine ili nawe uheshimiwe sasa kule kanisani munaenda fanya nini kama si uasharati?
@ayoubali-x6n
@ayoubali-x6n 3 часа назад
ndugu tumia akili sema western wanapgana na Wana mgambo.....wao wenyewe wanaona aibu mpk xaiv wanauliwa2 pale Gaza alaf wanaua wanawake na watoto waende wakapigane men2 men cku mbili2 utasikia milio 😂😂😂😂 ..hamas hawana kifaru,hawana ndege,hawana zana za kisasa,hawana satellite,..ila still mpk Leo mateka hawajaokolewa .na HAMAS wanzidi kupta nguvu ..vitu vyengine udini tueke pembeni tuongee uhalisia😂😂😂😂😂😂
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 3 часа назад
Tena ashukuru marekani na jumui ya ulaya kumuomba apige Kwa kiwango Cha wastani.....yenye alikua Israel kutumia drone zaidi ya 200..akae kimya...atulie tuu.kama anaweza ajibu Ili moto uwake....watheshimiana kama misri inavyo muheshimu muisrali
@mukrimkhamis678
@mukrimkhamis678 2 часа назад
We unaongea lkn hujui ata unaongelea kitu gn kenge ww
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 2 часа назад
Mmh . Huyo marekani si amwache huyo myaudi peke yake tuone.
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x 2 часа назад
@@hajisalimmhina3983 mbona nyie ni nchi Tano na ZOTE zinarusha makombora lkn Israel Ile pale maangamizi ya Israel Kwa waislam ni makubwa
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
​@mukrimkhamis678 Kenge tena 😂😂 Acha wapelekewe moto 🔥 weeee Israel 🇮🇱🎉❤
@AGM19697
@AGM19697 Час назад
Alikatazwa asipige mafuta ay vinu vya Nyukria. Nikiwahi kusikia mchambuzi mmoja akieleza kuwa Iran na Israel wanashambukiana kwa makubaliano. Chini ya uangalizi wa Urusi na Marekani. Wanaambiwa sehemu za kupiga na sio zaidi ya hapo
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 3 часа назад
🧭🤳 kwani Iran yataka nini 😢😢?? Nawapata nikiwa Msumbiji Mozambique 🇲🇿 mkoan Cabo Delgado mjini PEMBA Cariaco
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 2 часа назад
Atari sana ukinyimwa akili
@peterkintu525
@peterkintu525 2 часа назад
Israel
@washingtonngullo1988
@washingtonngullo1988 2 часа назад
Gaidi namba moja Iran anashitaki nini yeye ndo sponsor no1
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 часа назад
🤣🤣🤣😂 ...sasa kameguswa tu kidogo kameshaenda kushtaki....si walisema hakuna madhara..sasa kelele za nini....🇮🇱🇮🇱
@ozilraven8442
@ozilraven8442 3 часа назад
Kwani walivyoshambulia walizani jibu la israel ni ndege za msaada kutua kwao?
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 3 часа назад
Israel imepiga bomu balozi wa iran huko Syria, kisha wakamripua mgeni rasmi wa Iran. Huo ni upotovu wa adabu na ni ugaidi wa hali ya juu ambao nchi nyingi za magharibi na hawara mkubwa wao anaewahonga bure mabillion ya pesa hawakusema kitu. Iran ina kahi ya kujilinda. Hao watoto wateule wa kishetani wasiguswe(?)
