naomba kujua mchanganyiko huo wa spices kwa kizungu zinaitwaje....kama kuna mwenye anajua aniambie tu.hizo birari nyembamaba,iliki,mdalasini .....hizo kwa kizungu zaitwaje.?.
@@ashayummy2299 ...naomba kujua hio mchanganyiko yako ya sahani ya spices zinaitwaje kwa kizungu ili tuweze kununua kulingana na sehemu ambazo tupo.....ile kitu najua hapo ni garlic,ginger,onions,tomatoes,yoghurt,.....hio iliki,bizari nyembamba,....huo mchanganyiko woote kwenye sahani hio ya spices zaitwaje kwa kiingereza.if possible nielezee.asante mami🙏