Тёмный

ITV-MIZENGWE KIHEREHERE 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 217 тыс.
50% 1

Mkwere aleta kizaa zaa nyumbani baada ya Nduguyake mwenye Kiherehere kwenda kutangaza nyumbani kuwa Amefariki Hospitali alikokokuwa anatibiwa

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 108   
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Год назад
2023❤❤❤❤nawakubali xana hawa watu
@jescabwimbo8112
@jescabwimbo8112 7 лет назад
they are so smart jamani, hawavai mavazi mabovu kama wachekeshaji wengine lakini bado wanafanya mtu unacheka. Big up to u
@kdloon2030
@kdloon2030 5 лет назад
Hivi nilivyo muona ndo nimemuona,au ndo nataka nimuone?Kama ume pafahamu Huruma hospital tabata!Show luv
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 лет назад
me sichoki kuangalia hii inanichekesha hatar i love this mizengwe
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 лет назад
hahahahahaha
@meenatumaini6336
@meenatumaini6336 7 лет назад
+Amad Sabimbona Mmmm mnanipa raha sana duuu
@ahmadnangwaranya9184
@ahmadnangwaranya9184 4 года назад
Inachekesha sana
@AmCool_
@AmCool_ 7 лет назад
Makombora from Zanzibar still in chart 😍😍😍😍😍😍😍 ha ha ha Ivi huyo Makombora amejiunga na Mizengwe rasmi? 😂😂😂😂😂😂😂😂
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 Год назад
Hahaaaa mko vzr sana Mizengwe
@bahatikibale9807
@bahatikibale9807 4 года назад
Nzuri mnoo
@sarahjonass2023
@sarahjonass2023 6 лет назад
hahahahahahaaaaaaahhh aiiiiiiiiiseeeeeeee wapo vzuriiiii in short wamenifurahishaaaaaaaaa
@jumayusuph8471
@jumayusuph8471 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we kombora wew 😂😂😂😂😂😂 khaaa eti anataka kufungua mgahawa😂😂😂😂daaaaah
@erickkayilwandadema700
@erickkayilwandadema700 4 года назад
from Kenya napenda makombora sana eti mjomba Nina kifafa
@batulemwamwaja6524
@batulemwamwaja6524 6 лет назад
na wewe Mgonjwa jisemee like hapa
@jumahalid5955
@jumahalid5955 5 лет назад
S.saws
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 года назад
Mhh sumaku jamani nampendaga sana,ila kwa kweli wote wapo vizuri sana.
@habibumrisho5225
@habibumrisho5225 Год назад
Assante mariamu
@hassanbaraza1165
@hassanbaraza1165 4 года назад
Smaku noma kulia huko😊😊😊
@sarahpetro4418
@sarahpetro4418 5 лет назад
Hahahahaaaaaaaaa hatari sana hawa watu
@happinessandrea2118
@happinessandrea2118 Год назад
Mdomo wako huo ukifika hospital nakukata kimeo😂
@ameirmanzi2684
@ameirmanzi2684 2 года назад
1/9/2022 haichoshi kutzama
@benardkuloba7913
@benardkuloba7913 6 лет назад
Haaa. It's googling. I love it
@abdulnassirkhamis9728
@abdulnassirkhamis9728 4 года назад
Mko pow no. Comedy tz
@atepamashavu6122
@atepamashavu6122 2 года назад
aaaahaaa mkwele ata sio mgonjwa anataka chips kuku nawali wanazi nasamaki aaaaahaaaa,
@salhaayoubalmas7127
@salhaayoubalmas7127 7 лет назад
😂😂😂😂😂 jamani mbavu zangu kaah nimecheka mpaka mbavu zinauma
@mwanahamza2199
@mwanahamza2199 6 лет назад
Safi
@emedeusepimack7151
@emedeusepimack7151 6 лет назад
haha
@meshackmahona5630
@meshackmahona5630 4 года назад
Mizengwe mkojuuuuu sana
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 лет назад
Nimefurahi kumuona Makombora
@rachelpennyalihitwa1958
@rachelpennyalihitwa1958 6 лет назад
uwiiiiiiiiii mbavu zangu mie
@queencashmadam8340
@queencashmadam8340 7 лет назад
nimejua kucheka leo mpaka mkojo umenitoka
@lusese1
@lusese1 7 лет назад
Pole Queen tupo pamoja, hatuwezib kukuangusha.