@ozilraven8442
@ozilraven8442 2 часа назад
@@abdullahal-mahruqi9610 ulitaka wakupige bomu ww ama chuki ambazo mnapandikiza waislamu ndo kinawatafuna wenyewe c muwe wastaarabu kama waislamu wengine mtapungukiwa na nn angalieni wenzenu wa misri hawana ata habari Saudi arabia ndo kwanza hawajui nini kinaendelea
@Creative1studios1
@Creative1studios1 2 часа назад
Utakuja kuwajua waisrael umechelewa sana​@@ozilraven8442
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 2 часа назад
@@ozilraven8442 Wayahudi walishafukuzwa zaidi ya nchi 105. Hilter mkiristo mwenzio aliwaua million 6 ujerumani na akasema ameacha kidogo ili watakaokuja wajue. Warumi wakiristo wenzio waliwaua na kuwatawanya hao wayahudi kwa kumuua Yesu. Wewe mwehu? Huoni wachinjaji wakubwa ni wakiristo wenzio. Ulitaka wakuchinje wewe? Vita vikuu vya dunia vya kwanza na vya pili waleta vita ni wakiristo kwa wakiristo. Ingawaje wakiristo wa kiafrika hawamo humo, lakini ndio wenzenu hao. Wamewalazeni kwa imani potofu ya uteule, Uteule wa kutoa roho za watu!?
@mudighurayra
@mudighurayra 2 часа назад
​@@abdullahal-mahruqi9610izo kenge achana nazo hua mara zote hua hawajui hata kufatilia mambo wao ni kupayuka 2
@mwakilamwaki7308
@mwakilamwaki7308 3 часа назад
Si mmeanza wenyewe sasa unataka nini
@rogersiddy
@rogersiddy 3 часа назад
Apo sasa wakati wao ndo walianza kuipiga Israel wanalia lia nini?waendelee mpambano tu mwenzie Israel hajakumbilia kwa yoyote yule amekomaa tu😂😂
@e11said23
@e11said23 2 часа назад
Wacha kuwaza upuuzi hajakimbilia popote mme wake kumletea silaha dunia yote inaona ila wewe tu subiria wakubwa na wewe
@kudrasogoti3796
@kudrasogoti3796 2 часа назад
Israel ndio alianza kupiga ubalozi wa Urani miaka miwili iliyopita​@@rogersiddy
@mudighurayra
@mudighurayra 2 часа назад
Izi kenge kumbe hua ata hazifatilii chanzo wao nikuropoka tu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
​@@e11said23mbona kama unataka huruma 😂😂😂😂 Wewe ni Ayatolah Hameney
@raymrash
@raymrash Час назад
Si walisema wameyatungua yote 😂😂😂😂
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 2 часа назад
Kwanihawo vile walienda Israel nanialiwashitaki? Wawache upuzi.
@raymrash
@raymrash 2 часа назад
Ukiona kelele ujue kimewaramba 😂😂😂😂
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv 15 минут назад
Mungu wa 🇮🇱israeli muumba mbingu na nnchi lazima ajulikane_Isaya _19:19
@peterkintu525
@peterkintu525 2 часа назад
❤❤❤
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Час назад
Hii vita sio ya wayaudi na waislam bali ni VITA YA MUNGU MWENYEZI (Yahweh) VS ALLAH 😹😹😹😹😹😹😹 (miungu ya makkar) tunajua MWISHO WAKE 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💞🇮🇱💞🇮🇱💞🇮🇱💞
@SijaliMputa-gy1kb
@SijaliMputa-gy1kb Час назад
Kwahiyo nani atashinda?
@raymrash
@raymrash 2 часа назад
Mbabe anashitaki😂😂😂😂
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 2 часа назад
Mbona Iran ilinyesha nvuwa ya makombora kuiangamiza Israel sasa imekuwaje Iran kulalamika tena
@SijaliMputa-gy1kb
@SijaliMputa-gy1kb Час назад
True promise1 na true promise2 Irani amekuwa akiijibu Israeli kwa uchokozi kwa taifa la Irani elewa hivyo
@ArnoldRodrygo
@ArnoldRodrygo 34 минуты назад
Huyu nae ni muongo muongo 🤣🤣na simulizi zake....
