Тёмный

Jenga Nyumba Hizi Maalumu kwa Kupangisha | Vifaa Kidogo - Okoa Kiwanja - Ufundi Nafuu - Jenga Awamu 

Makazi Network
Подписаться 4,9 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

🔗 Kuona Ramani
Unit 3👉🏽 makazi.ne.tz/d...
Unit 4👉🏽 makazi.ne.tz/d...
📞 Piga/ WhatsApp: +255-657-685-268
👥 Makisio Gharama: bit.ly/2AlESRe
House Plan ID-13597, 2 bedrooms, 4382+1391 bricks and 129 corrugates || Ramani ya nyumba ID-13597, vyumba 2, tofali 4382+1391 na bati 129
makazi.ne.tz/d...
House Plan ID-19281, 2 bedrooms, 6446+2390 bricks and 110 corrugates || Ramani ya nyumba ID-19281, vyumba 2, tofali 6446+2390 na bati 110
makazi.ne.tz/d...
Hizi ni nyumba ambazo zimeandaliwa special sana na kwa umakini ziweze kufaa kwajili ya kupangisha ktk mazingira yako Popote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, Ghana, South Africa na Nchi zote za Afrika. Zina sifa zifuatazo
inatumia eneo dogo la kiwanja
ina urahisi wa kujenga
mafundi hawatakuchaji bei kubwa maana ipo simple
imeandaliwa kitaalamu kutumia vifaa vichache (bati, tofali…)
imeandaliwa ili iwe gharama nafuu kujenga
inavutia sana na inavuta wateja
wapangaji wako watakuwa na nafasi ya kutosha ndani
kila mpangaji anapata faragha nzuri nyumbani kwake
mpangilio wa vyumba ndani ni wa kisasa
shape na mpangilio wake upo simple sana ili iwe nafuu kujenga na gharama za fundi
staili yake ipo simple na nzuri ili isichukue gharama kubwa ya fundi na vifaa
waweza jenga kwa awamu (jenga kijumba kimoja kimoja)
staili yake haitumia bati nyingi
imeandaliwa ktk staili ambayo fundi hatakata kata vipande vya bati
2bhk, affordable, apartment, apartments, contemporary, hidden roof, kupangisha, nafuu, pangisha, pango, real estate, rent, renting, upangaji, upangishaji, wapangaji
Ghorofa 👉🏽 bit.ly/2CvZref
Za kupangisha 👉🏽 bit.ly/3gXMhpn
Contemporary 👉🏽 bit.ly/38Uz6CF
Dream houses 👉🏽 bit.ly/3frvta1
Za bati-tofali chache 👉🏽 bit.ly/2OllEOH
Chumba 1 👉🏽 bit.ly/32fx92l
Vyumba 2 👉🏽 bit.ly/3epw8ra
Vyumba 3 👉🏽 bit.ly/3fyuftG
Vyumba 4 👉🏽 bit.ly/32fLKuP
Vyumba 5 👉🏽 bit.ly/2C8vAJ2
Kodi Mafundi 👉🏽 bit.ly/3c0Cfnr
Uanachama Kuona Makisio Gharama 👉🏽 bit.ly/2AlESRe

