Тёмный

Jenerali Ulimwengu: Samia haijui nchi, amefanya makosa makubwa 

Mwanahabari Digital
Подписаться 738 тыс.
Просмотров 232 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 711   
@mussaameir5230
@mussaameir5230 3 года назад
ahaa !!! kumbe yote unataka kuzungumzia KATIBA !!!!! basi nyoosha mistari
@jejidyanjackson2868
@jejidyanjackson2868 3 года назад
Kiukweli kwa upande wa mama mzee upo sahihi unasema kweli ila kuwa upande wa MAGUFULI usitafute watu uchokozi watapuuzia kila ulicho sema! Oky thanks 🙂
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
Ni kweli pamoja na mazuri yake jpm alikuw ana mapungufu.ilifikia wakati yeye ndo alikuwa kila kitu.ndomana watu wanalalamikia katiba irekebishwe ili kuondoa nafasi ya mtu kuendeshq nchi kwa matakwa yake.
@jejidyanjackson2868
@jejidyanjackson2868 3 года назад
@@ahz6907 yah kweli! Na nlikuw nampinga ata mm! But nlikuja kuelew Baada Ya Tukio! Then asinge fanya vile Mudawake ungeisha kabla ajamaliza Mengi labda yey mwenyew alijuw hana muda wakutosha thus y akatukimbiza kimbiza, na tumepiga atua kiukweli, ila suala la mzee kumzungumzia negatively inaleta taswira nyingine as if haku fanikisha vingi
@tatysway2991
@tatysway2991 Месяц назад
Umeongea vizuri Sana lakini hapo kwenye magufuli PLZZZ muache apumzike Mzee wetu alifanya makubwa sna
@josephmusagasa
@josephmusagasa 25 дней назад
Aliyekwambia mtu akifa anapumzika nani amekwambia? Unasali dini gani wewe? Pole
@magigejoseph255
@magigejoseph255 3 года назад
Mzee salute kwako Mimi binafsi nilikua naimani sana na mama samia kwanza alikua hana tuhuma yoyote nilijua atakua kiongozi wa mfano kuliko wote sijui tango mwitu alitoka wapi kumshauli du
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 3 года назад
Kichwa chake mwenyewe hakifikirii kwa nini asingefuata yote ya Magufuli akadhani anajuwa !!!!!
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Месяц назад
​@@immaculatemakene7546wewe ndiye pimbi kweli,angeendeleza ya Magufuli unadhani ingekuwaje?
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 года назад
Magufuli mm nadhani tuache kumuongelea vibaya maana hayupo.angekuwepo sawa
@mwana4599
@mwana4599 3 года назад
Rais aliyopo ilitakiwa kusema amekuaa kimya tu aonekane Mauro sasa atawaekewa waTanzania vizuri.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 года назад
Magufuli aliandika kitabu chake, maana uongozi ni kitabu! Kuna mazuri yake mengi kabisa, lakini pia kuna madhaifu yake, kama binadamu yeyote ! Historia itamzungumzia Hayati kwa safari yake yote! Mnagombana bila sababu! Ushauri wangu, hata na ww andika kitabu chako!!!
@AllyMauya-v3o
@AllyMauya-v3o 20 дней назад
Mtume wetu anatukanwa kwani uyupo hai
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 23 дня назад
Mama anayumbishwa na washauri wake wanampotosha sana
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 23 дня назад
Mimi sijuwahi kufuatia maisha ya raisi. Ila inaonekana waziwazi kwamba kunaitajika busara ya kutosha sana. Mungu aingilie kati kabla ya jahazi kuzama.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 3 года назад
Mhe Ulimwengu uko sahihi kabisa nimekuelewa!! Big Up!!
@joycejackson2320
@joycejackson2320 27 дней назад
Hilo neno la msinijaribu hata sisi tunaliongea sana! Bwana! muache Magu apumzike kwa amani mche Mungu
@nathanielshauri5135
@nathanielshauri5135 28 дней назад
Yakale ni dhaabu Mungu atusaidiye...
@watendeprinting8825
@watendeprinting8825 3 года назад
Hakuna mtu anayeweza kututenganisha na magufuli
@njonjolomahfudh3238
@njonjolomahfudh3238 3 года назад
mfuateeeeee
@saadasimba267
@saadasimba267 3 года назад
Ipo siku hata wewe utamfuata mda na wakati ukifika kifo ni kama mvua humyesha popote
@innocenthamisonndalahwa9541
@innocenthamisonndalahwa9541 3 года назад
Hip ni tafsiri yako ukimwengu wala haiko is wakati wrote jpm Ali mtangulizza mungu
@njonjolomahfudh3238
@njonjolomahfudh3238 3 года назад
@@saadasimba267 anytime and am ready
@bernadoadriano922
@bernadoadriano922 3 года назад
Na Mungu je
@abdallahkungulilo7939
@abdallahkungulilo7939 3 года назад
Kuna ya ukweli, kuna ya uongo kuna ya chuki......
