Jenifer Kyaka & Hemed Suleiman Familia nyingi hukubwa na ugovi baina ya wazazi na wanandoa na watoto wao, ugomvi baina ya wazazi na watoto wao umepelekea kuzuka kwa visa,chuki,na mpasuko mkubwa kuhusishwa na imani potofu na ushirikina.
Alie edit hii movie ananikwaza...watu wa bongo movie mmekariri sound track huko background Yan limuvi linapiga kelele saut znainguliana kwa Haya Huwa hamyaon kabla ya kupost hizi kazi....mnajiharbia wenyew halaf kesho mseme watanzia sio wazalendo hawaangakii movie zenu....mi nmeipenda hii movie ila siangalii nimepoteza mb Zang Bure tu naskia kelele tupu watu wakiongea nyie mnaweka sound track . ....kama hamuez kazi achen kutupistia ujinga ujinga bwana.....
According 2me u guyz think ur the only producing movies online, , coz this is my third complain on ua movie. Am a kenyan bt complaining frm Somalia Kismayu.