Тёмный

JPM |MAKONDA NILIKWAMBIA UACHE TAMAA |NILIJUA TU HUTOPITA |WAJUMBE MMEFANYA VZR 

Maximum Tv Online
Подписаться 453 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@tumakassim6286
@tumakassim6286 4 года назад
Maskini Makonda amelikoroga mwenyewe atalinywa mwenyewe 😳😳
@estherntilla3720
@estherntilla3720 4 года назад
Nakukubali Sana raisi wangu
@zainabubalama4622
@zainabubalama4622 4 года назад
Leo mnamcheka makonda kesho kwenu mkitumbuliwa
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 года назад
Mwanakulitafuta mwanakuligeti chezea magu wewe utaisoma nambaaaaaaaaaaa
@Jakaugagi
@Jakaugagi 4 года назад
memory yako na knowledge kuhusu watumishi wa serikali ni spot on mkuu jemedari magufuli
@mcrecho5239
@mcrecho5239 4 года назад
Dah wale wakutelekeza watt tutawapeleka wap😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 3 года назад
msameee baba
@mariamsaidi7625
@mariamsaidi7625 4 года назад
Jamani makonda wetu
@sudymgeni701
@sudymgeni701 4 года назад
Soma arama za nyakati uyu sio wale uliopita.umakini wakusiliza ya wakubwa.shekhe wa mkoa kasema amelikoroga alinywe mwenyewe.
@frankkisanga5421
@frankkisanga5421 4 года назад
Madaraka ukipewa na KIONGOZI MKUU chapa KAZI ACHA tamaa
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 4 года назад
Mwanakulifindy mwanakuligeti . Makonda kaligeti sasa
@mercynamusia622
@mercynamusia622 4 года назад
Please forgive makonda
@lucianakennedy8070
@lucianakennedy8070 4 года назад
Kwani hii habari ni ya lini,mbona mkuu leo yupo dar kwenye msiba
@hafsamansoor3977
@hafsamansoor3977 4 года назад
Msamehe makonda kunamazuri kayafanya. Kosa nimaramoja
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 года назад
Jamani mie sijafaham kwani makonda alifanya nini hadi kutolewa??
@aishachambo3293
@aishachambo3293 4 года назад
zee lasali Kataka ubunge
@haskao77
@haskao77 4 года назад
@@zuweinaalhabsya8773 Hajatolewa, kajitoa mwenyewe ili agombee ubunge wa Kigamboni
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 года назад
@@aishachambo3293 aha kumbe Sasa Maskin kakosa yote
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 года назад
@@haskao77 Asante Sana nilikkuwa sijui nini sababu
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
Dahh makonda jmn😢😢😢
@tumakassim6286
@tumakassim6286 4 года назад
Paukwa pakawa yelewiiii 😢😢
@bonita329
@bonita329 4 года назад
😂😂😂🤣🤣🤗
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 года назад
😂😂😂mbavu zangu lol
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 4 года назад
Baba makonda
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 4 года назад
Makonda babaaa
@mnegaamina6085
@mnegaamina6085 4 года назад
Mhurumie ni mwanaye huyo mtoto kwa mzazi hakui
@husseynhassani5055
@husseynhassani5055 4 года назад
Duu
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 года назад
Duuu hataree baba kegean bora asingeacha cheo chake dah
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 4 года назад
kwani kaacha au katolewa
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 года назад
@@rukiamsomi6869 katoka mwenyewe dah
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 года назад
Mwenzako akinyolewa
@isihakakafuruma814
@isihakakafuruma814 4 года назад
Taaaaaaamaaaa
@mariamjuma8525
@mariamjuma8525 4 года назад
Ok
@girbertluca5827
@girbertluca5827 4 года назад
Chief
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 года назад
Jamani makonda wetu kafanyakazi zuri sana msamehee makonda wetu
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 года назад
Mmmmmh kafulila na makonda mweeee wasamehewe tyuuuu sababu wamejifunza
Далее
OYUNCAK DİREKSİYON İLE ARABAYI SÜRDÜ 😱
00:16
Просмотров 3,1 млн
MAKONDA Akimuomba Msamaha MBOWE, Askofu AWAPATANISHA!
4:03