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 года назад
Mungu humjui Bwana muache Magu wetu na wewe mtangazaji acha kicheko Cha kinafiki
@MzeeKagambo
@MzeeKagambo 2 месяца назад
Ukweli unauma Ulimwengu yuko sahihi asiyejalibiwa ni Mungu
@barnaba3037
@barnaba3037 3 года назад
muache JPM kama alivyo mzee
@hudhud2022
@hudhud2022 3 года назад
Magufli haachiki kwa jeuri na kiburi chake uonevu wake alotufanyia kila Mtanzania mwenye kumuogopa MMungu nyie Watanganyika mlonufaika nae msifuni sie alotutesa na ndio wengi tuwacheni Alhamdulilah MMungu ndie mwenye kumjuwa mja wake muovu na mzuri tuombeni tuwe katika waja wema magufli katesa kauwa kwa kutuma majeshi Zanzibar kila mtu kaona kilo tokea halafu makene unanuambia mie mpemba mlouliwa ndugu zangu na unyama alotufanyia magufuli sijui kitu usojuws wewe MMungu keshakupiga laana ndio maana hamumuoni kama alikuwa muovu yuke mbele ya Allah atalipwa kwa ubaya wake Allah asitupe mtawala mwengine kama yeye Hasbunallah Waneemal Wakeel
@hudhud2022
@hudhud2022 3 года назад
Ukiona mtu anamtetea Magufli basi na yeye ni katika kaumu ya waja waovu Jujuu Magufli akijipaka cjokaa ang'are ndani ya moyo wake aliujaza ukhabuthi narudia tena kusema kila mwenye kumuogopa MMungu sawasawa na kuogopa siku ya hesabu hawezi kumuunga mkono mabaya yake
@frankjohn8706
@frankjohn8706 6 месяцев назад
​@@hudhud2022zab 1:1 heri mtu asiekwenda ktk shauri la wasiohaki Wala ...kusimama ktk njia ya wakosaji.nikweli tunamakosa sote lakini tusivuke ubinadamu na kujimungulisha hata kumiliki uhai wawengine na kutumia vibaya madaraka huku tukilazimisha watu wa Mungu kwamba ndio walituchagua kwa kishindo kumbe tumejiweka wenyewe kwa miguvu. Uchaguzi huu kila mwanainchi aombe sawa sawa Mungu atupatie haki tulioikisa kwa waongozao .na asiache kuwapiga waziwazi watakapojaribu kutuonea kwa kutumia mabavu na kudharau HESABU ya kura halali za WANAINCHI
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 3 года назад
Mm sijamuelewa huyu Ila yeye alitaka awe Nani Raisi baada ya kufa kwa Raisi wa nchiiii
@salehali976
@salehali976 3 года назад
Absolutely. Nail in the coffin. Samia has lost it completely.
@emmanuelnkuta8356
@emmanuelnkuta8356 3 года назад
Wewe jenerali ulimwengu unaponiuzi unapomtaja magufuli kwa zarau huna maana kabisa potelea mbali nenda ulaya
@KassimuMbarack
@KassimuMbarack Месяц назад
Tunaomba umuache kumtaja marehemu mzee kasha tangulia mbele za mungu hapendi halafu unamtaja kwa mabaya unatukera r.i.p mzee wa watu mungu akulaze mahali pema peponi
@twahirshali8014
@twahirshali8014 22 дня назад
Hapatikani Rais kama Mama Samia. Mjuwe ilo mfikirie
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 3 года назад
Eee MUNGU kwa unyenyekevu kabisa, tuna hakika Mamlaka zinatoka kwako, nawe humpa umtakaye. Tunaomba utusamehe yote tuliokosa, pia tunakuomba umpe Rais Samiah Suluhu Hassan maarifa, hekima, busara, Upole na ustahimilivu katika Uongozi uliompa. Mimina Roho wako Mtakatifu ktk maamuzi yote atakayofanya maana kila maamuzi anayofanya yatagusa maisha ya watu wako.. Ni ktk jina la mwanao YESU KRISTO tunaomba. Amen.
