Тёмный

Jinsi Ya Kutengeneza Pizza | How to Make Pizza 

Cooking With Tina
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 269 тыс.
50% 1

Katika video hii nitaonyesha jinsi ya kutengeneza pizza hatua kwa hatua/step by step kwanzia ukandaji wa unga (dough), jinsi ya kuandaa sauce na jinsi ya kuoka pizza kwa kutumia jiko la oven la kawaida pia kutumia ingredients/mahitaji ya kawaida ambapo pia ni rahisi kupatikana.
kwaajili ya kuandaa unga mahitaji ni:-
unga wa ngano vikombe vya chai 4
hamira nyembamba 4 1/2 tspoon
sukari 1 1/2 tspoon
chumvi 1 tspoon
olive oil 3 tspoon
maji ya kutosha kukandia unga
mahitaji kwaajili ya sauce:-
vitunguu maji
nyanya tomato sauce
sukari
aregano
chumvi
mahitaji kwaajili ya topping
mozzarella cheese
cheddar cheese
nyama ya kuku isiyo na mifupa/ sausage
mboga mboga zilizokatwa ndogo ndogo hoho,nyanya,vitunguu
sweet corn/ mahindi machanga ya kopo how to pizza recipe cooking homemade pizza kiswahili kenya tasty chef

Опубликовано:

 

5 май 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 263   
@stellahnanguka6544
@stellahnanguka6544 Год назад
Waooo nimeelewa vizuri! Asante mpendwa naamini nitapika vizuri Sasa na kwa urahisi👌
@NassorAli-yv1ue
Tunshukuru kwa kazi mzuri hunger sana
@ramlaabdurahman3059
@ramlaabdurahman3059 Год назад
Pizza imependeza Maa Shaa Allah. Asante kwa pishi amassing
@jeniphapilipili6746
@jeniphapilipili6746 Год назад
Unajuwa sana mam
@sheylatabdallah3428
@sheylatabdallah3428 5 лет назад
Maashaallah
@asiaaliy4366
@asiaaliy4366 4 года назад
Mashaallah shukurani nimejifuza Asante
@RachellyRMboya
@RachellyRMboya Год назад
Good job umefanya vizuri sana
@elvyrajuma7820
@elvyrajuma7820 2 года назад
Nimeipenda kweli kweli! ❤️❤️
@beatricebolger9824
@beatricebolger9824 6 лет назад
Kazi nzuri sana asante
@clementsindamka8804
@clementsindamka8804 4 года назад
Hiyo background music inaitwaje, nimeipenda
@nuiasadiki6342
@nuiasadiki6342 5 лет назад
shukran dada
@EmJesho
Waoooo nzuri sana
@shuasaishuasai4108
@shuasaishuasai4108 5 лет назад
I want to try now
@abudebinabri1287
@abudebinabri1287 6 лет назад
thank you
@iyanjakondoa3533
@iyanjakondoa3533 3 года назад
Ni nzuri mashaaallah 🍕🍕
@estherkariuki3437
@estherkariuki3437 Год назад
Nice pizza and simple to prepare. Asante
@ZawadiAbdala
Mashalla
@NaimaKabema
Wewe ni nouma umeisha sanaa .pizza inavutia mashaallaah
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Mashallah nice
@jalilahalkindy5702
@jalilahalkindy5702 5 лет назад
Nice masha Allah lkn hauwez baada kumaliza kuweka spice zote ukaeka ute wa yai juu yke ili iweze kushikn vzr na kuongeza ladha
Далее
JINSI YA KUPIKA PIZZA -KISWAHILI
13:01
Просмотров 529 тыс.
Pizza ya kuku ( Chicken Pizza)  Tamu sanaa..
6:23
Просмотров 17 тыс.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
Mini Pizza bila ya oven | Mini Pizza without oven
10:03
HOW TO MAKE PIZZA AT HOME | CHICKEN PIZZA !
11:11
Просмотров 6 млн
#TBCMEKONI - JIFUNZE JINSI YA KUPIKA BIRIANI
27:31
Просмотров 293 тыс.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21