@mr.performance2533
@mr.performance2533 26 минут назад
Iran akili kubwa
@mangiclaus
@mangiclaus Час назад
Israel walisema Irani watajamba cheche... Washaanza😂
@FilbertRobert-e4u
@FilbertRobert-e4u 2 часа назад
Nakupata nikiwa Rukwa wakuu😂
@GabrielMwampulo-ys4nl
@GabrielMwampulo-ys4nl 2 часа назад
Tatizo la Iran ni kufadhiri makundi ya wapiganaji wa Palestina,Lebanoni ,Yemen na kuishambulia Israeli moja kwa moja .Je,huo sio uchokozi wa Irani?
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 часа назад
Israel inafadhili IS huko huoni
@raymrash
@raymrash 2 часа назад
​@@yassinhamza1969Toka zako hapa...sasa kama ni kweli ndio mnaiga!!?
@raymrash
@raymrash 2 часа назад
​@@yassinhamza1969 kwa hiyo ninyi Waislamu mnaiga jambo ovu!??
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Час назад
@@raymrash nilidhan utasema mnatumia kitabu kujilinda lakin tunaona mifumo ya ulinzi na mabomu mnanunua kwa mungu hivyo vifaa au
@barakambembela7274
@barakambembela7274 48 минут назад
Mbona Israeli hajashtaki umoja wa mataifa
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Час назад
C walisema wamezuiya makompora yote sasa wanaenda kushitaky nini
@collinsulomi1008
@collinsulomi1008 Час назад
Mbona kama Iran imepata uoga fulani hivi.
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 2 часа назад
Sio kamenei. ( tamka khamenei. Hamenei
@papamukulu1045
@papamukulu1045 3 часа назад
Hahaha sasa hata hawana guswa vizuri waashanza kulia😂😂
@GabrielSky64
@GabrielSky64 23 минуты назад
Yes lazim ukadiriwe unafikili utapew sawa na Hamas 😂
@stallonjullya
@stallonjullya 2 часа назад
Nacho shukulu Irani kashaomba pooo
@mudighurayra
@mudighurayra 2 часа назад
Labda inaonesha ww umezaliwa elf2010 huijui iran
@nellymans-f1v
@nellymans-f1v 3 часа назад
Akili mingi san hy mzee akili zake anazjua mungu maan anasera ambazo zinamvuto san
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
Eti bhana 😂😂😂
@AGM19697
@AGM19697 Час назад
Wewe hujui tu kinachoendelea huko Iran, ni mwendo wa mkono wa chuma tu. Utake usitake utafanya anayotaka
@feilymusa3925
@feilymusa3925 2 часа назад
Mtoto kautaka af anaenda kushtaki
@SijaliMputa-gy1kb
@SijaliMputa-gy1kb Час назад
Kushitaki siotatizo ni sawa na suala la kuepuka kuchukua Sheria mkononi ilhali kina vyombo mahususi vya kimataifa vya kuepusha madhhara makubwa na Irani anajuwa uN haitachukua maamuzi yeyote ila Irani imesha toa lawama na onyo kwa ulimwengu.
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 56 минут назад
Putin ana wadanganya
@aaronsamwel3439
@aaronsamwel3439 Час назад
Atakapo piga asilaumiwe akutoa taarifa.
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k 3 часа назад
Allah upe nguvu UISLAM katika DUNIA hii Na ipe DUNIA UTAULIVU na Amani
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 часа назад
Uislam ni upumbavu mtupu mnafundisha kuua ,kumwaga damu mkipewa eneo mnataka watu wafuate sharia zenu SI ujinga huo
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k 3 часа назад
@@christinewomanoffaith5479 Njoo kwenye Dini ya haki utajua kama tunauwa au tunamwaga damu Kama hatufany yote ayo baki kama tunafanya bila ya reason utarudi kweny Dini yako
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 часа назад
@@Drsilo-v5k Na kujifanya kuhalalisha zinaa eti mtu mmoja aoe wake wanne uchafu mbele za Mungu.