@lugeshadaudi2281
@lugeshadaudi2281 3 года назад
Uko sawa mzee wetu, mama hatumwelewi kabisa
@pungopungo411
@pungopungo411 3 года назад
Msiingilie bahati ya mtu utaenda na maji samia suluhu haijui nchi kamaliza wapi? nyinyi mnaoijua hamna bahati ya kua maraisi. Hadi mungu akuteue tangia tumboni
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
Mzee huko sahihi kabisa isipokuwa nakupinga kitu kimoja MAGUFULI hakujijifanya Mungu mtu hata siku moja MAGUFULI alisimama dhidi ya wanyonge alipigania haki za wanyonge mpenda watu na Maendeleo ya nchi hii!
@samsonkichele3530
@samsonkichele3530 3 года назад
Subira john ikuumbukwe kuwa wanyonge wameuziwa ngombe na kutekwa na kupotezwa. Wawanyonge hakukemea hata kidogo.
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 3 года назад
Hapana hata magufuri kuna makosa yake japo mazuri ni mengi
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 года назад
Mnyonge ni yupi hasa
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
@@ezekieljacob5795 kama si wewe kaa kimya
@elizabethsjoberg5734
@elizabethsjoberg5734 29 дней назад
Matasema mengi kwa uchu wa madaraka Samia 2025❤
@omaremawe2840
@omaremawe2840 3 года назад
Katiba ni makaratasi maendeleo hayapatikani kwa karatasi. Kuna wasaka Kinga tunawaomba waondoe hofu wasilazimishe katiba mpya. Katiba hii imetusaidia kupita salama kwnye joto kubwa la kisiasa. Tunachotakiwa ni kubadilisha katiba ya chama cha mapinduzi kama shida yetu ni mageuzi ya kisiasa.
@EdwardIsaya-i9x
@EdwardIsaya-i9x Месяц назад
Mzee ulimwengu uko sahihi kabisa kwa maneno yako hapa ikipatikana katiba mpya mama haya ya kuwaonea viongozi wa upinzani hayatakuepo kabisa haki itapatikana
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 года назад
Uhakika ulimwengu nchi kubwq hii bt kiboko yake ilikua magufuli tuu
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 3 года назад
Mbana hata watoto wangu naweza waambia sijaribiwi, angekuwa Mungu angesemaje tumwombe Mungu, na kusema Corona imeisha ni imani baada ya kumwachia Mungu Tanzania na tena amewashirikisha VIONGOZI wa dini na ni Kweli tulimwona Mungu kupitia kauli zake. ULIMWENGU YALE HUYAELEWI TUACHIE TUNAOELEWA
@mwana4599
@mwana4599 3 года назад
Hebu nuacheni JPM. Acheni uongo JPM Aliiweza kudhibiti COVID 19 kwa kutumia Chemistry yake and please stop comparing Him with Mama Samia. Stop stop stop.
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 года назад
Nayy ndio Jana katajwa kutuma watu wakaibe Mmeumbuka Wasiojulikana bosi wao kajulikana
@bomonda2622
@bomonda2622 3 года назад
Ww kweli kolo kwa akili yako inavyokutuma kuwa kulikuwa na korona mungu ndo katusaidia yule virus hakuwah kuingia tanzania et magu we unawezo kumzuia Corona nch zilizoendelea na zna hellla watu wamekufa Kama kuku et ww unajionna umemuwezzza virus mungu ndo alomblock so unaongea utumbo wako fikiria et chemistry yake
@bomonda2622
@bomonda2622 3 года назад
So kwelll
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 года назад
@@fatumajuma1157 Utaibiwa hadi chupi yako na utakiri kuwa Sawa Sawa tu. Miumbwa mikwepa kodi unaitetea, haya hizo tozo za simu Ni halali.
@rayaalraqady6400
@rayaalraqady6400 3 года назад
@@bomonda2622 ss
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 29 дней назад
Kwel kabisa..
@salockmahenge5416
@salockmahenge5416 Год назад
Naldia Tena kwa yoyote anae unga mkono mkataba huu wabandari nasema kwahisia zote mungu ndie atakae jua chakuwafanya
@suleimanayoubkhamis5419
@suleimanayoubkhamis5419 Месяц назад
Jenerali ukae kimya hujui kitu. Raisi hakosolewi hivyo. Raisi hakosei.
@raymondtenga
@raymondtenga Месяц назад
Generali Ulimwengu nakupongeza kwa ukweli wa kumsaidia Rais Samia hususan wanaomzunguka.
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 3 года назад
Mwacheni mama afanye kazi nchi anaipatia Sana tu hii mmekalia uchu tu wammadalaka na mibaba mizima miwivu ya kisiasa mnalilia uongozi kwa mbinde.
