Thanks nimekuelewa vizuri sana! Naomba kujua Ina maana ukitaka kununua hisa lazima ununue kwa mtu anaye ziuza DSE? Mfano na taka nunua hisa za CRDB nilazima kununua DSE au hata CRDB wanaziuza?
Hisa haununui CRDB unanunua kwa mtu anayeuza,na mahali mnakutania(soko) ni DSE. Ndio maana kama hamna mtu anauza hisa basi order yako itakaa ubaoni mpaka atokee anayeuza
Hisa ukishanunua dalali wako atahusika katika mchakato wa kuhanisha umiliki kutoka kwa aliyekuwa anazimiliki hapo awali na kuja kwako,huwa inachukua muda wa siku mpaka tano au zaidi. Hivyo sio rahisi kununua na kuza siku hiyo hiyo
Order iki expire unawasiliana na broker wako ili aingize manually, hivyo atakuelekeza pia muuzaji anataka bei gani,ukiona hauafikiani na bei husika,unawasiliana pia na broker wako atakupa utaratibu wa kurejeshewa fedha.
Faida za hisa ni kupitia njia mbili Capital gain(ongezeko la thamani au gawio). Nimeeleza kwenye video nyingine hapo juu.....Jifunze Namna ya Kuwekeza Katika HISA na DHAMANA na Mwl. Augustino Mwogosi ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-uzNgp7IDy9E.html
@@ElimikaMtandaoni tatizo hao madalali hawaonyeshi ushirikiano mimi nimesajili nimejaribu kununua lakini ipo pending na control number haijaja naomba kama unaweza nisaidia nifanyeje account nimefungua imekuja kila kitu kununua sasa ndo tabu