Dah kwaiyo ukinunua na kuchinja umekula laki nane chap! Afu kuna watu wanakataa kuwa kuna hotel chakula kama wali ulopoa ni milioni 1 kikiwa cha moto ni milioni tatu na nusu 😂😂😂
Ayo manyouya mguuni ndo mapambo aiseee wazungu wakiamuwa kukuza vya kwako ata mbwa wakwao ndo wazur na bei Gali ila sisi ni majibwa kokoo yamejaa mtaahani
Wewe acha kuwa na roho ya korosho heshimu mawazo ya mtu cyo lazima ufanye ww lakini wengine wanajifunza na watapata fursa kupitia elimu hii.Ww dada wa vipodoz utawezea wp kuku mwenyewe unamuogopa.Ww fani Yako ni kufuga kucha na kuweka kope badia Kisha ukadange.