@zakiaramadhan9657
@zakiaramadhan9657 3 года назад
Mimi sijapenda we ungetuacha bhana acha kutuvuruga na sitakusikiliza Tena.
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 3 года назад
Makosa makubwa Sana atashindwa hata kujua nini la kufanya
@Sangajb
@Sangajb 2 года назад
This is not fear!!! Life nowadays is too expensive... Watu mnaomshauri mama mnampoteza
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 21 день назад
😢😢 Daaah
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 3 года назад
Magufuri ndiye. Amesababisha Sana wapinzani kudai tume huru baada ya kupitisha wenye viti wote bira kuchaguriwa madiwani.wabunge.
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 года назад
Tatizo lenu general kwa nini samia lkn ukweli mama kaituliza nchi zile vurugu za mtangulizi wake hatuzioni kuna maeneo flani tu bado na hilo ni kawaida ktk uongozi .
@modetheo5182
@modetheo5182 3 года назад
we mzee mwache Magufuli alisha lala mbele za haki ongealea walio hai kama hoja zako ni lazima umtaje JPM nyamaza maana marehemu hawezi kujitetea mwacheni apumzike kwa amani.
@sadih5333
@sadih5333 3 года назад
Asemwe tu iwe mfamo kwa wengine,kama maiti haisemwi nenda kachome vitabu vyote vya dini ,wametajwa wengi tu.
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 3 года назад
Tatizo la mama ni kujaribu uchuma wa magufuli wakati yeye hana akili kamaza magufuli ,mfano ni chanjo imesababisha mambo yote ya kusimamia mapato na matumizi ya serilali na nchi kupuuzwa sasa hivi wizi na ubadhilifuwa mali ya uma unaongezeka kwa kasi kubwa ,usafi wa mitaa umepolomoka ,ubunifu hakuna tena tofauti na wakati wa magu
@joetchatv1453
@joetchatv1453 3 года назад
Ww kichaa
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 3 года назад
@@joetchatv1453 Kichaa ni wewe na Waliomsaliti Magufuli sasa yamewashinda kabisaaaa tufanye tuu uchaguzi wa Rais kwa kura zetu wenyewe sasa hivi 2025 ni mbali saana.
@hudhud2022
@hudhud2022 3 года назад
Jamani kwani lazima usafi wa mitaa msimamiwe na Rais wenyewe hamjui umuhimu wa usafi yaani mmejufikisha hapo wenyewe that means mshazoweya kupigwa pigwa ndio mwende duh mnajushusha hadhi kuwa hamjui wajib wenu hasara
@hudhud2022
@hudhud2022 3 года назад
Magufli kajisaliti mwenyewe kwa ujeuri na kiburi chake uonevu wake
@hudhud2022
@hudhud2022 3 года назад
Maneno ya wasomi wenye ufahamu wa kile walichokisomea huwa wanakitendea haki ipasavyo na maneno ya MMungu ndani ya quran kasema hawatokuwa sawa walosoma na wasio soma hivyo mzee elimisha ukweli na ndio kawaida ya binadam sio kila mtu atakuunga mkono na ukweli system ya serikali ya ccm ni mbovu inawanufaisha wachache ndio maana wako mstari wa mbele kuona msemaji kweli watampinga kwa maneno yaso na kichwa wala miguu washazowea uwongo kwao na ukweli kwao madhali hawataki utaryshiwa kila aina ya utumbo wa maneno kwasababu ya udhaifu wa ufahamu kweli na kila mpenda haki kwao utapingwa tu maana uwongo umo ndani ya genetic system zao
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 3 года назад
Sasa we we ulimwengu kila Raising hafai mbona mnafiki sana shida yako in mama ,mama atashinda mazito yote katika Alla amtiaye nguvu na aliyempa uraisi Mungu.
@georgebruno916
@georgebruno916 3 года назад
Magufuli is in our heart tanzanians always... Forever ever
@carlosmzena548
@carlosmzena548 17 дней назад
In your heart bro not ours
@evaristfidelis7585
@evaristfidelis7585 3 года назад
Nyie mnaojadiliana hapo jaribuni kutumia ufahamu kidogo
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 3 года назад
Mzee Ulimwengu hongera sana kwa uwazi huu, wakuu chukueni ushauri huu wa mzee Ulimwengu na Rais lichukue hili na lifanyie kz.
