Тёмный
No video :(

ITAZAME HARUSI ya Binti wa DKT MWINYI, MC DR CHENI Auwasha Moto wa Hatari 

Cheni tv Online
Подписаться 261 тыс.
Просмотров 156 тыс.
50% 1

Mc DR Cheni aifanya sherehe ya Binti wa Rais wa Zanzibar Mh DKT Hussein Ali Mwinyi iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali, Akiwepo Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, pamoja na viongozi mbalimbali mawaziri na wenye hadhi.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 317   
@user-cg8be5ou7y
@user-cg8be5ou7y Месяц назад
SUBHANALLAH ALLAH ATUHIFADHI MTOTO WA ALHAJ NA HAJAT,NIKWELI ROHO ZA WANAWAKE ZIMEONEKANA NYINGI MOTONI,WANAUME WOTE WAMEVAA, WANAWAKE MTIHANII UCHI ,NAMZIKI YAARABY TUJAALIE UCHAMUNGU.
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 Месяц назад
Hapana hapa za wanaume zitakuwepo maana kila mchunga ataulizwa na hapa wanaume walikuwepo ikiwemo baba,mume na kina kaka je walikataza???mbona wanaonekana kufurahia ......moto hautachagua mwanamke wala mwanaume kila mmoja ataingia kwa mizani yake na kuongoka kwa mizani yake
@NoIe-zq7jo
@NoIe-zq7jo Месяц назад
Binaadam kama huwezi kuangalia usikosoe watu au ndio ivyo mufanye nyie tu akifanya mwingine Soo ... harusi nzuri .watu hufanya laana hamsemi
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Месяц назад
@@user-cg8be5ou7y Halafu kila ijumaa misikitini ,,na hotuba nzuri nzuri,,lakini uhalisia ni huu unaoonekana ,,,Ama kweli kama inaingia akilini kidogo vile watu wasemavyo mtu ukitaka kumjua uhalisia wa imani yake yoyote ile anayoiamini basi kwanza kuangalie nyumbani kwake kukoje hapo ndipo itasaidia kupata picha halisi ya yeye mwenyewe alivyo
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b Месяц назад
Kweli tena binadam mnapenda kuhukumu mwachen Mungu atahukumu mwenyewe humdhaniae ni mdhambi sana wewe mwenyewe jitazame kwenye roho yako kwanza na kama unaona ni mbaya wewe unatazama ya nini nawewe pia utakuwa umeshiriki
@mwanaishasaleh9781
@mwanaishasaleh9781 Месяц назад
Kwa kweli ni mtihani. Allah atusamehe na atuhifadhi kwa matendo yetu
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Месяц назад
Matendo Gani mliyaona wameyafanya kuzidi wengine ama ni roho zenu tu za fitna, choyo na chuki. Hovyooo
@user-zc9ly7qc5v
@user-zc9ly7qc5v Месяц назад
Salmahalfani hujinui2 lakini wewe ndowahovyo tena uhovyo wako umepita huo uhovyo wenyewe hujitambui kabisa isome dini yako vzr ndoutajua kwamba wewe nimtu wa hovyo kabisa
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Месяц назад
Watu mna nini
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Ongera sana Rais Hussein kwa kupata mkwe❤❤❤🎉🎉Mungu awajalie ndoa yao iwe na amani Milele. By Mtwara.
