Тёмный

Jinsi ya kuweka DAWA YA KALIKITI au CURLY |How to apply curly 

FARIDA OTHMAN
Подписаться 504 тыс.
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 ноя 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 414   
@faridaothman
@faridaothman 2 года назад
HI LOVE MKO POA NITARUDIA MAFUNZO YA KUWEKA DAWA YA KALI NA NITAJIBU COMMENT ZETU COZ MASWALI YAMEKUWA NI MENGI SO JIANDAE KWA AJILI YA TUTORIAL KUANZIA STEP 1 hadi STEP 3
@zedpineaple7824
@zedpineaple7824 Год назад
Hi madam naomba utuonyeshe na jinsi ya kuweka permanent curl for short hair
@LilianfelixFelix-wg3wh
@LilianfelixFelix-wg3wh Год назад
Ukiweka iyo Kali hauoshi unaweka Lola ikiwa nadawa
@zoyabae6922
@zoyabae6922 Год назад
Je unapatikana wap
@gloryhalifa7978
@gloryhalifa7978 8 месяцев назад
Sijaona kukiosha
@faridaothman
@faridaothman 3 года назад
JAMANI KWA WALE AMBAO HUWA MNA COMMENT SANA NA KU SHARE VIDEO ZETU plz naomba kutambua uwepo wako nikuunge kwa group letu la whatssp... Hakikisha umeshare video zetu
@doreenpaul1812
@doreenpaul1812 3 года назад
Tupo dada
@salmaabdallah8363
@salmaabdallah8363 3 года назад
Xaxa mm sip tanzania ila nakufatia sana
@leahevaristo9170
@leahevaristo9170 3 года назад
Je na2mia dawa yeyote au ni lazima iwe iyo
@salmaabdallah8363
@salmaabdallah8363 3 года назад
Ok saw
@elizabethclement1654
@elizabethclement1654 3 года назад
nimeipenda mno
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 3 года назад
Dah! Hki kitu nimetafuta sana siku nyingi kujua bila mafanikio. Asante sana sana Farida.
@faustinakusekwa406
@faustinakusekwa406 3 года назад
Asante kwa video nzuri
@joycentongani388
@joycentongani388 Год назад
Safi sana japo ni miaka 2 iliyopita swali langu vipi haina maumivu makali km relacxa ?
@hawasesala8182
@hawasesala8182 3 года назад
Ninefurahia hili somo kiukweli..je ukishaweka dawa kinachofuata ni hiyo spray tu ?
@agnessmartin8773
@agnessmartin8773 3 года назад
Thank you farida
@estherjonas6223
@estherjonas6223 3 года назад
Thank you
@muneuros7384
@muneuros7384 2 года назад
Iyo dawa uliyoweka, ina maana badae nywele zinakua relaxed au znabaki natural?
@salmasamwel7057
@salmasamwel7057 Год назад
Samahan,hapo kwenye kuosha unaosha zikiwa na rolas?
@victoranangisye3838
@victoranangisye3838 3 года назад
Asante sana
@catherinejm8625
@catherinejm8625 2 года назад
Naipenda Sana kazi miss farida nataman kuwa Kama wew yaan
@lucyernest964
@lucyernest964 Год назад
Mm cjaelewa hapo kwenye kumuosha unatumia shampoo au unamuosha Kwa kutumia maji tu na je dawa inaishaje kwenye nywele?
@winniedavid3094
@winniedavid3094 2 года назад
Ahsante Sana dadaa Mungu akubarki kwa mafunzo mazur
@vumischinga5600
@vumischinga5600 Год назад
Naomba kujua kitu,kwa upande wa dawa inatumika hyo uliyotifundishia tu au kunq zingine?na je zinauzwa in set au unanunua tofaut tofauti?pls yeyote anaejua naomba anieleweshe
@stellaeliah9598
@stellaeliah9598 3 года назад
Na bei za rorazi je na arusha napataje?
