Тёмный

JOGOO LA MAAJABU, ANAUZWA LAKI 3, YAI LAKE MOJA ELFU 20, ANAYEMFUGA AFUNGUKA - "NI MKUBWA DUNIANI" 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 65 тыс.
50% 1

JOGOO LA MAAJABU, ANAUZWA LAKI 3, YAI LAKE MOJA ELFU 20, ANAYEMFUGA AFUNGUKA - "NI MKUBWA DUNIANI"
GLOBAL TV ipo viwanja vya sabasaba kwenye maonesho ya biashara ambapo tumetembelea banda la mfanyabiashara anayefuga kuku ambao anawauza kwa shilingi laki tatu..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

4 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 129   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 года назад
SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ
@kulthumhaji6928
@kulthumhaji6928 2 года назад
Maendeleo hsyo.
@Youth-for-Jesus
@Youth-for-Jesus 2 года назад
Wekeni numba za mfugaji
@mathossecuritycompanyltd6306
@mathossecuritycompanyltd6306 2 года назад
ukwel dada hajui kuhoji kwa tija ya watizamaji, namba ya sim, jinalake la kibiashara mtandaoni anapatikanaje. Tumejua kweli hao kuku Sasa umetusaidiaje mawasiliano dada uwe unatuliza kichwa.
@cathmassawe7575
@cathmassawe7575 2 года назад
Hongera Masawe kwa kazi nzuri, hao kuku mwaka Jana niliuziwa mmoja laki name jike na jogoo kwasasa ninakuku 60 wanakaribia ukubwa huo na nishauza kuku 16 kwa Bei ya shilling 250000 na nivifaranga so ni kazi nzuri sana
@jacksonjonathan2262
@jacksonjonathan2262 2 года назад
Uko wapi ndg
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 2 года назад
Namba yako tafadhari
@rehemamgaya5289
@rehemamgaya5289 2 года назад
Uko wapi kaka namba yako tafadhali
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 2 года назад
Acha urofa masawe Ana maajabu gani sasa huyo ni kiki wa kawaida sama hata mimi ninae hauzwi bei hiyo unataka kuwaibia watu
@gesha4759
@gesha4759 2 года назад
Ya kweli hayo?
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 2 года назад
Namba ya cm please
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mashaalah
@angelsungesu3317
@angelsungesu3317 2 года назад
Huyu ndo jogoo wa ajabu yule tuliomsoma ktk kitabu cha hadithi cha shule au?
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 2 года назад
Hadithi ya Pazi na jogoo wa ajabu. 🤣
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 2 года назад
namba ya simu
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 года назад
Wow jogoo mtagaji dunia iko mbio🤭
@peterwanguha9930
@peterwanguha9930 Год назад
Please can you give out your contact from Kenya
@amaradiombera2198
@amaradiombera2198 2 года назад
Tupe namba
@farajamiale1946
@farajamiale1946 2 года назад
Tuma namba na bei ya vifaranga
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 2 года назад
Namba ya simu please
@sotelisichula9210
@sotelisichula9210 2 месяца назад
naweza kupata namba ya huyu mfugaji
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 года назад
Dada anajua kuhoji maswali yenye mantiki
@julianaswai7846
@julianaswai7846 2 года назад
Kaka naomb namb yako tafadhali sana
@damianmakala2913
@damianmakala2913 2 года назад
Naomba namba yako bro
@misanajames1895
@misanajames1895 2 года назад
Namba zake Tunaomba pls
@gladysnjeri9640
@gladysnjeri9640 2 года назад
Uko wapi Nairobi.?
