Тёмный

Jinsi ya kusuka YEBO MPYA YA NANASI | New Pineapple Braids | JIFUNZE NYWELE HII MPYA KABISA🔥 

FARIDA OTHMAN
Подписаться 505 тыс.
Просмотров 85 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 379   
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
MAFUNZO YA ONLINE Ada 12,000 tu 📌 Utajifunza makeup na kusuka Lipia 0657292650 Then Njoo Whatssp nikuunge darasani MASWALI YOTE YATAJIBIWA DARASANI 📌UNAPOWAHI KULIPIA UTAJIFUNZA VITU VINGI ZAIDI
@rechojimson4264
@rechojimson4264 8 месяцев назад
Nikilipia hiyo n kwa mda gani najifunza wiki siku au aje mom
@MasumbukoMathias-pl8lj
@MasumbukoMathias-pl8lj 8 месяцев назад
,jamani mwenyewe nataka kujia zaidi@@rechojimson4264
@user-vr5zm8js7t
@user-vr5zm8js7t 5 месяцев назад
Pia naomba kujua hiyo 12000 Kwa mda gani...maana hii ni nzuri Kwa watu wenye family, ofisi hawawezi kuja hosteli tegeta
@HopefulLizard-eq3nb
@HopefulLizard-eq3nb 5 месяцев назад
❤❤
@user-dk1uq6wn6f
@user-dk1uq6wn6f 21 день назад
Nikilipia daras la online ni kila siku????😊
@IrineAtyiang
@IrineAtyiang 4 месяца назад
Good job have learnt something God bless your work
@jacklinemunda
@jacklinemunda День назад
aaa jamani nimepata kujifunza sana kusuka nywele kama huo,lina maana kuwa sikujua jinsi ya kuligawanya hiyo style ya upande upande,kwa hakika nimejifunza sana kwa kulitazama huu video 😋Mungu awabariki kwa kazi njema dadangu🙏🙏🙏
@faridaothman
@faridaothman День назад
Shukran snaaa
@MariaAlex-ht6ep
@MariaAlex-ht6ep 3 месяца назад
Uko vzur sana dada ang nimejifunz vitu ving kupitia wew
@user-lx4mq8du4c
@user-lx4mq8du4c Месяц назад
Asante sana dada ngu🙏 mungu azidi kubariki kazi yako pamoja uchuzi mwingi
@catherinemarcel2144
@catherinemarcel2144 9 месяцев назад
Asante, I have nothing to pay you rather than "be blessed everyday"
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
Thanks love .. Ameen be blessed two🤍🤍🤍❤️❤️
@catherinemarcel2144
@catherinemarcel2144 9 месяцев назад
@@faridaothman 🙏🙏🙏
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 3 месяца назад
Amina Sana dada Mungu akubariki nakupenda sana Ila siku nitakuja mpk chuoni nijifunze mengine live
@yusuphmwamengo-g4k
@yusuphmwamengo-g4k 10 дней назад
Mungu akupe maisha marefu dear
@veronicapeter948
@veronicapeter948 8 месяцев назад
Dada umenisaidia sana sana,nimejifunza adi nimeweza na nimefungua saloon kabisa ❤ Mungu alibariki dada
@faridaothman
@faridaothman 8 месяцев назад
Barikiwa sanaa
@shukuyohana
@shukuyohana 3 месяца назад
❤❤❤❤asante sana dada faridah leo nina salon kwa nguvu yako bado najifunza zaid kupitia wewe
@rebeccakamene7036
@rebeccakamene7036 9 месяцев назад
Wah imependesa sana asante dada mungu akubariki sana sana
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
Sante sanaa❤
@user-pu3ot3dp7p
@user-pu3ot3dp7p 8 месяцев назад
Mh hongera da faridah na mm nitafute wa kujifunzia sasa
