Тёмный

Israel yaonywa kuhusu Tishio la Mauaji kwa Maafisa wake wa Juu wa Usalama toka kwa Iran 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@angelsulle7177
@angelsulle7177 25 дней назад
Israeli hawaombi msaada wa kivita lakini mataifa makubwa yanajituma kusaidia na kila korna ya Dunia huombewa Hii Nguvu ya Mwenyezi Mungu inafanya kazi ❤❤❤
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 25 дней назад
Wee taira wa mwisho
@hamadikombo1492
@hamadikombo1492 25 дней назад
Unafatiliaga VYOMBO VYA HABARI?
@adamhashim3352
@adamhashim3352 25 дней назад
Ndo Umeongea nn sasa
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 25 дней назад
Waarabu weusi watakupinga Ila ndio ukweli
@Del_busi5
@Del_busi5 25 дней назад
Wewe nikajinga kweli 😅😅😅😅😅
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 25 дней назад
😂😂ANACHOKOZA VITA KWAKUWATEGEMEA WAMARECANI NA UINGEREZA😂😂😂
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 25 дней назад
Hao ni wale wale ndugu kama hujui Tena wata tua saudia Arabia kupiga Iran , tuendelee kufuatilia😂😂😂
@charlescosmas6730
@charlescosmas6730 25 дней назад
HAPANA, Israeli hategemei mtu, hao uliowataja WANAJIPENDEKEZA(kasome Biblia MWANZO sura 14, uone jinsi FAMILIA MOJA ya Muisraeli inafanya VITA na Wafalme wa NCHI NNE tofauti na kuwashinda)
@kingcole60
@kingcole60 25 дней назад
Kuongea tu vitendo aaah, hao Iran wenyee hawataki vita ndo maana wanatishia tu mambo yasije kuwa kama Gaza
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 23 дня назад
MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 25 дней назад
Izilaer last born wa inch zote zenye power ulaya Sasa ww mchokoze/akuchokoze usijaribu kufanya ujinga 😊 maana hata akikushindwa wata kutwanga kaka zake na ndio faida ya kuzaliwa wa mwisho kwenye familia ya watu wenye power🙏🙏
@charlescosmas6730
@charlescosmas6730 25 дней назад
UMEGEUZA mpangilio KIDOGO hapo...Israeli ni FIRST BORN(mzaliwa wa kwanza wa hao wote-ISRAELI ndiyo Taifa KONGWE zaidi kuliko USA, UK, Germany, e.t.c(achana na zile "hadithi" za mwaka 1948). Sasa, KANUNI iko hivi, ukiwa MKUBWA na akajitokeza anayekukosea adabu; unaweza kumuadhibu wewe mwenyewe au ukatuma Mdogo mmoja kumuadhibu...na wakati mwingine SI KUTUMA persay, bali MDOGO akiona KAKA yake anakosewa adabu, basi huchukua hatua yeye mwenyewe(ili kulinda HESHIMA ya KAKA)
@AzizaSaidBoniface
@AzizaSaidBoniface 25 дней назад
Niwakumbushe wadau, vitu sio kitu cha kushabikia au kuibariki kwa namna yeyote. Tuziombee hizo nchi zote zifikie muafaka wa kiutu.
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 25 дней назад
YAANI NYIE WAISRAEL MKIUWA WAPALESTINA NA WARABU SIO TATIZO, NYIE MUKIULIWA MTU WENU MMOJA TU ULIMWENGU WOTE UNAPIGA KELELE NA MNAUWA WATU KAMA MNAUWA INZI ,,IKO SIKU MUTAPATA ADHABU KUBWA KWA MWENYEZI MUNGU ,,HAPO SASA MUNAPIGA PROPAGANDA ILI MPATE KIKI MUDNDELEE KUFANYA MAUWAJI
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 25 дней назад
@@user-eo4bl3do8k Hao ni Taifa la Mungu wa kweli, mungu wenu hawahusu. Dhama ya m Israel 1 wa kawaida asiye askari ni = watu weni kama 10 hivi!
