Тёмный

JE DOKTOOR IS'LAMU ALLAH AMUHIFADH AMETOLEWA KATIKA SUNNAH. 

الوسطية
Подписаться 865
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@user-wl9gg6km7u
@user-wl9gg6km7u 2 дня назад
Sheikh Allah akuhifadhi. Hakuna kingine ni hasad tu. Doktor Islam hafidhahu Allah ana durus za riyadhuswalihina na tafsir ya Quran na nyihinezo. Nyinyi ni mafattan .
@ngayonga417
@ngayonga417 Год назад
Shekhe upo sawa kabisa ktk mazungumzo yako.
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Год назад
Jazaaka llahu ya shaikhana allah akujaze ghilmu na hekima na akupe umri mreeefu wenye kheri na ww
@AbuuSaad-ut4fd
@AbuuSaad-ut4fd 10 дней назад
Ameshafariki juzi jumamosi baada sikukuu ya mfungo 3 mwelimu wetu huyuu Allah amrahamu
@bahashachembea6922
@bahashachembea6922 Год назад
Safi sana nimeipenda sana MashaAllah
@yazidbafunda5092
@yazidbafunda5092 Год назад
Mmmh......, Jibu maswali kwanza usitukane waislamu watakucheka wanajitambua
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg Год назад
Baaraka Allaahu fiik
@ayyamirubba5226
@ayyamirubba5226 Год назад
Jazaaka Llaahu khayrah.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 7 месяцев назад
Barakanllah fiik
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 Год назад
Ama kweli shk Allah amuhifadhi anaona mbali na ndo akasema sikilamtu ajibiwa Kuna majaahil na mahasid kama Hawa cwakujibiwa maskini kabisaa cjui Yemen miaka yote alkua akufanya nn akiuza asali ama akisoma
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 10 дней назад
Wewee ni hizbi kjana
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 9 дней назад
@@HassanHamad-rf9tq au sio alhamdulilah alama za mahizbi za julikana na alionazo anaonekana mahizbi na maikhwan WA fuyush nyny
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 9 дней назад
Wewee kijana una taasub na huyo shekh wako mafuta bin oil unamfanya kama vile hakosei hali ya kuwa Ana mambo ya kihizbi ​@@abuuawadhassalafy1594
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 9 дней назад
Hizbi LA pongwe @@abuuawadhassalafy1594
@mussarashdy7923
@mussarashdy7923 Год назад
Shekh nadhan haujaskliza kwa uzur radd zake, naomba nkwambie kuhus kwemda ktk miskt...shekh hakusema kwenda ktk miskt ya ahlul-bida'a haifai bal kasema yafaa may b kwenda kutoa muhadhara, darsa, khutuba n.k....
@abuuayman4737
@abuuayman4737 Год назад
Siyo kusikikiza huyo uelewa wake ni mdogo na hajui manhaj
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
Sasa si utahira .ifae kuingia msikitini na isifaye kutoa darsa? #salafy mna laana mmetukana sana waislamu sasa nyie kwa nyie
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Duh!!Kumbe kuna watu wanazo daraja za kuwatowa waislamu ktk Sunnah?! Wonderful enough!!!
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 7 дней назад
Kazi ya kassim mafuta
@sleimaanbuda7996
@sleimaanbuda7996 Год назад
sasa ndio unaongea nini, WEW upo pamoja na Barahiyani jielewe wew
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Iyyakum wal hasadi.
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Год назад
Umeishiwa kaka
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
chizi
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 10 дней назад
Hizbu salaf
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Heeeee! Wewe umepinda kweli kwa maneno haya
@mengihashimu1081
@mengihashimu1081 Год назад
Km ulisikiliza radd Kwa Dr Islam Mohamed salim (Allah amuongoze Sisi na yeye) basi ujaelewa.
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 10 месяцев назад
قال الشيخ ربيخ المدخلي حفظه الله. ٱذا خالف شيخك على الحق فاترك شيخك وتمسك بالحق هذه هي السلفية الحقة
@ahmednurhussein3872
@ahmednurhussein3872 Год назад
Kazi yako kuwatetea mahizbi
@mohdmmanga7304
@mohdmmanga7304 Год назад
Hizbi gani??
