Тёмный

JOLMASTER NA NDARO WAKAMATWA NA GARI LA WIZI, WANUSURIKA KUPIGWA MAWE NA WANANCHI | HIVI NI KWELI ? 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 79 тыс.
50% 1

JOLMASTER NA NDARO WAKAMATWA NA GARI LA WIZI, WANUSURIKA KUPIGWA MAWE NA WANANCHI | HIVI NI KWELI ?
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

22 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 196   
@rosemery3017
@rosemery3017 10 месяцев назад
Hii ni hatar sana Sanya unafanya ivyo sababu ni Wana wako mnajuana ila kama ni watu Baki wakiripoti utube unafungiwa mile hakuna prank ya namna hii yakuleta maafa sasa mfano watu wasiojua wangetokea pembeni na mawe wakaanza kuwapiga na mkashindwa kuwazuia ingekuwaje jaman muangalie na ubunifu wenu hii ni hatar sana😢
@seifabdalla6424
@seifabdalla6424 10 месяцев назад
Kweli htr sana
@zomasamweli
@zomasamweli 10 месяцев назад
Hika umeshauri vizuri
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 10 месяцев назад
Hao wameshapangwa kila kitu
@franciskibay8948
@franciskibay8948 10 месяцев назад
Hao watu wote ni wamepangwa na kila alokua akiongezeka ni kama alishashtuka kwamba wapo kwenye kuigiza
@mchalamchala7348
@mchalamchala7348 10 месяцев назад
Mbona kawaida sana kaangalie @ topnotch idiot halafu ndo utajua prank za hatari zikoje
@festolukuliko5875
@festolukuliko5875 10 месяцев назад
HAH FANYA U.MCHEKECHE NA BOSS WAKO MONDI!! TUNAITAKA SANA HIYOOO
@kipandethedon2547
@kipandethedon2547 10 месяцев назад
Hakikisha Afya za watu unaowasuprise. Matukio unayofanya ni Mazito Mno.
@shadhilurajaby8759
@shadhilurajaby8759 10 месяцев назад
Ivi ni kweli mo Sanya?
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 10 месяцев назад
Sanya Sanya kiusalama hii haipo sawa inaweza siku tukio kama hivi wananchi mkashindwa kuwazia mtu anapotea hivi hivi tafuta namba zingine hivi unaweza kuja kuingia matatani wanazengo wanazidi kuja dah inoma Sanya.
@MdBass-lj2bu
@MdBass-lj2bu 6 дней назад
Kweli wallah
@elgringogringo5238
@elgringogringo5238 10 месяцев назад
Hii imeweza kabisaaa...kashkika vizuli na akalowaaa mshikaji wetu hapo😂😂..keep it up bro kipindi saaaafi sana ila naomba Siku moja pia WEwe unaswe hivo hivo...na mchongo tunao...Siku ni Siku tu😂😂
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 10 месяцев назад
Hii shoo ya kinyama Toka wasafi ianzishwe noumaaaaa Sana Sanya kama ulivisema uliandaa vitu mapema vinatoka rasimi nimeelewa saaaaana
@user-zn2dd7xq6i
@user-zn2dd7xq6i 10 месяцев назад
Kaaa kwa kutulia bobu kaa kwa kutulia bhasi boy🙌🙌🙌
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 10 месяцев назад
Badilisheni utaratibu wenu"mtauawa"au mtaua watu kwa presha
@soudjabir9117
@soudjabir9117 10 месяцев назад
Hii n kali sana kuzidi zote nmependa jol master mlivomlkamat ujanja wote mfukoni
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 10 месяцев назад
Hii cjaipenda kabisa kuna siku mtu atakuja kuminywa kweli kweli
@robertemmanuel2354
@robertemmanuel2354 10 месяцев назад
Ndaro sio wakuazima gari kbsaa maan jamaa yuko laazi amwachie. Msara juma 😂😂
@user-xv3rc7cs8e
@user-xv3rc7cs8e 10 месяцев назад
baba levo next please❤❤❤
@bebebebe5677
@bebebebe5677 10 месяцев назад
Ndaro hii ishu alikua anaijua😂😂😂
@eduardokwaladashi6274
@eduardokwaladashi6274 10 месяцев назад
😂😂🔥🔥🔥🔥🔥sanya VC e mão brother MZ
@macklineremmanuel1742
@macklineremmanuel1742 10 месяцев назад
Hii haifai inashusha heshima ya mtu tafuteni contents nyingine
@Buga_Nolimits
@Buga_Nolimits 10 месяцев назад
Daahh hii kitu inaleta hasira kinomaa
@timetravellor5367
@timetravellor5367 10 месяцев назад
ACHA ujinga utani barabarani ni danger linaweza kutokea jambo likaja kuwa cost
@jumaiddy441
@jumaiddy441 10 месяцев назад
Ndaro eti nipeni funguo niendee kazi 😂😂😂
@jukwaalatech
@jukwaalatech 10 месяцев назад
Mmemuona chidi benz 😂😂
@bandekocomedy67
@bandekocomedy67 10 месяцев назад
Alafu we kipara acha uongo 😂😂
@user-xl3mh7gu6e
@user-xl3mh7gu6e 10 месяцев назад
Ni maigizo tu hakuna kitu hapo watu wamepanga
@hamisakikoti7227
@hamisakikoti7227 10 месяцев назад
Kipindi iki
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 10 месяцев назад
Jamani😢
@samuelmwangu3301
@samuelmwangu3301 10 месяцев назад
Hapo angekuwa baba Levo ingekuwa hatari sana
@hassansammy1076
@hassansammy1076 10 месяцев назад
Nakubali ✌️
@lailalaila8206
@lailalaila8206 10 месяцев назад
Ingekuwa wasenge wanachukiwa kama wezi waray tz isingekuwa na mashoga kabsaa
@user-qk5nf1vf5b
@user-qk5nf1vf5b 10 месяцев назад
Hakuna anae kanyagwa apo jol master😂😂😂😂
@asantechota8974
@asantechota8974 10 месяцев назад
Jolo master mshari ila kandaro kamepoa kama kibuyu
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 10 месяцев назад
Ndalo anasaut ya unyonge kama kaonewa vile anaonekana hapendi magomvi😂
@Nasbu-tb6cs
@Nasbu-tb6cs 29 дней назад
Izi pigo sio kabisa achen Izi mbanga Wana wavumilivu Sana ningekua Mimi nisharusha ngum mda sana uez nishika shika kiboya dizain hii..
@jaybacky9613
@jaybacky9613 День назад
Sema mejitahidi kuigizaa safi
@rodajaphet969
@rodajaphet969 10 месяцев назад
Hahahaha nimecheka Sana Leo wamepatikana
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 10 месяцев назад
Ushauri mwengine uwe na mabaunsa mbali ya hii hiz za kawaida watu wengine hasira ustsrabu hawana mtakujakuchezea vitasa hatari
@y1h1y1-m
@y1h1y1-m 10 месяцев назад
Hivi ndivio inastaili uwalisiya wakitu sanya umepatiya asilimiya 99%
@rahmalovelymakeup-xy1qp
@rahmalovelymakeup-xy1qp 10 месяцев назад
Oyaaaa Acheni Izooo 😂😂😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 10 месяцев назад
Kubal sanaaa sanya😅😅ndalu kachemka😂unatuchukulia kidal sisi tunawakanda tu
@user-rf3tl5rg4u
@user-rf3tl5rg4u 10 месяцев назад
Cjaipenda hiyo
@emanueljohn9601
@emanueljohn9601 10 месяцев назад
Au basii Acha tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ndaro bwanaa
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 10 месяцев назад
Hivi ndo plank ilivyo mzee lazima kuwe na uhalisia asilimia 85 nzima
@Wizy_store
@Wizy_store 10 месяцев назад
We sanya hunijui Ndaro msenge sana😂 au basi
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 10 месяцев назад
Hii imezingua @Mo
@Khan_voice417
@Khan_voice417 4 месяца назад
Nakubr kk ndaro ungepiga uyo
@elibarikimwanyama7246
@elibarikimwanyama7246 10 месяцев назад
Hahaa jol master alivopoa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-zn2dd7xq6i
@user-zn2dd7xq6i 10 месяцев назад
Watu washapagawa na maisha uwaletee mambo ya kisenge kama hayo alafu akuache mtu amchui mwenye gari anapiga kelele ili aonekane na yeye alitetea ili apewe ela ya soda😂😂😂😂 bongo🙌🙌
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 10 месяцев назад
Kumbeee woteeee waogaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@adelinatate9704
@adelinatate9704 10 месяцев назад
Huyo kaka wa jacket ya green actor mzuri sana 😂😂😂
@bikoboy2968
@bikoboy2968 10 месяцев назад
Au Achaa tu 😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@USWAZITVONLINE
@USWAZITVONLINE 10 месяцев назад
Kuna siku mtu anapigwa chuma ya kichwa uwe msala
@benderarescoj
@benderarescoj 10 месяцев назад
Aaah nimcheka San. 😂😂 et we mwenye para
@lynucylavezzy3232
@lynucylavezzy3232 10 месяцев назад
Ndaro kaanza kumkataa mwanae😂😂😂😂
@Wizy_store
@Wizy_store 10 месяцев назад
Ndaro waki sana
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂dah pole Joel 😂😂😂
@chulirajabu5481
@chulirajabu5481 10 месяцев назад
Kwa mwaka huu hii ni bora kuliko zote nilizo ziona
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 месяцев назад
👍👍✌️..
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 10 месяцев назад
Mmh
@nicholausyusti4068
@nicholausyusti4068 10 месяцев назад
Matokeo ya Hii kitu sio nzuri ipo siku itawagharimu aisee😡
@ZigrethZigreth
@ZigrethZigreth 9 месяцев назад
🎉
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 месяцев назад
Mimi nipo na uyo bwana kipala ni muoga kishenzi yy anazunguka tu
@richardkaingu7530
@richardkaingu7530 10 месяцев назад
Ndaro bro... una vituko kweli
@sameerally4045
@sameerally4045 10 месяцев назад
Cholo umeuwa hahahaha😂
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai 10 месяцев назад
😂😂Ndaro kumbe mwizi
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai 10 месяцев назад
😂
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 10 месяцев назад
Ndaro eti wachukulie hatua
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 10 месяцев назад
Balaaa ziiitoooo 😁😄😅
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 10 месяцев назад
Eti kanamwili mdogo 😂😂😂😂😂
@Farismabeauty
@Farismabeauty 10 месяцев назад
Hii prank yake ni kabambe for Tz ameshika line 1,anza kuchukuwa na wasiojulikana
@rodajaphet969
@rodajaphet969 10 месяцев назад
😅😂😂😂😂ndaro anavituko mno
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 месяцев назад
Kuna mtu hapo anakipara ni mshali Sana
@YaGa60
@YaGa60 10 месяцев назад
Sanya unahatalisha maisha ya watu
@mashaka_son
@mashaka_son 10 месяцев назад
😂😂😂weziii
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 10 месяцев назад
Kama unataka kiwake we mfanyie iyo mizinguo chidbenz
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 10 месяцев назад
Eti......tulia Babu! Tulia.......mwili mdogo, mdomo mkubwa
@emmanuelibrahim4556
@emmanuelibrahim4556 10 месяцев назад
Mo town atakujaga auwe watu huyuu😂😂😂
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 10 месяцев назад
hii ndio ya kufungia mwaka
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 10 месяцев назад
