Тёмный

JIFUNZE KUPIKA NYAMA CHOMA NA UGALI KISASA ZAIDI 

Pishi Letu
Подписаться 2,1 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@rahmahabibu4727
@rahmahabibu4727 11 месяцев назад
Mtangazaji katangaze taarabu upishi huuwezi jambo fupi umelifanya liwe refuu kwasabbu ya kuongea kwako
@jahissa
@jahissa 10 месяцев назад
Nyama unachomwa lakini hatuoni moto inakaa aje ? lo ni moto ya kuteketea ama moto aiha gani? very different process looks yummy. Yote yachukuwa muda gani? viungo vilichomwtena?
@OmanOman-bm1lr
@OmanOman-bm1lr 11 месяцев назад
Mtangazaji hujui kutangaza huyo mpishi anatakiwa ajieleze mwenyewe
@godfreymrosso2051
@godfreymrosso2051 Год назад
Kuna spicy kaweka mwishoni hamjasema halafu hukuonyesha kama baada ya kuchanganya hizo spicy alichoma kwa njia gani foil ama mkaa open
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 11 месяцев назад
Yani story nyingi alaf clip zako hazidowlodc kimbembe sana
@namusokekasifa6485
@namusokekasifa6485 11 месяцев назад
Thank you , It looks good.Its appetizing.Thank you for teaching us.
@PishiLetu
@PishiLetu 10 месяцев назад
Hope you enjoy
@olgaapanga4249
@olgaapanga4249 4 месяца назад
No sound why?
@peterdismas7480
@peterdismas7480 11 месяцев назад
Mtangazaji unaboa bana, unahoji mno ,mwachie mpishi nafasi atupe madini, maswali yako hayatusaidii wasikilizaji, punguza maswali, vinginevyo nitaondoka kwenye chanel yako. Maswali hayo nenda kwa wavaa kanga moja wapenda umbea.
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Mtangazaji umezingua..tulitaka tuone hadi mwisho...but presenter unazo interests zako
@rukingaboy5473
@rukingaboy5473 8 месяцев назад
Tatizo mda jamani vidéo ndefuu
@batrumbeziks5946
@batrumbeziks5946 7 месяцев назад
...muda...
@shanibaniyas6308
@shanibaniyas6308 11 месяцев назад
Naomba namba yake
@assengamn
@assengamn 11 месяцев назад
Unaongea sana.
@MamuJingo
@MamuJingo 11 месяцев назад
😂 nkajua unamsingizia imebid nisikilize kwa utuo
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Год назад
Maneno mengi
@rodrickmasawe2948
@rodrickmasawe2948 Год назад
Mtangazaji uko kwenye story zaidi kupika kazi Acha maneno mengi
@mohamedatismail
@mohamedatismail 11 месяцев назад
Kwa sababu hajui kupika.
@ShilawaMohamed
@ShilawaMohamed 8 месяцев назад
Sasa Hapa tunaangalia mapishi au kujua maisha yake?
@batrumbeziks5946
@batrumbeziks5946 7 месяцев назад
Exactly...MAPISHI. Siyo "pishi". Kwa Kiswahili neno "pishi" ni kipimo cha ujazo (volume).
@everlynemshai8389
@everlynemshai8389 11 месяцев назад
Hujujaona mwisho
@MarullahMarullahbihorubusa
@MarullahMarullahbihorubusa 8 месяцев назад
😂😂
@yahyamussa1767
@yahyamussa1767 11 месяцев назад
Kwani msikilize .
@stylingwithsara4672
@stylingwithsara4672 Год назад
Mbona hajatuonyesha hatua ya mwisho
@everlynemshai8389
@everlynemshai8389 11 месяцев назад
Hatujaona mara yapili kuchoma
@Sadanurudin
@Sadanurudin 11 месяцев назад
punguza maswali dada
Далее
Jinsi ya kuchoma mbuzi kitaalamu
15:52
Просмотров 28 тыс.
BIRIANI YA NYAMA YA MBUZI - KISWAHILI
11:54
Просмотров 232 тыс.
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3,1 млн
BIASHARA YA CHAPATI LAINI SANAA KILO 2(2KG) #chapati
8:02
jinsi ya kutengeneza crips za ndizi tamu hatari
11:22
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3,1 млн