Тёмный

Itakushangaza: Yustar Mgaya Atoa Ushahidi Ugomvi wa Kajala na Harmonize, Sikutaka Kutoa Siri Hii I.. 

Tiki Tv
Подписаться 420 тыс.
Просмотров 197 тыс.
50% 1

Itakushangaza: Yustar Mgaya Atoa Ushahidi Ugomvi wa Kajala na Harmonize, Sikutaka Kutoa Siri Hii I..
.
.
.
.
.
.
.
.#itakushangaza #yustarmgaya #atoaushahidi
#huuhapaushahidi #harmonize #kajala #harmonizevskajala #tikitvkiakilizaidi

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 338   
@swahiliqueen9920
@swahiliqueen9920 Год назад
Wow ❤❤❤❤ Tiki Tv mmejua kunikosha maana nilikuwa nasubiri sana kuona mahojiano ya huyu dada moyo wangu utulie mwenzenu mambo ni moto
@akilimalindevu520
@akilimalindevu520 Год назад
Unaongea point Hadi tumekusanyika hapa watano tunakutazama sauti kubwa tumeconnect na mziki wa bajaji
@FauOmiy-bm1yn
@FauOmiy-bm1yn Год назад
Malipo duniani , kamata dinu tudani , km kajala alivyo mtenda wema
@kavyashortsleon
@kavyashortsleon Год назад
Huyu dada nampenda sanaaa hapindishagi mambo 🎉🎉🎉
@kalistamtanzania7220
@kalistamtanzania7220 Год назад
Umeona eeeh Yani ananyoosha kisawaaawa
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 11 месяцев назад
Ni kweli kabisa, nkikumbuka Mr pimbi akiongea kuhusu kuachana kwa kajala na Hamoo nkaa Wana tundanganya
@aminarashid-yf4sf
@aminarashid-yf4sf Год назад
Wewe dada ni mwehu kipindi chote kajala anamuaibisha harmo kwenye reality shoo kwanin hukumuonya kajala ??? sasaiv harmo kalewa anamwaga mambo ndio wajitokeza ili kumkingia kifua kajala???kweli mwalimu wa wanawake ni kipofu,,,muache harmo nae atoe ya moyoni ili roho yake isafishike na awe na maisha marefu
@furahachuma9039
@furahachuma9039 Год назад
Kweli kabisa. Waanze kumuonya Kajala kwanza.
@maryammussa2835
@maryammussa2835 Год назад
Kaaibishwa Nini huyo hamor ACHA zako nawewe
@aminarashid-yf4sf
@aminarashid-yf4sf Год назад
@@maryammussa2835 naachaje zangu,,,Inamaana reality show za kajala huzioni akimsema harmo???na Ile Zima taa umeisahau pia??ungekuwa muelewa ungeelewa faida ya kuwa excited state,,,au yakutoa ya Moyon,,,unakuwa huru unakuwa mwepesi na kinyomgo kinatoka,,,jambo likipita lishapita kwa yule asieweka mambo rohon,,mwache harmo aseme asiumie ndan kwa ndan,,huu ni ufala wa wanaume wengi kukaa na mambo moyoni mwisho wa siku wajane wanakua wengi
@ghahahahanex8470
@ghahahahanex8470 Год назад
Fact
@EmilyJacobo-vl1mq
@EmilyJacobo-vl1mq Год назад
Jamani mm binafusi sipendi kuona harmonize na kajala kuachana jamani
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane Год назад
Acha niweke bando niangalie hii maana huyu Yustar hakurupukagi kuongea tu kila siku kila saa kama kina mwijaku na baba levo
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane Год назад
Huyu dada ni mtaji kwa Taifa ajengewe sanamu lake nmemkubali japo ni mwanmke mwenzangu na wanawake hatupendani ila huyu Nmempenda bureee
@OpMagu
@OpMagu Год назад
Sana na ni hazina kwa mume na watoto wake
@bonfacemuchiri1600
@bonfacemuchiri1600 Год назад
Lazima amtetete rafiki yake nani atamtetea boy child
@AdamFundikira-d7v
@AdamFundikira-d7v Год назад
​@@bonfacemuchiri1600Kama haujafiti kwenye bedroom sexy lazima mwanaume atoke nje na ndio maana hakuna mwanaume Malaya uwa tunabadirisha Radha ya mahabati
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Год назад
Wewe huyu dada napata shida kidogo kuna kauli kaitoa inanipa hofu na story yake! Anasema huyo dada alikuwa rafiki wa Kajala kwa hiyo Kajala alikuwa rafiki wa Yolo mmm tuanzie hapo
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb Год назад
Apewe ulinzi
@abunajash9995
@abunajash9995 Год назад
This lady is very brave,clever and a good adviser love her so much will most definitely follow her programme mapenzi na mahusiano,love from London ❤❤
@akilimalindevu520
@akilimalindevu520 Год назад
Wewe dada wewe love you
@kalistamtanzania7220
@kalistamtanzania7220 Год назад
Kumbe ndivyo ilivyokua Sasa nimeelewa kwa nn
@rachelnabarikiwasanananyim784
Nakupenda sana yusta wapatanishe tena unaakili sana nataman uwe ndugu yangu
@mesatagirassane4853
@mesatagirassane4853 Год назад
Sababu ni Kajala kumwita JESHI TEMBOOO Teacher HARMONIZE,,,,,Tshizi....
@furahachuma9039
@furahachuma9039 Год назад
Yani uwe na dharau tuendelee na mahusiano? Wewe uko upande wa kajala.
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Sio mtu wakuongea mbona kwenye lialit sho yao wanamuongelea konde
@AkiliNdefu
@AkiliNdefu Год назад
Dada kama hujaolewa nmekupenda bure
@kikiswahili
@kikiswahili Год назад
Watching from South Africa bondeni kwa madiba
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 Год назад
Ht km hamo ni mbaya lkn mbona hio reality show yao imemzungumzia hamo sana ya kumponda
@JacquelineChengula
@JacquelineChengula Год назад
Dada yusta nakupenda sana unaakili sana na upeo.lena umeongea point sana hao wanapendàna sana .nataman wakae chini wayamalize na kurudiana tena kupo tena wasiogope kurudiana sababu ya watu yena hawa wakioana watadumu sana .na watawafunga midomo wambea wote wanaowachonganisha.dada yusta weka tena nguvu zako kwenye maombi
@daylight1707
@daylight1707 Год назад
Na wewe yusta mwambie kajala aache kumuongelea harmo kwenye kile kapindi chake kichoruka kila jumatano hicho kapindi ndo kimeleta hayo yote
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 Год назад
Dada nimekuelewa sana ila ulichokosea ni kushindwa kumshauri rafiki yako toka mwanzo kumuongelea vibaya mwenzake ulikaa kimya kipindi chote wanamdhalilisha ndilo kosa lako
@marrymazengo1315
@marrymazengo1315 Год назад
Mbona kasema kwamba kajala nae kakosea kumsema harmo au hamjasikia
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 Год назад
@@marrymazengo1315 Hatukatai kasema k alikosea lakn kama rafiki wa kweli alitakiwa kumshauri kajala na mwanae toka walipoanza tu kumsema harmo kwenye kipindi chao cha kwanza yasingetokea haya maana kadri walivozidi kumsema vibaya ilizidi kuchochea hasira naye ni binadam kuwa mwanaume haimaniishi haumii
@olly7037
@olly7037 Год назад
Huyu mwanamke inaonekana anaweza kuwa anazungumza ukweli 100%. Very clear!
@kavyashortsleon
@kavyashortsleon Год назад
Big up Tiki Tv
@amangearge9594
@amangearge9594 Год назад
Dada unaakili kubwa sana ninachopendaga sana kwako niukweli wako juu ya mambo kongole kwa hilo
@JanethMkilangamili
@JanethMkilangamili Год назад
Ww Dada
@AkiliNdefu
@AkiliNdefu Год назад
😂😂😂😂 kelvin unajua kumchimba mtu
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 Год назад
Yaani nilikuulizia jana,,yuster yupo wapi?haya mambo mi naona aibu utafikilia ndo mimi.
