Тёмный

Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 177 тыс.
50% 1

Subscribe / uwazi1
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesisitiza kwamba kamwe hataomba radhi kufuatia sakata la kudaiwa kuvamia Clouds Media, akidai kwamba hakuwa amefanya kosa lolote na kwamba yeye na Ruge ni marafiki wa siku nyingi.
Makonda aliyasema hayo mbele ya waandishi wa habari, wakati wakieleza hatua zilizofikiwa katika usuluhishi wa mgogoro kati yake na Clouds Media chini ya Ruge Mutahaba, kufuatiwa kufungiwa kwake na vyombo vya habari kutochapisha au kutangaza habari zinazomhusu.
Ruge ma Makonda, baada ya kuwa na bifu kwa muda mrefu, hivi karibuni walipatanishwa na mheshimiwa rais, John Pombe Magufuli alipokuwa kwenye mkutano mkoani tanga ambapo aliwaita wote wawili jukwaani na kuwataka wamalize tofauti yao.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 203   
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 лет назад
Nakupenda sana Luge....Mungu akubariki sana....Una busara sana
@chunyaone2618
@chunyaone2618 5 лет назад
Ruge ni mkubwa kwa makonda kwa kila kitu. Kwa umri, elimu, akili, pesa,.......
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 2 года назад
Daah makonda alizidisha kiburi aisee
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 лет назад
Ruge is genius!!!! I love the guy, humble transparent and genuine. RIP Ruge.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Makonda ulijiona umefika sanaa leo kiko wap mweeh,ruge ulimkosea lkn hukumwomba msamaha sababu ya jeuli tu mbk kaondoka dunian,mtaonana mbele hko
@lightsgeorge3543
@lightsgeorge3543 7 лет назад
saying sorry is a very simple thing but only the righteous abide to that...
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 лет назад
Tuseme alhamdulilah, kibuli siyo maugwana. leo upo kesho upo, duniani tunapita makonda wasukuma waugwana sana. unatuangusha
@monilahhamisi8129
@monilahhamisi8129 5 лет назад
Makonda kiburi sana tatizo nikukosa elimu iyo ndosababu shenzi ilo
@betrue33
@betrue33 5 лет назад
agree
@monilahhamisi8129
@monilahhamisi8129 5 лет назад
Sana
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Yeah
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Likiongozi lililokosa Elimu kaz sana kuongoza wananchi,linakuwa linajaa kibur tu looh,bashite ulibebwa tu mbwa ww leo yatakuludia yotee
@vincej9275
@vincej9275 11 месяцев назад
Makonda ana kiburi sana {pride}. R.I.P Ruge.
@michaelcanisius1615
@michaelcanisius1615 6 лет назад
Big up mkuu upo sahihi nipe mkono wako wa Baraka
@aliram2781
@aliram2781 7 лет назад
Daah! Aiseee huyu jamaa anajiskia sn.
@mariamohamed4870
@mariamohamed4870 7 лет назад
Ajikwezae Mungu atamshusha
@mussaharun7257
@mussaharun7257 5 лет назад
Mungu anaona
@lightuniversaltv2714
@lightuniversaltv2714 3 года назад
Hakika
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 10 месяцев назад
🙌🏽MUNGU ANATISHA NA KWEL IMETOKEA
@mussaharun7257
@mussaharun7257 5 лет назад
Ruge was a genius and very humble guy
@rdcongoproduction8796
@rdcongoproduction8796 7 лет назад
Yaani makonda kila Leo wewe ndo wakusemwa...inakuweje..tunafaamu...maji...tayari..uliyavulia...nguo..nauka..yaoga..sasa...je...ya..bahari.nayonn.yana...kufika...mdomoni...makonda?...tengeneza...nchi...sio...marumbano...kila..ku kicha...jitahidi...👏👏
@edwardkasubi1495
@edwardkasubi1495 5 лет назад
kiburi cha UZIMA hicho
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 7 лет назад
IPP MEDIA IS THE BEST (ITV) Big Up Mzee Mengi hkn k2hapo Zeroo kabisa
@Bihomebuja
@Bihomebuja 2 года назад
Makonda Pumba kali sana! Mbona nikama vidato vyake ni finyu?
@saidimaya3958
@saidimaya3958 5 лет назад
Eti huyu ndiyo aliekuwa mstari wa mbele kwenye msiba wa Ruge???.....kweli Hata mchawi huloga kisha akaenda msibani aisee
@essaufrancis1266
@essaufrancis1266 7 лет назад
sijaona kitu cha maana alichoongea makonda ,,,
@billionairemuksini2981
@billionairemuksini2981 7 лет назад
Alitamba ridhiwani enzi za utawala wa jakaya lakn sasa kapita, na ww jitawale lakn utapita pia linga tu na bro wako lakn mtapita tu na mm nitapita pia na wengine watapita tu, hakuna wa kuishi milele.
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 2 года назад
Tayari
@andrewyona2552
@andrewyona2552 2 года назад
Tayari ulichoongea kimetokea .. ubarikiwe sana!
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 2 года назад
Upo vizuri Bro utabiri wako umetimia
@godfreypaulo8355
@godfreypaulo8355 2 года назад
Uliona mbali
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
tayari uku washapita
@jeromesapi4933
@jeromesapi4933 6 лет назад
Neno msamaha ni tusi kwa mtu mwenye kiburi bali li ndani ya mwenye hekima, na BWANA uwapandisha wasio haki ili awaangamize kabisa. AMINA
@michaelcanisius1615
@michaelcanisius1615 6 лет назад
Nahaohao walitaka utenguliwe Madaraka Leo Uwaombe msamaha ingekuwa mm hata nisinge end a Kwan hawaja kuchagua kuwa mkuu big up usiombe msamaha hata kidogo Achana nao Kula Maisha mkuu
@sameermilo4907
@sameermilo4907 2 года назад
15 / 11 / 2021 Karma day Rip Ruge
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 2 года назад
Rip
@emmanueljanuary4052
@emmanueljanuary4052 7 лет назад
Atii kama Baba wa nchi amesema tupendane hee we makonda
@davidchungu1806
@davidchungu1806 7 лет назад
Jamani kumbe sifuri INASHIDASANA. Yesu aliombaradhi kwakosa ambalo hakulifanyayeye!! sasa makonda ninani? 000000%
@anwaralhabsi1424
@anwaralhabsi1424 5 лет назад
Sura yake kavu aibu hana , kibri tu imemjaa
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 10 месяцев назад
Duuh aisee faza ruge maua yako broo🙌🏽 binafs ningekuw ruge hapo aliposem kwa capital letter makonda ningenyanyuk na kusepa hapo hapo
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 2 года назад
Confidence is better than over confidence!
@saidihaji3023
@saidihaji3023 6 лет назад
kuomba msamaha kwa kosa ambalo hujatenda ni dhambi
@yusuphkiponza4542
@yusuphkiponza4542 7 лет назад
mwenzimungu humshusha chini ajipandishae juuu ya wengine.
@matowo1990
@matowo1990 7 лет назад
Yani ni bora ukose kiungo chochote mwilini sio ukose uwezo wa kufikiri, na mkuu kama anaangalia haya mahojiano hakika inabidi atengue uchaguzi wake na asihofu kua wananchi watamuonaje maana kila binadamu hukosea.
@bahatimmependezamwanginda5202
@bahatimmependezamwanginda5202 5 лет назад
Kuomba msamaha ni roho ya Mungu, sasa usiombe msamaha kwan wewe ni Mungu
@georgemhando1246
@georgemhando1246 5 лет назад
Ruge akili nyingi sn.