@KhamisiHilali
@KhamisiHilali 25 дней назад
HAKUNA TAIFA LISILO KUWA LA MUNGU DUNIA YOTE YA MUNGU NAWE UNAESEMA ISRAEL TAIFA LA MUNGU UNAJUWA KUWA ISRAELI HAKUNA MKIRISTO WALA MUISLAMU NA UNAJUWA SABABU GANI YESU ALISULUBIWA MSIFATE MKUMBO KUSEMA TAIFA LA MUNGU HUYO YESU ALIKWAMBIA KAMA KARIZIA MAUWAJI ACHENI CHUKI NA WAISLAMU KWANZA HAYO MAKUNDI YA KIGAIDI YOTE NI NJAMA TU KUUWA WAISLAMU ILA IPO SIKU TUKIWA SOTE TUSHAONDOKA DUNIA MUTAPATA DAWA YENU WAUWAJI WAKUBWA NYIE WAISRAILI NA WOTE WANAMUUNGA MKONO, WATOTO KIBAO WANAULIWA HAWANA HATIA ETI TAIFA LA MUNGU, WAKATI HUYO MUNGU ALIKUWA TUMBONI PANDE LA DAMU AU AKIWA BADO MCHANGA DUNIA AKIYENDESHAJE
@msamgunda7684
@msamgunda7684 25 дней назад
Duuh.mungu wako anapenda maovu sanaaa.hongereni kwa kuwa na mungu asie muadilifu.​@@RoseMayige-gn9qb
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 25 дней назад
😏​@@RoseMayige-gn9qb
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 25 дней назад
Iran jifanye mjinga kunusu Taifa lako na kama usiposikia utakuwa kama Libya na iraqi
@charlescosmas6730
@charlescosmas6730 25 дней назад
Tena AFADHALI ya Libya na Iraq...vita ijayo Iran na Kaka yake Russia zitaharibiwa kiasi kwamba hata ukivaa MIWANI bado hutaona kwamba hizo "nchi" zilikaa sehemu gani hapa duniani
@MahmoudDouchi
@MahmoudDouchi 24 дня назад
​@@charlescosmas6730endelea kulishwa pumba tu ivyo ivyo.
@user-ng7fi7nl2r
@user-ng7fi7nl2r 25 дней назад
Uwa nasema israel aiwezi yenyewe tu kupigana na iran
@kouswayisaidahamada9979
@kouswayisaidahamada9979 25 дней назад
Wanaogopa hhhhhhh Iran nimwanaume
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY 25 дней назад
Kumbe Israel pekeake hawezi vita
@MikelSitoe
@MikelSitoe 25 дней назад
Israel haibu yani yeye siku zote ku kimbilia misada😂😂😂😂😂😂
@user-cv7um8lv9l
@user-cv7um8lv9l 25 дней назад
kisasi ni haki
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 25 дней назад
Imuongo WWE israili imeenda kuonba msaad kwanza ndiyo kajauwa Ismaili haniyah
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 25 дней назад
Sio wanaweza Naskia taratibu zisha anza Mda wa bbc jion unakarbia sjui kama watatoa hyo hbar
@GabrielSky64
@GabrielSky64 25 дней назад
Kwan walio toa hii nani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 25 дней назад
@@GabrielSky64 vyombo vingne vya hbar ila sio bbc
@aftapat5365
@aftapat5365 25 дней назад
@@AFRICA_D669 bbc ni wapumbafu wapo upande wa islael
@bishweko
@bishweko 24 дня назад
Wameona kimya kingi wakaanza kujiongeza 😂😂😂😂
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 25 дней назад
Kumbe peke yao hawawezi mpaka msaada wa washirika
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 25 дней назад
Ndyo nafuu wao wanao wakuwasaidia wehujui kwamba umoja ni nguvu,japo umoja wao ni waku wauwa tuu maasimu wao Sasa hapo Iran atachomokaje akiwekwa mtu kati una shangaa tuu America katua tuu vifaa Saudi Arabia nakulipua Iran na Syria 😂😂😂😂😂
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 25 дней назад
​@@themoredwamichano8636kafirwe na Israel na Marekani Shogaaaaa jeusiiiiii hilooo
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 25 дней назад
Israel Bana wao wenyewe kupingana Aaah 😂😂😂😂😂😂tunatengemea ufarasa Putin hajakosea kusema ma bwana zao
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 25 дней назад
Mtaongea yote ila Mungu yuko pamoja na Israel, hamshangai tu kuona taifa dogo ila limeshindikana?
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 25 дней назад
Kwani hao Syria, Hesiborah , Lebanon Iran sii wote Wana mpiga Israel acha kujichomoa Akili 😂😂😂😂
@user-vn6vx1qk5i
@user-vn6vx1qk5i 25 дней назад
​@@RoseMayige-gn9qb Limeshindikana na nani? Hamas tu wameshindwa kupigana nao wamebaki kuuwa watoto tu ndio kushindikana kwao huko
@emmadora7848
@emmadora7848 25 дней назад
Mtasingizia sana watoto na wanawake ,kiburi Cha uzima kinawaponza wanaumia sana , kwani hao wanawake na watoto wanapouawa wanaume wanakuaga wapi ? Au hakuna wanaume huko?​@@user-vn6vx1qk5i
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 24 дня назад
@@user-vn6vx1qk5i Baki hivyo hivyo...
