Тёмный

JAPHET ZABRON - FT AMBWENE MWASONGWE -MANENO MAZURI (SMS SKIZA 5430280 TO 811) 

Japhet Zabron
Подписаться 85 тыс.
Просмотров 2,5 млн
50% 1

Genre : Gospel
Artists: Japhet Zabron
Song : Maneno Mazuri
Songwriters :Japhet & Ambwene
Audio : Modern Music (Nsajigwa Mordecai)
Studio : Creative Sound (CS)
Video : Dr Crix
Company : New Era Films
Cont.
Po Box 56
Kahama,Shinyanga
Tanzania.
+255755778378
+255711744091
Email:zabron56@gmail.com

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 822   
@gospotv
@gospotv 4 года назад
Moja kati ya nyimbo zitakazoishi muda mrefu zaidi ni pamoja na huu. Gonga like kama umeelewa!
@liliankiondo4457
@liliankiondo4457 4 года назад
Jamani umenigusa Sana naomba kama unao kwa wastap hata kuulipia nko tayar.0713592849
@johnmbonge1627
@johnmbonge1627 4 года назад
hiyo Ni kweli kabisa
@isackobadiah484
@isackobadiah484 4 года назад
Kwelii Kabsaa 🙏🙏🤝🤝
@evetamakoi9856
@evetamakoi9856 4 года назад
Nabarikiw mnooooo nanyimbo zako kaka
@eddahjulius1115
@eddahjulius1115 4 года назад
@@liliankiondo4457 umeshaupata nikupe
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 года назад
Ambwene mwasongwe ni msanii mwenye karama ya ajabu sana ,akiimba kidogo tuu anafunika sana...naomba like za kutosha hapo kama unakubaliana na mimi
@gervasally6979
@gervasally6979 3 года назад
Na lazma ue.Na akili kubwa na utulivu wa kiroho ili ueze kuelewa Nyimbo zake. Ambwene since day one nakumbuka sana.Nyimbo yake ya Tai huyu jamaa nilimuelewa tangia hapo
@medalinauswege7117
@medalinauswege7117 3 года назад
Na wimbo lazima ukuguse yaan nyimbo zake ni tiba 👏👏
@dansonmapuli2984
@dansonmapuli2984 Год назад
Hakuna ambae ameshamfikia Abwene utungaji wake w nyimbo is very amaizing
@gracebuyuya4349
@gracebuyuya4349 10 месяцев назад
Mm mwenyewe nabarikiwa sana kwa nyimbo zake
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 4 года назад
Nilichovutiwa nacho zaidi ni kuwa, kumbe Msabato na Mlokole wanaweza kuungana na wakaimba wimbo mmoja na ukapendeza hakika. Huu ndiyo Ukristo, tupinge ubaguzi wa Madhehebu ndani ya Ukristo. Hongereni sana kwa wazo hili.
@mariamidrisa1359
@mariamidrisa1359 4 года назад
Imeandikwa sio dini itakayokupeleka mbinguni bali kuishi maisha yampendezayo Mungu . Zaidi ni Neema yake Bwana.
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 года назад
Tunapishana tu siku ya kuabudu na sikukuu za kidini hapo ndipo pana kelele ,maana msabato kashika sheria na mlokole kashika wokovu na siku ya kufufuka Yesu
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 года назад
@@mariamidrisa1359 hakika na si siku ya kuabudu
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 4 года назад
Wote tu watu wa Mungu
@christophermshuza5648
@christophermshuza5648 4 года назад
"Msalaba" hauna mipaka,ukijua thamani ya msalaba utofauti wa madhehebu si kitu,yesu aliwahi kuulizwa,"mwalimu kuna watu wanatoa pepo kwa jinalako,yesu akajibu,"wasio kinyume nanyi mpo pamoja nao.
@joskyshams4758
@joskyshams4758 4 года назад
Kama kuna watu wanapenda mziki wa injili wa Tz ni sisi wakenya. Napendaaasss💃💃💃
@samdan4591
@samdan4591 4 года назад
Wasabato weka like zenu hap
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 3 года назад
Hujakosea
@joskyshams4758
@joskyshams4758 3 года назад
@@samdan4591 mziki ni mziki kusema wasabato ndio kusema nini?
