Тёмный
No video :(

JORAM NKUMBI-Msikilize Mlumbi akiwapa madini mamia ya vijana walioshiriki katika  

Ufaulu Project
Подписаться 338
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Katika #NJEYABOXYOUTHTALK iliyoandaliwa na Ufaulu Project Tanzania, Vijana zaidi ya elfu moja na mia tano walipata bahati ya kujifunza mengi kutoka kwa ndugu Joram Nkumbi ambaye ni moja ya vijana mahiri na machachari katika kukuza uzalendo na kuhamasisha matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili sambamba na uongozi mahiri kwa vijana wa Tanzania na Afrika nzima. Katika hotuba yake Ndugu Joram alihimiza vijana kuwa na uthubutu, kujituma na kujijengea mazoea ya kuwaza NJE YA BOX, ili elimu wanayoipata darasani iweze kuwa na manufaa kwao na kwa jamii nzima ya Tanzania na bara la Africa kwa ujumla.

Опубликовано:

 

18 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@Giliad-eab
@Giliad-eab Месяц назад
Nimelipenda somo hili❤❤🎉
@ibrahimjumanne3953
@ibrahimjumanne3953 Месяц назад
Hongera sana rafiki yangu Joramu Nkumbi na waliondaa hadhara hii kwa Wana chuo, Mungu awabariki. Mimi Mwl Ibrahim Jumanne Mbeya.
@benedictbuberwa3943
@benedictbuberwa3943 2 месяца назад
Safi sana .. Umenifurahisha sana kwa hoja nzuri katika lugha yetu ya kiswahili..
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 2 месяца назад
Stay blessed Mr. Joram Nkumbi.
@iddibaruani5615
@iddibaruani5615 2 месяца назад
Great speech of all time
@hidayaismail-fk1js
@hidayaismail-fk1js Месяц назад
all the glory comes from the perseverance of the beginners
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 2 месяца назад
Ma Shaa Allah
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Месяц назад
Hongera sana mwalimu
@FettyWaziri-yk2tv
@FettyWaziri-yk2tv Месяц назад
All glory comes from daring to Begin🔥🙏
@amimuabdalatifu8542
@amimuabdalatifu8542 2 месяца назад
A moment to remember
@simonchamy9367
@simonchamy9367 2 месяца назад
asante sana
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 2 месяца назад
Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
@nicksonkajuna450
@nicksonkajuna450 2 месяца назад
Nimemsikiliza mr Jorum kati ya maneno ya kingeleza alio ongea ni mawili t kwenye hotuba yake yote mathematical na excel
@hassanlubola414
@hassanlubola414 2 месяца назад
Big up brorher JN
@marcoemanuel6892
@marcoemanuel6892 2 месяца назад
Good talk
@venancefredrick549
@venancefredrick549 2 месяца назад
Hongera brother Simon Chamy
@simonchamy9367
@simonchamy9367 2 месяца назад
Asante sana
@valyagraphicstz799
@valyagraphicstz799 2 месяца назад
𝑵𝒊𝒄𝒆 𝑻𝒂𝒍𝒆𝒏𝒕𝒆𝒅 𝒎𝒂𝒏
@anizethjoseph2914
@anizethjoseph2914 2 месяца назад
Great speech indeed 🤝
@sajidseleman6641
@sajidseleman6641 2 месяца назад
Bro unavitu vingi sana kichwani
@godichua4457
@godichua4457 2 месяца назад
Huyu jamaa ana miaka mingapi?
@AlkhajidioufYambo
@AlkhajidioufYambo 2 месяца назад
😅
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 Месяц назад
Mdogo sana😅😅😅
Далее
Usomaji wa Vitabu
8:32
Просмотров 4,2 тыс.
Я тоже так могу
00:12
Просмотров 1,4 млн
Kauli ya Promotion Baada ya Kazi njema duniani
14:43
Просмотров 3,7 тыс.