@veeJesus
@veeJesus 3 часа назад
Uislam na Imani ni vitu viwili tofauti. Amni ya dunia inaharibiwa na uislam 😮😮
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 3 часа назад
Upumbavu ni wakiristo kwa andiko la biblia yenu inasema upumbavu na uinga wa mungu ni mdogo kuiko wa kwenu watu wake sasa sisi hatuna hizo sifa za upumbavu na naamini wapumbavu musingeletewa mungu msanii wa marekani mukamuabudu makanisa yote na kumuomba awatiye peponi​@@christinewomanoffaith5479
@Allybinamour
@Allybinamour 3 часа назад
hapo hapatiki diplomasia makombora yakuiangamiza israel ndo suluhisho muafaka.
@sanjafarmmachinerystractor4205
@sanjafarmmachinerystractor4205 3 часа назад
Vipi Tanzania yetue
@veeJesus
@veeJesus 2 часа назад
@@Allybinamour Ndo haiwezekani sasa Mungu wao amakataa 😂😂😂😂😂
@selemaniigosha
@selemaniigosha 2 часа назад
Utasubili sana
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
Unayo 😂😂😂
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 Час назад
Tatizo ni moja tu hi mikristu inavyo waza kuusu Israel wala hata si elewi acha tu mtu abaki na akili zake😅
@abduhamisi7620
@abduhamisi7620 28 минут назад
😅😅😅😅 wanahisi mzayuni anamjua au anaundugu na Mnaswala kumbe mambo yako tofauti hao hata ukristo hawaujui shame on them😂
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 2 часа назад
Mna- delete majibu yetu kwa nini? Wanafiki wakubwa nyinyi
@davidandrew6332
@davidandrew6332 Час назад
Makombora 10 tu lakini yapo yaliyopenya😂😂😂 huu ulinzi wa irani🚮 nikama kipa gani bongo?
@salummohamedi5562
@salummohamedi5562 2 часа назад
Kumechemkaaaa Israel 🇮🇱 imechemka kwisha habari yao Utabiri unaenda kukamilika
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 2 часа назад
Kati ya watu waliojaliwa kujua mwisho wa dunia na wewe umo, vita ya Gogu ya kuivamia israeli kila mtu asome Ezekieli 38 yote na 39, na Zekaria 14:1-7
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 часа назад
uyo niwakupiga sio wakushitaki
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 56 минут назад
Hawaijui Iran?😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 3 часа назад
😂😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri nchi ndog inawapeka moto moto😅😅 ndy nakubali maandiko "utapigwa kutoka pande zote ila utashinda" Israel ni atari 😅 Biblia takatifu inasema "itakae ibariki Israel nae amebarikiwa" sasa warabu weusi mtume wenu aliye baka mtoto wa miaka tisa mtapigwa mpka mpigike😅😅😅 Mungu wetu anajua lugha zote, ila Mungu wa watu furah anaejua kiarabu bas akuna Mungu ni utopolo😅😅
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 часа назад
Inch ndogo washirika wake wazi to UK USA France gr nk una sema inchi ndogo
@Awatee
@Awatee 3 часа назад
Wee ata kumkashifu Mungu basi sie bado tunamuamini kwani weye nani alikwambia umuamini weye uamini sw usipo amini sw acha kumkashif Mungu ni mmoja tuu hakuna mwengine hujaambiwa umuabudu wala hana haraka na weye wala hahitaji chochote kutoka kwako kwani weye ni fukara tuu mbele yake ukifanya wema umejifanyia nafsi yak na uovu utalipwa tuu kwani Mungu haidhulumu nafsi za watu bali watu ndio wanaodhulumu nafsi zao na kwa Mola wako ndio marejeo
@raydanfrenk
@raydanfrenk 3 часа назад
​@@Awatee😅😅😅😅 dua zetu azina mashiko unavyo lia lia kila siku Israel ingekuwa imesha potea😅 but Mungu wenu ana mashiko ndy maana mnapigwa kila kona
@Awatee
@Awatee 3 часа назад