@marrymazengo1315
@marrymazengo1315 Год назад
Hata mm nahisi tuliwaza pamoja nanpenda sana yustar 😂❤❤
@JudithKimaro-fw6dd
@JudithKimaro-fw6dd Год назад
Ila kiukwel kajala nakushaur achana na harmonize usimrudie fata maisha yako dadaang
@kikiswahili
@kikiswahili Год назад
Yustar chukua maua yako shost🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kalistamtanzania7220
@kalistamtanzania7220 Год назад
Kukupenda ndo kitu najua Yani napendga sana unavyoongea ukweli 👏👏
@AkiliNdefu
@AkiliNdefu Год назад
Na mm nampenda sanaaa kuliko hata ww kwanza ww mwanamke tuachie sisi wanaume ndiyo tumpende
@shamzone388
@shamzone388 Год назад
@@AkiliNdefundugu wa tanga mbona una tamaa sana
@OpMagu
@OpMagu Год назад
​@@shamzone388kweli ana tamaa hata mm namuona maneno yetu wanaume tukitamani nayajua
@suraiyahhussein3608
@suraiyahhussein3608 Год назад
Dahh kumbe mambo yalianzia huku, nyie moyo wa mtu kichaka walahi
@beatricemabula4783
@beatricemabula4783 Год назад
Yusta una upeo mkubwa sana. Umeongelea watu zaidi ya wanne wote haha hakuna hata mmoja uliemuongelea vibaya. Umeongea kwa bashaha kubwa.nakupenda
@MohaadpoizCaptain-w9i
@MohaadpoizCaptain-w9i Месяц назад
🎉 hongera xna dada mi mohaa dipoiz toka Kenya kwa maongez yako uko vzur
@LilianAchieng-bo9xo
@LilianAchieng-bo9xo Год назад
Asante sana dada mungu hakulinde 🙏🙏
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
I believe you 100% both they are abusing each other 👌
@amangearge9594
@amangearge9594 Год назад
Kumbe bado wanapenda eeeh hata mm naona hivyo kwa kweli maana hata mm nilipoachana na ex wangu nilikua badonampenda nilikua namfanyia sana visa 😂😂
@carolinenyakio8592
@carolinenyakio8592 Год назад
😅😅
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
Ten years ago Ata pia mimi mpaka nika fake kunyuwa sumu 😂😂😂 LAKINI wapi 😂 Kaka anaroho ngumu 😂 sikuizi I don't care jina lake TU linanifanya kutapika 😂
@KuriaLukumay-ys5xp
@KuriaLukumay-ys5xp Год назад
Nani kakuliz Achasob
@FaithSaisi
@FaithSaisi 11 месяцев назад
😮
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Watu siku iz mnaniwahi eehh😅😅😅
@suraiyahhussein3608
@suraiyahhussein3608 Год назад
Hata mimi wameniwahi mwenzangu
@kikiswahili
@kikiswahili Год назад
Hata mimi meniwahi sanaa
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
​@@suraiyahhussein3608Tujipe pole
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
​@@kikiswahiliTupeane pole😅
@BarakaKanyamibwa-lo4gc
@BarakaKanyamibwa-lo4gc Год назад
Unapenda udaku eeehhh !!!
@robertpaul7714
@robertpaul7714 Год назад
Wadada wanaojielewa ndo kma hawa sasa 👏👏👏👏
@estherjackson6038
@estherjackson6038 Год назад
Huyu Yuster Ni mtu makini Sana.Nimetokea kumuamini mno.
@catherinensemwa3907
@catherinensemwa3907 Год назад
Yustar mgaya tulikumic sana tupeu ubuyu❤❤❤
@AkiliNdefu
@AkiliNdefu Год назад
Hata mimi
@mohsenaljahwary5730
@mohsenaljahwary5730 Год назад
Hi, Yusta Uko vizuri sana.Hata mimi hii sijaipenda huu ugomvi.Mdogo wangu Harmo achana na hii kitu na pia Shem Kajala achana na hii kitu Tulizeni akili zenu hii ipite km mapenzi yamekufa basi muwe marafiki tuu wa kweli.Kuna leo na kesho peace & Love.Mtake it easy.Hey mdogo Harmo take care Bro.U r something else now ur Big usiharbu.
