Тёмный

Jinsi ya Kutengeneza Chapati laini za Maji na Mbonga Mbonga / How to Make Crepes With Vegetables 

Cooking With Tina
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Chapati za maji hizi ni chapati wengi wanazijua pia kama chapati za mayai/chapati za kumimina. Zinakuwa katika kimiminika, pia hutumika mayai Chapati hizi ni tamu na laini pia zinakuwa zimekamilika kwani zina kuwa na mboga mboga kama vile karoti, pili pili hoho na kitunguu. Pia inakuwa na mayai ambayo ni protein na unga wa ngano ambayo ni starch! Nirahisi sana kuandaa na mahitaji yake ni rahisi sana upatikanaji wake! swahili cooking with tina how to make chapati paratha kenya roti recipe vegeterian chapo
Follow Instagram Yangu hapa - cookingwith...

Хобби

Опубликовано:

 

19 ноя 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@asminkaisa2640
@asminkaisa2640 6 лет назад
u made my evening mpz Len me try for dinner
@asminkaisa2640
@asminkaisa2640 6 лет назад
Awwwwww yaan nameza mate tuu warrah
@zedyme4747
@zedyme4747 4 года назад
nzur dear hongr
@SadatiSadatishabani-jg5lc
@SadatiSadatishabani-jg5lc Год назад
Vizuri sana
@BEINGANASTAZIA
@BEINGANASTAZIA 4 года назад
I love how u made it very detailed i missed these and i saw your tutorial very nice thank you love
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
BEING ANASTAZIA thanks too for Waching dear
@priscapallangyo
@priscapallangyo Год назад
Nice one
@audreyirakoze7807
@audreyirakoze7807 Год назад
Asante uko sawa😘🇧🇮🇧🇮
@gracealoyce2160
@gracealoyce2160 4 года назад
Vikombe vinne umepata chapati ngap ?
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 4 года назад
Mashallah
@nasabimohamed7106
@nasabimohamed7106 6 лет назад
Look food 😘😘😘
@ramadhankimomwe3505
@ramadhankimomwe3505 6 лет назад
Dahh!! U-tube hatuonjagi tu, ila nataman ningepata kachanc kakuonja japo chapat moja tu. Nimependa chapat zako sana. Zinavutia rangi ya mvuto sana
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
Ramadhan Kimomwe Hata usijali mdogo wangu! I will bring za kuonja 1day. Thanks 🙏
@mussapogocho188
@mussapogocho188 Год назад
Ziko poa 👍
@jacklinemakalangamakalanga4504
good
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Jacklinemakalanga Makalanga Jackline thanks for your support
@abudebinabri1287
@abudebinabri1287 5 лет назад
mungu akihifadhi
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Amen أحمد عبداللهيضر قدمين؟
@ezekiellotoishe5019
@ezekiellotoishe5019 4 года назад
Safi chapati nzuri unazipika vizuri
@jazzmoha3191
@jazzmoha3191 6 лет назад
We call in somali malawax but we dont add vegetable
@naimasaid5604
@naimasaid5604 6 лет назад
jazz moha ,I cook malawah and I add vegetables ,egg ...
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 лет назад
Nice
@sabrinammbaga3079
@sabrinammbaga3079 6 лет назад
nice
@estherchamhene212
@estherchamhene212 6 лет назад
Mie ningeongeza ladha either hiriki au vanila kuua shombo ya mayai
@zenaowino4810
@zenaowino4810 5 лет назад
Kwa hivyo uweki mayayi
@zuwenaali9554
@zuwenaali9554 5 лет назад
@@zenaowino4810 ukiweka mayai ndio unazid kuwa mizur mikate yko
@Heismchina
@Heismchina Год назад
Hiyo sukar sukar ya aina gan mbon nyeupe
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 Год назад
Mimi nlitumia caster sugar ila unawaza tumia ya kawaida tu.
@hamidalihumbo1612
@hamidalihumbo1612 5 лет назад
huwez kutia maziwa
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Hamida Lihumbo unaweza weka my dear
@zuwenaali9554
@zuwenaali9554 5 лет назад
Iyo frypan ni aina gani? ?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Zuwena Ali ni non stick pan
@zuwenaali9554
@zuwenaali9554 5 лет назад
@@cookingwithtina8186 shukran
@luluanosisye87
@luluanosisye87 4 года назад
Sorry dear nikitaka kuweka maziwa je nayachemsha au ni aina gan ya maziwa mazuri kwa kuweka
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
LULU ANOSISYE maziwa fresh my dear
@angeniyonkuru3358
@angeniyonkuru3358 5 лет назад
Tunatumiya maji ya uvuguvu?ao
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Ange Niyonkuru Hapana maji ya kawaida
@levinadaniel6470
@levinadaniel6470 6 лет назад
Unga unapima kwa kutumia kikombe kipi kikubwa au kidogo?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
Tumia kikombe cha chai cha kawaida na usijaze mlima
@hatamimnimempendabulejaman1596
Nazipendaga huwa nilikuwaga nazipika nyumbani
@hatamimnimempendabulejaman1596
Nimeona mtu aliuliza kipimo cha Unga Unga si unakuwa unapima unavyotaka mwenyewe huwezi ukapika nyingi nawakati mpo kidogo ni inategemea na watu mtaokula Kwa hiyo kipimo ni juu yako
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ndio vitu vinatakiwa vidogo vidogo hili viive tukipikaga wanasemaga tu nazipika vizur kama za Kusukuma vile wengine si wqnapikaga tepe hata Zaman nilikuwa naona
@hatamimnimempendabulejaman1596
Dada naye amexipatia amepika kama sisi mim nazipendaga ni tamu nazo japo napendaga Sana za kusukuma
@petronilamassawe6330
@petronilamassawe6330 6 лет назад
Maji uliyoweka ni ya baridi au ya moto?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
petronila massawe Room temperature!
@vickysamweli39
@vickysamweli39 6 лет назад
Asante nimejifunza
Далее
Chapati za Kumimina (Mayai /Mbogamboga)
9:52
Просмотров 175 тыс.
🤡Украли У ВСЕХ🤪
00:37
Просмотров 171 тыс.
How to make soft chapati
5:48
Просмотров 15 тыс.
CHAPATI ZA MAZIWA YA UNGA (kiswahili)
10:02
Просмотров 302 тыс.
Все очень включено
0:43
Просмотров 1,5 млн