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@chrisshonga
@chrisshonga Месяц назад
Kazi nzuri sana nimewakubali presentation yako iko very professional asante sana nitawatafuta
@thomastemu3332
@thomastemu3332 2 месяца назад
Verry good disigh
@iTelephone820
@iTelephone820 Год назад
Huo mziki ni makelele bana
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Sorry kwa hilo... tutajaribu kurekebisha
@nathanjunior7694
@nathanjunior7694 3 года назад
Kazi nzuri boss
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 3 года назад
Shukrani. Karibu Sana
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Год назад
Nyumba moja inaweza kuwa sh.ngapi gharama zake.
@robindennis4255
@robindennis4255 Год назад
Nyumba moja 35M ya room2,ramani bei ni 300,000
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 10 месяцев назад
Thanks
@ericaedenthomas8710
@ericaedenthomas8710 Год назад
nzuri sana
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
🙏🏼👍🏼 😊👍🏼🙏🏼 Call/WhatsApp 📲 +255-657-685-268 Tuwasiliane/ Contacts Karibu sana - Welcome! 👍🏼
@salmsalmo931
@salmsalmo931 Год назад
Mm nataka mkopo nitapata
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Sorry... hatuhusiki na mikopo ujenzi, waweza ulizia benki yako unayotumia. Call/WhatsApp 📲 +255-657-685-268 Tuwasiliane/ Contacts Karibu sana - Welcome! 👍🏼
@happymbaga9292
@happymbaga9292 Год назад
Wapangaji
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Call/WhatsApp +255-657-685-268 Tuwasiliane/ Contacts
@joniajohn4716
@joniajohn4716 2 года назад
Ahsante sana kaka
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Thanks 😊 📲 +255-657-685-268 Piga/ WhatsApp 🙏🏼👍🏼 😊👍🏼🙏🏼 Karibu sana - Welcome!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Kwa kweli ni nzuri sana ramani yako
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Ahsante. Karibu sana Tuwasiliane +255-657-685-268 Piga/WhatsApp
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Nimezipenda ramani zake naomba simu yako
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Waweza pata Tuwasiliane +255-657-685-268 Piga/WhatsApp
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 года назад
HII NZURI KABISA ,SAFI ITS MY DREAM BUSINESSE HOUSE
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 2 года назад
Thank you boss
@nassibnkize3174
@nassibnkize3174 Год назад
wapangaji
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Ndio inafaa kwa kupangisha Call/WhatsApp 📲 +255-657-685-268 Tuwasiliane/ Contacts Karibu sana - Welcome! 👍🏼
@magnushaule282
@magnushaule282 2 года назад
Nyumba nzuri
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 2 года назад
Thank you very much
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Safi
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 2 года назад
Inakufaa sana Piga/ WhatsApp +255-657-685-268
@theresiakessy4747
@theresiakessy4747 Год назад
Mpo vizuri sana mnapatikana kwa no gani?
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
Karibu boss. Tuwasiliane +255-657-685-268 Piga/WhatsApp
@mosesngige3998
@mosesngige3998 2 года назад
Wapi nambari za mafundi
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 2 года назад
© makazi.network | +255-657-685-268
@sodygambino8251
@sodygambino8251 3 года назад
Why don’t you switch to English?? So the whole Africa can understand
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 3 года назад
Thanks you sir for your advice... We are taking your advice. In our website, there are ENGLISH, SWAHILI & FRENCH LANGUAGES and anyone can use them Please visit these links to see these houses in English language Top house 👉🏽 makazi.ne.tz/designs/?p=13597 And Bottom house 👉🏽 makazi.ne.tz/designs/?p=19281 But how do you think as SWAHILI as MAIN AFRICAN LANGUAGE???
@fatimafa3434
@fatimafa3434 3 года назад
@@MakaziNetwork naomba no yako plz
@consolatablasi6212
@consolatablasi6212 2 года назад
Sikuhizi chumba na choo chake vinalipa natamani kupata vyuma vitano
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Год назад
@@consolatablasi6212 Kodi ni shingap?
@clementinawilliam2366
@clementinawilliam2366 2 года назад
Pango
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork 2 года назад
+255-657-685-268 Call/ WhatsApp Makazi Network Drimhomz Informatics Company, makaziteam@gmail.com, +255-657-685-268, www.makazi.network, Bagamoyo Road, COSTECH Building, 3rd Floor, Wing A, Kijitonyama, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania.
@piusilukiko3119
@piusilukiko3119 2 года назад
wapangaji
@MakaziNetwork
@MakaziNetwork Год назад
📲 +255-657-685-268 Piga/ WhatsApp 🙏🏼👍🏼 😊👍🏼🙏🏼 Karibu sana - Welcome!
Далее
Stylish Rental Units - 02 Bedrooms House Design
5:14
Nyumba ya kupanga ya Gharama nafuu
7:44
Просмотров 2,9 тыс.