@lynnfavor6058
@lynnfavor6058 Год назад
Josky umepatikana huku🙏🙏💗
@neymafrancis6219
@neymafrancis6219 3 года назад
Huu wimbo utaishi milele na mikele kama unakubaliana nami piga like za kutosha
@ephrahimmasiko9873
@ephrahimmasiko9873 4 года назад
wap,,,,team ambwene,,,weka like yako
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Tupoooooo
@edwinwambali1530
@edwinwambali1530 3 года назад
Mungu azdi kukupa kipawa nmeipenda umebarki miyo wangu
@joshuaelia5194
@joshuaelia5194 3 года назад
@@happymsaki1720 💛
@joshuaelia5194
@joshuaelia5194 3 года назад
Hongera san kwa kazi ya bwana
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 3 года назад
Ambwene mashaili yake mungu anamuona yanagusa kwakwel
@vincentsiangwe9288
@vincentsiangwe9288 4 года назад
Wimbo mzuri,wenye funzo ,,,na ujumbe Bora ...sijabaki nyuma kurepresent Kenya🇰🇪...barikiwa...
@olivergodfrey1721
@olivergodfrey1721 4 года назад
Nyimb nzur
@sisdell1779
@sisdell1779 3 года назад
Who is still here watching, gonga like tuwanenee watu maneno mazuri🥰🥰🥰
@josephsamuel1073
@josephsamuel1073 4 года назад
Huu wimbo ni tiba ya corona, jaribu kuinenea nchi MANENO MAZURI ,,,wagonjwa watabona soon
@divadeusi9530
@divadeusi9530 4 года назад
Fadhili Mtei amen
@eddierwega2012
@eddierwega2012 4 года назад
Amina
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 года назад
Amina
@cyrusndungu3909
@cyrusndungu3909 4 года назад
Kweli tunafaa kumsifu mungu kila wakati pia wakati huu mgumu duniani nzima la janga la corona tumweke mola mbele kwa sababu Bibibilia husema ya kwamba naweza fanya kila kitu juu mola ndiye hunipa nguvu.Asnteni sana kwa kusoma ujumbe wangu na mola awabariki nyote.Thanks
@cyrusndungu3909
@cyrusndungu3909 4 года назад
Watasema Kenyans will die due to coronavirus but the last word about Kenya is kenya belongs to God,Rwanda belongs to God, Nigeria belongs to God ,Africa belongs to God. Even if you hear somebody saying we shall die tell them no no we belong to God. Be blessed
@shedrackdaudi3403
@shedrackdaudi3403 4 года назад
Mafund wa injil wamekutana ama kwl Mungu ni mwm nawaombea kwa Mungu wafke vwango vya juu zaid amen
@rachelmwikali9790
@rachelmwikali9790 4 года назад
Amen
@revocatusizungo9558
@revocatusizungo9558 4 года назад
@@rachelmwikali9790 Amina wimbo huu umenibariki
@safaritweve530
@safaritweve530 4 года назад
Na kweli mafundi wamekutana
@nurucharles2496
@nurucharles2496 4 года назад
Hakika
@mariammichael9773
@mariammichael9773 4 года назад
Shedrack daudi amen
@wambuialice5987
@wambuialice5987 2 года назад
Nimekuja kumtambua Japheth hivi majuzi, jamani aliye karibu nayeye amwambie Wakenya tunampenda Sana. Afikishiwe salamu zetu. This is what Christianity is all about. Feel loved from Kenya. I really love your music, voice and everything. You are blessed beyond measure.