@hawaomary8486
@hawaomary8486 Год назад
Acha kuwongea SN muwandishi aha dada aonge
@shamzone388
@shamzone388 Год назад
Yusta Mgaya nakupenda sana fanya juu chini warudiane maana wamependezana kajala na hormonise nakuaamini sana
@SaudaMnodwa
@SaudaMnodwa Год назад
Mimi piya napenda sana warudiyane dada afanye mambo Ili warudiyane jamani
@HappyFamily-qz9up
@HappyFamily-qz9up Год назад
Ata mm jamani naumia kama vile mwanangu kaachika. Nawapenda sana
@EmmyMtila
@EmmyMtila Год назад
Lililo muuma harmonize kwenye kile kipindi chao kumuita chizi pia kila siku wanamuongelea kwanni wasiachanenae
@robertpaul7714
@robertpaul7714 Год назад
Hakuna mwanaume rijali ambaye hana mchepuko ata kma umeoa kuchepuka kupo tu kuna vitu vinapunguaga kwenye ndoa
@suraiyahhussein3608
@suraiyahhussein3608 Год назад
Yani huwezi amini namuamini sana Yustar akiongelea hili jambo kuliko hata angeongea kajala mwenyewe maana kajala au harmonize wanaweza kuficha mengine Kila mmoja akitetea upande wake.
@aminangusura6115
@aminangusura6115 Год назад
Yusta kaongea vizuri ila alichoaribu kitu kimoja,unajua kajala na Paula walikua na kipindi kwa zamaradi mtetema wanamuongelea AMORNIZE na sio mara moja ni kila wakati ,YUSTA alikua aoni kumsema rafiki yake, aache kumsema AMORNIZE ,jamani AMORNIZE naye binadamu,sio MTUME useme katolewa nyongo,je kiatu chake kivae wewe je ungeweza??????????
@rachelsimbeye9637
@rachelsimbeye9637 Год назад
😂😂😂
@sophiafalk6484
@sophiafalk6484 Год назад
Kweli kabisa hawa bado wanapendana kabisa. Ila wahache kutoa siri zao hazarani. Na wewe mlogo wangu washauli wahache huu ujinga.
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Год назад
Kwani ukimpa kitu mti inampangia matumizi? Basi harmo alikuwa anamtaka anjera
@AngelaNicolaus
@AngelaNicolaus Год назад
dada ang umesema ukwel kbx ,maan ata kama mmeachana haipasw kuachana mpaka nkataman nmwambie harmonize ayo anayofanya so vzr ,,,,nasukuru da yusta kwa hekima ulonayo ,,,,,,Mungu aitunze iyo hekima....
