Тёмный

Joyce Kiria aelezea sababu za mumewe kumpiga 

Dina Marios tv
Подписаться 282 тыс.
Просмотров 93 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

31 май 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@leaherasto929
@leaherasto929 4 года назад
Kama uko apa 2020 goñga like twende sawa
@godsservantrimo9844
@godsservantrimo9844 4 года назад
Ss waislam Alhamdulillah tushafunzwa kitambo mambo hyo....jukumu ni la mume kwa nyumba.aidha mke ana uwezo ama hana
@neemahamza1116
@neemahamza1116 4 года назад
the best interview ever kwakweli joyce ni mkweli mashallah
@didaamohsin6440
@didaamohsin6440 6 лет назад
Joyce nakukubalii..ur strong woman
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 6 лет назад
woow Joyce unaongea point.. wata kuelewa tu Pole pole Mamy 👌👌💛👀👂❤
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 года назад
Joy! Ulikuwa house girl,ukaamua kusoma,Leo hii unapigwa? Uckubali mumeo akupige tena.Lazima utakuwa unajua sana kupika.Mungu akubariki,ctaki mumeo akupige tena,Akome.
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Год назад
Acha ujinga wewe boya. Hutaki apigwe kama analeta upuuzi unataka achekewe tu? Kubwa jinga wewe
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 года назад
Thank you Joyce,wanaume nafasi zenu
@carenkachecheba5538
@carenkachecheba5538 4 года назад
I love you dada joy. Keep it up. Wow jembe
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Год назад
Safi kabisa apigwe tu. Tena apigwe mikanda kabisa. Wanawake wenye heshima waliisha mwaka 1973. Kama umepata mke baada ya mwaka 1973 huyo siyo. Ni suala la muda tu. Tuendele kuwapiga makofi na Mikanda maana hawabadiliki..
@anethchua4041
@anethchua4041 4 года назад
Mungu akuongoze dd joc
@thelastbornchannel8073
@thelastbornchannel8073 6 лет назад
Hapa hamna mke hapa, na wanawake wengi hawasemagi mabaya yao, wanajipaliliaga mazuri wao hawasemagi makosa yao. Kukubali kuolewa kisa kodi shikamoo dada aisee Hatari sana
@fredrickipembe6277
@fredrickipembe6277 4 года назад
Mzee kweri aisee
@clintonjoseph5488
@clintonjoseph5488 6 лет назад
dada dina nilimsikiliza vizuri Joyce kwa radio Juzi na nilitamani nimwambie kwamba mm ni videographer natamani kujitolea kumshutia na kuedit kipindi vyake ili lipo moyoni nikidhalaulika basi am clinton
@lucknesstenga9822
@lucknesstenga9822 6 лет назад
Nakupenda sana Dada joice wangu.
@neemajoel646
@neemajoel646 6 лет назад
Strong woman Joyce kiria
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад
Nimekubali Joy
@upendorobert7298
@upendorobert7298 6 лет назад
swebe ww ni muigizaji, mtangazaji ulisomea wapi, huna staha, si utulie, jua hicho ni kipindi kinarushwa hewani, na watu wanasikiliza, si kusutana. unapoteza utamu wa kipindi, hapo watu wanaelimishwa, unampoteza joy point alizo zipangilia. jifunze
@brendaisack7985
@brendaisack7985 6 лет назад
🔥🔥🔥
@doramarcel1013
@doramarcel1013 6 лет назад
Joyce Leo umerarua penyewe asantee sanaaaa
@hellenmwita8246
@hellenmwita8246 4 года назад
Da Dina nimesikiliza mazungumzo yenu na super woman ni mazuri. Ila kama ujuavyo kosa dogooo hupoteza uzuri au Utamu wa kitu. Ushauri kama mwanaharakati aangalie sana anachozungumza. Kauli ya anipige “ kwani mi MKURYA” ajitahidi asiwe “MNAFIKI” kwani hata mwanamke wa Kikurya sidhani kwamba wanaafiki kupigwa ni mazingira tu. Ni jukumu lake kama mwanaharakati kulikemea hili hasa kama kweli anakumbuka Biblia inasema kila mtu ni mfano wa MUNGU . She has to make sure no siding. That am Mchaga😳😳😳
@helgaaporinaly2811
@helgaaporinaly2811 6 лет назад
Love u more superwoman
@ayishaayishayisha4465
@ayishaayishayisha4465 4 года назад
Swadactar joice
@mariamjuma9215
@mariamjuma9215 6 лет назад
Asante Joyce kwakuraruwa achana na swebe hahaaa
@childofgod4412
@childofgod4412 4 года назад
True wanaume hawajui nafasi zao kabisa siku hizi na ndio maana ndoa nyingi hazina adabu wala amani sababu mwanaume hajijui
@fredrickipembe6277
@fredrickipembe6277 4 года назад
Uliolewa ukaachika mini?
