Ukhy Asha akiwa na wenzake Ukhty Mwanacha na Ukhty Adila wakiwa katika muendelezo wao wa ushereheshaji wa Shuguli mbali mbali za harusi holini, Jaman mama huyo mama ndio qaswida ambayo Ukhty Asha akiperform.
Kwa mawasiliano zaidi , wasiliana nasi kupitia.
Whatsapp. +255772285543
Call. +255673285543
19 июл 2020