@dullaalhabsi9671
@dullaalhabsi9671 6 лет назад
Queen cash madam Haaaah
@habibumrisho5225
@habibumrisho5225 Год назад
Asante qween
@paulinamloka2817
@paulinamloka2817 5 лет назад
This is real tallent
@fadhiliibrahim9702
@fadhiliibrahim9702 7 лет назад
we safina Magubike si Iringa? 😂😂😂 sio kanda ya kati
@feithmhimbano959
@feithmhimbano959 6 лет назад
ipo ya morogoro
@robertfabian3030
@robertfabian3030 6 лет назад
Moro pia magubike ipo
@hassanjuma5234
@hassanjuma5234 7 лет назад
hahahahahaaaa mbavu zangu mieee uwiiiiiiii.
@jofreymkanula2290
@jofreymkanula2290 7 лет назад
hahaha sumaku kiboko
@hawamashallahmkubwa5416
@hawamashallahmkubwa5416 7 лет назад
Lkn kabla yakuzika siutakumbusha anaye mdai marehemu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 лет назад
Ety kabla ya kufa angeacha usia ile cm arithi nan 🤣🤣🤣🤣
@diannalaurent4730
@diannalaurent4730 5 лет назад
😂😂😂 nawapenda sana
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 лет назад
hapa amekosekana halikuniki tu
@aishamajura1313
@aishamajura1313 7 лет назад
hahaha jamani mwaniuwa kwakucheka mpaka nimenenepa ghafura
@yesusimungu9084
@yesusimungu9084 7 лет назад
Kweli dada umenenepa ghafla
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 лет назад
manshallah kweli vipaji vipo"mungu azidi kuwapa neema
@nicknyengela2187
@nicknyengela2187 7 лет назад
😀😀mgonjwa anataka wali samaki wa nazi
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
nick nyengela 😂 😂 😂
@nelsonlovenes178
@nelsonlovenes178 7 лет назад
Cheka sanaa
@annakashelo9608
@annakashelo9608 3 года назад
Na sio kafa katangulia 😂😂😂
@godfreyngowi8546
@godfreyngowi8546 7 лет назад
Hawa Jamaa ni zaidi ya comedy
@danielally6451
@danielally6451 7 лет назад
excellent
@hamidaali1309
@hamidaali1309 5 лет назад
pambeeee nacheka mpk nalia kwa furahaaa
@yesusimungu9084
@yesusimungu9084 7 лет назад
kielehele kimemponza
@christinarobert9207
@christinarobert9207 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😃😂hatariiii hiyo nooooooomaaaaaa
@salmakingo9702
@salmakingo9702 6 лет назад
christina robert
@doricemsitu1516
@doricemsitu1516 4 года назад
Hahahaaha maneno yametoboka hahahaha
@annakashelo4191
@annakashelo4191 6 лет назад
Uwiiiiiiiii! Wali samaki na nazi
@mussamagodi9179
@mussamagodi9179 5 лет назад
Wapo poa sana
@slimthuggfella101
@slimthuggfella101 6 лет назад
Mwenda zake kakata rufaa karudi
@munirbakar855
@munirbakar855 5 лет назад
chipic mayai soda wali samak wa naz
@axa29
@axa29 7 лет назад
Too funny😄😄😄😄😄
@lusese1
@lusese1 7 лет назад
Thanks Asya, more Comedy to come
@yussufmohamed7427
@yussufmohamed7427 5 лет назад
Makomboraaaa
@felixkira7462
@felixkira7462 4 года назад
Ok
@anthonyjohn9479
@anthonyjohn9479 7 лет назад
Ango
@wakilingunda4181
@wakilingunda4181 6 лет назад
maneno yaliyotobokatoboka hahaha
@zahorrashid5459
@zahorrashid5459 6 лет назад
nyy wakali sana
@yohanamohere7523
@yohanamohere7523 6 лет назад
Unataka apone duu
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
