Тёмный

Je, nani wa kumpisha Lionel Ateba Simba? Uchambuzi kutoka Viwanjani 13/08/2024 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 2 месяца назад
Je ana miaka mingapi
@KarimuMsigiti
@KarimuMsigiti 2 месяца назад
Ngoma atupishe
@geofreykazaula7940
@geofreykazaula7940 2 месяца назад
Mwamnyanyi anafurasha sana anavomuongelea Fred Michael😂
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 2 месяца назад
Ngoma kaisha vibaya
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 2 месяца назад
Fredy abaki. Ayoub ni Mzuri sana ila Sasa kumpunguzia WAGE BILL TAJIRI MO nazani wampunguze Yeye maana kuwa na makipa wa kigeni 2 duuuuu!!
@kephasugula7876
@kephasugula7876 2 месяца назад
Ila na nyie mnacheka vibaya. Mtakuja kushangaa gari ikiwaka moto.
@toneemukure2889
@toneemukure2889 2 месяца назад
Mm nazan fred michael ampishe lionel
@KarimuMsigiti
@KarimuMsigiti 2 месяца назад
Ngoma.aende
@Merrymerry-l4n
@Merrymerry-l4n 2 месяца назад
❤❤❤❤
@LaitonyMwakaje
@LaitonyMwakaje 2 месяца назад
Wakumbe na ngoma Hawaii
@AbduliMohamedy
@AbduliMohamedy 2 месяца назад
mm kwa muonekano wangu naona kama Fred maiko condone tu atufai kwakweli anamchango kwenye timu yet ya simba
@absm8084
@absm8084 2 месяца назад
Ngoma ngoma aondoke
@MatgrethCostantini
@MatgrethCostantini 2 месяца назад
Ayoub asiondoke aondoke ngoma
@LaitonyMwakaje
@LaitonyMwakaje 2 месяца назад
Ngoma ampishe af vip kuhusu Elie mpanzu
@tedsonymwalukisa2080
@tedsonymwalukisa2080 2 месяца назад
Wakuondoka. D.ngoma
@kephasugula7876
@kephasugula7876 2 месяца назад
Ayub apishe. Fred na Ngoma wabaki
@BenedictoMeakyeja
@BenedictoMeakyeja 2 месяца назад
Je huyo mchezaji ametua simba au
@ZubedaAlly-k9y
@ZubedaAlly-k9y 2 месяца назад
Nikweri lakini ayawahusu naona nyinyi waandishi kazi hapo ni umbea tu mbona amed alishasema kwenye simba deh kuwa awajamaliza kusajili acheni umbea mbona Azam amwasemi wMecheza nawahida wamechaika nne wamecheza na utoporo wamechapika nne subiri hiyo siku ya kilbu bingwa naiyo siku watachapika
@michaelkitinga9594
@michaelkitinga9594 2 месяца назад
Kwa maoni yangu mimi nadhani Ngoma ndiye snastahili kumpisha huyo mchezaji ila Ayoub abaki.
@amourh.bakari6587
@amourh.bakari6587 2 месяца назад
ayoub mgonjwa na pia tayari kuna kipa mgeni yupo
@ZubedaAlly-k9y
@ZubedaAlly-k9y 2 месяца назад
Ayubu ndio wa kupisha
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 2 месяца назад
Hapo Ayub atupishe tu😊😅
@hassanabdalah1173
@hassanabdalah1173 2 месяца назад
Fred
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 2 месяца назад
Hapo Ayub atupishe tu😊😅
Далее
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн
iPhone Flip станет ХИТОМ!
00:40
Просмотров 386 тыс.
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн