Тёмный

MADAWA YA KULEVYA 'FEKI' YAACHWA KIJIWENI, ASKARI AYAKUTA, KILICHOTOKEA HAPO... | HIVI NI KWELI 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 47 тыс.
50% 1

MADAWA YA KULEVYA 'FEKI' YAACHWA KIJIWENI, ASKARI AYAKUTA, KILICHOTOKEA HAPO... | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

14 ноя 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@AdoAshu80
@AdoAshu80 Год назад
Huyo kaka mwenye tshirt ya kijani iliyoandikwa Malawi anajua...anajua ... tena anajua tenaaa. Kamjambisha na maswali ya msingi huyo polisi feki. 😂😂😂😂😂😂😂😂
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 Год назад
Sanya Pamoja na Wasafi Hichi kipindi Kinachukua Muda mwingi Sana Alafu Hakuna uhalisia Hapo Watu karibu Wote hapo walikua wanaonekana wanajua kinachoendelea Maana watu wameshawajua Sasahivi Wasafi TV NI kubwa Sana natamani ningepata nafasi ya kushauri Jinsi ya kuborehsa kipindi chako Mwanzo ilikua Vizuri Sana Viko vingi vya kuwashika watu Ambao watakua halisi
@priscusaugust7251
@priscusaugust7251 Год назад
😂
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Год назад
Kweli akina uharisia kbs
@kingaluadam9101
@kingaluadam9101 Год назад
Huyo Jamaa wa tshirt ya Kijani ndio ameharibu kipindi. ameuliza maswali ambayo yalikuwa yanamtoa kwenye confidence askari na akajikuta anaanza kama kujifunza badala ya kuwa mkali kama alivyokuwa amekuja. Kitu cha muhim na cha msingi sana ukishagundua kuna mtu wa hivo mahala ambako unataka kufanya kipindi una cancel tuu sio lazima ufanye scene moja. katika tukio hilo hilo unaweza fanya hata mara mbili au tatu alafu ukaweka moja mbayo itakuwa tayari kuna gaps umeshafanyia kazi. all in all kazi ni nzuri na unajitahidi , muhim ni ku improve , ile scene ya bagamoyo pale kwenye gari ilikuwa better kuliko hii.
@strong8534
@strong8534 Год назад
Sanya, kipindi kizuri sana ila next time jaribu kuweka ka uhalisia kidogo!! Tafuta askari wa ukweli ama mtu wa kawaida aje na mbwa, then huwezi kushika kitu bila gloves 🧤. Think about it!!
@mrmangetown4323
@mrmangetown4323 Год назад
Huyu mwenye kijani ni walewale askali kanzu siyo kwa point hizo
@masalumanoni4012
@masalumanoni4012 Год назад
🤣🤣🤣
@fannyvweruka8669
@fannyvweruka8669 Год назад
Pole na kazi asante nime furahi
@nexto6357
@nexto6357 Год назад
Boss Sanya 👍
@Jaycollection
@Jaycollection Год назад
Kweli utuuzima dawa broo kamuuliza maswali ya msingi kweli uyo police
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Год назад
Mwamba tishet yakijani anaijua sheria vyema sana !
@abiasifredrickdima3255
@abiasifredrickdima3255 Год назад
Appreciate Sanya #wasafi TV
@luckynayza2530
@luckynayza2530 Год назад
Wasafi nzima vipindi vikalj niviwili ao wengine wanafeli bab kubwa ivi nikweli Cheka tu big Sunday ndo vipindi pendwa
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg Год назад
💥💥💥💥💥
@vannymokoca358
@vannymokoca358 Год назад
Uyo Malawi 🇲🇼 upo vinzuri sana kabisa
@zubeirkibe6760
@zubeirkibe6760 Год назад
Huyo Mwenye T-shirt ya kijani ni askar kanzu au usalama wa taifa huwa tunakaa nao Sana maskani 😀😀😀
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 3 месяца назад
Duu zuchu akushauri maisha kweli
@Enocky-pv5ui
@Enocky-pv5ui Месяц назад
Huyu jamaa niahatari anajua sheria😅😅😅😅😅😂😂😂
@edwinjackson2294
@edwinjackson2294 Год назад
Jamaa..!! zuchu akushaur maisha uko serious kweli ww bro😂😂😂 shaur yako atakushaur ukadandiwe na ww kama yeye
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 11 месяцев назад
Acha ujinga zuchu ni mshauri mzuri sana kuliko ww unavyofikiria ujinga
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g 11 месяцев назад
Sio wote wanaokaa vijiwen ni wahuni wengine ni askar kanzu kama huyo baba mwenye tishet ya kijan ninamashaka
@agnesjohn2571
@agnesjohn2571 Год назад
😂😂😂 kweli kabisa mwonekano wako unaweza ukaangushiwa jumba bovu
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Год назад
Video mmechukua na sim au wapi hd
@wizzydollarbarbershop7079
@wizzydollarbarbershop7079 Год назад
Leo mmewezwaa😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Год назад
Malawi T-shirt ni matured sana
@waziriernesto2391
@waziriernesto2391 Год назад
