Katika video hii nitaonyesha jinsi ya kuandaa nyama za kuku kwaajili ya kufungia sambuasa, ambapo nitatumia kidari cha kuku. pia nitaonyesha jinsi ya kufunga sambusa na kuzikaanga.
In this video i will be showing you how to prepare samosa stuffing using chicken and how to fold. chicken samosa recipe mapishi cooking tanzania kenya kiswahili
13 апр 2018