@NassorrajabJuma
@NassorrajabJuma Месяц назад
Imekaribia watu hisabu yao lakin wao wameghafiliaka na maisha yadunian
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 Месяц назад
Alfu mabrooqin maharusi na wazazi pia. Allah aidumishe ndoa ya wawili hawa. Maharusi hoyeeeeeee💃
@AminaKidare
@AminaKidare Месяц назад
Jamaan ,ndoa ya kiislamu haiko hivo , tena bibi harusi kichwa wazi kweli duuh ,Allah atusamehe sana
@pilimohammed3163
@pilimohammed3163 Месяц назад
Wallah mtihan dini imewekwa nyuma jaman msiba
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
Mtiani ndugu yangu
@augustinofifi
@augustinofifi Месяц назад
Ujue mie mnanifurahishaga sana nyie watu kwahyo nyinyi mnaabudu dini na sio MUNGU yan kila kitu dini dini dini. 😂😂​@@fatmafatu1128
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Месяц назад
Dini kama kinvuli tu hakuna haya na bila haya hakuna imani
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Месяц назад
Asiokua na haya na imani hana
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Месяц назад
Kwa sababu huna, ungekuwa nacho ungefanya zaidi ya hivyo
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 Месяц назад
Pesa za umma zinateketea, hakika viongozi mnayo ya kwenda kujibu mbele ya ALLAH, juu ya kuchunga mali za umma na amana ya uongozi, pesa ya umma inateketea
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Месяц назад
We kweli kireja kwan uyo husen alipwi mshahara adi useme ivi kas punguza masiriko ulitumwa uzaliwe ktk umasikini
@JamalKanani
@JamalKanani Месяц назад
😅😅😅😅😅​@@nishaabdula5015
@ZainabAbdullah-bc6pu
@ZainabAbdullah-bc6pu Месяц назад
Sio viongozi tu wanayo ya kwenda kujibu hata mm na weye tunayo ya kwenda kujibu Kwa Allah
@salamarashid3687
@salamarashid3687 Месяц назад
Choyo tu
@hkk2450
@hkk2450 Месяц назад
Muongoooo ww Bora sema sababu nyengine uyo Hussein mwinyi pesa anayo kabla ya harusi acha siasa mbovu apa na tuseme maendeleo huyaoni au roho ya kisonokoro tuu penda maendeleo Wacha siasa ktk maisha ya watu
@zainabuibrahim4766
@zainabuibrahim4766 Месяц назад
Ongera kwa harusi .Tunawaombea kwa Allah awangoze mwende madrasa mkasome..yaani kuacha kichwa wazi Subhannallah
@yustinaedward2339
@yustinaedward2339 Месяц назад
Jamni hata ungekuwa wewe ungefanya maan zaidi ya hayo Wacha kila mtu na wakati wake muombe Mungu akupe nawe furaha
@massoudalimussa2059
@massoudalimussa2059 Месяц назад
Sio kweli rabda wewe tu ndio ungefanya. ila furaha Yako isiwe sababu ya kumuasi Muumba lakuomba Allah atuongoe, atufahamishe na atusamehe
@henrystanley4077
@henrystanley4077 Месяц назад
Acheni wivu ukafiri ni tabia yako tu ukristo na uislam ni kitu kimoja tu, Mungu wetu ni mmoja na harusi ilifana sana tena vbaya mno hongera dr.cheni kwa kazi nzuri na haujamuangisha mzee mwinyi hyo ni harusi ya taifa na history yake itabaki kukumbukwa sana...nmependa sana kazi ya nchi hii mtoto wa rais ni Rais pia daima tutawasapot na kuwaheshimu hii ni harusi ya kimataifa kaka hakuna ukafiri hapa kazi imeenda wao wanaofunga na kuendeshwa tofaut na makafiri ndio wafanya maovu na harusi zao za wiki moja tu wameachana...piga kazi baba
@joycesimon-kw8jh
@joycesimon-kw8jh Месяц назад
Mbona hawasemi bwana harusi ni nani? Duh! Kiukweli wamependeza sana. Hongera Mhe. Dkt. Mwinyi na Mama pamoja na Wakwe wazaa kijana 👏🏽👏🏽👏🏽
@EliwadaKikoti
@EliwadaKikoti 19 дней назад
Rais wangu hongera Kwa kupata mkwe mungu awabark wanandoa mkawe wa her katika maisha yenu
@fadhakirnassir2917
@fadhakirnassir2917 Месяц назад
Mm sina tuu izo pesa lkn nizipate wallah nafanya hasaa watu waone
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Месяц назад
Haina tafauti na kikafiri leo waislam wametoka katika Mila ya na wanafata Mila za wayahudi 😢
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Месяц назад
@@mohammedmussa7378 kweli kabisa maneno yako,,hii harusi kwa wale waislamu wasioipenda dini yao pamoja na wale wenzetu wakiristo kwao ni shughuli nzuri na ya kufana sana,,lakini kwa muislamu yoyote mwenye imani japo kidogo,ya dini yake shughuli kama hii hasa iliyonasibishwa na kiongozi anaejipambanua na kujinasibisha na uislamu ,inakera na kuhuzunisha sana,,kiasi ya hata mtu kushindwa kuiangalia mara mbili
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Месяц назад
B harusi angejitanda kamtandio kazuri angependeza sana. Watu wamejiachia tu, bara hata ingekua wanawake tu na hairushwi mitandaoni hapo kweli.