noma sana
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Год назад
Sorry ninzuli, ila uhalisia wa huyo askali, naukubwa watukio haviendani
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Год назад
Mo town sanya, unajitahidi saaaana kk Story yakipindi ninzuli ila umekosea hapo kwenye huyo askali ndo umezengua tafuta kituu kinachoendana na uwalisia walau kidogo sio uyo polic wako kk kama muokota kopo
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Год назад
Leo askari kafeli hajavaa uhalisia vizuri
@solomonichisaye8767
@solomonichisaye8767 Год назад
Nilikuwa na focus kwenye maiki😂😂😂
@rahimusaide3548
@rahimusaide3548 Год назад
sio pw
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Год назад
Jamaa alievaa T.shirt ya ndimu ni asikari yaani ni asikari kama sio asikari usalama basi ni asikari jamii
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
ahahaha🤣police kapatikana leo watu wajua mnyoosha kwaza awana ata wasiwasi kama wamestukia hivi wanaigiza
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Год назад
Full pressure hapo
@jimmymagaita2947
@jimmymagaita2947 Год назад
😂 hatari
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Год назад
Kwanza unatakiwa kujua madawa ya kulevia ni dili na yana thamani kubwa hayawezi kuachwa hivo kama karanga madawa yawe kwenye begi ujazo huo wee unazani ni shi ngapi hiyo alafu ayaache tuu kisenge hivo ukiweza kuwa na mzigo ujazo huo wee ni tajiri tayari.
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Год назад
Inawezekana alikuwa anajua tayari anafatiliwa so akaamua kuyatelekeza inaingia kwa kichwa coz hilo ni zibiti bro
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Год назад
@@rajabmsinzia1715 sio kwa madawa ya kulevia mzee askari mwenyewe akiotea mzigo kama huo anaingia nao chaka yuko tayari kupoteza ajira.
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Год назад
@@captenndunga6745 😂😂😂😂Nimekusoma
@kibikihotfilm0621
@kibikihotfilm0621 Год назад
Hicho kitengo cha uaskari nipe siku moja niwaonenesheee
@g_eazmusic1329
@g_eazmusic1329 Год назад
😂😂😂
@abdulabdallh9506
@abdulabdallh9506 Год назад
Askari kayakanyaga ukuuh
@AminaAmina-pc5ke
@AminaAmina-pc5ke Год назад
Jamaa yukovizuri siyokukamatwa kixembe
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Год назад
Dah uyu mwamba yuko smart m'malawi uyo😅
@thomasmgohomatz5696
@thomasmgohomatz5696 Год назад
Mbona hii vidio sio hd
@oyay2821
@oyay2821 11 месяцев назад
Kuna wawili wameondoka polepole
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 Год назад
Uyo jamaa ni mdedly kinoma 😄😄
@Omix_production
@Omix_production Год назад
Kipindi naona kinatoka nje ya maudhui yake kutoka kwenye maisha ya wasanii kwenda kwenye maigizo prank
@RahimTreiz
@RahimTreiz 7 месяцев назад
😂😂😂🙌
@mdoutz7452
@mdoutz7452 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@officialnuhu8163
@officialnuhu8163 Год назад
Wakwanz ku comment
@ssilivestasangiloggfyssili4976
👏👏👏
@amirasman7441
@amirasman7441 Год назад
Mo, town Sanya .. Niko Nairobi Kenya ...lakini Kuna kitu kimenikuza hapo ,, huyo jamaa mwenye anataka kujua kama huyo jamaa ni police amesema kweli polisi lazima awe na cloves kuthipitisha huyo jamaa si askari. 2) huyo jamaa mwingine kushuku huyu jamaa na treaty Kwa kichwa kuthipisha ni yeye tu ndio anaeza fanya kitu kama hiyo .... Sho Gali mwanangu
@kibikihotfilm0621
@kibikihotfilm0621 Год назад
Sema askari ndo katufelisha
@jumanneyassini
@jumanneyassini Год назад
HUYU NI MATOTOLA😂😂😂
@cowboytz7441
@cowboytz7441 Год назад
fact jamaa anajiamin so poa
@marynice318
@marynice318 Год назад
😂
@mohdali1182
@mohdali1182 Год назад
Usengee mtupuu yani km vle michezo ya msukaaa huhuhuuuu bonge la tv 😂 yani atahamuelewek
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Год назад
Ww ndio unaeleweka
@zomasamweli
@zomasamweli Год назад
Sanya hiyo asikari kakuangusha kabisa Hana ubunifi kabisa
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Год назад
Nyinyi wasenge naivi vipindi vyenu mtakuja kumtoa mtu roho
Далее
MATUKIO MAKUBWA YALIYOTIKISA HIVI NI KWELI 2021...
43:11
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
Просмотров 4,4 млн