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 3 года назад
Bakuli la DENI. Jenerali Ulimwengu hapo upo sahihi sana. Huyu Waziri wake wa Mambo ya nchi aliyemukumbatia amemuingiza kwenye choo cha kiume ni hatari sana JPM alisema nchi hii ni DONOR COUNTRY sasa tumerudi kule kule NYERERE alipopakataaaa
@shaibhamdun5225
@shaibhamdun5225 3 года назад
Samia yuko vizuri.
@ViolethMazengo-nd8cy
@ViolethMazengo-nd8cy Месяц назад
Uswahili mwingi
@ahmadkanduru1298
@ahmadkanduru1298 3 года назад
Mama Samia mamaangu hakuna alie wahi kuelewekwa ndani ya madaraka hasa kama ya urais ndani ya mwaka mmoja kushuka chini piga kazi mamaangu vumilia mengi yatakukuta saana اصابر وشاكر فل الجنة
@mnubimnubi4081
@mnubimnubi4081 3 года назад
Kweli kabisa
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Месяц назад
Machawa ninyi
@cyriakusbaramba594
@cyriakusbaramba594 3 года назад
Mzee bado unawaza siasa za miaka ya 1970. Umekosea sana kwa kutumia mitandao kukosoa kihivyo.
@aminahussein5418
@aminahussein5418 3 года назад
Msula mbaya ilizeee sijui lawapi senge
@deusoden3614
@deusoden3614 3 года назад
Wewe mwenyewe haupo ok.Kwasababu kazi yako nikukosoa tu.Mbona hahujawi kujaribu kuongoza nchi? Acha habari zako.
@masanjanyanda9775
@masanjanyanda9775 3 года назад
Ulimwengu huna jipya acha kuongea upuuzi jpm hakusema hajaribiwi na mngu lkn hajaribiwi na mwanadamu ww ongea yko usizani wote wanaokusikiliza ni wapumbavu ww unaijua nchi au unaongea kwa vile umepata fursa bro
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 3 года назад
Mungu anajaribiwa na nani?
@thomasmerinyomollel3544
@thomasmerinyomollel3544 3 года назад
Hakika umesema kweli
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Месяц назад
Baba pokea mauwa yako hayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MpokigwaMwakalinga
@MpokigwaMwakalinga Месяц назад
Usimseme nishida jamani uyo nchi anaijua
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 3 года назад
Jenerali una mawazo mazuri ila wakati mwingine unalaumu kwa kupitiliza hasa unapomzungumzia JPM.
@maryntwa9494
@maryntwa9494 3 года назад
kabisa amuache magufuli km alivokua amzungumzie tu samia
@Jal210
@Jal210 3 года назад
Unajua hawa mtu kama huyu Mzee ana blame for no reason
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 3 года назад
Wewe humjui ulimwengu , huyu siyo Mtanzania, uraia wake ni wa kununua. Ni kama jasusi toka nchi jirani. Enzi za awamu ya tatu karibu afukuzwe hapa Tanzania. Amshukuru Merehemu Mkapa, ndie aliyemruhusu aununue Uraia wa Tanzania. Hayo mahubiri yake, anataka kuyarudia yale yaliyotaka lumfukuza, anafanya kujisahaulisha. Mumelewe huyo ndiyo alivyo.
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
@@edwardmizambwa237 ni kawaida mamlaka ukiipa challenge hukuwekea vikwazo mbalimbali ikiwemo na kusema si raia. 😊
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 года назад
Ni Mwalimu Nyerere tu aliyefanya urais,lakini hata hakuweza kuijua nchi kwa sababu alikuwa apambana kuondoa umasikini na kupambana na wapinzani wake.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
We unaejua nch inshallahi hata ubarozi wa mtaa utausikia tu mpaka unakufa
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 25 дней назад
Ulimwengu alikuwa mkuu WA wilaya singida na akisema hawezi kuka kwenye mkundu WA nchi aliondoka ili kwenda dar Leo anataka kutoka ushauri Kwa Samia Mimi kwangu ulimwengu NI mbwa Tu
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 3 года назад
Kaongea vizuri sana General Ulimwengu.Mungu alinde usalama wake tu.
@joachimsamwel812
@joachimsamwel812 3 года назад
Wewe muongelee sami..magufuli level zake huxiwezi mzee wangu
@salumjonas7636
@salumjonas7636 3 года назад
Joachim, haumjui jenerali acha hoja za kishabiki
@joachimsamwel812
@joachimsamwel812 3 года назад
@@salumjonas7636 simjui ndio kwasababu hakuna alichoifanyia tanzania..watu wenye impact kubwa kama magu laxima wanulikane ...yeye kazi yake kuandika umbea tuu
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 3 года назад
Huyu Ulimwengu hana lolote ndiyo maaana alitakiwa kurudi nchini kwao, ni Mnafki tu km Chadema wenzake hana Uzalendo wa Tanzania hana.
