Peter Senyota Desekepi thank you bro una roho safi ya kutoa ulichonacho wengine wanaona ishu at a kukufahamisha wanahisi utawazidi uwezo ila thanks bro
niaje kakangu,nimeona vitu vingi unatumia vinatoka kwa waves,mimi nime download (Waves All Plugins Bundle v9 r15 (Fixed crack R2R) but ata niki install hazionekani kwa cubase 5,alafu ziko nyingi kupita kiasi.unaeza nisaindia kujua ni gani zinafaa na jinsi ya kuziweka tafadhali
Bro nakufwatilia tangu mwanzo mpaka hapa Kweli umeweza ... broda naomba unisahidie kitu ..mbona cubase yangu ahina plug nyingi kama ulizo honesha?? Nahoma msahada