@wambanisheilah8199
@wambanisheilah8199 Год назад
Much love the songs really bless me it of alow tone good to understand and easy to know the message
@hadijasalimu5481
@hadijasalimu5481 4 года назад
🗣Nimerudia huu wimbo Mara 50 nahuu ndio wimbo wangu bora wa mwaka🔥🔥🔥🔥
@monicacosmas6313
@monicacosmas6313 4 года назад
Hakika wimbo unaujumbe mzuri mbarikiwe mwende mbali ila msipotee yani nimeona wimbo umekuwa mfupi cjui Kwa sababu ni mzuri sana
@ujasiriamalijitegemee345
@ujasiriamalijitegemee345 4 года назад
Amin Amin
@neyeliyas4868
@neyeliyas4868 4 года назад
@@ujasiriamalijitegemee345 Mbalikiwe kwujumbe mzur
@verokigabo9570
@verokigabo9570 4 года назад
Miyamba miwili imekutana barikiweni sana watumishi
@namsifucalleb6239
@namsifucalleb6239 4 года назад
Hivi mziki huwa una nini jaman??, kuna saa unahamia mahali kwa muda kama vile sio duniani, unahisi aman hata kama uko katikati ya magumu, kuna saa unasikia kasauti kazuri kanashusha mizigo mizito moyoni aaaaah na hiyi melod na bit composer imegusa sana moyo wangu. Mbarikiwe sana na Mungu. Nyimbo zenye ujumbe wa hv ni chache sana siku hizi. Mungu azidi kuwatumia. Glory to God.
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 года назад
Amen amen
@officialsuzzy9540
@officialsuzzy9540 4 года назад
Muliyahesabu makosa ya mtu, ehh Mungu nipenguvu 😭😭😭😭 kiukweli wimbo huu unazungumuziya Maisha yangu yaaani hakuna tofauti😭😭, Mungu uwe nani siku zote😢😢. Asante kwa wimbo muzuri wimbo wakutiya nguvu. Mungu wangu akuinuwe zaidi🥰🥰🥰🥰
@StephenKasolo
@StephenKasolo 4 года назад
Mungu akubariki kwa wimbo huu umenitia moyo sana.
@michaelkamaghe5046
@michaelkamaghe5046 3 года назад
Mungu akubariki Sana unanibariki sana
@tathiminjulius31
@tathiminjulius31 3 года назад
Ubalikiwe kwa huduma
@jacklinetemba1671
@jacklinetemba1671 3 года назад
@@michaelkamaghe5046 l
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 4 года назад
Wimbo bora wa mwaka🕺🏽 pongezi kwako bro Japheti Zabron
@evelenev2877
@evelenev2877 4 года назад
Nice song yanibariki kweli nipo Gulf
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Walobarikiwa na huu wimbo na Upendo wa colabu wanipe like 31/5/2020
@japhetmalambi4525
@japhetmalambi4525 4 года назад
Nimependa wimbo nimebarikiwa MUNGU awe nanyi hadi ukamirifu wa dahari
@heavenlyprincess1122
@heavenlyprincess1122 4 года назад
Wimbo huu una upako zaidi,MUNGU awatumie zaidi na zaidi kwa ajili ya utukufu wake🇰🇪🇰🇪
@apolnarychristopher7573
@apolnarychristopher7573 2 месяца назад
Huu wimbo unanitoa machozi maana ujumbe ninaoupata ndani yake upo katika maisha yangu.
@kleinmnibi132
@kleinmnibi132 4 года назад
Muwanenee watu wenu maneno mazuri.... woow... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@gracemlavi6648
@gracemlavi6648 4 года назад
Wao wimbo mzuri sana barikiweni aaimbaji na mnaosikia wore sifa kwa Mungu Mkuu!!!
@OpportunityTvchambuaonline
@OpportunityTvchambuaonline 4 года назад
Kaka kazi hii imetulia hata wewe umeona 😁
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 года назад
Wimbo mzuri sana huu
@ngassajuliusmussachallya9034
@ngassajuliusmussachallya9034 4 года назад
From Khon kaen- Thailand nimemtafakari sana Mungu kupitia ujumbe wa wimbo huu kwa machozi. Yesu awabariki sana
@neymafrancis6219
@neymafrancis6219 3 года назад
Huu wimbo nausikiliza kwa siku hata mara 10 the best song ever👋🤲💘💘
@elizabethpaschal8218
@elizabethpaschal8218 4 года назад
Nimebarikiwa sana kwa wimbo, nimebarikjwa zaidi kuwaona role models wangu wakiwa wamefanya collaboration...Hakika najifunza
@BsjbGzioz
@BsjbGzioz 9 дней назад
Nitatoa mwanaume kama huyu japhet wapi mwenye atanisongeza karibu na neema ya Mungu zaidi sio wa kunitoa??ee mungu sikia ombi langu@japhet zabron
@nehemiahmaeri7159
@nehemiahmaeri7159 4 года назад
Wimbo mtamu kaka!
