Тёмный
No video :(

JASINTA: Diamond akitaka Tuzae Tutazaa, Zuchu sina shida nae, yupo toauti na ma ex wa Diamond Part 2 

LilOmmyTV
Подписаться 546 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Tazama interview part 2 ya Mrembo / Model Jasinta akiongelea ishu ya Mahusiano ya Diamond na Zuchu na yeye kujilengesha kwa Diamond, Kumzalia mtoto na ukaribu wake na Zuchu?
Subscribe, Like, Share

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 10 месяцев назад
Yes zuchu is different, and she must be different that why Simba Loves her..whatever Simba missed from his past girlfriends, he is getting it from Zuu..na kila mwanamke anauzuri wake...zuchu iko juu 👍
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 10 месяцев назад
I agree with you. You can see Diamond is happy hen ever is with Zuchu and the Wasafi equip.
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 10 месяцев назад
@@agbordorothy4901 Absolutely
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 10 месяцев назад
Exactly
@vinny.morales
@vinny.morales 2 месяца назад
Kweli kiingereza kigumu. Mpaka ume-edit😂.. haya tulia sasa maana hujaulizwa ila maelezo marefuuu kama nyonyo zako zilizoning'inia hapo kifuani.
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 10 месяцев назад
Uyu dd nampndaga yasinta nakumbuk mtoto wa rafkkk yangu anaitwa Asante majina yanaingiliana Asante na yasinta
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 10 месяцев назад
❤❤❤Xuhura na Mondi,,,mtsumis sm
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 10 месяцев назад
I love her confidence and also she's a national emblem 🦒 🦒 😍😍😁
@marleshjimmy1972
@marleshjimmy1972 10 месяцев назад
Me too
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 7 месяцев назад
Safi mademu kama hawa nawapenda xn nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi goood
@sweet16honey75
@sweet16honey75 10 месяцев назад
Diamond alisema MTU akitaka kuza Na yeye ni mpaka amlipe
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 10 месяцев назад
Makubwa umlipe ili uzae nae 🤣🤣🤣
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 10 месяцев назад
Hawa maex wa simba most of them wametengeneza miili na kutengeneza sura baada ya kuachana na simba
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 10 месяцев назад
C'est vrai
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 месяцев назад
Kumbe umeliona hiloo😂😂😂nasema peke yangu tuu
@sadokenaseebu
@sadokenaseebu 10 месяцев назад
Wata subiri Sana
@user-rr6zh5uf9y
@user-rr6zh5uf9y 7 месяцев назад
Ommy we miss @country wizzy here
@ElizabethNelson-bh2ij
@ElizabethNelson-bh2ij 10 месяцев назад
Jaman kama unaulizwa kiswahil unajibu ngele manake nn anaekuuliza yy manake hajasoma?????wabongo achen hzo
@vinny.morales
@vinny.morales 2 месяца назад
Ni kawaida kuchanganya lugha ili kuweza kufikisha ujumbe. Kama hupendi nenda kanye kisha unye tena afu ulale
@Espe2009
@Espe2009 10 месяцев назад
Jamani uyu Zuchu ananyima laha watu wengi. Nabado litawachoma
@Its_SarahQ
@Its_SarahQ 10 месяцев назад
Zuchu amevuruga watu wengi sana akili😅
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 10 месяцев назад
Sanaa na Bado watameza dawa za pressure Sanaa 😂😂😂maana zuchu ndo alishapendwa na Mungu hataanguka 👏
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 10 месяцев назад
Mimi nilisema zuchu hana ubaya wowote ambao watu wanamtukana nao zuchu ni mwanamke wa kawaida tu sio mbaya, ila wanawake wengi wanatamzni kuwa na diamond kwenye mahusiano ya kimapenzi wanaumia sana kuona diamond amemchagua zuchu sio wao ndio kinachowauma na kuanza kumtukana zuchu, zuchu hana tatizo lolote tatizo ni diamond ndio anawauma kuwa na zuchu kwenye mahusiano ya kimapenzi wanaumia kuona zuchu ni mwanamke wa kawaida sana kwa nini? awe kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwenye pesa nyingi kama diamond na wasiwe wao wenye uzuri wa crime na matako yao makubwa ya bandia ya uturuki 😂 😂