@Emilyakinyi-xs2ln
@Emilyakinyi-xs2ln 6 месяцев назад
thanks Farida ninajifunza kwa hii channel yako mungu akuongeze miaka mingi ya kuishi
@NeemaRitte-ff4rp
@NeemaRitte-ff4rp 8 месяцев назад
My dia hongera sana mpenzi umekuwa mwalimu mzuri sana kwangu mungu akulinde na akuzidishie love you
@faridaothman
@faridaothman 8 месяцев назад
Ameen kipenz
@jacklinezawadi747
@jacklinezawadi747 9 месяцев назад
Thank God nikiona tu, naisuka
@Zenah-sf4yh
@Zenah-sf4yh 3 месяца назад
Asnte sana dada mungu akuweke uzidi kutufundisha
@aksaibrahim3374
@aksaibrahim3374 Месяц назад
Hakika frida upo vizuri natamani sana kujua mitindo mingi
@user-qh2md3eo3l
@user-qh2md3eo3l 9 месяцев назад
Asante sana Kwa kujitoa kutusaidia
@SilviaNjamakuya-ih8pg
@SilviaNjamakuya-ih8pg 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana akupe moyo wa kufundisha na akutie nguvu kazi zako nzuri sana
@rosemaryapiyo5182
@rosemaryapiyo5182 3 месяца назад
You never disappoint fridah I'm from kenya and i really love your work
@joycewanjiru5158
@joycewanjiru5158 2 месяца назад
Wow beautiful
@MonnyDaudy
@MonnyDaudy Месяц назад
asante sana mungu akubariki ❤❤
@RoseMayunga-p9t
@RoseMayunga-p9t Месяц назад
Hongera sana nahitaji kujifunza
@WitnessRobert-jx7ok
@WitnessRobert-jx7ok 9 месяцев назад
I like it ❤Asante Dada farida
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
Santee❤
@user-cr5gl4uv4b
@user-cr5gl4uv4b 9 месяцев назад
Staili nzuri unafundisha vizuri pia may God bless you farida
@user-nr3qt8dk4i
@user-nr3qt8dk4i 4 месяца назад
Farida wafanya vizuri sana.nataka kulipia nijifunze zaidi on line
@consolatathadei1724
@consolatathadei1724 15 часов назад
Nimejifunza kitu ahsante
@KanyinyiSaid
@KanyinyiSaid 4 месяца назад
❤❤dada umebarikiwa kipaji ...
@VestinaKasanga
@VestinaKasanga 17 дней назад
Nimependa sana hizi nywele
@mercykibunja9036
@mercykibunja9036 8 месяцев назад
Wow following your classes from Kenya
@user-ef7wr6lo5w
@user-ef7wr6lo5w 2 месяца назад
Ongera sana unatupa juzi ❤❤❤❤
@user-ww9tn1lg5k
@user-ww9tn1lg5k 6 месяцев назад
Nice job Da farida
@user-ik6lh6ct7h
@user-ik6lh6ct7h 7 месяцев назад
Kazi nzur San my dear ubarikiwe
@nakirijjajanet4241
@nakirijjajanet4241 7 месяцев назад
Be blessed be blessed be blessed love
@netyelajano5719
@netyelajano5719 9 месяцев назад
Nakupenda sana kwa mafunzo nieleze mengi kuhusu wats up group❤❤
@annethycyprian3520
@annethycyprian3520 9 месяцев назад
Nzurii sanaa jm
@UpendoFredinand
@UpendoFredinand 18 дней назад
Asante Kwa darasa zuri
@DevotharPeter
@DevotharPeter 4 месяца назад
Nakupenda kipenz mung akubarj
@mariamswila3868
@mariamswila3868 9 месяцев назад
Mungu akubariki kipenz❤
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
Ameen kipenzi❤
@beatricemfundi-eb8bb
@beatricemfundi-eb8bb 9 месяцев назад
Asant dada.mrembo kapendeza kazi nzur mno
@user-yv8tr3ky7q
