Тёмный
No video :(

ISSA TAMBUU, BOSS WA DOTTO MAGARI ,BIL 4 HATA JET USED HUPATI ,TUMEPIGWA 

BONGO 24
Подписаться 114 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

#bongo24 #dottomagari #diamondplutnumz

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo 10 месяцев назад
Broo ISSA unanidhamu kubwa sana ndo maana upo ulipo napenda Sana nidhamu Yako nimfano wa kuigwa mungu akubariki sana kaka issa
@abdulazizamani8103
@abdulazizamani8103 10 месяцев назад
Hekima na Busara ni moja ya utajiri # Issa❤
@shabanpongwe9905
@shabanpongwe9905 10 месяцев назад
Jamaa very smart,na chengine ni mtu wa imani thabiti ndio maana ana hekima
@user-em1tb7tb8s
@user-em1tb7tb8s 10 месяцев назад
PRICE JET USED gulfstream G700 - $75 million. Bombardier Global 7500 - $73 million. Gulfstream G650ER $71.5 million. Bombardier Global 8000 - $66 million. Embraer Linage 1000e - $53 million. Bombardier Global Express $47.7 million. Gulfstream G500 - $44 million. Gulfstream IV - $38 million.
@suleimanmajani6187
@suleimanmajani6187 10 месяцев назад
😮kaka. Issa. Umetisha. Sana❤❤❤
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 10 месяцев назад
ndo maana unamafanikio kijana unajua kujibu vizuri huna roho mbaya namtu
@mankakimaro6411
@mankakimaro6411 10 месяцев назад
Uyu jamaa ni mstarabu san🤝
@hemedmganga8536
@hemedmganga8536 10 месяцев назад
Kutoka kuwa fundi sofa pale keko Adi kuwa mshua, kweli maisha c ya kuyakatia tamaa
@omarymohammed2880
@omarymohammed2880 9 месяцев назад
Wakati wa mungu ni sahihi
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 8 месяцев назад
Sna hela Kwa Sasa lakin ntajichanga tu ISSA Tambuu ntakuja kk una kaul nzur, Unaonekana una utu kk ndo maana Mwenyez Mungu kakubarik
@bonabonala5559
@bonabonala5559 10 месяцев назад
issa tambu bos mkubwa kuriko mond mguu wa mmbuu ugoko wa mbuu
@FestoReonadi-kq8kp
@FestoReonadi-kq8kp 10 месяцев назад
Uko vzr broo nimekukubari tofauti na doto shoga yure
@hamisisalim8076
@hamisisalim8076 10 месяцев назад
Mm nikija Tanzania nitafanya nimuone Isaa na Dotto. Japo lunch pamoja
@wizkhalifa940
@wizkhalifa940 9 месяцев назад
Karibu upo nnch gan kwan
@user-ty8hu5gh4h
@user-ty8hu5gh4h 10 месяцев назад
Kabisa b4 n ndogo sana
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 10 месяцев назад
Dotto kishatishwa huko jamaa kaja kumuwekea sawa. 😂😂😂😂😂😂😂
@shamimageta6651
@shamimageta6651 10 месяцев назад
jamaa mshiua sana
@alidyaya4512
@alidyaya4512 10 месяцев назад
Sasa mbona kichwa cha habar na alicho ongea mwamba tofauti acheni usenge mnachafua watu
@allykalumba3414
@allykalumba3414 10 месяцев назад
Tambur ..
@AbuuFarhaan-ri2yj
@AbuuFarhaan-ri2yj 10 месяцев назад
Wanampwingaa🤗
@mazagazagaonlinetv9775
@mazagazagaonlinetv9775 10 месяцев назад
Kwaiyo awo jamaa wameshindwa kufanya kz wamebaki kuwa wambeha tu
@user-em1tb7tb8s
@user-em1tb7tb8s 10 месяцев назад
DIFFERENCE BETWEEN FULL ON-DEMAND AND MEMBER PRICES FOR A PRIVATE JET CHARTER Price On Demand Member Operator Price $60,000 $60,000* Broker Fee $7,500 Waived Admin Fee Inclusive $100 Incidentals billed post flight billed post flight Total $67,500* $60,100* * Prices shown are for illustrative purposes only. Each flight is calculated individually and may differ. In average, members pay less for their charter flights.
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 10 месяцев назад
Mwenye pesa hana pupa hii intervew ingelikua ni doto bc pangeliwaka moto kwa haya maswali
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 10 месяцев назад
Inatosha mwamba busara inetawala kichwan mwako.
@AlbertWilbert-uy8qz
@AlbertWilbert-uy8qz 10 месяцев назад
Imeenda iyoooo
@yusuphmsangi7191
@yusuphmsangi7191 10 месяцев назад
Tatizo Wengi Wanakurupuka Hawakumuelewa Mshkaji,,Alisema B 4 Akimaanisha Pesa Aliyoituma Kama kishika uchumba Au advance Watu Walipiga,,Ukitaka Kununua Ndege Sehemu Lazima utume advance jamani