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Hta mm nimewaza angejitanda angependeza sana
@augustinofifi
@augustinofifi Месяц назад
​@@fettiemaganza1484jitanda wewe yeye ndio kapenda hvy hvyo na mumewe
@munisindeshisamson3590
@munisindeshisamson3590 Месяц назад
@@myunaniniahmad6463 Huyo kaolewa na mkiristo bana uisilam mwisho leo. Huko bara maigizo tu
@user-wr8gg4vy6k
@user-wr8gg4vy6k Месяц назад
Sijafurahia harusi hii jinsi ilivyoendeshwa haina tofauti na ya kikafiri.Allah atuongoze waja wake
@user-dn8so9pe1j
@user-dn8so9pe1j 12 дней назад
Walifurahi Familia inatoshaaaa,wewe naniiiiiiii?? Poleeeee weweeeee,katafute hela usivae kanzu siku ya Ndoa ya mwanao au nduguyooooo bwana sheheeeee
@islambinomar8716
@islambinomar8716 Месяц назад
Hatari kama ikulu inasimama kwa ujinga ujinga ila wanetuonesha ni watu wa aina gani
@abdullahabdul9246
@abdullahabdul9246 Месяц назад
Hizi pesa za wanainchi ndio zinatumika kwenye sherehe hii iko kaxi
@user-wp8ip4jn6j
@user-wp8ip4jn6j Месяц назад
@@abdullahabdul9246 ulijuwaje itakuwa na weye umo kwenye hao wanaokula pesa za wananchi
@samwa9496
@samwa9496 Месяц назад
@@abdullahabdul9246 kwani usipo changa wewe wengine hawachangi ukizingatia yupo kwenye mamlaka midomo kazi yake kusema na si kwenda chooni
@TravelZanzibar
@TravelZanzibar Месяц назад
Acha roho mbaya kwan halipwi ?
@HappyBigWaterfall-ri2mf
@HappyBigWaterfall-ri2mf Месяц назад
Kwel wanaloo mbaya walipendeza Sana jaman mungu awajalie maisha malefu Sana na hongera dkt mwinyi
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
Harusi utadhani ya kikafiri waislaam wa kweli hawafanyi upuuzi huu ila tuombe Allah atusamehe madhambi yetu yasiri na ya dhahili
@user-wo2ye5vh4q
@user-wo2ye5vh4q Месяц назад
Wivu tuu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
@@user-wo2ye5vh4q kwa mkafiri ndio atasema wivu ila kwa mwisilaam anaejuwa nini maana ya uislam hawezi kusema wivu
@mathewungani9724
@mathewungani9724 Месяц назад
Mshamba ww,kila Kitu ni Kafiri
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
@@mathewungani9724 ndio kila ovu limeanzishwa na makafiri
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Месяц назад
​@@fatmafatu1128uko sahihi kabisa,dunia imetumeza tu kasahau Aakhera yetu!raha furaha na utamu wa muda mfupi wa iblis 🤏🤏 huaribu uhusiano mwema wewe na mollah wako! Astaghafirullah, Allah atusamehe
@WasakaTonge-bi3uc
@WasakaTonge-bi3uc 17 дней назад
Siungi mkono harusi ii Allah ni mkali wa kuadhibu
@emmadora7848
@emmadora7848 3 дня назад
😂😂😂😂 Kuna aliyekuomba ujiunge mkono? Mbona kiherehere kwenye mambo yasiyokuhusu?