@mkude
@mkude Год назад
Taja uhizbi wake,nyinyi vipi,nyinyi ndo mnajiona mmetakasika sanaa
@ibnomar8144
@ibnomar8144 Год назад
Leta dalili kuhusu ayo maneno yako
@AbuuSaad-ut4fd
@AbuuSaad-ut4fd 10 дней назад
​@@ibnomar8144hana dalili huyoo na hatojibu kwa neno lake hiloo
@AbuuSaad-ut4fd
@AbuuSaad-ut4fd 10 дней назад
Uhizbi gani alonao Abuu muaawiya.. ni chuki tuu sababu anajua mambo nao hawapendi
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Shetani anafuraha kubwa waislamu wanavoitana majina mabovu ya kukejeliana. ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Anaona. Kiraaman katibiina wanaandika. Na ALLAH SUBHANAHU WATAALA Anawajua wakweli zaidi miongoni mwetu. "Man swamata naja."
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg Год назад
Raadi yenye uadilifu na inswaaf
@simbaramadhan1882
@simbaramadhan1882 Год назад
Mm na mpenda huyu shekh anaongea ukwli mahaddaad huwa Wana penda kulindana ukweli hawausemi wakikosea kwanin
@zuberibaharia7662
@zuberibaharia7662 Год назад
We unamteteaje mtu anayemtetea barahiani (allah amuongoze) ambaye amewakosea adabu wana wachuoni ndani ya kitabu chake (kijarida cha udaku)
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
kwani barahiyani kafir mshenzi ww
@user-su1zw7eg1h
@user-su1zw7eg1h Год назад
Ssa WWE ukosee adabu wanazuoni bimaana msimamo wake ' upi?
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 10 месяцев назад
كان الامام أحمد بن حبل رحمه الله. اللهم من كان من هذه الأمة على غير الحق وهو يظن أنه على الحق فرده إلى الحق ليكون من أهل الحق
@khalidjuma5530
@khalidjuma5530 6 дней назад
والله صحيح، ولاكن شيوخنا يمازجون ويطعنون بينهم بلا فائدة, ولو كانو ينقدون على خير لكان خيرا لهم وخيرا للعام
@HamkingCompanyLimited2023
@HamkingCompanyLimited2023 Год назад
shekh mbona inaonekana umekurupuka sana, inaonekana hujakaa ukasikiliza vzur, au hujasklza kwa makini hzo rudud za dr islam. mbona manen ya shekh yapo wazi kabsa.
@ibnomar8144
@ibnomar8144 Год назад
😂😂😂😂😂 uyo Qassim mafuta bado saaana yeye kazi kupigiya watu fujo yeye kama ni mkweli amuite Dr wakanaye chini amradi maana uwislam ni ule ule na vitabu ni vile vile tuone kama atacharuka zamani nimekuwa nikipenda sana kumsikiya Qassim mafuta ila nimeona sio sheikh wakufata kwa sababu ana hasada na chuki na ma sheikh wengine wa sunna utasikiya kila mtu ni hizbi ivi unaweza kuleta ayah wala hadith kuwa Mtume swallalahu alayhi wa salam aliwayi kuzungumziya mambo ya hizbi ima salafi ao alitwambiya tufate coran na sunna?
@mussafadhilmussa1673
@mussafadhilmussa1673 Год назад
Ndo asharudi
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 10 месяцев назад
قال لي عبدا لله بن السري رحمه الله. ليس السنة عندنا آن ترد على أهل الاهواء ولكن السنة عندنا أن لا تكلم أحدا منهم
@khamisali5978
@khamisali5978 Год назад
Mm nna audio zako tngu unafundisha magengeni Amani, salafi kwako alikuwa Sheikh Rabi'i tu hkn mwngne
@abuuothaymini5224
@abuuothaymini5224 Год назад
Shenz
@MusaChambi
@MusaChambi 7 дней назад
Kua salfi ndyokua mwi isilmu au utakua umetoka katika wisilamu
@khamisali5978
@khamisali5978 Год назад
Watu wana shughuli zao, watu hawana habari na ww.
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Em rudia kweny rudd alizo radiwa ndio ujibu
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Год назад
Watu wengine mpaka kwenye fitna ndio tunawasikia nao wanasema lakini darasa zao hatuwajui
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Mama ako ana darsa wapi
@ibnomar8144
@ibnomar8144 Год назад
😂😂😂😂😂 shida ni pale mnaleta ushabiki katika dini ebu acha nikulize kati ya Bilal ibn Rabban na Abu khuraira na ( Allah awaridhiye ) nani kapokeya hadith nyingi katika ya hao wa 2 na nani aliye ingiya mbele katika uwislam katika ya hao wa 2 mweye mnataka kila mtu asikiye maoni ya Qassim Mafuta hakawa na nani katika dini iyi ya Allah ? Tuko na Coran n Sunnah ndio muongozo wetu sasa uyo mafuta abaki na majina yake yaki safi tuone kama atazibiya kuangiya mtu Jannah.
