Тёмный

Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la nguo ( How to start clothing shop business) 

Tan Business Channel
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la nguo ni muendelezo wa video zinazo tolewa na Tan Business Channel.
Je unataka kuanzisha biashara ya duka la nguo hivi karibuni? Biashara ya nguo ina changamoto zake na haijalishi kama unauza nguo mpya au za mitumba changamoto zake zinafanana.
Jambo la kwanza na ambalo ni muhimu unapotaka kuanzisha biashara ya nguo ni kuwa lazima kuwe na fursa ya kufanya hiyo biashara. Sasa basi utafahamu vipi hizo fursa za kufanya biashara ya nguo?
Katika video hii nitakueleza changamoto ambazo huwapata wateja wa biashara ya nguo ambazo unaweza kuzigeuza kuwa fursa ya kuanzisha biashara ya nguo.
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
RU-vid: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@MaggieMwita
@MaggieMwita 11 дней назад
Hi
@MaggieMwita
@MaggieMwita 11 дней назад
Mtaji ni pesa ngapi bro❤
@AliMwambola
@AliMwambola 11 дней назад
Mtaji unategemea mambo unayotaka kufanya. Jambo la msingi ni kufahamu vigezo vinavyo tumika kukadiria mtaji wa biashara ambavyo ni vitatu: (a) Fedha za kuanzisha biashara (b) Fedha za kuendesha/kusimamia biashara (c) Fedha za kununua vifaa vya biashara Kwa habari zaidi nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kukadiria mtaji wa biashara. Wasilana nami kupitia WhatsApp 255 716 682439
@husnabadru4272
@husnabadru4272 2 года назад
Asant kak na me naomb msaad wak maan natarajia kuanzish hy biashar
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Wasiliana nami kupitia WhatsApp +255 716682439
@happynessbedwin6971
@happynessbedwin6971 Год назад
@@AliMwambola nata kuanzisha biashara hiyo yaduka la mitumbasasa namna ya kudizaini
@paschalimathias
@paschalimathias 3 месяца назад
Mtaji ni shingqp 0:08
@EmmanueliShabani-in4dr
@EmmanueliShabani-in4dr 5 месяцев назад
Ningepnda tu kujua wp upo na je mzogo Kam nahtj ntptje bro
@AliMwambola
@AliMwambola 5 месяцев назад
Nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kuanzisha duka la nguo utapata elimu ya kutosha ya biashara ya nguo. Napatikana WhatsApp 255 716682439
@paschalimathias
@paschalimathias 3 месяца назад
Mtaji ni shingqp
@AliMwambola
@AliMwambola 3 месяца назад
Mtaji unategemea unataka kufanya biashara ya ukubwa gani na mipango yako. Jambo la msingi ni kufahamu vigezo 3 vya kukadiria mtaji: (a) Fedha za kuanzisha biashara (b) Fedha za kuendesha biashara (c) Fedha za kununua vifaa, mashine, nyumba, magari etc
@selemandila1111
@selemandila1111 2 года назад
Thanx
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Welcome
@isackslyvester1023
@isackslyvester1023 2 года назад
Aixee kak nmependa of coz na wixh kuanzixha biaxhar kam ii
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Karibu
@isackslyvester1023
@isackslyvester1023 2 года назад
Axante nahitaj mamb meng xan ktoka kwako ila nlkuwa xwal
@sadah-m2n
@sadah-m2n Год назад
Kwakwel
@AliMwambola
@AliMwambola Год назад
🙏
@empireofficialtrailer9599
@empireofficialtrailer9599 2 года назад
🙏🙏🙏
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Karibu
@frolianclaudian8652
@frolianclaudian8652 2 года назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Karibu
@safiasaleh669
@safiasaleh669 2 года назад
👍
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Karibu
@franzoonlinetv3641
@franzoonlinetv3641 2 года назад
Nipaswa kuanza na mtaji kiasi gan
@AliMwambola
@AliMwambola 2 года назад
Nakushauri usome kitabu changu - Jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo. Wasiliana nami kupitia WhatsApp +255 716682439
@congoboymjexh5109
@congoboymjexh5109 2 месяца назад
@@AliMwambola ningependa kuongea na wew kuhusu hiyo biashara maan nilikuwa nahitaj kuanzisha ila bado jipanga vzr bajet yangu
Далее
AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA
8:58
How to start second hand clothes business
11:26
Просмотров 16 тыс.
КВН 2024 Встреча выпускников
2:00:41
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 61 тыс.
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Просмотров 33 тыс.
SOMO NO. 1- TOFAUTISHA BIASHARA YAKO NA MWINGINE
7:19
MTAJI WA KUTOSHA KUFUNGUA DUKA LA DAWA PHARMACY
24:26