@nassorali1034
@nassorali1034 27 дней назад
Muache rohombaya za kisiasa kwani pale raiya wakawaida wanapofanya harusi zaajabu na mtu huwa hana uwezo ...tuseme pesa zinatoka wapi mafisadi nyie mie niraiya mwenzenu muache roho za kwanini .muache hasad loh .poh yasini ....nilie tuma huu ujumbe naitwa halima salum suleiman
@umu-ul-kurthumhamad9500
@umu-ul-kurthumhamad9500 Месяц назад
Kwakweli pesa zetu za Kodi zimeteketea doh, harusi kama ya kifalme
@bagenihuduma1569
@bagenihuduma1569 Месяц назад
Fanya kazi ujienjoy hao kwa nafasi walizokuwa nazo sio mshangao kufanya walivyofanya ni majibu ya kufanya kazi
@mfanisifoundation6904
@mfanisifoundation6904 Месяц назад
Kuna watu co marais wanafanya shuulj za garama acheni makasiriko masikini
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Месяц назад
Aibu wallahi
@EliwadaKikoti
@EliwadaKikoti 19 дней назад
Kwanin lakin mnamponda bib harus kunika kichwa so lazima mume ndo kapenda iwe Ivo na pia sku zote iman ndo inampeleka mtu mbingun unaweza ukafunga malemba Yako matendo ovyo moyon mwako mwachen mtoto wa rais alipendeza waafrika tuna shida sana yote haya kukosa elim
@user-ml8bg7su2b
@user-ml8bg7su2b Месяц назад
Yani Harusi mashallwa sisemi mengi lkn Allah ndie Hakim.
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Dr chen Good job🥰
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Месяц назад
Arusi ya kiislam Kama si waislam mtihani Yaa rabb tunusuru
@deviselisaria5488
@deviselisaria5488 Месяц назад
Waislaam ndo nn maan hata dunian hamjai bas
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i Месяц назад
​@@deviselisaria5488haikuhusu
@3leggedbird222
@3leggedbird222 Месяц назад
Masking unakusumbua
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i Месяц назад
@@3leggedbird222 jifunze kuandika bs
@user-vi4sz4fq9h
@user-vi4sz4fq9h Месяц назад
Mie nadhani kila mtu na maoni yake lakini katika maisha fanya kitu ukipendacho kuliko kufanya usicho kipenda ukaishia kutamani na hakuna dhambi mbaya kama tamaa. Maisha yenyewe mafup❤
@allyally4472
@allyally4472 Месяц назад
Mishahara mpk leo kimya watu wanaumia njaa ila hz hela zilizopotea hapa. Mungu ndie hakimu
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Месяц назад
Kwa Rais akifanya kazi halipwi mshahara? Ama hana ndugu, narafiki na jamaa wa kumchangia pia msisahau kua nae pia alikua ni mtoto wa Rais hata urithi wa marehemu babaake pia anao.
