Ok Asante sana kwamafundisho yako nimazuri sana,lakini mimi naomba msahada wako naitaji unifindishe kabisa kwakuwa mimi sijawaig kufanya kazi iyo lakini napenda sasa nifanye iyo kazi,sijui unasemaje
@@Richstartz nina sound card -ALESSIS_iO4 na mic _ C-1 Mzee tatizo vocal inakua na saut ya chini mpaka kuipandisha na plugns kama wave so kwann iwe chini?
vipi kaka hakuna njia rahisi ya kutusaidia urahisi wa upatikanaji wa program unazotumia hasa kwa sisi tnaojifunza kaka hasa kwa upande wa graphic design na music production