@renahnanyojo5099
@renahnanyojo5099 3 года назад
Asante Dada unafundisha vizuri
@pendopeter4331
@pendopeter4331 3 года назад
Hii dawa ya curl ukipata nywele zinabaki kua natural au?
@nururashid5499
@nururashid5499 3 года назад
Ukishaosha dawa nakuspray unaeza kausha na drier?
@nadiaabdallahsalim9929
@nadiaabdallahsalim9929 3 года назад
Ahsanteee
@mkundemarandu5599
@mkundemarandu5599 2 года назад
Naomba kuuliza hi dawa ya Carl unaosha?maana hapa nimeona unaweka dawa then rola sijaelewa mi mgeni kwenye hli soma
@phynerdemirrow7498
@phynerdemirrow7498 3 года назад
Nakupenda sana we dada😍asante kwa daraasa
@irenegrd8463
@irenegrd8463 2 года назад
Kwaiyo nawek dawa alafu nafunag rol ndoanaosh au naweka daw naosh alafu nafunga rola au vip
@veronicawanza8810
@veronicawanza8810 2 года назад
Nice Farida naomba kujua jinsi ya kushuka mkeka
@hasheemjuma9920
@hasheemjuma9920 Год назад
Samahani dada Ivi unaanza kufunga Rola na step 1 au baada ya kuosha hiyo ya kwanza na kufunga Rola kwenye step 2?
@beathrukonge4725
@beathrukonge4725 2 года назад
Ukiweka dawa unasert bila kuosha? Na unaosha huku zikiwemo hiz lolaz sijaelewa hapo
@pendojustin9110
@pendojustin9110 3 года назад
Oyoooooooooooooooo thanks my dear
@mariammwasha4742
@mariammwasha4742 3 года назад
Hz product ulizotumia mbona hujatuonyesha vzr? Naomb jitahid majina yake nikanunue plz
@salmaharuni130
@salmaharuni130 Год назад
Samahani hapo ulipomaliza kuweka dawa inamaana unafunga rola bila kuosha au mi nimejivuruga?
@hellennyaki7340
@hellennyaki7340 2 года назад
Je kwa nywele ndogo zaidi ya izi amazon hazifai kueka rollers
@merrylameck5158
@merrylameck5158 2 года назад
Dada farida plz naomba jibu 🙏 ukiweka dawa unafunga rolas pamenichanganya kidogo, unatoa rolas alafu unaosha ama unaosha na rolas??
@Ministries803
@Ministries803 3 года назад
Nataka kuhuliza ukishaweka Cali yako inabidi kuwa nanyunyuzia maji kila mara ao?
@elizabethdaniel3895
@elizabethdaniel3895 2 года назад
Hongera dada nimeelewa hilo somo
@jennifermaiseli9064
@jennifermaiseli9064 3 года назад
Hyo curl hua ainguzi naona km rola zinafungwa kabla ya kuosha au sio,naomba kueleweshwa hapo
@alexishagabimana3148
@alexishagabimana3148 2 года назад
jewe ndasavye mumbwire ingene bashiramwo ibigudi umushashi ufata ingene ubungana? na quantite ushiramwo neutralisants numwanya bimaramwo kugira bibe bouclé .murakoze
@monicerz
@monicerz 2 года назад
Inakauka bila kumweka kwenye Drayer??
@ingiamsangi7067
@ingiamsangi7067 2 года назад
Unaweza weka kwa nywele ndefu ambazo ni natural?na aziwezi kukatika?
@ashreyally2993
@ashreyally2993 3 года назад
Kwhy unaosha ikiwa bado hujatoa rola?
@jasminnyiti8215
@jasminnyiti8215 2 года назад
Nimependa sana
@winniedavid3094
@winniedavid3094 3 года назад
Dada Mungu akubarki mnoo Sasa cjaelewa baada ya kuweka kari unaosha Kwanza ndo uweke Lora au huoshi
@shanismail3024
@shanismail3024 2 года назад
Asante Dada
@smartbeauty8544
@smartbeauty8544 3 года назад
🙌🙌
@pennycandy27.
