Mamy asante sana nimejaribu lakini mkate wangu haujaumuka nahisi nimekosea kwenye hamira au kwa sababu sikuweka bread improver?? ila umetoka mtamu nashukuru sana ubarikiwe
Jaman madam mm nimejifunza vingi na nimejarib lakin mkate mara kadhaa unanishinda unakuwa mgumu juuu hauwez kukaa hata siku 2.😭😭 Halaf naomba kuuliza ninapooka kitu chochote kwenye umeme yaan oven ile ac inatakuwa iwe inapuliza? bado cjajua sana🙈
Habari dada mwalimu anafundisha vizuri samahan kuna eneo sijaelewa kuseti timer alivoweka dakika Saba Hadi kumi hapohapo amewasha kwenye hamsini hii inakuaje
Unaweza kukaaa siku ngp usiharibike? Kwa mf. Kama umeamua kufanya mikate ya biashara? Na kama huo uliooka Kwenye pan ndefu huwa unauza bei gn kama ni mikate ya kuuza? Ulipo gawa donge baada ya kuumuka ukapima Kwenye mzani, ulipima uzito sawa kwa sawa ndio ukagawa Kwenye tins hizo tofauti? Au kuna tin ilizidi?