@user-yv8tr3ky7q 6 месяцев назад
May God bless you najifunza mambo mengi kutoka kwako
@user-dq8zg4zj1m
@user-dq8zg4zj1m 8 месяцев назад
Good job
@lucykiwango2834
@lucykiwango2834 4 месяца назад
Wewe ni super woman unapenda wanawake wenzio nao wafanikiwe, ❤
@esthermassotha3553
@esthermassotha3553 9 месяцев назад
One ❤ madam farida from mwanafunz wako Esther minywel ming natural
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 ooh nimekumisss sanaa❤❤❤❤
@mwangiphanice4288
@mwangiphanice4288 9 месяцев назад
it look good from kenya
@user-bf8gg3mo9q
@user-bf8gg3mo9q 9 месяцев назад
Asante da farida nitajitahidi nilipie kwa group
@MercyMaria-rj4db
@MercyMaria-rj4db 9 месяцев назад
Asantee faridaa,style tamuu❤
@user-jo2cp8wr9z
@user-jo2cp8wr9z 5 месяцев назад
Mungu aendelee kukuweka my der
@SarahMgode-wz8zz
@SarahMgode-wz8zz 8 месяцев назад
Napenda sana darasa lako kwakwer mana kila unachofundisha hua naelewa Kwa ufasaha sana🙏❤❤❤❤
@user-zc7md4cz7b
@user-zc7md4cz7b 4 месяца назад
Nakupenda sana my dada
@nakirijjajanet4241
@nakirijjajanet4241 7 месяцев назад
May God bless sister
@sophiakutta9301
@sophiakutta9301 5 месяцев назад
Wow mungu akupe maisha marefu tuendelee kujifunza
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад
Unajuwa mwalimu nice napenda Sana kusuka watu yangu mdogo
@user-qf2xg1mv1k
@user-qf2xg1mv1k 2 месяца назад
Kwakwwli mwenyezi mungu akubariki
@RoseSanga-wd3qh
@RoseSanga-wd3qh 6 месяцев назад
Asante sana kipenzi nafurahia mafundisho yako
@salesiasamwelmatinya5338
@salesiasamwelmatinya5338 9 месяцев назад
❤❤❤ninzuri sana aiseee napenda sana mafundisho yako nakupenda
@user-is1rq3qm8c
@user-is1rq3qm8c 6 месяцев назад
i enjoy the lesson❤
@DainessMosha
@DainessMosha 3 месяца назад
Upo vizur dada angu, ❤
@CarolinaBosco-nf7wp
@CarolinaBosco-nf7wp 4 месяца назад
Nime pata kitu aisee barikiwa
@zeilamagelanga3972
@zeilamagelanga3972 9 месяцев назад
Nmekumic madam J....
@esthershemsanga5919
@esthershemsanga5919 9 месяцев назад
Najaribu Leo Asante kwa SoMo na Mungu akubariki
@sarahjames5493
@sarahjames5493 8 месяцев назад
Mungu akubark sana dear
@gudilathadeus927
@gudilathadeus927 6 месяцев назад
Very nice maadam❤❤❤
@petermnyamongo5668
@petermnyamongo5668 2 месяца назад
Thanks sister
@JabulaniKhubheka
@JabulaniKhubheka Месяц назад
I don't understand your language but I like it very much
@faridaothman
@faridaothman Месяц назад
Thanks
@fatmamayunga6250
@fatmamayunga6250 5 месяцев назад
asanty sana kipenz
@julievideo9126
@julievideo9126 9 месяцев назад
❤❤❤❤ nzur san
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
Sante sana
@nadiashabani575
@nadiashabani575 8 месяцев назад
Asante sana dear unatusaidia sana
@Zouh480
@Zouh480 9 месяцев назад
So cute walahi😊
@user-bc4ur8wt5t
@user-bc4ur8wt5t 6 месяцев назад
Asante dear una tudunza mengi sana mungu aku bariki
@SiaMinja-rs8cw
