Тёмный

Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi 

Hamasika Tv
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@NicksonPaul-f7i
@NicksonPaul-f7i Месяц назад
Sasa mwalimu unatufundisha au unatuchanganya..kwnn usiongee lugha moja uekeweke
@albertdhukuru7443
@albertdhukuru7443 4 месяца назад
Chagua lugha ya kutumia kama ni kiswahili tu tumia kiswahili tu na kama ni English tumia English tu katika sentesi usipoelewa neno moja inaweka ikakutoa kwenye kuelewa sentesi nzima na unajua Tanzania wengine English haipandi sana kivile...
@kwisa4899
@kwisa4899 4 месяца назад
Tanzania tunatumia lugha 2
@ndekemwaifyusi8499
@ndekemwaifyusi8499 3 месяца назад
Muwe mnaenda kufundisha Uingereza.
@AsaphMkaaya
@AsaphMkaaya 2 месяца назад
Hivi wew ni muingereza au mtanzania
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Месяц назад
Kuna wadau wana lalamika kwamba Edmund anatumia kingereza sana! mjue kwamba watanzania bado tuna shida na kiswahili na pia kuna maneno ya kingereza kiswahili chake ni kigumu na watz wengi hawayajui hayo maneno ya kiswahili maana yake ata wakiyasikia.
@NicksonPaul-f7i
@NicksonPaul-f7i Месяц назад
Mbn wengine tu wanaongea kiswahili na tunawaekewa
@AbuuSudais-wf6ns
@AbuuSudais-wf6ns 4 месяца назад
Kaka angalia sana Hilo swala LA lugha, kiswahili ni bora Sana Kwa jumla
@BukelebeTv
@BukelebeTv 4 месяца назад
Ukitumia Kingereza tunaomba ufasiri. Tunabarikiwa sana na masomo yako
@Neemajames-jo6vw
@Neemajames-jo6vw 3 месяца назад
Wengine hatielew kbs
@magrethpaul2207
@magrethpaul2207 3 месяца назад
Haya ndio mambo napenda
@EmanuelSimon-eh8mr
@EmanuelSimon-eh8mr 4 месяца назад
Kwani bro ww ni Muingerezaa? Somo zuri sana tatizo unachanganya lugha
@BaruaniAllyally
@BaruaniAllyally 4 месяца назад
Niku shauri tu Mada iyoiyo irudie Tena kwakiswahili tu umepika chakula kizuri Sana ila kama chunvi haikuskika
@zackariamtunguja9435
@zackariamtunguja9435 4 месяца назад
Nimeweza kusave 8000/day kutoka kutumia gari na kutumia public transport.. 5000/day kwa kutumia wifi.. 13,000/day *30 =390,000 Now napambana kufuta madeni.
@marinakarunde3311
@marinakarunde3311 4 месяца назад
Hongera una uthubutu sana.. Mimi kusave ndo ugonjwa wangu nazidi kupambana nao😂
@maureenmgeni
@maureenmgeni 4 месяца назад
Hongera sanaaa
@hamasikatv
@hamasikatv 3 месяца назад
Hongera sana kwa hatua hiyo
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 13 дней назад
Hongera SANA
@BaruaniAllyally
@BaruaniAllyally 4 месяца назад
Sasa boss mbona kiingereza kingi Sana iyo ni kiswaili cha marekani
@busarafadhil2442
@busarafadhil2442 4 месяца назад
Wengine hawakurleei hapo unatuchanganyatuu
@EsterinePhilipo
@EsterinePhilipo 4 месяца назад
Acha ushamba wa rugha
@benyavan5774
@benyavan5774 4 месяца назад
Kwani hadi muchangaye kuswali na English ndiyo tujue unajua Tumien lugha ya taifa we unadhani una sikiliza na wangapi
@maicofidelix3549
@maicofidelix3549 4 месяца назад
Good 👍 brown
@Kanyawela
@Kanyawela 4 месяца назад
Ukiongea kingereza bas tafsiri ya kiswahili ili wote tuelewe
@ahz6907
@ahz6907 4 месяца назад
Wa tz nani katuroga? Si tujifunze english maana ndio lugha ya ulimwengu jamani tuache kulalama😂
@mwanziajoseck3904
@mwanziajoseck3904 4 месяца назад
🎉
@busarafadhil2442
@busarafadhil2442 4 месяца назад
Unachanganya lugha kama unaongea kiswahili ongea kiswahilitu na ikiwa English ongea English tu usiige
@MohammadMohammad-n2q
@MohammadMohammad-n2q 3 месяца назад
Speak Swahili
Далее
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 1 млн
UHURU WA KIFEDHA Na Edmund Munyagi
44:34
Просмотров 10 тыс.
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
KUWEKA MALENGO YA KIFEDHA na Neema Chamy
19:35
Просмотров 5 тыс.