@MassoudMaghwaly-jo8sh
@MassoudMaghwaly-jo8sh Месяц назад
Wasidhani kwamba allah ameghaflika kwa wanayoyatenda madhalimu..😢
@salamarashid3687
@salamarashid3687 Месяц назад
Wakifanya wengine hamsemi
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
@@MassoudMaghwaly-jo8sh na wewe una yako unayoyafanya Mungu anakusamehe tu ,punguza mdomo
@user-mv8hk9fe2y
@user-mv8hk9fe2y Месяц назад
Acha roho mbaya tafta pesa, we mwenyewe mwanga unakwangia watu na mungu anakuona
@sabrysleiman5115
@sabrysleiman5115 Месяц назад
​@@user-mv8hk9fe2yanakwanga na babaako uyoo
@WasakaTonge-bi3uc
@WasakaTonge-bi3uc 17 дней назад
Kwan waislamu wanaozeshana ivii hii ni dini gani
@ZalkhaRawahi
@ZalkhaRawahi Месяц назад
Harusi ya mtt wa Alhajji Hussein huu ndio uislam wetu tunahalalisha tunachokitaka na tunaharamisha tusichokipenda YA ALLAH tuoneshe haki tuifate
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
Allahumma amiiiiiin
@salamarashid3687
@salamarashid3687 Месяц назад
Mbona nyinyi mnafanya jamani.
@munisindeshisamson3590
@munisindeshisamson3590 Месяц назад
Mmasai hawezi kiwa muislam changa la macho tu hilo
@ZalkhaRawahi
@ZalkhaRawahi Месяц назад
@@munisindeshisamson3590 Eh bwana kumbe
@naimamohamed2216
@naimamohamed2216 Месяц назад
Jamani mm namtetea mwinyi wanawake wa miaka hii wananguvu saaana kuliko wanaume huwezi jua nani ana sauti ndani ya nyumba Yao ,mama ndio kaamuru hizi kuflu
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Месяц назад
Nyinyi endeleeni kula hii nchi siku wananchi tukiamua mtakoma w
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Tuna hali mbaya tusio na ajira kwa ajili ya serikali inayovinjari kitajiri😢
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 Месяц назад
Wivu huo jamani
@huyu1993
@huyu1993 Месяц назад
Mtaamua nini nyinyi mzao Nyerere ?
@jarsjam8894
@jarsjam8894 17 дней назад
Nashangaa wanawake wa kiislam wote vichwa wazi
@monicangowi4428
@monicangowi4428 Месяц назад
Umependeza sana mtoto wa doctor Mwinyi achana na watu wanaohoji nywele ,kwani nani alisema kufunika kichwa ndiyo kwenda mbinguni? huko mbinguni tutafika kwa matendo mema nasiyo kufunika nywele huo ni utamaduni tu kama masai anavyovaa lakini haufikishi mtu popote
@DevotaNtandu
@DevotaNtandu Месяц назад
Ingekuwa simple mungesema imekua ya gharama mungesema binadamu hamna jema harusi imependeza hakunana ukafiri hapa ndoa ni jambo jema Mungu abariki ndoa yao
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 Месяц назад
Loyol wedding au Royal wedding
@TravelZanzibar
@TravelZanzibar Месяц назад
😂
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b Месяц назад
Kila kitu kimeandikwa ,mmtaenda kujibu mbele Allah
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Месяц назад
Mungu awatuze maharusi wetu ongera sana wazazi kupata mkwe
@evangelistmcsarahmvungi3626
@evangelistmcsarahmvungi3626 Месяц назад
Ilikuwa nzuri sana hongera sana kaka yangu dr cheni ulifabya vizuri sana kaka hongera sana lkn huyu aliyeongea hapo mwambie asiseme loyal ni royal asante😊
@nassorali1034
@nassorali1034 27 дней назад
Mara ngapi mnafanya harusi kubwa na nzito zinashinda harusi za kifalme ...tena leo imekua vioja raisi kufanya harusi yamwanawe namna iyo
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Месяц назад
Viongozi WA nchi mjiandaae majibu ya kwenda kujibu ktk mahakama ya allaah uongozi miliongoza vipi watu WA Hali ya chini maana wengine wanalala. Njaa wengine wanafanya islafu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Месяц назад
Ss ulitaka wote tufanane jmn kaa ebu ounguzrni makadiriko fanyeni kz ungekuwa ww ndo mtt wa raus ungekataa kufanyiwa hayo
@tamimafatty7808
@tamimafatty7808 Месяц назад
jamani jamani ! kwani nae hana mshahara? ... iwe ww unafanya harusi kwa mujibu wa kipato chako .... mukaacha choyo na roho mbaya
@angabilejoshua372
@angabilejoshua372 Месяц назад
Ni vizuri kubariki kuliko lawama.Wamebarikiwa na wataendelea kubarikiwa
@AJ-cx3xt
@AJ-cx3xt Месяц назад
Mtangazaji ni Royal sio Loyal wedding, sielewi kwa nini mtu unashindwa kutofautisha hayo maneno.Ra Re Ri Ro Ru fanya mazoezi
@vivianmshomi9975
@vivianmshomi9975 Месяц назад
Wee acha tu..L inakuwa R na R inakuwa L.