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 года назад
Sante bro
@joycemaige7088
@joycemaige7088 4 года назад
Saaan
@elizasule4944
@elizasule4944 4 года назад
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwapandisha viwango vyake, nawapenda sana Hawa watu maneno mazur na wimbo umetuliaaa, umeimbika vizur sana sauti pamoja Melody iko safi sana. Mungu aeendelee kuwabariki muendelee kumuimbia.
@gladymoshi6738
@gladymoshi6738 3 года назад
Huu wimbo mmeniinbiaa mm kabisaa Mungu awabariki sana jaman
@ikupamwaisoba4118
@ikupamwaisoba4118 4 года назад
Niseme namshukuru Mungu kwa ajili ya vijana wawili hawa wanyenyekevu wimbo huu na uwe manukato mbele za Bwana
@victorandrew7755
@victorandrew7755 4 года назад
This song ni tiba ina maneno adimu yanayoponya ikizingatiwa, nimebarikiwa, Mungu azidi kukubariki😍😍
@geofreyjulius9031
@geofreyjulius9031 4 года назад
Amen
@jacksonmashaka9322
@jacksonmashaka9322 4 года назад
Kwel mung yuko pamoja nayi mbarikiwe
@thelightofjerusalem4309
@thelightofjerusalem4309 2 года назад
Furahini pamoja na wafurahio.. pia lieni pamoja na wwliao .... Kubarini kushuhurishwa na mambo manyonge.. chozi la aliae Kwa mwenye huzuni Lina thamani ... Kuliko cheko la achekae na achekae aijue huzuni. Ya mnyonge humaanisha kuliko achekae na mwenye furaha🙏🙏🙏🙏🙏 Nabarikiwa na fungu hili...
@jeannettekeza6434
@jeannettekeza6434 3 года назад
Ambwene wewe napendaga kukufwata wakati nikiwa na njaa kwa sababu nikisha shiba nyimbo zako sizielewagi ! Wewe ni jembe mungu akuzidishie Asante 100 💯
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 2 года назад
Nabarikiwa nikiwa Oman Asante wapendwa kwa ujumbe
@rahabujohn2691
@rahabujohn2691 4 года назад
Mbinguni hakuna myahudi wala myunani
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 3 года назад
Abwene kaka hayo mashaili yako mungu anakuona kwa kweli yanagusa na yanaponya
@RizikiMpallateongoogle
@RizikiMpallateongoogle 4 года назад
A good song indeed, what an emotional melody. Pass my Congratulations to the beat composer.
@bettymtaki7038
@bettymtaki7038 4 года назад
Nimebarikiwa sana na nyimbo hii MUNGU awatunze nyote Japhet na Ambwene
@rejinakobali3464
@rejinakobali3464 4 года назад
Mungu awaongoze mfike mbali ila msipotee, ukristo hunia mamoja
@JumaSatarajr
@JumaSatarajr 6 месяцев назад
Mumekata kusimuriya mema ya ngu mimi japo mwayajuwa Mumenyamanza Natamani sikumoja Nikuone live tupeane mikono🤝⌚🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@davidonlinetv1989
@davidonlinetv1989 4 года назад
Kaka hongera sana, huu nikiusikiliza najifunza kitu, na ni wimbo wa kufikirika, Big up bro
@graveengrave2936
@graveengrave2936 4 года назад
Hiii kweri tibaa ya corona Barikiwa saaaaana watumishi