@childofgod4412
@childofgod4412 4 года назад
@@fredrickipembe6277 mbona hapo sioni hata kitu kilichosababisha wewe kuuliza hivyo au ndio nyienyie na tabia zenu za kimario.pole ila ubadilike dunia ya leo hakuna kuoneana
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Год назад
Sisi Wanaume tumebadilika maana nyinyi Wanawake mmeshindikana sana. Maana mkiwa na vihela mnakuwa na dharau na mdomo sana. Hivyo na sisi lazima tukukimbie ubaki na vihela vyako. Wanawake mmekuwa mafala
@joycemutare8635
@joycemutare8635 6 лет назад
Yamenikuta hayo mpenzi, lakini mimi ili last 5 yrs. hhhhhhh Nimekupenda wewe dada Joy
@sayrachuna6705
@sayrachuna6705 6 лет назад
Nakupenda joyce
@neemamaballa2344
@neemamaballa2344 2 года назад
Nakuelewa sana
@xkingx8041
@xkingx8041 6 лет назад
Nakupenda joyce kiria na Dina
@hynaombanambayakohy207
@hynaombanambayakohy207 4 года назад
Hiyo mada nzuri sana joic yuko sahihi
@camillacaroline8996
@camillacaroline8996 4 года назад
Super woman🥰
@myrabenjamin3771
@myrabenjamin3771 6 лет назад
Shida ya hichi kipindi kila mtangazaji anataka kuongea hampeani chance inakuwa kelele mno
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 года назад
Wako. Km warabu 😏😏
@kalingamazda
@kalingamazda 6 лет назад
toka huko nyuma tulisha sema kuwa uwazi wako kupita kiasi utakuja leta utata na sasa yametimia. hata ndoa zina siri. hivyo kule kuongea kwa uwazi kwako toka mwanzo ni vigumu wengi yetu wanaume kuweza kuvumilia
@mwanahella9650
@mwanahella9650 6 лет назад
😂😂😂 SWEBEEE limekupata aisee khaaa hahaha Joyce mama asenteeeee wanaume namueleweee
@begumchunny3833
@begumchunny3833 6 лет назад
Mwanahamisi Hella
@brendaisack7985
@brendaisack7985 6 лет назад
dada dina💋💋nipo nawackiliza hpa 93.7 dar kawe
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
Joyce kiria.. mzuri
@higombeyesimon9531
@higombeyesimon9531 6 лет назад
Safi
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 лет назад
Naked true joy but km ume move on acha kuongelea past just move on
@Superman--un9xz
@Superman--un9xz 6 лет назад
swebe 😂😂😂😂😂😂😂
@barikiwa22
@barikiwa22 6 лет назад
Pole zako mdada, mwanamke hapigwi siyo adabu kabisa kama kakukosea mrudishe kwao.
@devothatesha5598
@devothatesha5598 6 лет назад
Hakika mama umesema hata nahisi hawafatilii maadili yanasemaje daaaah tupo wachache sana
@mashalaizer3152
@mashalaizer3152 3 года назад
Big up
@anamanoni1243
@anamanoni1243 6 лет назад
Uhondo wa leo noma nanikweli kabisaaa mwanaume anapesaaa anashidwa jenga famailya
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 4 года назад
Uko safi ubarikiwe
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
Safi sana
@neemahamza1116
@neemahamza1116 4 года назад
heee huyo swebe kaaaah anaropoka
@NeemaMinja-dm4wz
@NeemaMinja-dm4wz 4 года назад
Nakupenda Joyce bc tuu
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
Kweli uhondo!