@khamisali5978
@khamisali5978 Год назад
Kwa maneno yako ht kwa Yahya Hajuri inafaa kurejea kwake? Maneno ya Sheikh Muqbil sio wahyi, kw wakati wake inawezekana ilikuwa hvyo ila km mtu katoka kwnye usawa hatuwezi kushikamana na hayo.
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
We umepindaa
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
mama ako hajapinda
@ibnomar8144
@ibnomar8144 Год назад
😂😂Qassim mafuta njoo kanyoka akoseyagi ni malaika 😂😂😂😂😂 bala hili hata maswahaba walikoseya checheme itakuwa yeye
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 18 дней назад
Kassim oil hizbi mkubwa
@baarutmazrui5186
@baarutmazrui5186 Год назад
Mmetuchosha
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Kuwaradi ikhuwani musilimina sio wajibu kuwatetea ndio wajibu au ? Unaongeya pumba
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
#HIZB_TAHRIR hamna uwezo wa kuiradd labda kuitukana Na haina time na nyinyi #MBWA_KOKO_majasusi
@ibnomar8144
@ibnomar8144 Год назад
Ngo nayeye ni Muislam sasa wakutukana watu Muislam mwengine ao njoo usalafi unavyo wafunza ? Mswiba hajuwi kuwa ni haramu kumtukana mwislam mwenzake wala hujuwi kuwa Mtume swallalahu alayhi wa salam anasema kama hauna njema la kusema kaa kimya sasa sijuwi ni dini gani ya kutunana ivo sio uwislam huyo labda ni dini nyingine ya usalafi
@khamisali5978
@khamisali5978 Год назад
Wewe umeishiwa tu saa hv, kaa na kimolo mufanye yenu. Abul Fadhil humewezi, tafuta kazi ufanye.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
uyo mtume wenu wa tanga quran hajuw
@khamisali5978
@khamisali5978 Год назад
Qur an unajua wewe sahaba
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 18 дней назад
Kassim mafuta hamuwezi huyo kijana
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Hauna hoja sheikh muhawiya sheikh kasim mbona kaweka wazi juu ya makosa ya Abuu Islam
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
No dr islam
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
hoja gani
@ibnomar8144
@ibnomar8144 Год назад
Yani ilo jina la Dr linawaumaga saaana roho maskini cheo kinatoka kwa Allah
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 Год назад
Huyu nishekh gani?
@therealyrm6674
@therealyrm6674 Год назад
Huyu jamaa mnamuelewa lkin mbona kama anaanza tamheed ?
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Hahaaaaaa😂 we umepinda hata ukatae
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 дней назад
Huyo mafuta alosema usiende kusoma markaz omar bin Khattwaab kariakoo dar es salaam harafu yy ameenda kutoa darsa 😂😂yy tumuite nani maan anaruka ruka tu haeleweki
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Kwakwel kumtetea dr islam hali yakuwa yeye ka mtetea barahiyani na uyo barahiyani anateteya jitu moja muhamadi sururi nimefatilia uyo sururi wana wajuoni wa sunna wa memtaadharish afu barahiyan ana mtetea abuu muawiya sasa unadhirisha kupinda kwako
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Год назад
huja elewa babaa nzi hakai ktk kundi la nyuki .... thibitisha
@UB40X1
@UB40X1 Год назад
Wewe ni nani?
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
We hauna hoja
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
#salafy akili zenu hata #Iblisi anaweza kuingia usalafy
@saidishalako
@saidishalako Год назад
Maulid lazima yabakughuri
@amirmikidad6380
@amirmikidad6380 Год назад
UJINGA MTUPUUUU,,WAISLAMU NYINYI HAMNA CHA KUONGEA ZAIDI YA KUKATANA MAPANDE NA KUJIONA BORA KULIKO WENGINE?? HUO NI UJINGA ACHENI TUANGALIE MBELE JAMANI,, MBONA ELIMU ZENU HAZINA TAQWA WALA HIKMA..
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
#NABADO! mtagombama sana Saud anataka kuandaaa salafy mpya inayo halalisha mpaka music Leo #mashia misikiti yao inafaa? Si mwaona mashia bora mayahudi? Je ukipewa nafasi ya da'awa ndani ya sinagogi utatoa?
@nathanmadata3511
@nathanmadata3511 Год назад
Zungumza kwa haki na utumie lugha inayfaa kama unavyowanasihi wenzio nn maana ya utumbo??? Alama ya Kassim mafuta kwny Daawa haifutiki na itabaki na we Fanya jitihada kama upon kwny haki itaonekana tu. Lkn hasira,hasad na kumkamia sheikh haitakusaidia! Tayar ameshajenga huwez ww kubomoa.