@@raydanfrenk Mwenyezi Mungu anatutosheleza na yeye ni mbora wa kutegemewa mwenye nguvu na hekima wala sina hesabu juu yako na hesabu yako iko kwa Mola wako
@Awatee
@Awatee 3 часа назад
@@raydanfrenk Ungelipewa Heshima na adabu sidhani ungelimkashifu alie kuumba na weye si chochote kwake ni maiti mtarajiwa ambae siku chache utakua chakula cha funza majivuno yatakuisha kitanda chako kitakua udongo na Mto wako udongo sehemu utakayo wekwa ni ndogo mno jee umejiandaa kukutana na Mola wako? Acha kiburi kijana jiulize kipi ulimfurahisha Mola wako na kipi kitakufanya uwepuke juu ya adhabu yako mche mola wak acha kiburi wewe si chochote dunia ingekua na thamani ata maji usingekunywa rudi kwa Mola wako acha kashfa bado hujachelewa hujui ata kesho utaimaliza
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 3 часа назад
kabisa hawaijui Iran . walishachelewa kuijua IRAN kwasasa inauwezo mkubwa Sana
@YehudabanYerushailēm
@YehudabanYerushailēm 3 часа назад
😂😂😂😂
@paulntalima6998
@paulntalima6998 3 часа назад
Aya msemaji wa Iran mda sio mrefu mtaanza kusema justice for IRan🤣🤣🤣
@emmadora7848
@emmadora7848 2 часа назад
Si kweli , huo uwezo unakuzwa sana Kwa matukio yaliyowapata hapa karibuni si kweli kabisa
@semkiwafredy-t9z
@semkiwafredy-t9z 2 часа назад
😀Wenye uwezo hawalii lii ni vitendo tu
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 2 часа назад
@@semkiwafredy-t9z kumbuka juzi alivyolia nchi yenu ya Ahadi 😂😂😂 mpk UN .
@PascalMwita-bv8kr
@PascalMwita-bv8kr 3 часа назад
Wakwanza ila irani ina inatafuta kisngizio iichape israel bila mtu kuingilia
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p 2 часа назад
Kijana unaota Israel inchi ndogo sana lakini akili walizo nazo wale wana usipime ndio maana mmarekani yuko karibu nae
@mudighurayra
@mudighurayra 2 часа назад
​@@MylaJoel-h2pkenge wewe ungekua unajua saiv Israel inavo lia uko wala usingekua unasema saiv nao kilasiku misiba or hua hamuoni
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 3 часа назад
Mtoto kautaka 😅 .Mlivyotuma makombora ya ballistic mlidhani Israeli itaufyata ???
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 часа назад
Huyu hategemei taifa lolote na majibu yake haya wezi chukua siku 4 mana yeye Ana uwezo mkubwa sana wa kujibu kuliko hao mashoga wenzio
@godfreyaugustino3813
@godfreyaugustino3813 2 часа назад
Anategemea urusi na hata mifumo ya s-400 ya kuzuia makombora kapewa na urusi. Hakuna nchi isiyo na washirika.​@@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 часа назад
@@peteremmanuelymatwimatwiem3258na urusi vip😂😂😂😂
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 часа назад
Ayatullah Sasha motto baba sambaratisha jina la israel
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 Час назад
Sheikh Ayyalltollah ILITAKIWA uigeuze majivu islaer
@aluthajoseph2841
@aluthajoseph2841 3 часа назад
Lakini Iran c ndo iliianza Israell
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 часа назад
Ndio
@markomapessa9536
@markomapessa9536 3 часа назад
Alionza kupua ubaloz ni Nan....
@OtienoOwuor-d5r
@OtienoOwuor-d5r 3 часа назад
Watajijua wenyewe wote ni wapumbavu tu
@DohaQatar-w4t
@DohaQatar-w4t 3 часа назад
Mpumbavu ww unaefuatilia hizi habar
@OtienoOwuor-d5r
@OtienoOwuor-d5r 3 часа назад
@@DohaQatar-w4t nakuona gaidi ya itikadi kali nenda kawasaidie ndigu zako si mnasema hii ni vita wa waisilamu
@YehudabanYerushailēm
@YehudabanYerushailēm 3 часа назад
Sasa yeye kataja iran wewe unatag yeye, we ndio Iran sio!!?