@kilogreekachananawatuwasio4054
Madam Ustar umeolewa??? Mzuri Sana ❤
@fernandshabani
@fernandshabani Год назад
Ndio wanapendana hawa.ku mukuta na mwengine sio tatizo kwakuwa KAJALA mwenyewe ana wengine,pili harmonize ni star anaezi akawa na wengine kwa hiyo jibu ni kusameyana tuh..kingine longo ilikuwa ranj na wala hakuna chama penzi hapo kwani mwanamke ana kubali kama mwenziwe siwakwanza mpaka ashindwe muacha..Fernand toka DRcongo
@AniziaKamanzi
@AniziaKamanzi 10 месяцев назад
Hata hivyo wanawake wanatupiga Sana mizinga na marafiki zao wanatumia bajeti kubwa Sasa kwanini usilipize harmonize bado yuko sawa
@nimbonaleongontran5952
@nimbonaleongontran5952 Год назад
Jameni wa tanzania, me am from burundi 🇧🇮, munisahidie munambie maana ya adha. Thx
@SulleimanLikwale
@SulleimanLikwale Год назад
Adha ni ghasia au vurugu
@SulleimanLikwale
@SulleimanLikwale Год назад
Au fujo
@thomasgonnah7452
@thomasgonnah7452 Год назад
Mapenzi Kwa mwanaume ni kama nguo unaeza ukainunua Kwa duka Kisha ukifka nyumbani ukaichukia na kununua nyingine
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Год назад
Km sijaakuangalia ww ktk RU-vid namuangalia nani tn. Enhhh tupe burudani Yustar
@saidilindukwa
@saidilindukwa Год назад
Ni Kweli bado wanapendana, sis yuster Waite kaa nao ongea nao yaishe,
@aminatanditse4987
@aminatanditse4987 Год назад
Ongea ukweli ham hana mda kajalan ni mzee
@walengamwamaua-ws6io
@walengamwamaua-ws6io Год назад
Wewe mkweli kabs, Lakini rafiki yako angevumilia yote maana wanaume ni hivo
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Год назад
Kwani kajala nae si alikuwa wakiibana kimya na harmo akiwa na jack
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Год назад
Huyu Dada yupo sahihi, na ukimsikiliza vizur, Harmo alijisacrifice kwa kila kitu kwa Kajala na familia yake, unfortunately sio fate kuwa pamoja, na ofcause Kajala kuhis yupo above mwanaume, hakuna mapenz yasiyo na changamoto, wai wameyageuza kua business kwa interest za watu. So wache tu wawafaidishe watu na maadui, Harmo alishamaliza yote kwenye #vibaya
@marrymazengo1315
@marrymazengo1315 Год назад
Heri nisike leo acha nijaze bando kwa ajili yako yustar wangu😂😂
@zeddydanielotieno4317
@zeddydanielotieno4317 Год назад
Je!!, HUYU DA YUSTA AMEOLEWA, MAANAKE NAMTAMANI SANAAA😂😂😂😂😂😂
@USDisdoomed
@USDisdoomed 11 месяцев назад
Dogo punguza upwiru 😂😂
@erickmuli1030
@erickmuli1030 Год назад
aliyempata ssa hv harmonise uyo kajala hafui dafu ssa iweje et harmo awe anaendlea mpenda uyo kajala kwa uzee ule hata mm siwez kka.
@kadino_jc
@kadino_jc Год назад
Nauriza kajala2 yiko wapi?ampe na kajala2 njo ni amini kamupa kweri
@shaymaamlanza3949
@shaymaamlanza3949 Год назад
Dada upo vzr sana konde amekosea mwanaume aliyekamilika hatoi cri za ndani
@namukwayamweshihange8866
@namukwayamweshihange8866 Год назад
Ahsante sana dada yani to the point.
@aminarashid-yf4sf
@aminarashid-yf4sf Год назад
Nyie wapumbavu kweli tangu lini mwanaume akawa na mwanamke mmoja😂😂😂
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 Год назад
Yaan wanajitoa ufahamu mwanaume gani mwenye mwanamke mmoja
@aminarashid-yf4sf
@aminarashid-yf4sf Год назад
@@shakilabakari6928 kweli kabisa
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Год назад
@@shakilabakari6928 sasa mbona wapuuzi wanamlaumu kajala na ameficha mengi tu.
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 месяцев назад
Yustar nimekusikiliza yani umeongea vizuri sanaaa ❤❤❤❤
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 Год назад
Sasa nyie nanii kawaambia kuna mwanaume ana mwanamke mmoja?????😊😊
@TinaIlunga-y4d
@TinaIlunga-y4d Год назад
Asante sana yustar tumejuwa ukweli leo 😮😮😮
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 Год назад
Uyo hamonize anamambo ya kike sana kutaka kuchambana ugomvi kidogo anataka kila mtu ajue ili mashabiki wamtetee nakumbuka hata ule ugomvi wake na mondi ilikuwa hivohivo na aache tabia za ulimbukeni ya kununua kitu afu aanze kutangaza sawa na tabia za kike unakula kwake kesho anakutangaza kwa watu. Pia mtu unajua uyu rafiki wa mkeo kwanini utembeenae kumbe kawaida yake ndomana akamtaka na paula
@jumannemagawa5095
@jumannemagawa5095 Год назад
Dada wewe ni muungwana na hongera sana, ila ukiweza washauli warudiane kama ile ndoa ilikuwa ya ukweli.