@HamadJuma-es8pw
@HamadJuma-es8pw 6 месяцев назад
Vp kuhusu barahiani naona dr islam ni barahiani .tunaomba clip ya kuhusu barahiani kwa msimamo wako je ametolewa katika sunna au bado.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
#LAAANA_ZENU za kutukana sasa nyie kwa nyie
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 Год назад
Ama kweli hasad hutumbua watu alafu eti huyu ajiita salaf ajigonga gonna kila nukta mara shk muqbil asema tuwalize kina hajuri butai na mhd Al imam aje hajuri yafaa kusoma kwake kama haifai kwann na yy pia katajwa au hajuri kwa sababu we humkubali lakini Mohd so imam una maslah nae wamkubali watu wakasome kwake
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 Год назад
Abu awadh ....Sheikh yahya inafaa kusoma kwake naam Awe nawewe una hoja za kumtoa sheikh yahya katika safu? Kuwa na adabu na sheikh yahya ewe Jibwa la kihizbi!
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 Год назад
Alafu we unsima katika alama za hizbi ni mtu kumtetea watu wabatil na je barahiyan hamtetei ibn Sina na hawatukani kina shkh rabii alafu huyu Islam amtetei barahayian au ile audio ya Islam ya Tanga hukuskua ww vizuri Bali yuke baba alivofanya taaliq akaponda masalafy yy hukumuona hapo chini akicheka na kueka kwa pge yake mbna hujipati ww au watafuta kujibiwa na abulfadhil sahau iyo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 7 месяцев назад
Ww hujielewi kumbe unamatatizo ya akili kama shekh wako Qasimu mafuta abuu muawiya kasema hamtetei shekh Barahiyan
@AbuuSaad-ut4fd
@AbuuSaad-ut4fd 10 дней назад
Ahsanta....​@@abbaspaziaog2188
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 9 дней назад
Abu Muawiyah hamtetei barahian je yule ambae amtetea barahian ambae ni Islam inakuaje na je mbna yy amtetea Islam Islam yule ambae aunga mko o barahian kweli mahizbi akili zenu finyu sana
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k 6 дней назад
Sahihi maneno yako mahizbi wote lazima wajichanganye wallah​@@abuuawadhassalafy1594
@kisomekiguwa3706
@kisomekiguwa3706 6 дней назад
Ukimuona mwenzako ana akili finyu basi hio ndio akili finyu ulokuwa nayo wewe.
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Год назад
Mm nina ushauri kwa sheikh kwann sheikh asijifanye mjinga akamuendea sheikh kassim kwa ajili ya suluhu na kupatana kutupa ghilmu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
yy ndo alofunga milango hizbiii mafuta
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 Год назад
Kwa hiyo wewe unamuona KASSIM ni sheikh mkubwa Sana mpaka afuatwe yeye Hana adabu ya kwenda kuwauliza kwa inswaaf ,acha ushoga wankumpenda KASSIM
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Год назад
Mm nimeshaur kwan wote si watu wa sunna ikiwa mmoja akijifanya kuwa mpole ili suluhu ipite hili jambo litakuwa zur kwelkweli
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Год назад
Mm nimeshaur kwan wote si watu wa sunna ikiwa mmoja akijifanya kuwa mpole ili suluhu ipite hili jambo litakuwa zur kwelkweli
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 18 дней назад
​@@yahyarashid8038hizbi mafuta kakataa kupatana
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
Halafu hizo alama za #uhizb mnazua tu na hazina dalili za kisheria hamtumii aya wala hadithi ispokuwa ujahili tu na akili zenu finyu
@abuuothaymini5224
@abuuothaymini5224 Год назад
Huna jipya kaka tafuta kazi ufanye mbwa ww
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
mbwa mama ako nguruwe ww
@hishamawadh2447
@hishamawadh2447 Год назад
Ww jina zuri wamuita mwenzako mbwa huna hayaaa
@jechasuleiman5532
@jechasuleiman5532 Год назад
Mm nahisi sivyema kutumia lugha mbovu kwa mfano kumwita mtu mbwa sio sahihi
@mkude
@mkude Год назад
Halafu wewe ndo unajifanya MTU wa sunna mtu was salafi,pumbavu sanaa uliokosa adabu,utamwitaje muislamu sheikh mbwa,wewe mzima kweli au bangi ulivuya ikakuchanganya
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 10 дней назад
Hizbi mkubwa kijana wa mafuta
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Год назад
Hahahaha ety napiga kichwani pumbavuuuuu wee kumbe unajuwa kama icho kichwa ee na kinakukereketa icho kichwa ili kikujibu Sasa kama unavo ONA ww hutaki kumjibu Abul Abas basi nawewe pia icho kichwa hakita kujibu .