Ila nyie mtawaua mwenzenu kwa mapigo ya moyo😂😂😂😂😂😂
@Online-Darasa_Tv
@Online-Darasa_Tv 10 месяцев назад
Ila huu ni usenge sana tena ni ushooga mkubwa .. Yan mm ukinifanyia hv natomba wooote nyinyi
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 2 дня назад
Hiki kipindi chenu sio kizur kunasiku ataumizwa Mtu bdo hawajakutana na Vichwa
@cassalyjames9129
@cassalyjames9129 10 месяцев назад
Unatuchukulia chicken nni😂😂😂😂
@reganclarence4657
@reganclarence4657 9 месяцев назад
heeeeh kimewaka🙌🙌
@rostaduccibilly9046
@rostaduccibilly9046 10 месяцев назад
Hiki kipindi sasahivi kinaigizwa
@stevenmathias1739
@stevenmathias1739 10 месяцев назад
hii n mbay sana coz inaweza kujikuta anapgwa mtu kiutan tu hv
@MS.independent8934
@MS.independent8934 7 месяцев назад
Hichii kipindi❤❤❤🔥🔥😂😂😂😂
@queenlisapherooz7321
@queenlisapherooz7321 7 месяцев назад
Sijapenda mlicho mfanyia jaman ndaro wetu 😒😒
@KEMEATV25
@KEMEATV25 10 месяцев назад
Hii ni move wana wapanga kabisa
@konya_boy7196
@konya_boy7196 10 месяцев назад
Ndaro anakuchom😂😂
@mayungakisinza6090
@mayungakisinza6090 10 месяцев назад
Wasukuma gani waoga hao
@user-zn2dd7xq6i
@user-zn2dd7xq6i 10 месяцев назад
😂unanichukulia chicken nini bobu😂🙌
@starpawar6965
@starpawar6965 10 месяцев назад
mtakuja kusababisha vifo kwa watu icho kipind kiangalien vzur
@shafiiathumani8173
@shafiiathumani8173 10 месяцев назад
Juma anatamani kulia 😂😂😂
@BabalejrKiraka-zm2ud
@BabalejrKiraka-zm2ud 9 месяцев назад
Sema mwamba makoti nchogundua maneno mengi mikwara kibao ila Fala mmoko tu
@JumahamisiOmary
@JumahamisiOmary 10 месяцев назад
This prank One day mtu atakuja kula shaba hapa wengne wana hasira
@waduni2326
@waduni2326 10 месяцев назад
Tunaomba hichi kipindi kifungiwe huu sio ubunifu Bali ni udharilishaji
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 10 месяцев назад
😂😂😂 uyu jamaa anamdomo kamwili kadogoo
@asantechota8974
@asantechota8974 10 месяцев назад
Hatari lakini ni Salama
@Zaidiyanusumedia
@Zaidiyanusumedia 10 месяцев назад
😂😂😂😂Ndaro kumbe muoga
@mpmakunja
@mpmakunja 9 месяцев назад
Ila nyieee haya mungu anawaona🤣🤣
@InnocentJames-ce4zz
@InnocentJames-ce4zz 9 месяцев назад
Huyu jamaa mimi simkubaligi hata kidogo huyu chanya hanaga ubunifu afu ripoti zake zakimbea
@mcchhj
@mcchhj 10 месяцев назад
MWISHO WA HII KITU ATAKUJA KUFA MTU AU WATU RISASI ZITATEMBEA VIBAYA SANA
@Khan_voice417
@Khan_voice417 4 месяца назад
Uyo mwamba mfupi chawa ningekuepo apo kuma uyooo
@tyzervisualsstudio
@tyzervisualsstudio 9 месяцев назад
Tunatak ya mondiiiiiii km ujafukuzwa niiite mmbwa😅😅😅😅😅
@user-gm2yn7ib1t
@user-gm2yn7ib1t 10 месяцев назад
Hawa majama wanauwezo mkubwa wa kuigiza uhalisia duu jama kawa mpole kama sio yeye mbwembwe zote mfukoni hata ungekuwa wewe kwahio mikwara lazima ukae2😂😂😂 mdomo umeingia maji gafla duu
@rajleey8433
@rajleey8433 10 месяцев назад
😂😂😂kipara anabadilisha maneno
Далее
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Просмотров 1,7 млн
Lasagna Soup @Lionfield
00:35
Просмотров 10 млн
Редакция. News: 124-я неделя
52:01
Просмотров 1,8 млн
БЫДЛО НА ПУНКТАХ ВАЙЛДБЕРРИЗ
13:26
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00