@beccakn7143
@beccakn7143 Месяц назад
Matokeo yake imeleta maana tofauti kabisaaa.
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo Месяц назад
😅😅😅
@user-ds7ho1my4u
@user-ds7ho1my4u Месяц назад
Ukafiri ni Kwenda Kinyume na Maadili ya MUNGU wetu, Mfano: 1, Kuowana Mme na Mme mwenzako, au Mwanamke kwa Mwanamke, Huo ndiyo Ukafiri. 2, Kusagana, Kulawiti, Mwanamke Kuingiliwa Kinyume na Maumbile Sahihi, Huo ni Ukafiri. 3, Kutokuswali, au Kusali na Kumshukuru Mungu wetu, Huo pia ni Ukafiri.
@user-yc3ij4tt6t
@user-yc3ij4tt6t Месяц назад
Uislam hauruusu sherehe kamahiyo 😂
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Месяц назад
Jamani mependeza sanaa mungu awatunze
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Месяц назад
Subhannallah ×3 hawata waridhia mpka mtakapo fuata mila zao
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Месяц назад
Safiii sn doct chen hurigi km.mwenzsko upovzt sn
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s Месяц назад
Mapozi yawazidi mpaka wanaboa ila cheni safi mwanaume unaringa mpk haibu
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc Месяц назад
Upuuz mtupu waisam wenzio wajifunze nn
@nassorali1034
@nassorali1034 27 дней назад
Mnauhakika kafanya raisi au kafanya mwenyewe mtto waraisi na watapta wake ...punguzeni siasa hebu mnachekwa na nchi za jirani watu wanakuoneeni choyo mnamaendeleo lkn kumbe nyie wenyenu mna hasad na vijicho nyooni
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Месяц назад
Hii dunia tutaiyacha harusi km ya makafiri.badala ya kumfurahisha ALLAH tunafurahisha watu ,tusiwe wanafiki ,tuwe waislamu kamili hiyo siyo harusi ya kiislamu ni harusi ya kikafiri mashekh wapo kimya kwasababu ni rais.😭😭😭😭😭😭
@user-qi1nn4sh4e
@user-qi1nn4sh4e Месяц назад
Hawataridhika mayahudi na makafiri mpaka mufuate milazao hatua kwa hatua, innah lillahi wainnah ilayhi rajiuun😢
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Congrats
@zeharaz4116
@zeharaz4116 Месяц назад
Faida ya karafu na pesa za wanyonge wanaotoa kodi zimekwenda Allah anaona Mahkama kubwa ipo
@ghhyhh7591
@ghhyhh7591 Месяц назад
Achen usenge uwo tena harus ya mtt wa rais mnataka ifanywe vp hamna shukran wanadam nyinyi ingefanywa simpo pia mngefuja
@user-ot7yi6eq7s
@user-ot7yi6eq7s Месяц назад
Mashallah
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Месяц назад
"Loyal" wedding tena jamani😅. Ni Royal bwana
@angelamangenya1681
@angelamangenya1681 Месяц назад
Asahihishe matamshi
@rosinamtauka9933
@rosinamtauka9933 Месяц назад
Mvumilie tu kwani ndo aina ya wanahabari wa siku hizi, zero professionalism hasa kwenye hizi online media😪
@upendohalisi80
@upendohalisi80 Месяц назад
Nikisoma comment za wanaojiita Islamu utakuta wengi ninkujihesabia haki kwamna ni wasafi, aliyewaambia dini ndiyo muumna yupo hapo ni nani? Kwanza aliyetuumba hana dini! Sasa ni kulalamika kavaa uchi, mara ohoo hakuna uislam hapo dini haipo hapo, aise Poleni sana bado mna safari ya kumjua aliyewaumna yukoje.