@BoazMwikamba
@BoazMwikamba 25 дней назад
Shin bet Israeli FBI
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 25 дней назад
Mashoga had wapate saport
@raymrash
@raymrash 25 дней назад
Kwani Hamasi hapati sapoti!?? Israel inapigana na Hamas, Hezbollah, Iran, Syria, Houthis na Vikosi baadhi vya Iraq. Unataka asipewe sapoti!?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 25 дней назад
Putin anapata msaada Cuba, Korea kwa kiduku na Vietnam.. mshamba wew nani anapigana vita pasipokusapotiwa?? Garama za vita unazijua au roporopo tu😅😅
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 25 дней назад
Mnajihami kwakuwa mnajijua Tulieni Dawa iwaingie
@CantonaKunona
@CantonaKunona 25 дней назад
Mungu awalindee viongoz wa israel
@MikelSitoe
@MikelSitoe 25 дней назад
Mungu alinde vibaka😂😂😂😂
@MikelSitoe
@MikelSitoe 25 дней назад
Mashoga😂😂😂😂
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 25 дней назад
Ww si unasupport mashoga
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 25 дней назад
😂😂😂😂😂Makubwa
@mmakojunior9494
@mmakojunior9494 25 дней назад
Wewe kum​@@MikelSitoe
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 25 дней назад
Mpaka mseme. Mmeanza subirini watu wamalize
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 25 дней назад
Ndiye huyo aneombamsaada anamuogopa Iran sanaa tuu naafamya kuichokoza Irani Kwa. Misaada WA marekani na uwengereza na mfanssa
@Mumewangu
@Mumewangu 25 дней назад
Israil bila ya msaada wa magaribi hamuwezi iran
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 25 дней назад
Lazma Israeli itandikwe maana Awana adabu
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 25 дней назад
Endelea kuwaza ujinga wako😂😂😂💔
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 25 дней назад
Mpumbavu wewe na wasraeli wote Wajinga
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 25 дней назад
Wapumbavu waisrael safari hii mutasafisha vyoo vya waafrika
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 25 дней назад
Wapigwe tu mayahud sio kwa advatize ya video ya stock ya silaha za hezbullah (Imad 2) nilioiona leo... hawa jamaa wanawashia Israel moto daily na bado hawajalipiza kisasi cha kamanda wao Fuad Shukri
@doubletapkama3901
@doubletapkama3901 25 дней назад
Israel ogopa sio taifa la kuchezea
@user-rz1bj1yj3z
@user-rz1bj1yj3z 25 дней назад
Yaani tatizo Lebanon na hzbr wanaongea tu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 25 дней назад
Israel anadeka ngoja apigwe na kitu cha moto.
@ProsperSantos
@ProsperSantos 25 дней назад
Nimejalibu kumpigia simu kasema kesho atapanda ndege aina ya baiskeli huko nchini Zambia mpakani na Kenya huko Uganda na atafika hapa tanzania katika mji wa Burundi Ili akamilishe show yake itayo fanyika Ethiopia mtaa wa buza Kijiji Cha Nigeria na tayari hivi Sasa kasha Fanya maandalizi yake ya mashindano ya piki na anauhakika atakua mshindi wa kwanza katika mashindano hayo ya liaza aina ya kuselebuka
@asslammachano1483
@asslammachano1483 25 дней назад
Ukichunguza kwa kina utagundua Israel anaongoz kuomb misaada zaid ya Africa.
@Awatee
@Awatee 25 дней назад
😂😂😂😂
@emmadora7848
@emmadora7848 25 дней назад
Akili za kuazima ni mbaya sana 😂😂😂😂
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 25 дней назад
​@@emmadora7848we waache waongee tu Israel inafanya vitendo😂😂😂
@emmadora7848
@emmadora7848 25 дней назад
@@georgekimasaofficial1629 ujue wanaongozwa sana na chuki za kijinga 😂😂
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 25 дней назад
​@@georgekimasaofficial1629Israel inafanya vitendo vya kuwafira nyie Mashoga Weusi Tanzania mbwaaaa koko nyie mnafirina wenyewe kwa wenyewe tena mbele ya Padri kanisani mbwaaaa nyie
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t 25 дней назад
Israel ni mtoto pendwa wa dunia yote ata wakiguzwa ata sisi genz wakenya tunaingia mtaani
@saidharbinie-dl4dd
@saidharbinie-dl4dd 25 дней назад
Wakenya mmetawaliwa n waingereza miaka yte hyo na bdo hamjaridhika mmehamia Israel 😂
@aliijumanne8293
@aliijumanne8293 25 дней назад
Oya ingia mtaani peke yako😅😅😅
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 25 дней назад
nimewaambia siku zote anayetafutwa kupigwa ni Iran nyie hamkuamini vita ya Gaza ni njia ya kumuangamiza Iran sasa ole wake ajichanganye kuishambulia Israel huo ndio utakuwa mwisho wa nguvu zake ni ajifanye mjinga.