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 6 лет назад
mambo ni moto hapo ndo naaza kukuelewa nikweli kabisa usikubali
@edinasamsonnyakanga9520
@edinasamsonnyakanga9520 4 года назад
9l⁹
@shamsaismail7707
@shamsaismail7707 6 лет назад
Strong woman Joyce Kiria..Asante
@amoole7saaas960
@amoole7saaas960 2 года назад
jamani wowote mwenje namba ya huyu Joyce anitumie
@barikiwa22
@barikiwa22 6 лет назад
Siku hizi wanaume wengi ni kama wavulana siku hizi, hata Mimi yalinikuta. Niliolewa na Mariooo tena pamoja na mama yake. Nilikuwa nalipa kodi, chakula mpaka afya, helayake ni kwa Malaya na familia yake. Nilipo ondoka akarudi kwa wazazi wake mpaka Leo hii kama kubwa jinga linajizeekea halitaki kujishugulisha.
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 6 лет назад
Hangaya umenichekesha dear bora ulilifukuzilia mbali
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 года назад
🤣🤣🤣
@kenethkayuni8658
@kenethkayuni8658 2 года назад
Asnte da joice penda sana wewe
@anethchua4041
@anethchua4041 4 года назад
Uwiii dd ulikua unauliza pesa zamwanaume.
@issaomari5297
@issaomari5297 4 года назад
Wanaume tuwe makini sana kuangalia wanawake wa kuoa aisee unaoa mtu ambae anafanya majarabio kwako
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 года назад
Umeonaee
@azizamvungi6203
@azizamvungi6203 2 года назад
yaani unaongea ukweli sana mpambanaji wangu..yaani mtihani wanaume
@anjuinatabdallah7449
@anjuinatabdallah7449 6 лет назад
jamani dada Joyce mekupenda wallahi.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 6 лет назад
Hee, kumbe huyo pembeni Swebe ? Miaka imepita jamani
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 6 лет назад
Nakupenda Joyce unasema kweli wanaume hawataki kufanyakazi
@didaamohsin6440
@didaamohsin6440 6 лет назад
Rozee Roz haahaaa.. wanaume surwale wko
@rehemakawamda629
@rehemakawamda629 4 года назад
Nakupenda sana dada Joyce natamani kukutana na wewe
@nasrahussein8408
@nasrahussein8408 6 лет назад
😂😂😂😂swebeee aibuuu
@happylusinde9215
@happylusinde9215 4 года назад
Mmh
@avax5717
@avax5717 6 лет назад
Kweli mwaya wanaanzaga na kofi.....
@sayrachuna6705
@sayrachuna6705 6 лет назад
Swebeeee😂😂😂😂😂
@hechihechie5558
@hechihechie5558 6 лет назад
nimekuelewa sana na nimekupenda zaidi
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 6 лет назад
hapo Joyce umenikuna mario wako wengi saaana hawataki kazi kabisa
@khadijaoman4085
@khadijaoman4085 4 года назад
Penda sana dada joy
@priscamasanga8856
@priscamasanga8856 4 года назад
Naombeni no ya joyce kiria kama mtu anayo
@priscamasanga8856
@priscamasanga8856 4 года назад
No yangu nni 0672211303
@mamakendrick7538
@mamakendrick7538 4 года назад
Ila swebe😂😂😂
@naomilukani2279
@naomilukani2279 6 лет назад
watangazaji mna boa bana kelele nyingi sijuwi tusikilize kelele zenu? Swebe tulia basi unakera khaaa.