@pennycandy27. 2 года назад
sorry madam ukiweka kwenye nywele yenye dawa haiwez kukata nywele?
@user-nj3tf2qu1x
@user-nj3tf2qu1x 7 месяцев назад
Sasa unazitunza vipi izo nywele. Utakuwa na ziosha na shampoo ao?
@damaridaudi9785
@damaridaudi9785 Год назад
mbona mimi aijaona kali kiti nimeona tu dawa ya movit kwan hiyo movit ndo kalikit aamahani lakin naitaj jibu
@lilly.guides
@lilly.guides Год назад
Naomba kuliza ile step two ya hii curlkit mbona hujatuonyesha ukiweka
@eliaskassim5684
@eliaskassim5684 2 года назад
Mmmh cjakuelew (1)nikimaliza kuweka daw nikafunga rolaz nitakaushia kweny dray au ......(2) nitaosha na rolaz zikiwa kichwan??
@neemasapiyo5494
@neemasapiyo5494 2 года назад
Nice
@farajapaul5647
@farajapaul5647 3 года назад
Umejua kunifurahish asbh asbh dada..
@tupeligweaswile6655
@tupeligweaswile6655 2 года назад
Ko naosha zikiwa bado naroras ?mihapo ndosijaerewa na jee nilisha muosha anakaukia hewa au mana sijaona ukimuweka ktk draya , Asante kwamafundisho dada
@lusianathuman2205
@lusianathuman2205 7 месяцев назад
Maadam baada ya kumfung rola ata kaushw na Drayer au ?
@fatumaalphan5011
@fatumaalphan5011 3 года назад
Eti zinaoshwa zikiwa na rolaz zake
@debryciousshiningpoint3391
@debryciousshiningpoint3391 3 года назад
Je hii dawa ikiisha kwenye nywele je zinaweza kurudi kuwa natural kama zaman??
@vailethudson2771
@vailethudson2771 3 года назад
ndyo kuna dawa yake nadhan step 3 inarudisha kuwa natural bila kukosea,,,coz kuna step 1 step 2 na step 3
@ednarajabu4033
@ednarajabu4033 2 года назад
Kwa nywele ya dawa iliyootea haifai?
@sudysanga2138
@sudysanga2138 2 года назад
Sister nilikua nauliza nimeona baada ya kuweka rollers ukasema unatakiwa ukaoshe ila sijajua utaosha nywele zikiwa na rollers?
@vumischinga5600
@vumischinga5600 Год назад
Ndio mbona kasema unaosha zikiwa na rola
@mildredonokas9029
@mildredonokas9029 2 года назад
If the hair is short and can't fit rollers
@tukupasyaleonard1541
@tukupasyaleonard1541 2 года назад
Hapo kwenye kuziosha baada ya kuzikausha unaziosha zikiwa na rollers?
@leilangowo5692
@leilangowo5692 2 года назад
Ndio ukitoa rolazi mawimbi yanaisha
@kimanne2568
@kimanne2568 4 месяца назад
Nauliza kwan hukuosha hiyo dawa?? Ndio uweke rolas
@thabithakaluguru5391
@thabithakaluguru5391 3 года назад
Asante Sana kwa mafundisho, nywele inakauka bila kukaa kwenye Drayer wakati ulipomfunga loras?
@vailethudson2771
@vailethudson2771 3 года назад
kuweka kweny drayer haifai nywele itabadilika rangi so inakauka na moto mdgo either ukae kweny jua
@user-ke7qd6ge3x
@user-ke7qd6ge3x Год назад
Samahani Ukishaweka hiyo dawa nywele haiwi natural tena??
@emerancemakanda2108
@emerancemakanda2108 3 года назад
Ukitaka kuosha unaosha n'a maji ya vugu vugu ao ya baridi?
@user-cv5im1ys6f
@user-cv5im1ys6f 5 месяцев назад
Naomba kuuliza nywele yenye dawa haifai kuweka?
