Asante sana mkuu Makulilo Kwa information iliyo nyooka ila ninaswali kidogo kama niliomba nikapata nikajipima vigezo kwa mda huo nitakuwa sikidhi vigezo kwa mfano fedha ya kuandaa safari sina au elimu yangu naona kikwazo Kwa sasa work experience yangu naona haitakidhi vigezo je naruhusiwa kuomba mwaka mwingine tena?
Kaka naomba kuuliza ivi ikitokea mtu na mkewe wote wameomba arafu mke akashinda ila mume akakosa ila changamoto ni kwamba mke yeye ajapata elimu ya A level na hana work experience yoyote ambayo ipo kwenye system ya selekali ni mama tu wa nyumban ila mume yeye anayo elimu ya A leval sasa hapo je mke atapata viza au hatopata na je kwenye interview wataenda wote au ataenda mke peke yake???samaani lakin kwa swali langu mkuu❤
Sorry Mkuu kwa huo mkanganyiko ila anachojaribu kusema ni kuwa unaweza ukashinda ila case number yako ikawa ya mbali kiasi kwamba unaweza usiitwe kwenye Interview ndio mmna anasema hata kama umeshinda ww omba tena maana inaweza kutokea lolote kama ilivyotokea kile kipindi cha Covid-19 au kile kipindi Tanzania ilivyowekwa kwenye Travel Ban, so mkuu hata ukikosa omba tena na ukipata omba vilevile mana sio makosa kuomba tena uku ukiwa umepata🙏