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Месяц назад
Amka kabla hujafa Acha kiburi na Ibilis muweke pembeni fuata din y allah invotaka kil kit dunian kin muongozo wake n mwisho wake Allah ametuumb kisha akatuekea muongozo kwamb tujisalimish kwake yaan tuwe waislam tumtii yy tutii na amri zake ww kam nan unashindwa kumshukur aliekuumb kw kutii amri zake atakaefuata amri za Allah pepo itakuwa makaaz yake baad y kufa kwake atakae kataa moto nd makazi yake Acha kiburi jisalimish
@NassorMohamed-nz2lv
@NassorMohamed-nz2lv Месяц назад
Mie nilijua atafanya sherehe kwa kufuata tamaduni za dini ya kislamu dada apO rais wangu umefeli nakwambia asa rud kwa mungu ustahafiru . Fahmu hao uliowalika kila mtu na njia yake
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Bismillah mashalah ❤❤❤❤
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Месяц назад
Makafiri wanaoona wenzao ni makafiri. Msijihesabie haki kwa maarifa machache mlionayo juu ya ukuu wa Mungu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Cheni anskiheshimu sana Hana kashifa
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Месяц назад
Hizi sio mila na desturi zetu wazanzibar,,mimi nilitarajia hawa wanaojiita viongozi wafanane au wawe mbele zaidi ya kudumisha ule uhalisia wa ile jamii wanayoiongoza,, Kama hapa kwa mazingira yaliyoandaliwa hapa sisi wazanzibai ambao wengi wetu ni waislamu tunajifunza nini ,,ktk shughuli za viongozi wetu
@MaryMmole-en9qz
@MaryMmole-en9qz Месяц назад
Ila jamna harusi imependeza bibi harusi angejitupia kimtandio hapo ingependeza zaidi
@SaidKombo-p3m
@SaidKombo-p3m Месяц назад
Si shida kupendeza shida ajitambue yeye Nani na inasemakana kaenda maka kuhiji ss faida ya hija iko wp
@RamadhaniAyubu-t3l
@RamadhaniAyubu-t3l Месяц назад
Nzuri sana
@MaadamAisha-qx5pu
@MaadamAisha-qx5pu Месяц назад
Subirini ijumaa mukafunguliwe msikiti.hiyo ndio dini na Dunia.duniani tunapita tu tumuogopeni Allah
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 Месяц назад
Ila jaman ukiwa huna mengi utasema, ila wapo vzr
@mayazamzam7274
@mayazamzam7274 Месяц назад
ROYAL SIO LOYAL JIFUNZE MATAMSHI UNAJIKANYAGA
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q Месяц назад
Ukafiki na uislam ni vitu viwiii tofauti
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Месяц назад
Wanafik mmejazana hapa na comments zenu za kinafik,,mnajifanya kuijua dini saana,,hamna lolote umaskini na chuki ndio zinawasumbua
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui Месяц назад
Inna lillah wainna ilayhi raajiuna
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp Месяц назад
Ivo wao ndio wa kwanza kuoana! Sikuhiz wata wafanya harusi sio ndoa.
