Halo Ushindi, hongera sana uko vizuri katika kujifunza kiswahili. Somo lako hili limenisaida kujua tofauti ya salamu za Kikorea kati ya kuwasalimia watu wakubwa na vijana wenzetu. Asante sana. Na mimi nikusaidie kitu kimoja, neno NIKITANA, linatakiwa lisomeke NIKIKUTANA.
@@yongyuannizai405 ,its depends on how faster u are, but many video toturial are there, watching kdramas and Korean shows, but mostly having same one to practice, practice on ur own can't make u good in it.
me nimekua nikijifunza ki Korea na hii ndo kitu nilikua najalib kusoma,,food-eumsig brother-donglyo hello-yeoboseyo husband-nampyeon wife-anae son-adeul daughter-ttal thank you-gamsahabrida love you-salanng je,nikweli nimepatia?l need u ar help teacher
Tupunguzeni kuchanganya lugha jamani huyu anafundisha kikorea kwa lugha adhimu ya kiswahili hivyo michango yetu(comment) tuzitoe kwa lugha mbili kumbukeni nayeye anahitaji kujifunza kiswahili kutoka kwetu hivyo sio vyemu au vizuri kama uchangiaji uwe WA kingereza kwani hapa sio darasa la kingereza
I have been waiting this chance for a long time , and as long as i have get it , am not ready to lose it. Be my teacher on Korean language. Nimependa sana unavyopiga kiswahili nisaidie na mm nijue hatakidogo tafadhari!!! Korea your blood flows in my veins.
Nimejifunza maneno mawili tu Asante.meaning I have learnt two words only. Thanks. Niandikie hiyo sentence kwa kikorea.please write the statement in Korea for me.
It's not "hesimu" , pronounce "heshima" Don't say " unaonekana hesimu" , but say " unaonekana mwenye heshima" Love you ushindi keep it up, I also love learning Korean language
Nimependa unavyo ongea kiswahili nimevutiwa pia na lugha ya kikorea naomba uwe mwalimu wangu kwenye lugha ya kikorea ( be my teacher in Korea language)🤝
Niko Mmarekani weusi lakini ninaweza kuongea Kiswahili kidogo na ninafurahi kuona mwanamke wa mwasia wanajaribu kujifunza lugha ya Afrika. Video Inavutia kabisa!
안녕하세요, 저는 아슈라입니다, 저는 탄자니아 사람입니다, 지금 한국에서 6월째 살고 있습니다, 한국어를 배워고 있습니다. Nimefurahi kuona chaneli yako ya youtube... pengine tusaidiane kufundishana lugha mimi nikufundishe kiswahili, 너도 한국어를 가르쳐 주실 수 있니까? 감사합니다.