@SiaMinja-rs8cw 9 месяцев назад
Ubarikiwe Farida,,najif unza vitu vingi sana kwako
@user-cy3ef1bc8y
@user-cy3ef1bc8y 4 месяца назад
Ubarikiwe dada
@EuniceThoya-tk6jg
@EuniceThoya-tk6jg Месяц назад
Good job dadaa
@JanethWales
@JanethWales Месяц назад
Jamani hata Mimi ni msusi hii nimependa Asante my dear nakuelewa 😂😂
@faridaothman
@faridaothman Месяц назад
Santee
@user-nf2ye5zf6t
@user-nf2ye5zf6t 7 месяцев назад
Unasuka visuri sana dada,nahitaji kujifunza pia
@HolloMbisa-zx7ej
@HolloMbisa-zx7ej 9 месяцев назад
❤❤i like it thanks so much
@MariaMwamwinuka-kt5fd
@MariaMwamwinuka-kt5fd 7 месяцев назад
Asante Kipenz Nimeelewa Vizuri Kabisa🤝
@tumainimwakafuta5969
@tumainimwakafuta5969 2 месяца назад
Kazi nzuri
@Joycekisika-mw7sr
@Joycekisika-mw7sr 9 месяцев назад
Hongera sana dada farida ubarikiwe kwa kuwa unatusaidia sana
@EstarAlais
@EstarAlais Месяц назад
Kaz nzuri
@ElizabethJohanes-he3ws
@ElizabethJohanes-he3ws 2 месяца назад
Mm sijui kabis ilanataman kujifunza nitaju kabisa ndonimeanzaleo kuangali
@TheresiaTemu-ye1lm
@TheresiaTemu-ye1lm 9 месяцев назад
Jmn dada unafundisha vzr sana àsanteee
@faridaothman
@faridaothman 9 месяцев назад
Sante sanaa
@hosianaloti7049
@hosianaloti7049 9 месяцев назад
Huwa nafurahia sana mafundisho haya dada
@user-bh3gp3ko3b
@user-bh3gp3ko3b 8 месяцев назад
Jamani dada munguakubariki
@user-pi2dp9zc7i
@user-pi2dp9zc7i 5 месяцев назад
Mungu ayibariki Kazi Yako ni njema sana
@user-vx3mx4ki9c
@user-vx3mx4ki9c 9 месяцев назад
Be blessed my dea nimejifunza mengi sana
@BethinaMhuta
@BethinaMhuta Месяц назад
Uko vzr sna nmepend kaz yako
@user-mf4go1rc5e
@user-mf4go1rc5e 4 месяца назад
Ongera sana dada
@nakirijjajanet4241
@nakirijjajanet4241 6 месяцев назад
God bless you
@user-ij9cx9kj4x
@user-ij9cx9kj4x 7 месяцев назад
Asante sana kwa mafunzo
@ZainaMohamed-rc7oh
@ZainaMohamed-rc7oh 9 месяцев назад
Madam Farida kazi zako ni nzur sana nitalipia uniunge
@MarryMoshiro
@MarryMoshiro 3 месяца назад
Inapendeza sana kipenzi
@beatriceadhiambo6944
@beatriceadhiambo6944 3 месяца назад
Asante kwa mafunzo
@user-lp3if3kz7q
@user-lp3if3kz7q 7 месяцев назад
Jambo napenda sana ngisi unasuka nini niko Congo Kinshasa
@janethmwashiuya3246
@janethmwashiuya3246 9 месяцев назад
Msuko mzuri hongera
@angelmathias1180
@angelmathias1180 4 месяца назад
❤❤❤❤❤ mimi nataka kujifunza one line
@fridamushi5964
@fridamushi5964 9 месяцев назад
Barikiwa zaidi frida
@user-et3fh3uu7v
@user-et3fh3uu7v 9 месяцев назад
Nzurii sanaa nmeipendaa👌
@MwajumaAbdallah-mg5jp
@MwajumaAbdallah-mg5jp 9 месяцев назад
🙏nime ilewa vizuri sana Ila mm mkono wangu mzito cjui unatumia muda gn
@user-uc1fj9wg6n
@user-uc1fj9wg6n 9 месяцев назад
Thanks my dear❤❤❤
Далее
This style is fire!🔥💕
18:07
Просмотров 49 тыс.
JIFUNZE KUSUKA STICH KWA NJIA RAHISI KABISA
14:24
Просмотров 2,1 тыс.
ЮТУБ ТОЧНО ВСЕ!
11:23
Просмотров 980 тыс.