Тёмный

ISRAEL YAUA MAKAMANDA WENGINE WATATU WA HEZBOLLAH 

Uhai Online Tv
Подписаться 332 тыс.
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 5 дней назад
Wataisha.muirani anawadanganya sanà Hawa jamaaa....
@Giovanni-f8n
@Giovanni-f8n 5 дней назад
Waislam mnajifanya mnayajuwa ona kinacho wakuta kila dakika kika sekunde
@ThomasKeya-z1p
@ThomasKeya-z1p 5 дней назад
Kuna wasaliti ndani yao
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 5 дней назад
Ewe munguuuu Baba àtuondolee ushetani ulioinuka duniani ndiyo vianzo kukosa hakiii tusaidie amani upendo tuachane kuwana hivyo
@JohnKaliagi
@JohnKaliagi 5 дней назад
Yeye ataki kufa shahidi mbona anakimbia pepo
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 6 дней назад
Wapigwe2 hao magaidi
@HeboniBabu
@HeboniBabu 5 дней назад
Wewe Kama utalinda Dunia sawa
@hamadhamoud4361
@hamadhamoud4361 5 дней назад
Israel mbona wao wakipigwa wanasema hakuna aliye kufa wao huwa wanajeruhiwa tu au wanamiili ya chuma sasa kama ni miili yao chuma si waende tu wakawakamate au ndo vyombo vya habari mnalishwa matango pori kulazimishwa kuongea uongo😊
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 5 дней назад
Hezbollah si waongee kuwa wame ua wa Israel wangap mbona Israel Huwa anaua na anasema kuwa nimeua kadhaa
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 5 дней назад
Mbona wanatangaza mkuu wanajeshi wao waliokufa Lebanon walitangaza mpaka sasa Israel imepoteza askar kumi na nane nao wanakufa 😂😂😂😂😂
@Giovanni-f8n
@Giovanni-f8n 5 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JohariMwanda
@JohariMwanda 5 дней назад
Hata wewe unaweza kujaribu kuwakamata kama unaona wanahabari wanakuongopea
@JacobernestMlula
@JacobernestMlula 6 дней назад
Hatari wanisalimishe tu jamani
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 5 дней назад
Anatoroka Tena......abaki kama sinwar
@didaslunkoto
@didaslunkoto 5 дней назад
Baba wa mbinguni tunaomba ulilinde taifa lako teule ulilolivusha bahar ya shamu
@HeboniBabu
@HeboniBabu 5 дней назад
Kuna baba yako wa mbinguni amakweli ukiona nzii wanakufuata kichwani basi ujuwe akilimavi
@IssacNtacho
@IssacNtacho 5 дней назад
Ameeeni
@panadomadola3064
@panadomadola3064 5 дней назад
Bado hawajakimbia Israel itawafuata huko huko walikokimbilia,Israel ni moto wakuotea mbali 🎉🎉🎉
@HeboniBabu
@HeboniBabu 5 дней назад
tatizo nini ukiona nzii wanakufuata kichwani basi ujuwe akili mavii
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 5 дней назад
Uwongo propaganda za magharibi kwanini wanaouliwa israel hawatangazi?wakiuliwa 50 wanasema wanne
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv 5 дней назад
Kwani wao waliowauwa siwatangaze si wana viombo vyao waisraeli wanalinda watu wao sio hawa nyumbu wanakurupuka tu
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 5 дней назад
@@apostlemussaonlinetv hawanauwezo wakuwalinda ingekua hawafi
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 дней назад
Naon kila siku wanasem wamepig sehem zeny silaha za Hezbollah na baadae anashambuliwa na hao hao Hezbollah, jan tu kataka kuuliwa na drones kakosw nyahu, ss hizo silaha wanatoa wapi Hezbollah ikiw kila sik anasem anashambulia sehem zeny silaha huy zionist muongo san kazi yake kuuwa raia wasio na hatia sio wanajeshi
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 5 дней назад
Hiyo drone waliiona Ila wakaiacha.
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 дней назад
@@FaustineRichard-kk5xt wakaiwach afe kiongoz wao au?
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 5 дней назад
@@hemedjackson2261 kwani alikufa? Hapo hezibora na irani wanazubaishwa, pia ujue kwamba hata mtoto alipigana na wewe atarusha kakofi kwahiyo irani, hamasi hezibora wote ni Kama mbuzi ilazimishe kupigana na simba.
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 5 дней назад
@@hemedjackson2261 irani ni kondoo anaye pambana na simba, Danieli 8:20 Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi. Israeli ni simba. Mwanzo 49:9 Yuda (wayahudi) ni mwana-simba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakaye mwamsha? Usicheze na simba wewe, huyo kondoo atatafunwa mapema to, Subiri Utaona.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 5 дней назад
​@@FaustineRichard-kk5xt umeambiwa na nani hayo maneno
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 5 дней назад
Mwirani amekaa zake kimia kwao, anachochea tu kwa maneno, wenzao wanakufa kama kuku wa kideri
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 5 дней назад
Nchi Haina wazeee wenye busara wote wanawapa mtu wa bunduki
@Isack-b9k
@Isack-b9k 5 дней назад
Lebanon palestine ni colony la iran kwa mgongo wa din
@florencemeza6540
@florencemeza6540 5 дней назад
Kabisaaa
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 5 дней назад
Kule kwa waziri mkuu hukutangaza.
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 6 дней назад
Wapigwe2 hao magaidi
@HeboniBabu
@HeboniBabu 5 дней назад
gaidi Ni Yule aliye mtundika mungu wako msalabani mungu aliye kufa Dunia sijuwi aliyemwachia Nani mungu tunaye kwenda naye chooni
Далее
Hofu ya Vita yatanda Mashariki ya Kati
30:01
Просмотров 88 тыс.
HATARI!! ISRAEL YASHAMBULIA MAENEO NYETI YA IRAN
9:02
Просмотров 2,2 тыс.