I remember for the first time nasikia the story book nikajribu kufuatilia producer nikamfollow chap. Yani hata alivyo ondoka Mtiga nilisema yule ni msimuliaji tuu muaandaaji ndio Genius 🔥🔥🔥 na ndio kilichotokea
Nilikua namshabikia mtiga bila kumjua jamal baada ya story mbili nilimkubali zaidi jamal yani jamal ni full package anaandika na kusimulia mwenywe namuamini sanaa jamal👏👏👏👏👏likes za professor jamal👌
kwa kweli hata mm sikupenda awali jamal anaanza kuingiza Sauti nikasema kwa kweli the story book ndio kwa heli lakini kadili siku zinavyo zidi nilizidi kumuzoea na saizi namuana jamal kama mjumbe na ni zaidi ya wajuba Jamal wewe ni jembe tena jogoooo kwenye story book wewe ni motoooo tena wa kuotea mbali alafu siku moja mpe SKY asimulie siku moja
Bwana wew ndo professor mwenyewe kabisaaa piga kazi tupo na wew hivi tuna enjoy sasa hivi! Hivi je? Kwanini wana science wengi huwa wanamajina magumu sana?
Yani kweli unayo akili kweli yakuwaza usafiri wa muda yani you’re the best kwangu imenifanya nikawa nawaza bingi san 🇹🇿 mwene mawazo mengi kweli, thx 🙏 to the history
Ukiwa na deep thinking kama Jamal ndio lazma utakua unaongea vitu sensitive km hivo... jamal ni kijana mweny uelewa na ham kubwa ya kujua vinavogpwa kufatiliwa
Naomba huo mwaliko brother Sky nipo interested sana na astronomy... hao akina Neil Tyson nimewasoma sana yaani ukiwafuatilia utagundua siri nyingi sana.
Jamaa yuko vizuri mno anaongea mambo magumu kweli kweli ila atambue tu Dunia hii haipendi watu wenye mitazamo kaa ya huyu kijana yenye lengo la kuwa fungua akili watu, maana tulio wengi tupo kwenye giza la ToToroooo
what Human see in Him whether it is negative or positive will only happen if He change that thing to come out because God does not change a person's situation until he first changes. And God changes what is good that you see is beneficial in you.
I watch this interview and it was wow!! I love it This man is very intelligent because that is how it is when you stick to what is inside you, big up JAMAL 👍👍 tujitafute tujipate then tufanye kile kilicho ndani yetu . Huo ndo utofauti kati yako na mtu mwingine. Once again big up JAMAL 💪🏻💪🏻keep it up.
Siyo Hulka yangu ku comment....ila kwa hii interview naomba kuwapongeza wote...! Jamal anafanya Vizuri....Hongera sana..Skywalker pia..hongera sana. Hii Channel naipenda kwa sababu inatoa vitu ambavyo ni extra ordinary!! Tunajifunza mengi na kufungua akili...! Hongereni sana kwa kazi nzuri...soon hii channel itakuwa popular and you will make a lot of money. Keep the same pase..!
Nilijua tu jinsi zile story zilipokua zinatrend hadi namba 3 kua watamrubuni Mtiga, ila kibaya nikua walimchukua muhudumu wa Chakula kitamu wakamuacha mpishi mwenyewe
@@officialmrtop1018 Bongo nyosso Sana , wahuni wakamjaza kua - Toka huko wewe umeshakua mkubwa kama Millard Ayo Anzisha channel yako acha kutajirisha watu 😃😃😃 Ila nimejifunza kumbe msimuliaji hata awe mzuri vipi hawezi shindana na mwandishi mzuri . Mtiga kwasasa views 10k anawatafuta kwa tochi pamoja na uwezo wake wote wa usimuliaji .
Jamal hongera for that ambitions, lakini about space science you have a long way to go, yaani ni study ya miaka mingi sana, and I can see uko interested na Astronomy, na kuhusu idadi ya nyota ni nyingi kuliko hizo ulizozitaja, ulimwengu(universe) ni collection of galaxies, na galaxy ndogo zaidi bado ina nyota zaidi bilioni, na kuna bilions of galaxies, idadi ya nyota ni zaidi ya punje za mchanga zote zilizopo duniani so it a deep study, and forget abt that physics ya kufikirika kama parallel universe, multiverse and etc
Huyu jamaa ananifanya niamini kwamba naweza kufanya kitu cha tofauti sana kwenye huu ulimwengu. The bad thing is we underestimate our abilities inside of us. Jamal your one of a million in the world
Jamal bib up my bro, this is futures for life , never give up , ivi nani bora kati ya muandaaji chakula na mlaji chakula???? Nipe like yako na jibu lako