@KaserekaIbrahim
@KaserekaIbrahim Год назад
Asante kwa hamo na kajala
@jenifermlay3625
@jenifermlay3625 Год назад
Kwakweli Hawa wawili wanapendana Bado ushauri wangu wasikubali kuidhulimu mioyo yao kwa kuogopa watu,wanatakiwa kutii kiu zao.Wahenga walisema wagombanao ndio wapatanao.
@DIO-jd8xs
@DIO-jd8xs Год назад
Kajala tapeli hatokuja PATA Tena mume kama hamo we ungeweza
@tikitvog
@tikitvog Год назад
Kutazama zaidi kazi za Yustar Mgaya bofya link👇👇 youtube.com/@mapenzinamahusiano
@mohsenaljahwary5730
@mohsenaljahwary5730 Год назад
Napenda kujiunga Mapenzi na Mahusiano
@gracemunthali7945
@gracemunthali7945 Год назад
Ni kweli nakubaliana na wewe. Hawa bado wanapendana
@DIO-jd8xs
@DIO-jd8xs Год назад
Hakuna mbona akiongea kajala hamim tuone kama kama atakuja kupata mwanaume kama hamo
@violethactress
@violethactress Год назад
Unaongea point sana mama nimekusikiliza mwanzo mwisho
@neemasiame
@neemasiame 11 месяцев назад
Kajala nimtu mzina angevumilia hakuna mwanaume msafi
@ntakilutandato
@ntakilutandato Год назад
Mabaya ya harmo yanalingana na mema yake, Harmo anatakiwa akutane na mwanamke mpole, mcha Mungu,, asiye na matumizi, aumwanamketajiri, asiyena makuu na kutochunguza, harmo ana upendo wa muda mfupi na wa kimbunga, harmo hawezi kuwa mtulivu na mnyenyekevu wakudumu kwa mwanamke yeyote yule.
@aminajuma717
@aminajuma717 Год назад
Najitahidi sana nisiongee bt kelvin nakupenda yani hata sauti yako tuu nakupenda kelvin au nimtafute Yustar Mgaya atuunganishe kama alivyoomsaidia Harmonize jamani?
@khadija5761
@khadija5761 Год назад
😂😂😂😂😂
@maisarah6819
@maisarah6819 Год назад
Ww mdada nafuatilia sana comment zako juu ya Kelvin,basi kwa nn uumie jaman m dm umuelezee hisia zako dada,maumivu ya kumpenda mtu alafu yeye hajui n hatari.
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Год назад
Kajala hapo alibugi.Ukimchunguza kuku hutamla.
@eliaikimmatayan632
@eliaikimmatayan632 Год назад
Ila tuache uongo hamo wanaendana na kajala kinyama
@KinDanger-dw5sj
@KinDanger-dw5sj Год назад
harmonaize anavuta sigala poli musichangae akatokeya mambo kama aya vumiliana harmonize bang zinasumbuwa
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
Bangi mbaya
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Год назад
Anamuongea sana Homonize vibaya kwenye show
@thekiliguides
@thekiliguides Год назад
Pole Kwake 😊😊
@stelamwakatulile2455
@stelamwakatulile2455 Год назад
Mwanaume anaye kujali kwa kila kitu unaumizwa na nini kuanza kufatilia mtu kiasi icho akuna cha peke yako kabuli tu ndo unakaa peke yako sasa ivi kajala ana amani tena kakonda
@mariumseif6751
@mariumseif6751 Год назад
hujampenda ungempenda ungemfuatilia
@AbdallahBakena
@AbdallahBakena Год назад
Yan we mdada watu wanazin araf unasema hazaran vitu ambavyo havimpendez mwenyez mungu me nikafikir ungewashaur wafunge ndoa kumbe rengo rako waenderee kumkosea mungu
@erickmuli1030
@erickmuli1030 Год назад
interview imeenda sana joh...hongeren YUSTA+TIKI
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
Mh .kajala Kumbe kapitia mapito sana
@jumabidery5051
@jumabidery5051 Год назад
Zarau sio kitu kidogo
@ChrisTengeneza
@ChrisTengeneza Год назад