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Duuuuu, au. Ndie. Wale wa kitabuni Kampindua. Mtu chin juu🤣🤣🤣🤣
@halimaoman8900
@halimaoman8900 Год назад
😳
@nehemiakahangwa1091
@nehemiakahangwa1091 2 года назад
Mweshimiwa vifaranga shingi ngapi naunapatikana wapi tupe mawasili6
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 2 года назад
Kaka nakupataje mbn nimekuelewa
@user-tf7sx9xg7d
@user-tf7sx9xg7d 2 года назад
Tupe namba yako kaka tumeipenda kazk yako .anshallah
@mohamedkapunda6421
@mohamedkapunda6421 2 года назад
Nitumie namba yako kaka nikutafute
@zayomaonlinetv.6067
@zayomaonlinetv.6067 2 года назад
Helow
@veronicasanga2126
@veronicasanga2126 2 года назад
Hayo kweli maajabu, Jogoo kuwa na yai
@gladysnjeri9640
@gladysnjeri9640 2 года назад
Nairobi unapatikana wapi?
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 2 года назад
Number ya simu
@Najdi358
@Najdi358 2 года назад
Siachi kula kuku wa kienyeji amabe elfu ishirini unapata na mtamu ile mbaya, ila kwa laki tatu kuku mmoja duh watanisubiri san
@peemsafatz4105
@peemsafatz4105 2 года назад
Dar anapatikana wap ?
@pendokiria8179
@pendokiria8179 2 года назад
Namba tafadhali
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 года назад
Mbona hajatag number "mawasiliano" yake
@stephanusmethodius1968
@stephanusmethodius1968 10 месяцев назад
Nitapataje namba zake huyo muuza kuku
@judithmlay2196
@judithmlay2196 Месяц назад
Mm naitwa Judy nitawapataj
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 года назад
No.ya simu
@japhetrobert1728
@japhetrobert1728 2 года назад
Naomba namba ya simu. Namuhitaji huyo jogoo na jike
@henrymmbando3096
@henrymmbando3096 2 года назад
Mawasiliano tafadhali. Simu na email na anuani ya makazi. Please. Tunataka mbegu.
@subethchuwa3989
@subethchuwa3989 Год назад
Namba yako
@hemedchuma9603
@hemedchuma9603 2 года назад
Uyo mbn bei rahc yupo kuku million
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 2 года назад
Tutawapata vp hawakuku number ya cm please
@fakiikibakola1300
@fakiikibakola1300 2 года назад
Kku lk3 sio dar
@jumaciza461
@jumaciza461 2 года назад
Jogoo anataga yayi 😂😂😂😂
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 года назад
Mtangazaji ameshidwa kuuliza hilo🤭
@jumakivuma5247
@jumakivuma5247 24 дня назад
huna akili wew njoo uone wapo zaid ya kilo sita
@victoriakiwanuka5428
@victoriakiwanuka5428 2 года назад
Number ya simu tafadhali
@jamhuri_imala3976
@jamhuri_imala3976 2 года назад
Bei yakifaranga nishingapi?
@everlinechallo8545
@everlinechallo8545 Год назад
Nahitaji jamani mayai
@jerrymcbride2230
@jerrymcbride2230 2 года назад
Naweza pataje hii mbegu?
@lootalukumay9870
@lootalukumay9870 2 года назад
Global tusaidie tupate namba ya huyo Mjasiriamali
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Naomba number nahitaji mayai au vifaranga
@machakuroger7068
@machakuroger7068 2 года назад
Je Varanga vinapatikana? na kwa njia gani
@veronicafisoo997
@veronicafisoo997 2 года назад
Naomba namba nipate jinsi ya kupata vifaranga
@hafidhjuma8276
@hafidhjuma8276 9 месяцев назад
nipo kigamboni vifaranga vipo
@abdallahnguzo1180
@abdallahnguzo1180 2 года назад
Napataje mayai yake?
@upendomungongo8889
@upendomungongo8889 2 года назад
Vifaranga bei Gani?