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 10 месяцев назад
​@@yusternyirenda7231vous avez dit toute la vérité bravo
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 10 месяцев назад
Kila mwanamke anauzuri wake na uzuri wa chai sio rangi ni sukari yaani mnaumia kweli zuu kuwa na simba
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 10 месяцев назад
sio kweli halafu ni maneno tu hayo usi-catch feelings😊
@vinny.morales
@vinny.morales 2 месяца назад
Si bure, utakuwa period. Maana sio kwa ku-catch huku. Halafu utakuwa unaishi Buguruni Malapa au Kwa Azizi Ally
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 10 месяцев назад
Wewe ulijiangalia pia una uzuri gani shoga angu kwa icho kichwa kirefu chefuuu☺️
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 10 месяцев назад
Sio type yko😅😅
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 10 месяцев назад
Bado hajasema 😂😂 Zuchu anawaumiza na bado atawaumiza tu 😂😂😂 Simba ametembea amekula mbivu na mbichi ,amejua uzuri na ubaya ya kila aina ya mwanamke 😂😂😂😂
@zenahmugo1974
@zenahmugo1974 10 месяцев назад
@@Its_SarahQ kuacha Nini sasa 🤔 what are you even talking about juu sikuelewi
@dianamonyo1960
@dianamonyo1960 9 месяцев назад
​@@zenahmugo1974amesema vizuri tu
@dankhany3385
@dankhany3385 10 месяцев назад
lil ommy good
@AbekyaWalulika-li2tp
@AbekyaWalulika-li2tp 10 месяцев назад
🦒🦒❤
@carloskayanda
@carloskayanda 10 месяцев назад
Kingereza kingi dah
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 10 месяцев назад
ZUU NI MZURI KULUSHINDA DD NYOTQ YAKE INAWAKA IFIKIYE ATUWA MUMUACHE KUMUONEA WIVU
@Emiliana97
@Emiliana97 10 месяцев назад
The dude dint see the difference wewe ni Nani Uliliwa behind bars now here trying to throw bitterness 😂😂 Ulitegemea utakua publicly introduce na umekua dumped Kwendraaaa mshamba wa kihaya Go heal buanaaaa👺
@husseinmasangya1272
@husseinmasangya1272 10 месяцев назад
😂😂😂😂
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- 10 месяцев назад
Diamond karogwa yaan huyu ndo dem sasa
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 10 месяцев назад
Acha uchuro huyu sio mwanamke amwache zuchu wetu na mond wake
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- 10 месяцев назад
@@mohammadoman8963 😅😅
@vinny.morales
@vinny.morales 2 месяца назад
​@@mohammadoman8963Ndugu Mudy unafaa sana kumzalia Diamond👏🏿
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 месяца назад
@@vinny.morales pumbavu zako mwanaume anazaa fisi ww
@alexking2020
@alexking2020 5 месяцев назад
Diamond is a clown.2000 hip hop busy in 2024
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 10 месяцев назад
Wewe acha Mond na zuhura wapete wewe sio chaguzi ya Mond
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 10 месяцев назад
Anamtaka mondi anapindisha maada eti angetaka kulala na diamond angelala nae hata sasa ivi anaweza lakini hataki, lakini alipoambiwa kuzaa nae amekubali anazaa nae 😂 😂 zuchu kuwa na diamond anatakiwa kuwa na roho ngungu sana maana kuna wanawake wengine wanamtaka diamond kwa nguvu bila hata yeye diamond kuwataka duu huu ni msiba mzito walai
@vinny.morales
@vinny.morales 2 месяца назад
Na nyie acheni umbea. Angalau yeye ana muonekano. Sio nyie vinyago vya mpapuri hata mangi wa dukani hawataki.. haoooooo🤪
@salumungassa9217
@salumungassa9217 10 месяцев назад
Mie xipend ayo ma ngeli yenu mzania ote tumexom km nyie pumbav
@vinny.morales
@vinny.morales 2 месяца назад
Ukome kuwa mtoro shule. Sisi wenzako tunaenjoy tu anavyoongea Kiingereza
Далее
مسبح السرير #قصير
00:19
Просмотров 2,1 млн
New Dyna Skin is OP🥵🔥 | Brawl Stars
00:16
Просмотров 566 тыс.
مسبح السرير #قصير
00:19
Просмотров 2,1 млн