@user-ny4tz6di9f
@user-ny4tz6di9f 9 месяцев назад
Asante unaweka kwa bei gani
@MathewMichael-go2wn
@MathewMichael-go2wn Год назад
Ntaiacha ikauke ndani ya draya ua kawaida??
@fedhayassin1748
@fedhayassin1748 Год назад
Ukiweka dawa unamuosha ndio unaweka lolazi au unaweka lolazi ndio una muosha?
@ElisabettaMbega-vy4ui
@ElisabettaMbega-vy4ui Год назад
Invitare hiyo dawa? Sisi tullio Kuwait malissimo tutaipataje? Asante
@jacklinezawadi747
@jacklinezawadi747 Год назад
Unaosha ikiwa na rollers au vip?
@zainabmlimbo6377
@zainabmlimbo6377 3 года назад
Samahani dada umemkausha huyomteja kwenye draya?
@TomusangeJoseph-mp8bo
@TomusangeJoseph-mp8bo 9 месяцев назад
Je kwa mwenye Nywele fupi anaweza kuweka nakupeta mawimbi bila kuweka Lola?
@pendokaaya2824
@pendokaaya2824 3 года назад
Sijaelew namana ya kuosha
@juliethtuyele3635
@juliethtuyele3635 2 года назад
Samahan sijaelew nywel zinaoshwa zikiw kwenye Lola?
@edithamalle4994
@edithamalle4994 2 месяца назад
Sijaelewa hapo kwenyekuosha unaosha zikiwa na rola au unatoa rola??
@mugishasandrine6459
@mugishasandrine6459 3 года назад
Nikiwa Burundi tayipaje rolaz???
@brandyruto9211
@brandyruto9211 3 года назад
Kama nywele ambayo ina dawa ila imeota unawekaje curl
@sabinamkwama586
@sabinamkwama586 3 года назад
Kwahy dda nywele unaziosha kwanza af ndy unawekA dawa?
@user-dk1uq6wn6f
@user-dk1uq6wn6f 18 дней назад
Sjakuelewa vzrii madam naomb kurudiwa kwa hlo somo
@zawadimgala1590
@zawadimgala1590 2 года назад
Farida mm kwa nilivyosoma comment za watu mbalimbali za watu na za kwako jinsi ya kuweka curly Step1.naweka nywele dawa (cold wave) Step2.nafunga nywele rolas nikiishamfunga rolas anakausha nywele kwa dryer au jua ndani ya dakika 40 Step3. Naosha hizo nywele kwa maji ya kawaida zikiwa kwenye roler Step4. Baada ya kuosha nampaka hizo nywele neutralize anakaa nayo kwa dakika 15 namuosha then after anausha nywele kwa jua au dryer zikiishakauka. Namtoa rolar anakua amedamshi tayari sijuii mpaka hapo nimekuelewa?
@zawadimgala1590
@zawadimgala1590 2 года назад
Naomba unireply kwa kunirekebisha ambako nimekosea naomba msaada wako
@adelajamesjames9880
@adelajamesjames9880 2 года назад
Dada lorazi hzo znauzwa shngp
@leilangowo5692
@leilangowo5692 2 года назад
Good ht mm najua hivyo dear nimeeka hii kitu sio chini ya miaka kumi
@mbuvasewe5702
@mbuvasewe5702 2 года назад
Samahani lkn km hutojali nieleweshe ni lazima kukausha nywele ilowekwa curly ?maana naona mapya haya au inakuwaje?
@intoyourtummy5566
@intoyourtummy5566 2 года назад
@@leilangowo5692 nywele za curly mtu anaweza kubana?!
@emmanueljovin4244
@emmanueljovin4244 10 месяцев назад
Hello dear samahan nauliza baada ya kuweka ayo maji je unamdry nywele zake Au sio sahihi
@scolamwanangwa5282
@scolamwanangwa5282 7 месяцев назад
Mim sjaelewa hapo kwenye kuosha dawa inaishaje ikiwa kwenye rolas
@jescamgasa2871
@jescamgasa2871 3 года назад
Xaxa mbn kwet tulielekezw kwamba ukimaliza kueka dawa unaacha anakaa dakika 40 ndo unafnga lolaz
@abedkoro
@abedkoro Год назад
Dawa ya Kali ukimaliza kuweka unaiosha?