@sheboenock7677
@sheboenock7677 4 года назад
Natamani huo mwimbo ungekuwa hata na Dak 10hivi mana unagusa moyo balaa ,,, dah! Sifa za mtu nzuri hunenwa wakati akifa "" Hongera Japhet Zabron
@martinamayala4865
@martinamayala4865 4 года назад
Nyimbo inanimalizia Mb hii jamani
@StephenKasolo
@StephenKasolo 6 дней назад
Wimbo mzuri na unaonitia moyo wakati nipo chini, ata Kama mimi ni mtumishi kwa njia ya uimbaji huu wimbo ni sehemu ya maisha yangu. 👏🙏
@justusmyelloofficial2773
@justusmyelloofficial2773 3 года назад
Ndivyo walivyo watu. Asante kwa wimbo wenye maadili
@seleman-MW
@seleman-MW 4 года назад
I show love💕 from rwanda 🇷🇼
@angelamarlow510
@angelamarlow510 4 года назад
Mungu anawapenda nanyi mzidi kudumu katika Imani yake Wapendwa mlitubariki mnoo mtaa wa kibamba 💖
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 года назад
Amen,tutawamiss sana
@angelamarlow510
@angelamarlow510 4 года назад
@@japhetzabron1881 sisi pia
@amanibwire4423
@amanibwire4423 4 года назад
Mtunzi Mungu akuzidishie miaka yenye kheri na hekima, maneno ya wimbo huu ni mazito, na machungu yanauma sana wanadam tumekuwa wakulaum na kusemana vibaya hasa kwa madhaif hakuna faraja ukiwa hai,mtunzi nataman sku moja nkushike mkono tu ili nifurahi na kufarijika kwa ujumbe huu🙏🙏
@dastanfuraha9967
@dastanfuraha9967 4 года назад
Umenibaliki sana huu wimbo, be blessed 🙏 kwa watunzi na Mungu awaongezee kila iitwapo leo Amina
@ceciliamndeme7441
@ceciliamndeme7441 4 года назад
Kwakweli huu wimbo ni mzuri una ujumbe mzuri Sana Mungu awabariki Sana watumishi na endeleeni na unyenyekevu huohuo hakika Roho mtakatifu atukuzwe Sana
@alicemwakaselo2431
@alicemwakaselo2431 4 года назад
Nyimbo nzuri nimebalikiwa sana
@daviesmwashigadi6642
@daviesmwashigadi6642 3 года назад
Romans 12:18 "As long as it depends on you live peaceably with all men" in every situation you're in strive to choose peace and kindness irregardless of what has been done to you or what you feel
@sarahnjeri6863
@sarahnjeri6863 4 года назад
NICE song's blessing listening to you guys here in Kenya
@faithchepkirui122
@faithchepkirui122 12 дней назад
Anyone watching today,I love Zabron singers.Talented family/friends.God bless them for me.Lots of love to you’ll❤❤❤
@GeorgeMsonge
@GeorgeMsonge 4 года назад
Zabron Singers ni kwaya Nzuri sana!!!!!!!!!! Hongera sana kwa kipaji mlichonacho cha kumtukuza Muumba wetu!
@lightnesspaul8950
@lightnesspaul8950 3 года назад
Nyimbo ninayoisikiliza bila kuichoka.nimeiangalia bila kuhesabu ni Mara ngapi,naona mpya kila siku😘😘👌👌😍
@robertlusweti2423
@robertlusweti2423 4 года назад
Hongera kwa hekima ya kuungana na kuimba wimbo huu unao ujumbe wa Yesu Christo mkombozi wa watu wa tabaka mbalimbali. Mungu akusidizie hekima.