@meadaephraim648
@meadaephraim648 Месяц назад
Mwambie ukweli
@eliakazana7252
@eliakazana7252 3 года назад
Tatizo mama yetu anafosi kuingia choo cha kiume,amesahau yeye ni mwanamke,ndi maana ukienda popote unakuta vyoo vinatenganishwa,vya like na kiume,Basi kama anataka usawa wa kijinsia,aanzie kwenye vyoo wote tuingie choo kimoja dadeki,mama umefeli sana!
@frankkaiza3658
@frankkaiza3658 3 года назад
Mzee uko sawa tuko pa1 mmnooooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿⚖️♥️👏👏👏👏👏👏👏
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 3 года назад
Kwahabari ya kwamba Magufuli alitamka kama Mungu, hata marisayo na masadukayo walimwambia Yesu amrkufuru alipowaambia yeye na Mungu ni umoja. Lakinipia uliza hata jini litakwambia, kuwa kama Yesu alikuwa ndani ya Magufuli na sio ndani ya papa korona ni kitugani?
@the_white_43.
@the_white_43. 3 года назад
Mtu alie na Yesu Kristo utamjua kwa matendo yake ...Huwa anasimamia Haki haki haki haki .....ukiona mtu anaikwepa haki na kusisitiza amani kwa mtutu wa bunduki ujue huyo ndani yake ana shetani ...Ombea haki nchi yako isimame na Mungu ....acha siasa za chuki
@hassanmbarouk1164
@hassanmbarouk1164 3 года назад
Alafu wandishi wa habari acheni usenge huyu mzee so mtazania
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 года назад
Ni kweli huyu mkimbizi anataka kuleta fujo na machafuko nchini mwetu.Watanzania sio watoto wadogo tunajua kile mama anachokifanya na tumeridhika naye.Wewe ni generali wa ulimwengu wa kiza
@daudgabriel1509
@daudgabriel1509 3 года назад
Kwa hiyo wewe! mtu akisema hajaribiwi, ndiyo unasema anataka kujifananisha na MUNGU! Kwa hiyo corona haiwezi kuondoshwa na MUNGU? Kwa jinsi ulivyo ongea, kwa hiyo alifanya makosa kutuambia watanzania, tuchukue taadhari zote. Kunawa mikono, kupaka vitakasa mokono, kuvaa barakoa na ikiwezekana tutegeneze barakoa zetu, na tumtagulize MUNGU na kumuomba! Na akasema tufanye maombi nchi nzima, na nyumba zote za ibada azikufungwa, watu waedelee kufanya kazi, na kutumia mbinu zozote ambazo zinaweza kupambana na corona, kijifukizia, kutegeneza mchanganyiko mimea na matunda kuongeza kinga za mwili kufanya mzoezi na huku tukiendelea, kumuomba MWENYEZI MUNGU. wewe ulitaka afanyaje?
@ednamanji
@ednamanji 3 года назад
Kweli kabisa Dr JPM kusema yeye hajalibiwi haina maana ya kwamba alisema yeye ni Mungu.Huyu mzee haeleweki amemtafasiri Isivyo , Raisi Magufuli ameshalala usingizi wa mauti Watu wamuache apumzike Jamani.
@abihudikihemba5891
@abihudikihemba5891 Год назад
Halishauli kama mumeishiwa wataramu wakurugenzi mjiuzuru.badara yakutafuta vyanzo vipya munazidi kupandisha tozo kwenye vyanzovilevile.mnazidiwa hata wakulima kweli.mkulima kila kukicha anapanua mashamba,hanganganii kupanda ainakumiza mazao kwenye shamba moja
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu 26 дней назад
We mzee unajifanya unaijua sana TZ siyo kweli, halafu kila Rais anayekuja unamkosoa. Hakuna mwema wala chema kwako,acha hizo.
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu 26 дней назад
Kumbuka kuwa Magufuli alipendwa na bado anapendwa sana na watu, na ameacha alamama zisizofutika. Wewe utaijua nchi kuliko aliyeko Ikulu wacha uzamani wako.
@lyrics_forum
@lyrics_forum 3 года назад
Umeongea Vyema Kabisa, Huyu Sa100 Hajui Nchi, Anafungafunga tu Watu Bila Kujua Wapoje, Sometimes to be in high Level sio Kwamba huwezi Kukosea Makosa Yapo tu.