@msafiriwaziri6059
@msafiriwaziri6059 Год назад
Hata Abuu jahli alikua kichwa
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Год назад
Huyu sheikh anaitwa nani na anaishi wapi?
@Alwasatwiya_5
@Alwasatwiya_5 Год назад
Jina lake hassan awadh
@Alwasatwiya_5
@Alwasatwiya_5 Год назад
Zanzibar
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Год назад
@@Alwasatwiya_5 Namjua kama hizibi nilitaka tu kumjua jina lake
@msafiriwaziri6059
@msafiriwaziri6059 Год назад
@@wazirihamisi6484 wewe ni jadiida Admin wako ni mafuta na maji
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Год назад
@@msafiriwaziri6059 SAWA
@saidishalako
@saidishalako Год назад
Mbona nimesikia ruddud mbalimbali za Mashekhe juu ya Dr Islam (Allah amuongoze na sisi pia) lakini wewe umeng'ang'ana na Sh Qasim Mafuta kwani kunani? Bado naendelea kukufatilia lakini bado sijakuelewa.Halafu wasemaje wewe kuhusu Salim Bahariyan(Allah amuongoze) na kile Kitabu chake?
@adenifuyuush4991
@adenifuyuush4991 Год назад
Hahaha ndani ya bukahr bwana mkubwa kisha wajinadi salafi? Huo msikiti masalaf walitolewa. Baba watiaga huruma
@ahmednurhussein3872
@ahmednurhussein3872 Год назад
Ebuu fundisha bas kaka uache kudhihir dhihir kwenye fitna mbona hatupati darsa zako
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
zipo hujazitaka mimi ndie nnaerikod katika iyo darsa
@ibnsalim3
@ibnsalim3 Год назад
Mutazipata tuu darsa zake inshallah hivi karibuni
@abrahmankhalfan2947
@abrahmankhalfan2947 Год назад
Kwanin yeye Dr Islam alitilia mkazo kuhusu maneno ya Barahiyani ila kuenda katika msikiti wa watu wa Bid aa na ukabainisha makosa yaoo
@abrahmankhalfan2947
@abrahmankhalfan2947 Год назад
Hilo sio tatzo kuenda katika msikiti usio kuwa wa kisalafi ila unatakiwa ukienda ubainishee hakki na uzungumze ukweli
@user-wh4wd4qp1p
@user-wh4wd4qp1p Год назад
الحديث عن طلق بن قيس عن النبيِّ ﷺ أنه سُئل عن مسِّ الذَّكَرِ فقال: وهل هو إلا بُضعةٌ منك. هذا الحديث منسوخ بحديث مَن مسَّ ذَكَرَهُ فليتوضَّأ ذكر ذلك شيخنا عبدالمحسن العبادي وقد ذكر الشيخ الشنقيطي في مذكرته أن حديث وهل هو إلا بضعة منك ضعيف ما اردت انتقاص من حقك بس رأيت حاجة أن أبين ليعم الفائدة وجزاكم الله خيرا
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Iyo hadith sio mansukh
@damondhamonaizbadowangu4559
mumeacha njia sasa uwahabi unakutufuneni
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Год назад
Ww baki na Dimond wako na harmonize wako UISLAMU WAACHIE WENYEWE WW KAKATE VIUNO NA ZUCHU
@abuusalama7584
@abuusalama7584 Год назад
Wwe Ni hizbi Kwanza hauelewek haunyooki nyooka Wala wasinge kulid jiangalie utaulizwa siku ya huku
@saidimadzumba2266
@saidimadzumba2266 Год назад
Mafuta doesn't see more than the End of his Nose Tip! How such a prominent sheikh to be led by instinct and just aligations! He is just total Failure! In Daawa!
@ankaldally2734
@ankaldally2734 Год назад
Mind your words!!! Shykh kassim is not of your size and you don't have anything, this matter requires knowledge and wisdom.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 10 дней назад
​@@ankaldally2734taasub kwa shekh lako qassimu hizbu
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Год назад
#HIZB_UT_AHRIR acha kupambana na nyie mbwa koko haipambani na miungu yenu wafalme wa Saud hizb inapambana na miungu wa miungu yenu Amerka Uingereza na wakoloni wengine
@ibrahimpesa30
@ibrahimpesa30 Год назад
Aisha thabit mche mungu maneno yko utahisabiwa nayo
Далее
RADDI KWA QAASIM MAFUTA NA GENGE LAKE
14:23
Просмотров 6 тыс.
BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI
58:05
Просмотров 7 тыс.