@derickkulwa8595
@derickkulwa8595 4 года назад
Hakika wimbo unaujumbe mzuri sana mwenyezi mungu hawabariki kwa vipawa vyenu vizidi kusonga mbele hadi mwisho wa maisha yenu
@petermpamba7254
@petermpamba7254 4 года назад
Asante Jehova kwa muunganiko huu haleluyaaa
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 4 месяца назад
The very best song among the best with deep meaning which need Holy Spirit interpretation. I came to understand yesterday 12.5.24 that the words Abwene sang are in Romans 12 the last verses. That's always my joy when we sing scripture based song,it carries a big revelation. Songs Helps in understanding the Bible more. More love from 🇰🇪🇰🇪God bless you and continue worshipping Him in truth and Spirit. Amen
@rosedaniel1981
@rosedaniel1981 4 года назад
Kwaupako uleoko ndan ya huu wimbo nimeuona wimbo umeisha haraka..mbarikiwe daima
@maggymaggy9825
@maggymaggy9825 4 года назад
Wow best advice through song... Wimbo mzuri.. Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@agnethadeus3394
@agnethadeus3394 4 года назад
Jamani huu wimbo naupenda sana nausikiliza kila mda mbalikiwe waimbaji 🙏🙏 mwambieni mtu wema wake bado yuko hai sio msubili akishakufa
@geoffreystafford7194
@geoffreystafford7194 4 года назад
Tusijivunie akili,,Tuseme mazuri kabla hawajafa Ok ok ok ok
@anethbuhung7544
@anethbuhung7544 4 года назад
Mbalikiwe saana jaman wimbo mzuri sana Mungu awatie nguvu mzidi kuitangaza injiri
@AlphaDaimon
@AlphaDaimon 7 дней назад
Sauti za dhahabu,, Huu ndio Ukristo, tukatae kutengwa na madhehebu
@jeannettekeza6434
@jeannettekeza6434 3 года назад
Heee ama kweli huu wimbo nimeisha usikiliza zaidi ya mara 10 hadi nime amuwa kuacha andiko ! Mmhhh kwakweli dunia watu wapo tayari kupoteza uhai wa mtu ili nafsi zenu zi furai eeh yesu tu sameh 😌😟😟😟😟
@TheMofierce
@TheMofierce 4 года назад
0:40 Vile Bass guitar imeingia plus harmony on the vocals 🔥🔥🔥
@wakatiponda8557
@wakatiponda8557 4 года назад
Barikiwa sana mtumishi wamungu utukumbusha
@DoctorEvarist
@DoctorEvarist Год назад
Wimbo wangu pendwa Mubarikiwe watumishi wa Mungu🙏🙏
@amosmalaba5
@amosmalaba5 4 года назад
Hakika ni vyema kusema mazuri ya mtu angali hai kuliko kusubiri aondoke duniani.
@veronicaeliya8291
@veronicaeliya8291 4 года назад
mkubali kushughulishwa na mambo manyonge,,,,wimbo mzur sana mbalikiwe sana
@matondokija1950
@matondokija1950 4 года назад
Hakika tuwa neneee watu ma neno mazuri na bwana akubariki msikilizaji utafakari ujumbe huu kwa making nawe utabarikiwa
@chrismcks
@chrismcks 4 года назад
Wimbo huu ni mubaraka saba kwangu, siwezichoka kuisikiliza,,,,Mungu akujalie kwenye utunzi huu
@user-id9vz6yn2v
@user-id9vz6yn2v 11 месяцев назад
Moja ya nyimbo za injili zinazowaleta watu kwa Bwana.utukufu apewe Bwana wetu Yesu Kristo amina
@wemapanga2108
@wemapanga2108 4 года назад
That lyrics i met my self in heaven already playing with Angels, dancing wow so amazing, unfortunate I realise am still on Earth having stay home challenge, gooosh even this will be over in Jesus name, thnx you made my day.
@lucysamson4720
@lucysamson4720 4 года назад
Nabarikiwa sana kaka Japheth & ambwene Mungu azidi kuwainua ili ulimwengu ubarikiwe
@muunganotv
@muunganotv 4 года назад
UBARIKIWE JAPHET
@manasemoses6922
@manasemoses6922 3 года назад
Maneno ni baraka tujitahidi kuzichunga ndimi zetu Mungu awabariki kwa ujumbe huu
@hellenkianira8287
@hellenkianira8287 4 года назад
I'm blessed here in Germany God bless you my brothers and sisters in christ
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 года назад
Happy to from u
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 года назад
@@japhetzabron1881 bro japhet nisaidie namba yako tuwasiliane ninashida ya kurekodi wimbo wa video nisaidie bro tuwasiliane unipe mwongozo
@hellenkianira8287
@hellenkianira8287 4 года назад
@@japhetzabron1881 may God always shower more more blessings to you
@irenejepkorir111
@irenejepkorir111 4 года назад
@@jackyluns8224 I.. I.ij I
@vgerard6078
@vgerard6078 3 года назад
That’s great song
@rahabujohn2691
@rahabujohn2691 4 года назад
Bwana hachagui msabato wala mlokole bali wafanyao mapenzi yake.