@nataliakullaya1334
@nataliakullaya1334 6 лет назад
Joyce ni muongo jmnii...... Si ulisema kakugongesha bichwa lako kwenye gar? Ukumbukage vingne
@marypaul3292
@marypaul3292 4 года назад
@@AliAli-rx6wu 😁😁
@veronicaenock7292
@veronicaenock7292 4 года назад
@@AliAli-rx6wu 😂😂😂😂😂pole jamani ila ungevumilia tyuu
@jamesmtaita6120
@jamesmtaita6120 4 года назад
@@AliAli-rx6wu 😂😂😂😂😂😂🤣🤣😢😢
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Kumbe Dina mwenyewe ndio huyu
@khadijasheha5023
@khadijasheha5023 4 года назад
I love u so much dada joyce
@rhmrmdhn5452
@rhmrmdhn5452 4 года назад
Loove
@najmarushda4390
@najmarushda4390 4 года назад
Dada joice nataka mfanya kazi wa ndani mpenzi nipo Zanzibar
@sayrachuna6705
@sayrachuna6705 6 лет назад
Yani Joyce hauchoshi napenda kukuskiliza tu
@asmahassan7570
@asmahassan7570 4 года назад
Upo km mmi nampnd sn
@jacquelinemdaniel9266
@jacquelinemdaniel9266 4 года назад
Hongera sana Joyce umepambana sana,bibi wa kichaga ndivyo anavyotakiwa, hongera zenu waandalizi wote wa kipindi,
@jacquelinemdaniel9266
@jacquelinemdaniel9266 4 года назад
Mabinti wapambanaji kama Joyce Kiria,kuna mengi ya kujifunza.
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Год назад
Wanawake wa siku hizi ni washenzi mno. Etii wanataka sisi Wanaume tufanye kazi yetu kama zamani. Kama nyie wanawake mngekubali kutosoma au kufanya kazi sisi Wanaume tungeendelea kuitunza Familia. Na nyie Wanawake mkipata hela mnakuwa na dharau mafala nyie. Wanaume tungetimiza haki zetu kwenye familia kama wake zetu wangekuwa hawajasoma...
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 года назад
Swebe Santana rais wa wanaume
@elisantemaimu3444
@elisantemaimu3444 3 года назад
Dada nakupataje nahitaji kuonana na wewe
@gsbshshzhxsbxbsnhxh5225
@gsbshshzhxsbxbsnhxh5225 6 лет назад
Umewararua mama uvivu waache
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 лет назад
Mtt ni wamama jmn hii kituuu tuijueee
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 4 года назад
Ha!hahahaaaa!marioooooooo!
@oscartonco1283
@oscartonco1283 6 лет назад
Swebeeeee
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Niajiri mm🤣
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 6 лет назад
Swebe asubiri nafasi yake ya kuraruha😂😂😂😂
@abonlubunga4191
@abonlubunga4191 6 лет назад
Bariki Karoli jawqfdsa z z c a cZccczdSCscsasasl
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 6 лет назад
Anasimulia sana ... kuna mambo hasa kwa mtu kama yeye anatakiwa ayaweke kwani anaweza kuja kuyasimulia kwa njia ya kuandika kitabu. Kusema kweli anajidhalilisha kipita kiasi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua ana msonga mano wa mawazo na ana shida kwa upande wa kipato. Kutukana sana tena hasa wanaume haita msaidia. Maana sasa imekuwa kila mwanajume ni looser. Achukuwe tu mfano wa wafanya biashara wepi waliofanikiwa wanaume au wanawake? Wasanii mathalani bongo movie au bongo flava wepi wachapa kazi?
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 6 лет назад
Wanawake wengi wamepitia yote, awayatoi hadharani
@doramarcel1013
@doramarcel1013 6 лет назад
swebe bhana 😂😂😂
@everinemichael7457
@everinemichael7457 4 года назад
Swebe unaharibu kipindi,, watangazaji mikelele tu mnakera.
@happysanga3909
@happysanga3909 3 года назад
Wachambe wajue majukumu yao wamezoea ao
@oscartonco1283
@oscartonco1283 6 лет назад
Dinaaaa et mnapumua du!
@rosepeter3722
@rosepeter3722 6 лет назад
Swebee 😂😂😂
@gracesongelael2270
@gracesongelael2270 6 лет назад
Wacha wee penda sana joyce
@sharoombay8997
@sharoombay8997 4 года назад
Hahahaaa. Mariooooo.
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 6 лет назад
Msenge wewe
@epifaniajerome
@epifaniajerome 4 года назад
😂😂😂😂😂
@oliverlyimo1972
@oliverlyimo1972 6 лет назад
Mi siku hizi sikuelewi kabisaa nikujisifia tu
Далее
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
Просмотров 32 тыс.
Leaving Canada | CandidCast 04
2:02:39
Просмотров 520 тыс.
ladies let's increase our value 🥰🥰
1:23
Просмотров 4,2 тыс.
Joyce Kiria Adundwa na Mumewe, Kisa
1:01
Просмотров 14 тыс.