Тёмный

Jinsi ya kuweka dawa ya nywele hatua kwa hatua / HAIR RELAXER / Inakuza nywele, Haiunguzi , Ni nzuri 

FARIDA OTHMAN
Подписаться 516 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@SalomeEzekiel-xh3is
@SalomeEzekiel-xh3is 6 дней назад
Asante dada kwa kazi zuri unaweza kunitumiya picha Hiyo sawa
@TrustGirl-y6u
@TrustGirl-y6u 12 дней назад
Ahsante dad Farida unafundisha
@biatanderima1152
@biatanderima1152 День назад
Hapo kwa kufunga rollers umefel..unatakiwa uanzie kwenye tips juu ukifunga then unakaza.
@user-nn7vv2fd7z
@user-nn7vv2fd7z Месяц назад
jamanii smart kabisa 💯
@giftchansa3892
@giftchansa3892 Год назад
Woow amazing madam SoMo Zur i like it
@hassanMohamed-cn7zc
@hassanMohamed-cn7zc 3 месяца назад
Asante nafurahia kujifunza mamy
@JoyceSlaa-cn1mc
@JoyceSlaa-cn1mc 11 месяцев назад
Napenda mambo ya salon ninajua kusuka nywel za mkono mitindo michache nahitaji kujua zaidi
@MARIAJOHN-bp2qj
@MARIAJOHN-bp2qj 11 месяцев назад
Tunaendelea kujifunza Asante
@DamarisMichael-s4k
@DamarisMichael-s4k Месяц назад
Wow amazing prosess
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 9 месяцев назад
Na kupenda sana ulinifanya nijuwe kuweka curly Asante sana 😊❤
@ChristerHezironi
@ChristerHezironi 3 месяца назад
Asante dada kwa ufundishaji mzr lakin kuna dawa nyingine hiyo rosheni ya pembeni inakuwa hamna nafanyaje sasa?? Mfano kam hiz dawa za kawaida kam radiant
@Justinadickison
@Justinadickison 2 месяца назад
Dada si nigharama san kukamolisha hivyo vyot? Yaan mteja itamghalim kias kikubw cha pesa, nauliz tu ili nijue namie jins yakukabilian na watej
@AngelinaNyalinga-xw3qg
@AngelinaNyalinga-xw3qg Год назад
Dada Farida mwingine ukiwahi kumuosha nywele unakuta haijaiva so unafanyaje
@faridaothman
@faridaothman Год назад
Umetumia dawa gan?
@LevinaMsafiri
@LevinaMsafiri 5 месяцев назад
dada farida nikazi nzuri. je kwenye bdry anatakiwa akae dakika ngapi ukitumia hiyo dawa
@consolatalyimo3057
@consolatalyimo3057 11 месяцев назад
Hivi dia poda ni nzuri kupaka kwenye ngozi kabla?ikiwa ngozi ni safi
@soniajeremiha4774
@soniajeremiha4774 11 месяцев назад
Napenda nijue vizuri
@user-ru7vr5dd1q
@user-ru7vr5dd1q 10 месяцев назад
Engera sana dada iyo dawa beigani naiyo shampoo
@SaidyHamiss-lk5fs
@SaidyHamiss-lk5fs 5 месяцев назад
Tupo pamoja dada Mimi marchuy ni mmoja wa wanafunz wko mtandaon
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Ni kwel isikae sana
@JoyShami
@JoyShami 3 месяца назад
thank u sis ❤❤❤
@user-bb9wu9sm7n
@user-bb9wu9sm7n 10 месяцев назад
Jambo dada, nimefuraiya mafundisho kuhusu dawa ya nywele naomba ushauri nywele yngu iko nakatika sijuwi niwenatiya produit gani
@nyandegecollince6177
@nyandegecollince6177 11 месяцев назад
Asante farida
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 9 месяцев назад
Je.mtu ambaye nywele zake azikatiki atumiye dawa ngani?
@user-il9sw7ln6q
@user-il9sw7ln6q 8 месяцев назад
Mimi nahitaji iyo dawa.unauza ngapi
@user-il9sw7ln6q
@user-il9sw7ln6q 8 месяцев назад
Nahiyo ya m’mba
@Justinadickison
@Justinadickison 2 месяца назад
Dada hizo prosses ulizotumia mpak kukamilisha zoez SI nigharama San eeh 10:04
@jacklinekwamboka991
@jacklinekwamboka991 Год назад
Kazi nzuri dada
@BethMkweta
@BethMkweta 11 месяцев назад
Je na kwa wenye nywele laini nae anaweza kutumia hiyo dawa?
@magdarenarugegera5810
@magdarenarugegera5810 Год назад
Barkiwa sanaaa❤
@yusramichael585
@yusramichael585 10 месяцев назад
Unauza iyo dawa sh ngap???
@dogomusa6484
@dogomusa6484 8 месяцев назад
Asante kwa darasa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Ndio najuwa inachanganywa huvyo ndio napenda mambo ya salun na ninakipaj cha kusuka suka tangu mdogo
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Napendaga mafunzo yako
@densacom5951
@densacom5951 9 месяцев назад
Mm natumia dawaa ya mega😅✋
@avilaaudax7633
@avilaaudax7633 7 месяцев назад
Vp lwa wale ambao wana nywel lain sana
@IreneOlilo-wu4et
@IreneOlilo-wu4et 11 месяцев назад
Ni lazima iwekwe kwa drier
@MwasitOmary
@MwasitOmary 4 месяца назад
Da farida iyo dawa inafaa kwa nywele ngumu
@user-pp5wh9mp9w
@user-pp5wh9mp9w Год назад
He iyo ya kopo inaitwaje 9:05
@user-ex1zi5dy7s
@user-ex1zi5dy7s 11 месяцев назад
Ninzuri
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Ndio ukipaka mafuta hazikolei
@Hayman_Graphics
@Hayman_Graphics 4 месяца назад
Bei shingapi
@user-il9sw7ln6q
@user-il9sw7ln6q 8 месяцев назад
Jambo
@IMAKULATAMWENGWA
@IMAKULATAMWENGWA Год назад
Inauzwaje hiyo dawa ya nywele
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 9 месяцев назад
Ayo mafuta ayapatikani dada
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 11 месяцев назад
Ni sh ngapi kuritach
@frankchabandi2354
@frankchabandi2354 3 месяца назад
Good
Далее
ДЖЕФ  ЕЩЕ ПОМОГАЕТ!
09:37
Просмотров 365 тыс.
when you have plan B 😂 @andreyreactions
00:11
Просмотров 1,7 млн
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 6 млн
Jinsi ya kuseti  nywele  kwa kutumia  Rolaz za miba
7:38
JINSI YA KUFANYA MAKEUP YA MTU MWEUSI STEP BY STEP
18:43
FAHAMU JINSI YA KUWEKA DAWA YA MEGA GROWTH....
7:51
YAFAHAMU MATUMIZI  TOFAUTI YA GEL HIZI 3.
6:22
Просмотров 39 тыс.
FAHAMU AINA HIZI ZA STEAMING NA MATUMIZI YAKE.
3:33
Просмотров 12 тыс.
ДЖЕФ  ЕЩЕ ПОМОГАЕТ!
09:37
Просмотров 365 тыс.