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 10 месяцев назад
nini tatzo mbona unanuna
@chizcom4229
@chizcom4229 10 месяцев назад
Ndege sio bidhaa inapatikana ovyo
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 10 месяцев назад
Hata wewe hukumsikiliza alisema alilipa mwezi wa saba na ndege ilikuwa ije mwezi wa nane . Hata mkokoteni kutoka nje hauji haraka hivyo. Mondi ana uongo flani hivi hauna hata kifuniko .mxiew🙄
@saibabatz_
@saibabatz_ 10 месяцев назад
Safi sana sana sana simba ni simba2
@silvergold5855
@silvergold5855 9 месяцев назад
😂😂 ushabiki huu
@gastonfuraha
@gastonfuraha 10 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 8 месяцев назад
Uyu mwandishi hatanyimwa interview na artists wengine
@Siasa-k7v
@Siasa-k7v 9 месяцев назад
Lakini sio kwa ubaya,jirani zetu wambea ni wengi 😂😂
@saidsalum6101
@saidsalum6101 9 месяцев назад
Lakini rabda hajaelewana vizuli kasema diamond kapoteza bilion nne siyo kanunua ndege kwa bilion nne
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 10 месяцев назад
Bro ungeonyesha biashara yako watu waone na bei na aina ya magari yaliyopo hapo du
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 месяцев назад
Aliwambia ni gharama yake hiyo
@victorkumenyafilms716
@victorkumenyafilms716 10 месяцев назад
Wanaume mmekaa hapo mnamzungumzia mwanaume mwenzenu ambaye hawazungumzi
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 10 месяцев назад
Yaaani aibu
@user-tu5yz3ii6f
@user-tu5yz3ii6f 10 месяцев назад
ila uyu mwandishi ahache ushoga sasa aaaah nimbea , bro tafta mada za kibabe ,afu sipendi mnavyomwongelea mondi vibaya bro
@geeva99
@geeva99 10 месяцев назад
Mbona nahisi kama dotto magari kaonywa backstage 😂😂
@bongo24.
@bongo24. 10 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 10 месяцев назад
@@bongo24.kweli kaambia nyuma ya pazia ❤
@SimonPendo-go6ie
@SimonPendo-go6ie 10 месяцев назад
Hv mi niulize kwanini kutwa nzima himekuwa ndege ya daimond Kila why msije na habari zingine ambazo mtaani zipo jamn why Kila cku ndege jamn isitoshe mtu kasema Kila kitu serekali inajua na hipo hinalifanyia kazi why sisi tuanze kupinga jmn kaaa
@allyadam9796
@allyadam9796 10 месяцев назад
Hii media ebu kuweni wabunifu kila siku mnamuongelea mwanaume ache hizo mambo
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 10 месяцев назад
kumbe nawewe fala ulisha skia ndege Inauzwa bilioni nne au unazungumza kitu usicho kijua fala wewe kaulize bei ya ndege kwanza
@mtani_tv
@mtani_tv 10 месяцев назад
Ivi umeelewa unjbu kma mwehu
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 10 месяцев назад
Tatazo lako ww unakaza fuvu ujambiwa ndege billion 4 bar katapeliwa hiyo ela au ujuh Kam Kuna advance
@pacifiquemuzo7446
@pacifiquemuzo7446 10 месяцев назад
Ndugu mtangazaji hatanawewe unanikoshaga kwa utangazaji wako
@bongo24.
@bongo24. 10 месяцев назад
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙈🙈🙈🙏🙏🙏
@devgodfrey
@devgodfrey 10 месяцев назад
Bongo 24 kila siku mada imekua hio tu piteni kule
@bongo24.
@bongo24. 10 месяцев назад
🤣🤣🤣
@masumbukomoussa977
@masumbukomoussa977 10 месяцев назад
@@bongo24. una anika meno juu kwa kila siku ujinga tuu
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 10 месяцев назад
Kaambiwa hakikisha humtaji Harmonize huko na kila kitu umsifie Diamond. Kutja wasanii wanafika 10 Harmonize hujamtaja wakati umesema wasanii wote unawakubali . Hapo umekuja kumsafisha Doto mshatishwa Hamna hata confidence maskin
@arnoldyndossy3082
@arnoldyndossy3082 10 месяцев назад
Vp naomb namba ya issa tambuu
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 10 месяцев назад
Kwamonekano wako hueziii zungumzia mond.
@hamisisalim8076
@hamisisalim8076 10 месяцев назад
Mm nikija Tanzania nitafanya nimuone Isaa na Dotto. Japo lunch pamoja
Далее
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 4,5 тыс.