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 3 года назад
Wewe jenelali ni Mtanzania wa kununua utawezaje kuijua Tanzania kaliko Mama Yetu Raisi Samia Suluhu? Nani asiyekujua kama wewe ni MAMLUKI? Unataka tukufuatilie uraia wa Tanzania uliyonunua ili kuja kuihujumu Tanzania? Substitute tu
@asadally7534
@asadally7534 3 года назад
Ulimwengu usimuongelee magufuli tena achaaa kabisa muongelee mama tu sio hayati
@j_gh812
@j_gh812 3 года назад
Ww ndio hujielewi na haielewi Tanzania...usilazimishe mtazamo wako ndio uwe sahihi na mambo yaende unavotaka ww....tafakari na Hilo generali ulimwengu...usijione ww uko sahihi kwa fikra na ukawaona wenzako wamepotoka.....wengi wamemuona magufuli Yuko sahihi na wamempenda..wachache hawakumuelewa....na ww miongoni mwa wasiojielewa....
@alexmasea2425
@alexmasea2425 2 года назад
Kweli kbs mzee unachosemaaa
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp Месяц назад
Samia Anajua Nchi Zawatu Zenyewe Anazitembelea Kila Siku Ila Nchi Yetu Ata Kwetu Kigoma Hapajui
@jumakika6285
@jumakika6285 24 дня назад
🎉
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 3 года назад
Mzee unazeeka vibaya heshima yako usiipoteze kwa maona yako binafsi. Uongozi ni kazi nzito sana ninachotaka kukwambia jaribu kuwa makini na kauli zako. Ewe mwenye zimungu tusaidie viongozi wetu
@geraldenos5416
@geraldenos5416 3 года назад
Mjibu kwa hoja kwa mtazamo wa mawazo sio uzee sijui nini lol
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 3 года назад
@@geraldenos5416 tatizo sisi binaadam hatuna wema alikuwa jpm wakasema sana ni mbabe dikteta sawa mungu akamwita na huyu nae samia yameanza majungu na upawa. Wakati magufuli yupo hai walinyamaza kimya wamemuona raisi samia ni mwanamke basi kila mtu anajuwa kuongea. Kaka Yetu macho tu
@DorothyFrancis-j5z
@DorothyFrancis-j5z Месяц назад
Uanamke unatokea wapi hapo? Kwahiyo kama anaharibu asiambiwe oisa uanamke?​@@iddydaruwesh8650
@yeremiamungete6642
@yeremiamungete6642 3 года назад
Tuliwaona wazungu kitu Cha ovyo sana but Kwa huyu mama amewapa heshima ten Hadi anaenda kuutubia marekani ni mam wa ovyo sana
@yomamausafi1137
@yomamausafi1137 3 года назад
hana jipya mam
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 3 года назад
Yan waandishi wa siku hizi bhana, yani mwandishi unatekwa na mazungumzo ya unaemhoji mpaka unajikuta unaitika tu kama zuzu.., Ulimwengu "Magufuli alijiona Mungu" Mwandishi "ndio, ndio, haha haha ni kweli" Hovyoooooooooooooo..........
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 3 года назад
AMINAAAAAAAAA
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 3 года назад
Asante mze
@amshacocktailsdaressalaam7921
@amshacocktailsdaressalaam7921 3 года назад
Kiukweli raisi samia nchi hii haiwezi nchi hii hata kidogo anahitaji msaada mkubwa sana na wawashauri makini wenye ueredi wa juu sana wa nchi ya Tanzania
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 Месяц назад
Ningekuwa mboye na lissu natokajera nakuwa ccm Niobe munavyo kufa ngorongoro na wote mutekwe polepole mpaka mseme wenyepe security masikinivilio kama jahvaaa😂welcome new world Tanzania
@josephmahubemaro7406
@josephmahubemaro7406 3 года назад
Mzee ulimwengu yote uliyo ongea ni ukweli tanzania hii ni kubwa sana na vijiji njisi mimi nilivyo tembea ni kiwa mjenzi wa mifumo ya Umeme vijijini Rea mimi naijua sana hii nchi hii
@victorkalolo4207
@victorkalolo4207 3 года назад
Hapo mzee umekosea magu hakujifanya mungu alitumia iman kusema ivo
@KulwaMakingo
@KulwaMakingo Месяц назад
Nikweli wafusi wake wanamuhalibia mama kilakitu kimealibiwa mfano hospital uduma bovu watu awathaminiki kabisa
@Zaynabahmed-ey4zu
@Zaynabahmed-ey4zu 15 дней назад
Mama samia chapa kazi mama 2025 ni we we tu kura zote kwako usiogope pambana tu
@richardchibuga302
@richardchibuga302 3 года назад
Kamwe Magufuli hakutoa iyo kauli kama yeye eti ni muungu mdogo hapana Mzee rekebisha iyo kauli yako siyo kwa eti aliabudiwa kama Mungu iyo kauli uliinakiri vibaya sana na leo unaiwasirisha sivyo kuwa makini na unachokiongea upande wa awamu ya tano(MAGUFURI)
@lisahhans295
@lisahhans295 3 года назад
Yaaani acha tu makosa yako jamani nchi haieleweki jamani tusali sana mazehebu yote
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
Mzee Ulimwengu nakuheshimu sana...,lakini nafikiri , mawazo yako hayako sawa , MUNGU anaangalia tofauti na wanadamu tunavyoangalia watu kiroho...kwa hiyo kwetu sisi wanadamu "Pope" anaweza kuwa mkubwa sana , lakini mbele za MUNGU akawa hatoshi....pamoja na madaraka yote ambayo sisi wanadamu tumempa...1Samweli 16:3-7
@bernardmkuffya5171
@bernardmkuffya5171 3 года назад
Mbona hamkuwa mnaongea wakati yupo mwenyewe Mzee Magufuli.