@scheffertomar2069
@scheffertomar2069 2 года назад
Naitaji kumu namba ya simu ndio sijui nope namba kaka
@zanzibanyihita5893
@zanzibanyihita5893 2 года назад
Kifaranga kimoja shingapi
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 года назад
Kwanza hyo kuku maradhi matupu kuku atatokea ujerumani alafu hna ukubwa wa ivo Turkey mashambani wanakuku wakubwa zaid ya hao kuku hasa ni wakiafrika pekee.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
HONGERA MASAWE
@saimonianatorysubila232
@saimonianatorysubila232 2 года назад
Mimi niko shinyanga nitawapataje vifalanga ?
@omarybakari5812
@omarybakari5812 2 года назад
Hujaweka mawasiliano yake sasa??
@nimrodsuleiman9093
@nimrodsuleiman9093 2 года назад
Nawapata vipi hawa kuku nikiwa Kenya?
@ibrahimisaack4400
@ibrahimisaack4400 2 года назад
Hamjatoa mawasiliano
@dismasjavenary5023
@dismasjavenary5023 2 года назад
Ila bei ya vifaranga hatujajua.
@hafidhjuma8276
@hafidhjuma8276 9 месяцев назад
nipo kigamboni vifaranga vipo
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 2 года назад
Hakuna kuku mwenye thamani ya juu nchini Tanzania kama kuku aina kuchi njoo kanda ya ziwa wapo wengi sana harafu hawana gharama za usimamizi wake 🙆🙆🙆😄
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
sio kanda ya ziwa tu pia Tanzania nzima wapo na bei kama ulivyosema ni nafuu, lakini kwa bei hii ya huyu jamaa mh!!
@ombentemba1432
@ombentemba1432 Год назад
Hao kuchi nawapataaje?
@supriaja2374
@supriaja2374 2 года назад
Yani uyo mdogo kabsa njoo indonesia uone kuku wa maajabu wakubwa sana
@mwavamwambarkissensi7586
@mwavamwambarkissensi7586 2 года назад
Kaka naweza kupata mayai ya hao kuku wa Indonesia
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 2 года назад
@@mwavamwambarkissensi7586 kama kweli yupo Indonesia atakusaidia
@asrymohd6690
@asrymohd6690 2 года назад
Nikweli uyo kuku anastahiki iyo bei nanenane mwaka juz alikuwa anuzwa laki nane alikuwa anakila kg 8
@saadasamson5020
@saadasamson5020 2 года назад
Namba ya cm tafadhali
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 года назад
Wewe mtangazaji wa ajabu sana mbona hujaweka mawasiliano yake? Unadhani wafugaji waanaishi Dar?
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 года назад
Mbona Kama Ni wa kawaida tu, labda kwasabb katoka ujerumani
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
😂😂😂Umeonaee
@zanzibanyihita5893
@zanzibanyihita5893 2 года назад
Namba unijulishe unapatikana wapi nakupateje
@yahayamaulana1561
@yahayamaulana1561 2 года назад
Tokalini jogoo atagemayai?
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 года назад
Ndio hpo nashangaa mie ujue sio kuku hyo
@janemusimbi6127
@janemusimbi6127 2 года назад
Naomba nipate mayai yake, niko nairobi
@yahayamaulana1561
@yahayamaulana1561 2 года назад
Huyo siokuku original hayo nimagonjwa yakigeni
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
😂😂
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 2 года назад
Nenda Moshi Longuo, kwa Mama kuku, Kuku wakubwa mpaka kilo 7 kwa shs 25000 tu
@tommp7077
@tommp7077 2 года назад
namba ya huyo mama bas naomba
@psycho-fit3630
@psycho-fit3630 2 года назад
inakuja na Ugali yake tyare?
@allymwilu8089
@allymwilu8089 2 года назад
Jogoo kwani anatagaga jamani
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nimejiuliza pia ikabidi nirudi Mara Tatu kusoma kichwa cha Habari nilijua ninawenge😁😁😁😁😁😁
@zoozzoz9879
@zoozzoz9879 2 года назад
Namtaka huyo kuku
@sherabomar6681
@sherabomar6681 2 года назад
Unauza laki3 ila kwa kila baada miez mi2 au unauza kwa kila cku? Hiyo ni mwaka kwa vuli.