@salafiykenya9870
@salafiykenya9870 25 дней назад
Israel na iran hawawezi pigana … ni chama kimoja … wakipigani mniite mbwa nimekaa pale …
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 25 дней назад
Chama kimoja kivipi ndugu funguka nasii tujue
@salafiykenya9870
@salafiykenya9870 25 дней назад
@@themoredwamichano8636 hawa wote wanaitika register kwa marekani … ni watoto wa marekani
@msamgunda7684
@msamgunda7684 25 дней назад
​@@themoredwamichano8636shia ni tawi la kiyahudi( shia ni dhehebu lililoanzishwa na wayahud)
@emmadora7848
@emmadora7848 25 дней назад
​@@msamgunda7684😂😂😂😂😂😂
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 25 дней назад
@@msamgunda7684 tupe maelezo
@issazalala4907
@issazalala4907 25 дней назад
Sijui wana pata faida gani watu wanavyo kufa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 25 дней назад
😂Iran bana Kila siku vitisho
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 25 дней назад
Wearabu hawachoki kutandikwa
@hameedm8361
@hameedm8361 25 дней назад
Iran ni persia sio waarabu...rudi shule mshamba wewe
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 25 дней назад
@@hameedm8361 wote sawa tu wajaa laana
@raydanfrenk
@raydanfrenk 25 дней назад
Warabu awachoki kichapo 😂😂😂 subili mtaona mtapigwa mpka mjampe
@KatemboJeremica
@KatemboJeremica 25 дней назад
wewe unavyo ongea tu ni shoga kabisa ju mauaji wana ifanya uko Palestine aitoshi sasa kupigwa na Iran ni lazima hata waji unge na ufaransa wingerenza acheni maneno muji tegemeee nyinyi mashoga nyote muta uliwa muda wenu uko ukingoni
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 25 дней назад
Mda
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 25 дней назад
Hao Iran wanaimba taarabu siku zote,wanafikiri ulinzi wa Israel na sawa na suma jkt,sasa mnaowaita mashoga Ndio wanaowapakata kila siku,kuwa tuwaite nyie mashoga plus
@emmadora7848
@emmadora7848 25 дней назад
Halafu mtu mwenye uwezo wa kukupiga hasemi sana ,anachofanya ni kukupiga tu kama Israel inavyofanya
@Barakaclassic
@Barakaclassic 25 дней назад
​@@vincentcharles4385😂😂😂
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 25 дней назад
Mipango yenu mnaiweka wazi wenyewee....Mungu wa Israel 🇮🇱 lazima aweke wazi mipango ya adui zake tena kwa kuisema wao wenyewe! Mungu endelea kuthibitisha agano lako na Taifa lako.
@salafiykenya9870
@salafiykenya9870 25 дней назад
Mungu gani hao hao israel waliua mitume wenu wote … usiwe mjinga wa imani …
@hudson2005
@hudson2005 25 дней назад
@@salafiykenya9870wewe ndouache ujinga, kwani kaka yako akiua babaako itaondoa uhalisia wa yeye kua kaka yako ? Tumia akili kwakutengeneza hoja
@salafiykenya9870
@salafiykenya9870 25 дней назад
@@hudson2005 hahaha alafu wasema wawapenda mitume zenu … ni mtume gani alisalimika kwao … so wafikiria utasalimika nao … enda uwatajie yesu alafu utanipa majibu
@hudson2005
@hudson2005 25 дней назад
@@salafiykenya9870 swali linarudi pale pale je utakana ndugu zako sababu ya mmoja wenu amewakana? Hatujasema kwamba wote wanamkubali Yesu, ila wapo baadhi. Uasi haukuanzia hapa duniani bali Mbinguni. Pia simaanishi yakwamba naunga mkono maovu ya wana wa Israeli.
@salafiykenya9870
@salafiykenya9870 25 дней назад
@@hudson2005 undugu wa damu haukatiki ndio maana sijaona swali lako … kaka hawa watu hawapendi waisilamu wala wakristo kilicho ni udhi ni dadangu ku nasibisha vita yao na dini … wacha nikupe fact hakuna siku iran watakuja kuwapiga wa israel moja kwa moja hilo halitokei pili hii vita yote ilikua njama ya israel iliwapate sababu ya kuichukua gaza …mimi sitetei hamas wala israel natetea wale watu wa Gaza na palestine kwa jumla
Далее
Dropping In from the Clouds 🌁
00:17
Просмотров 1,8 млн