@robertkivuyo4937
@robertkivuyo4937 3 года назад
Huyu bwege nae anaongea pumba tu...usingekuwa huru haya usingeyaongea kwa uhuru
@rogerskitua6781
@rogerskitua6781 3 года назад
Si kweli
@ummatchannel4300
@ummatchannel4300 3 года назад
Mama Samia keshakuwa Rais, you can like it or lump it. Hakuchaguliwa na mtu, kachaguliwa na Magufuli kuwa running mate. Katiba imemuweka hapo, baada ya kufa Mzee Magu. Rome was not built in one day. Bado Mama ana muda mfupi mno tangu achukue nchi. Maajabu gani mnayatarajia in such a short time. Kasema mpeni muda, hamtaki. Let her push aside all the blocking stones.
@rossmaryphases8509
@rossmaryphases8509 3 года назад
Amna kitu
@aludomakori4230
@aludomakori4230 3 года назад
Samia alidhani ndo atapendwa saaaaana, matokeo yake ht aliokuwa anawakingia kifua wanaona ka ni meli nahodha kapwaya na tuko katikati ya bahari
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 года назад
Unafiki na USALITI haukawiagi kubainika. Katikati ya BAHARI na maboya hakuna.🙆🙆🙆
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 года назад
😂😂😂 Mzee hana kazi! Kwake yy, hakuna Rais aliyefaa!!! Hata moja tu !!! Nenda kalime, Mzee ! Au nenda Musumbiji, majeshi yenu Warwanda yanahitaji msaada! 🤣🤣🤣
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 3 года назад
WEWE NDO HUIJUI NCHI, MH RAIS SAMIA ANAJUA ANAYOYAFANYA, MZEE ACHANA NA SIASA.
@hassanmbarouk1164
@hassanmbarouk1164 3 года назад
Mkundu huyu mzee
@alfredshukuru7057
@alfredshukuru7057 3 года назад
Sioni ubaya kusema hajaribiwi...ni kauli za kuonesha umadhubuti sio vibaya kuongea hivyo karika kukemea watendaji wasifanye uzembi...ebu ukosoaji uzingatie dhamira na sio ili mradi kukosoa
@mabubambassa2333
@mabubambassa2333 3 года назад
Jenerali wewe hauko sahihi kila kitu kama unavyojiona mwenyewe. Inaonekana wewe huna imani!! Umuamini Mungu ndo maana unashangaa Hayati Raisi Magufuli alivyosema hajaribiwi!! Hii haimaanishi kuwa yeye alifananisha na Mungu, usipotoshe umma kwa sababu ya chuki zako kwa Hayati Rais Magufuli. Au aliposema amekwishaimaliza corona, pia haina maana kuwa yeye alichukua nafasi ya Mungu. Huu ni uwezo wa imani.
@marianmartin7483
@marianmartin7483 3 года назад
Ulimwengu alikuwa na chuki kubwa JPM ndo maana anaongea hayo maneno alotamka Magu. Ni kweli JPM hakujaribiwa kabisa. Simba wa Yuda
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 года назад
Ninavyojua mimi, Simba wa Yuda ni Yesu pekee... Isipokuwa you want to deify mtu, na kumfanya "mungu" wako... Usijitafutie dhambi, ndugu ! Kazi iendelee...
Далее
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
BIG CHAWA FT JENERALI ULIMWENGU
23:34
Просмотров 17 тыс.
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57