@ramzsule7678
@ramzsule7678 Месяц назад
Mcha mungu kateleza
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Месяц назад
Sasa ndoa imefungwa wapi hata makanisa ukijiacha wazi wanawagomea mpaka ujshone nguo iliyofunika
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h Месяц назад
Très très belle robe 🎉
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Месяц назад
Nakumbuka hao watoto wa mwinyi walivyokuwa wakitoka Shule Africa kusini na kuja ubarozi flani hivi Kwa ajili ya Likizo na utalii
@saidali7644
@saidali7644 Месяц назад
Waislamu tunakocopy kwa wakiristo na kupaste kwenye mambo yetu. Ni mtihani kwa kweli
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Месяц назад
Sasa mnatuonyesha iweje mbona ni kama harusi zingine tu !
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 Месяц назад
Mmasai ameramba dume,heshima kwa wamasai Rungu,sime ruhsa zanzibar
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 27 дней назад
Naogopa kusema nisije nikatumiwa ugeni
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h Месяц назад
Mwezi wa mama samia yuko wapi au ndo single
@jamilaislam1871
@jamilaislam1871 Месяц назад
Sheykh athman maalim uko wapi waona munkar huwo
@feisalboy6702
@feisalboy6702 Месяц назад
Mashekhe watasema kwa wanyonge Tu mawaidha makubwa lkn kwa wakubwa kimyaaaa Wanalinda ugali wao
@bilalkhamis_
@bilalkhamis_ Месяц назад
Nchi tamu hiii😂😂😂😂
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Месяц назад
naona alhaji mwinyi kaghafilika kidogo
@aminitu3766
@aminitu3766 Месяц назад
Safi bint kwa kuolewa
@abdulqareemabdallah2579
@abdulqareemabdallah2579 Месяц назад
Mmependeza
@TravelZanzibar
@TravelZanzibar Месяц назад
Sherehe za viongoz wakubwa km hawa mara nyingi vitu vingi hudhaminiwa na wafanya biashara unaweza kukuta vingi ktk hivyo wametunukiwa km zawadi tu.punguzeni makasiriko.
@Is-hakaKhamis-hz9qy
@Is-hakaKhamis-hz9qy Месяц назад
Pesa zetu izo
@hadijabashiru8557
@hadijabashiru8557 Месяц назад
Walifunga ndoa kanisa gani
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Месяц назад
😂😂😂 ni kweli kabisa hakuna harusi ya kiislamu ya namna hii eti harusi ya mtoto wa rais ya kipuuzi namna hii sasa watu wataiga nn kwa rais. eti alhaji ,
@user-ig3wo3td2x
@user-ig3wo3td2x Месяц назад
Jamani hii harusi mahasidi wasiiyone idumu kama wazee wao /
@abrahmankhamis-e3v
@abrahmankhamis-e3v Месяц назад
acheni ujinga fedha za umma hizi!!
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t Месяц назад
Ukihukumu na wewe utahukumiwa kila mtu na kaburi lake nyinyi mnaojifanya mna dini mnawezajikuta mna madhambi mmemzidi mpaka shetani
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Месяц назад
Mzuri
@sabinatuoneye6781
@sabinatuoneye6781 Месяц назад
Ndoa ikawe yenye kheri
@MamjahJeffer
@MamjahJeffer Месяц назад
wanaokoment upuuzi wanaroho mbaya
@omarmussa7654
@omarmussa7654 Месяц назад
Harus ya kiislamu na kila siku makanzu na vibaraka shia uislam wa majina tu
@jumabonge8577
@jumabonge8577 Месяц назад
akakae uyo sio sherehe kubwa.mwez kwao
Далее
Сказала дочке НЕТ!
00:24
Просмотров 514 тыс.
August 27, 2024
3:23
Просмотров 1,1 тыс.
GLAMOUROUS WEDDING (ALYA + YUSSUF)
12:02
Просмотров 15 тыс.
MUME WA SNURA ALIVYOCHUKUA KABIDHIWA MKE FULL SHANGWE
8:22