@nestoryklevakleva929
@nestoryklevakleva929 3 года назад
Siokweli 1:mafundisho ni tofauti 2:siku ya kuabudu ni tofauti 3:maadili ni tofauti n.k sema hapo wameamua kutafta hela tu ila kimaandiko haikosawa(watu wawili wataendaje njia moja isipokuwa wamepatana?)
@raymondmnyenyelwa9012
@raymondmnyenyelwa9012 4 года назад
Kabura hata sijasikiriza hi nyimbo nimejikita ninaamani gafla mbarikiwe watumishi wamungu
@anneruguru2111
@anneruguru2111 4 года назад
Such a blessing. In these days of social media where people are bashed needlessly. May God Bless Japhet and team exceedingly!
@justineniyukuri5120
@justineniyukuri5120 4 года назад
Amena mnatubariki sana MWENYEZI Mungu awabariki
@victoreddieofficial2605
@victoreddieofficial2605 4 года назад
This young man is blessed
@gauedwin1960
@gauedwin1960 4 года назад
Abundantly 🙏
@elizasule4944
@elizasule4944 4 года назад
Kabisaa
@chrissjoshua4877
@chrissjoshua4877 4 года назад
niliachaga kuangalia na kusikiliza gospel hapa kwa hii nimerudi tena kwa kundi
@elmasroj9712
@elmasroj9712 4 года назад
Japhet hujawahi niangusha maana ujumbe mzuri unagusa mpendwa wangu nimefurahia mno
@joshuajoshua7651
@joshuajoshua7651 4 года назад
Combination ya hawa jamaa naipenda Sana. Wote ni waimbaji wa kipekee Sana,
@meleniafrancis9462
@meleniafrancis9462 4 года назад
Wimbo mzuri sana mn wamekutana mafundi wa kuimba nyimbo za injili
@priscacosta8752
@priscacosta8752 4 года назад
Dah Mungu awabariki mmefikisha Neno mwenye hekima atajifunza na ladha ya wimbo ni amazing
@RahelKangagha
@RahelKangagha 3 месяца назад
Mwimbo huu utaishi na tutaendelea kupona kupitia wimbo huu, barikiwa kaka ambwene na japhet
@johnkabambala6995
@johnkabambala6995 3 года назад
Huu wimbo unastahili kubeba tuzo. MUNGU akukumbuke kama unavyo mtumikia kwa njia ya nyimbo "ZENYE MATUMAINI" hongera sana.
@eusebiaurassa3417
@eusebiaurassa3417 Год назад
Ukipenda gospel song Amani muda wote inakuwa nawe, nabarikiwa Kila wakati🙏
@jesuschristtvworldwideM1000
@jesuschristtvworldwideM1000 2 года назад
Wimbo huu hakika Utaishi siku zote hakika hakika Bwana Ametenda Nanyi Wana WA Mungu Mkuu Mwenye Enzi Zote Kwa Damu Ya Masii Kristo Mfalme Yesu WA Uweza Na Uzima
@masterdaveprojections
@masterdaveprojections 4 года назад
MUNGU akubariki sana mdogo Wangu, tunamshangilia MUNGU kwa kukutumia kwa namna Hii ya pekee. Barikiwa sana
@johntunzo8178
@johntunzo8178 4 года назад
Jamani kristo azidi kuwabariki watumishi. Wa krsto asanteni sana
@YadadDeus
@YadadDeus Месяц назад
Nyimbo zako zina i jenga imani yangu sana mno. Mbarikiwe na Bwana. Nawapenda sana toka Goma, DRC 🇨🇩 ❤
@tyttusmurimi6555
@tyttusmurimi6555 4 года назад
There is nothing uplifting like lyrics that Attest the true word of God.
Далее
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
JAPHET ZABRON - NAWAKUMBUKA (official video)
5:09
Просмотров 924 тыс.
JAPHET ZABRON - NIACHE NIENDE (official video)
5:25
Просмотров 285 тыс.
Imenigharimu by zabron singers
4:27
Просмотров 7 млн