@enivarmaghema5607
@enivarmaghema5607 Год назад
Da Faridah sijaelewa wakati unaosha unatoa rollers au waosha ikiwa na rollers hivyo
@theresiageorgeassenga8165
@theresiageorgeassenga8165 2 года назад
Samahamj lkm, unawekq rola kwenye curl cream ambayo hujaosha,
@iddyngwai4067
@iddyngwai4067 2 года назад
Ukishamuweka dawa hukoshi? Unaweka Rola hebu nijue please
@melissamshana4484
@melissamshana4484 Год назад
Je nilazima nywele iwe natural?
@kuluthummohammed8325
@kuluthummohammed8325 3 года назад
Naomba kujua ukishaweka auoshi na pia ukishamfunga rolaz anatakiwa akae kwny draya au asikae
@queenseptember4640
@queenseptember4640 3 года назад
Mtu mwenye relaxed hair anafaa kubadili kwenda kwenye curl?
@petal8776
@petal8776 3 года назад
no nywele yako lazima ikue natural ama itakatika yote
@marrypatrick3276
@marrypatrick3276 2 года назад
Samahani Dada dawa hii inakuza nywele?
@happinessmakombe8797
@happinessmakombe8797 3 года назад
Unapoacha ikauke humuweki mteja kwenye dryer au unamuweka maana sijaelewa inakaukaje
@vummykweka9484
@vummykweka9484 2 года назад
Kwahyo hauioshi baada ya kupaka dawa??
@salmajuma6553
@salmajuma6553 2 года назад
Naomba kujua tofaut ya products kwa kila aina nywele kwa sisi tunaotaka kuweka kwa mara ya kwanza
@orestagodfrey2195
@orestagodfrey2195 Год назад
Shingapi kuweka kalikiti dear?
@zakiamuyango2009
@zakiamuyango2009 2 года назад
Nashukuru nimeona jinsi ya uwekaji dawa ya kalikiti Ila kila hatua bado sijaelewa Ni dakika ngapi za kuanza hatua nyingine na uoshaji wake
@violethshenyagwa6972
@violethshenyagwa6972 2 года назад
Hii dawa unafunga rolaz kabla ya kuosha
@nuuhvedastus8409
@nuuhvedastus8409 7 дней назад
Mbona kuna mtu alipaka iyo curl baada ya mda tu nywele zikaanza kukatikaa an
@azizambise
@azizambise Год назад
Kwa nywele fupi unawekaje rola?
@asnatiibrahim5341
@asnatiibrahim5341 3 года назад
Mambo nataka kuuliza una kausha kwenye draya
@lithalameck1277
@lithalameck1277 3 месяца назад
Ok! Nmeelewa ss unapoweka dawa unamaliza muda Gani mpaka Iiive ndo uweke lolaz
@estherjulius8402
@estherjulius8402 2 года назад
Na unaosha pamoja na rora?
@lidyavicent1217
@lidyavicent1217 3 года назад
Sorry madam hii Kal haioshwiii??? Na hazikaushwi na dryer
@avilaaudax7633
@avilaaudax7633 5 месяцев назад
Kwaio unaweka vipila bila kuosha??
@zuleikhasuleiman4634
@zuleikhasuleiman4634 3 года назад
wow ni nzuri nimependa 😘
Далее
🛑 до конца!
00:12
Просмотров 68 тыс.
JHERI  CURLl ACTIVATOR ON NATURAL HAIR TYPE 4C
12:11
Просмотров 673 тыс.
FAHAMU JINSI YA KUWEKA DAWA YA MEGA GROWTH....
7:51
Просмотров 4,2 тыс.
How To: Cornrow Your Own Hair | For Beginners
7:17
Просмотров 2,8 млн
How to : Curly Perm  Retouch  with Wave Nouveau.
20:34
Просмотров 336 тыс.