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p 2 часа назад
😂😂😂😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 часа назад
😂😂😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 часа назад
Wana sns jaribuni kuelewa iran hajapigwa ila imeshambuliwa tu mashambulizi hayakuingia ila kwa maneno ya khameney kamaanisha anataka kuipiga israil jaribuni kuelewa kenge nyie
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p 2 часа назад
Hahahahahahhahaah Israel will humble you guy's 😂😂😂😂😂wait and see
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 часа назад
@@MylaJoel-h2p hemu tuonesheni video ya iran alipo shambuliwa na israil alipo shambuliwa tuonesheni 🤣
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p 2 часа назад
@@salumabdallah2990 iran inaogozwa kibabe media za kigeni hata za ndani hawarusiwi kuonyesha
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 часа назад
mwenyekilemba ametulia usifanye mchezo vita ndege zimesafili zaidi ya kilometer 1900 lada za putini hazijaona lada za kiduku hazijaona nazimepita NCH 2 mpaka Iran na wamepiga ndege Moja kati ya 3 ililushwa na mwanamke kudadeki !!!!! kama unahasila usifatilie mambo haya wewe fatilia habari Simba na yanga vinginevyo utakonda 😂😂😂😂IDF mosad kitunyingine kabisa!!!!!!
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq Час назад
@@salumabdallah2990 na Mimi nakubali, wale askari wanne wali Jamba Kwa nguvu tu ndio wakafa🤣
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 часа назад
Japan ndio Iran inaniangushaga kweli 😒
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 часа назад
Irani sio iraki ya sadam Hussein
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Час назад
Kwa hiyo 😂😂😂😂
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Час назад
Piga wazayuni hao hawana lugha wanayoelewa ila kwa vita tu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 часа назад
Ninyi ndo mulianza kuipiga israeli sasa imekuwaje? Jamani ugomvi si mzuri
@FredCharles-u3z
@FredCharles-u3z 3 часа назад
Kunawatu walisema hii vita iran inatafutwa yako wapi Israel haina ubavu wa kupigan na iran iran ilisha toka kua wanyonge, kwanza kuishambulia tu Israel hata kwa dron inatakiwa ujipange kwa kipigo kikali lkn ona hat Israel inaona muajem yupo vizur sio wa kumkurupukia ndiyo maan utana Israel kabla haijaehambulia kwanz lzm imuulize marekani ndiy anatoa ruhusa Israel kam Israel haiwez kumvaa iran moj kwa moja
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 2 часа назад
Mzee imrandika saaana, SEMA utakuwa hujui nljinsi dunia inavyokwenda? Jiulize kwa Nini Urusi hatumii mabomu ya nuclear kuangamiza Ukraine? Israel aliambiwa apige kidogo na asipige kwenye viwanda vya mafuta na pia sehemu ambazo Zina viwanda vya nuclear vya Iran.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 53 минуты назад
​@@godfreydavid6847 Huyo Frerd anajua nini kuhusu dunia 😂😂
@BadMaradona
@BadMaradona Час назад
Wote mrio komment humu akili amna hata moja pumbavu zenu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 49 минут назад
Wewe ndiyo pumbafu maana umekomenti😂😂😂😂
@mwakilamwaki7308
@mwakilamwaki7308 3 часа назад
Si mmeanza wenyewe sasa unataka nini
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 часа назад
Munaanza kulalamika kesho maandamano zitaanza pia
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 2 часа назад
Sio kamenei. ( tamka khamenei. Hamenei
@raydanfrenk
@raydanfrenk Час назад
Hiyo aituusu maana aliye mzaa ndy anamjua zaid
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 Час назад
@@raydanfrenk utabakia hivyo hivyo . Kwakutegemea vichwa vya watu.
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 часа назад
Waeleweshe nyinyi ni nani naona wanajaribu jaribu hao mbwa
Далее
🎙А НЕ СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🕺🏼
3:06:10