Umri ni kitu muhimu sana katika mahusiano haiwezekani mdada wa miaka 40 na udate kijana wa miaka 24,Yan Kwa kifupi kajala alishafanya ujana sana ni rahisi kuktulia lakini harmo wa miaka 24 mechi za ugenini hapa ni Kila wick
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 Год назад
Jamani kwani Harmo ana miaka 24?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Год назад
​@@nusrathmanyawa4501ndio 27 kwa Sasa, hata hivo Bado yupo kwenye kitovu Cha ujana 😅😅
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Год назад
Nimekuelewa sana @user
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@nusrathmanyawa4501 🤣🤣🤣🤣
@saudahassanimwichande4287
@saudahassanimwichande4287 Год назад
Kwani harmo hakujua kajala km ni mkubwa acha upiuzi
@ggvv9970
@ggvv9970 Год назад
Ataivyo bado wanapendana ndio mana wanafatiliana.😂😂
@kevinchungkantungeko6362
@kevinchungkantungeko6362 Год назад
Siwezi nikajiziwia yamenipita sikumusahauwu tuko kwenye mapenzi nayeye tena❤asante mama nimekupenda unajua ukweli wao
@Juliana-vn6so
@Juliana-vn6so Год назад
Lkn yusta kajala ndio aliyeanza kumchokoza hamo km angekuwa kimya yote yasingetokea kila wik kwenye kipindi chake alikuwa anamsema vibaya hamo mbn yeye alikuwa hamsemi? Hamo kachoka
@ntakilutandato
@ntakilutandato Год назад
Harmonize aliambiwa huwezi kupata mwanamke Duniani ukiwa mkono mfupi, akaamini kweli eti upendo unanunuliwa na anajua kununua sana, marenji, mahela kwa wakwe na kupangishia warembo majumba, na Mungu kambariki rriziki basi anajiona mwokozi waa wanyonge wanaomvutia. Mungu aamsaidie adumu kuwa ktk hali nzuri vinginevyo atakufa kama mbwa mpweke asiye na hata wakumwuguza akiugua.
@zabibuidi1938
@zabibuidi1938 Год назад
Ndio bado wanapenda
@parachichiFM
@parachichiFM Год назад
Yustar naomba unipende
@Sppah697
@Sppah697 Год назад
Dada Fausta mzuri!
@bellloshelo1632
@bellloshelo1632 Год назад
DRC Rwanda Uganda Burundi EST Africa mpaka Africa nzimae kajala huyo ningombe hana lolote
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Год назад
Sija chelewa
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane Год назад
Tupo wote hata mm sijachelew sana
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Год назад
@@BeatriceKalembwane kweli
@OpMagu
@OpMagu Год назад
❤❤❤❤❤
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Год назад
Mmechelewa nyoote ila mimi tu sijachelewa😁😁
@catherinensemwa3907
@catherinensemwa3907 Год назад
Wa kwanza like zangu jamani
@AkiliNdefu
@AkiliNdefu Год назад
Hongera zako
@jumannemagawa5095
@jumannemagawa5095 Год назад
Mwambie hamonaz akue akue akue, asitoe sili zandani. Mimi naona hawa watu bado kuna kaupendo sasa bas, kuwe na namna ya kusitiliyana. Inaweza siku mkarudiana. Wewe dada mwazo ulikuwa na uamzi mzuri sana kukataa kutana waandishi wa habali, hawa huumbua watu bila kuji tambua.
@key5853
@key5853 Год назад
Harmonize ana ushamba sana. Anapendanga kusema mabaya ya watu ila ya kwake haoni
@Saadiya-t9r
@Saadiya-t9r Год назад
Yaan wanapenda aswa tena one day watarudi ana
Далее
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 223 тыс.
skibidi toilet multiverse 042 Trailer
01:57
Просмотров 3,1 млн
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 223 тыс.