Hahaha huy anataka kufungua mgahawa huyu
@cathbethjackisonngunda530
@cathbethjackisonngunda530 5 лет назад
Nyie MTU sita Pasua kichwa
@cuthbertmarkyshirima9647
@cuthbertmarkyshirima9647 5 лет назад
Unaweza ukasema mtu kumbe jeki
@allmarahma7753
@allmarahma7753 6 лет назад
wali na samaki atapata nyumbani hata pata hospitali
@thomasishausi2192
@thomasishausi2192 4 года назад
eti mjomba nachelewa kulia
@maryamisa9743
@maryamisa9743 5 лет назад
Et kuwa makini na mgonjwa mwenzako
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 лет назад
Hahahaha mbavu zangu jamani wanavituko hawa
@ismailkala2333
@ismailkala2333 7 лет назад
makombora ndani ya nyumba hahaha
@meddydulla934
@meddydulla934 6 лет назад
Unaweza kusema mgonjwa kumbe jeki... Hahaha
@mabenzimabenzi940
@mabenzimabenzi940 6 лет назад
Mim naon nyie mnamfuata joti kwa kuchekesha
@pendosimeo2855
@pendosimeo2855 6 лет назад
downloads
@maadamray9282
@maadamray9282 4 года назад
😀😀😀
@ummkhuluudaboud2723
@ummkhuluudaboud2723 7 лет назад
makombora hahaha nimefurahi kumuona
@omarymangoni3897
@omarymangoni3897 4 года назад
.
@pendosimeo2855
@pendosimeo2855 6 лет назад
damrod
@grassjackson2460
@grassjackson2460 5 лет назад
Hahahahahah! Eti wali samaki wa nazi nimewagawa bulee!
@mcharomrutu6097
@mcharomrutu6097 6 лет назад
mizengwe noma
@mcharomrutu6097
@mcharomrutu6097 6 лет назад
furaha tupuuuu
@hadijasaidhabdallah8986
@hadijasaidhabdallah8986 7 лет назад
jamani mbavu angu
@drkrak8567
@drkrak8567 6 лет назад
😁😁😂😂😂😂😂
@petronkija3556
@petronkija3556 6 лет назад
Hahahahaha!
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 года назад
😂😂😂
@christerrenatus1959
@christerrenatus1959 6 лет назад
hahahahahaaaa
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 7 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 7 лет назад
mtauwa wezengu jamani
@wakilingunda4181
@wakilingunda4181 5 лет назад
huyu anataka kuvungua mgahawa hahahaaa
@ashaadam8291
@ashaadam8291 5 лет назад
hahaha
@ahmedmaulid1424
@ahmedmaulid1424 7 лет назад
hahahaha
@kibirashihabari6400
@kibirashihabari6400 7 лет назад
haha
@salomekututwa4302
@salomekututwa4302 7 лет назад
Hamadi Athumani5194
@allmarahma7753
@allmarahma7753 6 лет назад
hahahahahahahahahahhahahHahaha😀😀😀😀
@samia-lt2be
@samia-lt2be 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedmgonja1748
@mohamedmgonja1748 7 лет назад
hahahahaaaaaa
@bayanthala2796
@bayanthala2796 5 лет назад
😂😂😂
Далее
ITV MIZENGWE- MWENYEKITI
19:15
Просмотров 139 тыс.
ITV- MIZENGWE DALALI
22:31
Просмотров 16 тыс.
Baba Mwenye Nyumba
19:06
Просмотров 94 тыс.
ITV MIZENGWE-SHERIA MKONONI
20:37
Просмотров 124 тыс.
Makala yangu ya uzalishaji mkaa mbadala
21:29
Просмотров 1,3 тыс.
ITV-MIZENGWE     DENI KULIPA
18:57
Просмотров 122 тыс.
Kumbe kiziwi
8:17
Просмотров 2,4 млн
ITV MIZENGWE-FAKE(BATILI)
18:13
Просмотров 203 тыс.
HII NDIO MBINU MPYA WANAYO TUMIA WANAWAKE
9:48
Просмотров 313 тыс.
MLEMAVU
5:38
Просмотров 893 тыс.
ITV-MIZENGWE WAJINGA NDIO WALIWAO
18:45
Просмотров 76 тыс.