@rashidomar2771
@rashidomar2771 2 года назад
Mbona hamkutupa mawasiliano tunahitaji hyo mbegu
@michaelrufingo151
@michaelrufingo151 Год назад
utamu ni upishi
@evachuw8092
@evachuw8092 2 года назад
Wekeni na mawasiliano yenu Sasa
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 2 года назад
Vifaranga unauza bei gani nije ninunue
@mariamchuwa7916
@mariamchuwa7916 2 года назад
Vicaranga beigani
@charleskapaya4248
@charleskapaya4248 2 года назад
Kifaranga ni bei gani. Namayai hutotoa kwa muda ileile siku 21?
@abuumuadh5700
@abuumuadh5700 2 года назад
tunaomba mawasiliano tupate nasi hao kuku
@violetnjau9312
@violetnjau9312 2 года назад
Sasa kuliko nifuge kuku miaka miwil kasoro ndio niwez kumuuza,...si bora nifuge ngurue namwuza baada ya miez sita
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 года назад
Wewe Nguruwe ni halamu acha uroho. Bora ufuge Mbuzi boya wewe.
@pasteurmardocheemwale2023
@pasteurmardocheemwale2023 2 года назад
🤣🤣🤣
@hamadkhalfan6587
@hamadkhalfan6587 2 года назад
Yani laki tatu kwa kuku ni bei ya kawaida inaonekana bado hujakutana na wafugaji.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 2 года назад
Sana
@maswamills3161
@maswamills3161 2 года назад
Kama wanalishwa antibiotics Mmmh!!
@judithkatabaro3294
@judithkatabaro3294 2 года назад
Sio kweli hao ni kuku wanjr
@maswamills3161
@maswamills3161 2 года назад
@@judithkatabaro3294 wanjiro Arusha?sijaelewa
@selemanikudura8046
@selemanikudura8046 2 года назад
Joti
@arnoldkea2903
@arnoldkea2903 2 года назад
Vpi bro unapatikana vpi au wapi???
@sebagasper1651
@sebagasper1651 2 года назад
0768475228
@morisigahungu3778
@morisigahungu3778 2 года назад
Ongela Sana kijana mimi nahitaji mawasiriano naomba numba ya whatsapp iri tuongee
@maryshiganza539
@maryshiganza539 2 года назад
Huu ndio uongo yupo kochi wa kisukuma anaukubwa kama mbuzi
@geja8708
@geja8708 Год назад
Brahma ni kuku wa asili ya marekani, ujeruman uko ni kama walivyo hao hapa bongo
@havertzclement689
@havertzclement689 2 года назад
Uyo kuku ni mbuz
@edsongamuga1814
@edsongamuga1814 2 года назад
Hapana ni nguruwe!
@awathtupa6362
@awathtupa6362 2 года назад
Wakawaida tu njooni vijijini muone mijogooo hayo nimanyoya tu
@Awatee
@Awatee 2 года назад
@@edsongamuga1814 🤣🤣
@havertzclement689
@havertzclement689 2 года назад
@@awathtupa6362 sidhani Kwa uku shmba nilpo kma Kuna mtu anaweza kununua Kwa iyo Bei kma bata mzinga ukiuza Kwa Bei ya lak na 20 wanalia san
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 года назад
Maana ake apo kwanza nichekee😂
@damianmakala2913
@damianmakala2913 2 года назад
Naomba namba yako bro
Далее
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 243 тыс.
NOOOOO 😂😂😂
00:15
Просмотров 5 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 4,3 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 412 тыс.
SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
24:48
Просмотров 182 тыс.
BMG TV: Ufugaji wa bata ni fursa kubwa
5:22
Просмотров 9 тыс.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
HATUA ZA UTENGENEZAJI VIOTA+255-657938343
7:54
Просмотров 3,9 тыс.
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 243 тыс.