Тёмный

Joyce Kiria Adundwa na Mumewe, Kisa 

Hash Power
Подписаться 1,4 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Joyce Kiria Asimulia Alivyochezea Kichapo
Mwanaharakati Joyce Kiria amepigwa vibaya na mumewe, Kilewo ambaye ni mwanaharakati wa Chadema. Chanzo ni baada ya Joyce kudaiwa kukutwa baa na mwanaume mwingine.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 года назад
Pole mwaya! Hilo kubwa jinga likapigane lilipwe.
@azizamvungi6203
@azizamvungi6203 2 года назад
pole sana joyce yaani sio siri wanaume wengine kama maputo tu.
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 4 года назад
pole sana kwaiyo harakati zote izo bado unapanga duh kweli akili ni mali mie nauza mandazi na ninamjengo wangu mbande uko sisumbuliwi na wenye nyumba mimi ndo mwenye nyumba alhamdulilah
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 года назад
Kila mtu atembee na nyumba yake??
@fzafza6746
@fzafza6746 2 года назад
🤣🤣🤣Una hashuo weye Kila mtu na malengo yake usijeona mtu anafanya kazi ya maana na bdo kapanga hujui majukumu yake kama anasomesha watoto mashule ya gharama jee
@rosendile8235
@rosendile8235 2 года назад
Kujenga ni maamuzi na mipango pia itategemea unataka jenga mjengo wa aina gani na wakati ufikapo unajenga tu bila kujibana sana 🌻🌻
@masoudsalum286
@masoudsalum286 6 лет назад
hata km wewe ni super woman lazima uchezee kipigo
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 года назад
Hahaha
@masoudsalum286
@masoudsalum286 6 лет назад
Ndo ukome
@manyangagrace4342
@manyangagrace4342 6 лет назад
Kaka acha roho mbaya akome nini, acheni manyanyaso.
@susanmuthoni1167
@susanmuthoni1167 5 лет назад
Unyanyasaji huo😣😲😠
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 года назад
Sio vzr mbona jmn
@aidaa8253
@aidaa8253 3 года назад
Pole dada hata mm nimepitia hiyo misuko suko nimeumia sana
@rosendile8235
@rosendile8235 2 года назад
Mmh mjomba angalia upo kwenye mwendo Kasi😏😏
Далее
Joyce Kiria aelezea sababu za mumewe kumpiga
39:07
Просмотров 93 тыс.
MIL.5 ZAMTESA JOYCE KIRIA/AOMBA MSAADA..
4:34
Просмотров 2,7 тыс.
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
Просмотров 373 тыс.