@manyweletheboss6053
@manyweletheboss6053 7 лет назад
kwa nini hutaki kumuona na huyo kijana mwenzio madaraka yana mwisho but mwenzio bado ataendelea kupeta tu
@fettymohamed7636
@fettymohamed7636 6 лет назад
safi makonda
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 5 лет назад
And now you will not be able to change your words in front of Ruge.R.I.P Ruge
@anthonymhando7402
@anthonymhando7402 7 лет назад
Sometimes its better to have viongozi wazee tukiamini hao wanabusara, hapa tunazidi kuonesha vijana bado hatujajipanga kuongoza
@alicekhamis3589
@alicekhamis3589 5 лет назад
hivi Mungu alimpa cha kuzungumza
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 лет назад
kweli nchi yetu ina viongozi wa ajabu sana
@moseskisingi9625
@moseskisingi9625 7 лет назад
Mlipoteza muda wenu bure, uongozi wa TEF mmejidhalilisha sana, I wish mngejua mnashughulika na mtu wa aina gani, poor waandishi wetu Mungu tu awatie nguvu!
@malimanyanja4248
@malimanyanja4248 5 лет назад
Nakukubali sana makonda ao ma k tu
@nasirali-ku7iy
@nasirali-ku7iy 5 лет назад
Unafirwa wewe itakua
@yahyaali6496
@yahyaali6496 Год назад
Dah jana yako uliitumia vibaya angalia leo yako ilivo ya shida maadaraka haya kaka angu yalikuchanyanya sna pole ila kwa mungu unasamehewa rudu kiongoz
@travisg.online3818
@travisg.online3818 7 лет назад
Right ungejua wewe n nani na unge assume kuwa ndio makonda ndo ungeweza kueleza vizur... Hamna experience hii halii na ndo maana mnashindwa kuelewa huyuu anaongoza watu na pia n kioo cha jamii na sio kizembe tu aombe msamaha kwa hilo swala.... Tatizo lilikuwa pale pale mwanzo na kwamba hili swala halikuangaliwa pande zote mbili lili base kwa office za clouds so huwez kuja kuomba msamaha bila pande zote mbili kusikilizwa
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Yaan ruge alikuwaga na busara sana dah,Mungu akupunguzie adhabu ya kabur braza😭😭
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 10 месяцев назад
Dah kinoma nimemaind san uyu jmbaz
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 лет назад
Majivuno ya makonda yata malizika pale Kaka ake atakapomaliza muda wake wa kuiongoza nchi
@muhdnchallah2977
@muhdnchallah2977 7 лет назад
Nmekuelewa sana Makonda ....usiombe radhiii wee Mkuu kazaa
@mobileshop818
@mobileshop818 7 лет назад
muhdn challah hahahahaaa umeona eeeeh
@MrMtembezi
@MrMtembezi 7 лет назад
muhdn challah hahaha.. kaongea lkn kitu kinaleta mana..
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 лет назад
mtu mwenye akili huomba msamaha ili amani ipatikane!! ndo maana wanasema mwenye akili akivuliwa nguo huchutama!! asa wewe kuchutama unaona nini? usichekelee kubebwa! kubebwa kuna mwisho haki tena!! kwan ni uongo hukuingia na silaha mbona tuliona clip jaman!! mh! kaz sana huyo baba achanen nae kolomije always z kolomije tu!!
@tariqbattan1344
@tariqbattan1344 5 лет назад
Ubarikiwe sana makonda ruge ameondoka hana kinyongo na wewe. Uo ndo uanaume
@900ikipendezammary3
@900ikipendezammary3 7 лет назад
Hazimtoshi! Huyu! Elimu Elimu Elimu.ndio msingi na weledi katika uongozi.#hawakukosea kusema kufanikiwa kwa mpumbavu ni kuangamia. Kwangu me naona wanajipendekeza kwa huyo jamaa bure na unawatia watu hasira Sana how are you eti .sintakaa niombe msamahaa! Uliwafuata kufanya nini sasa?
@HooDTvTz01
@HooDTvTz01 7 лет назад
Subscribe me kwa habari Zaid
@abbasvictorrealbr7395
@abbasvictorrealbr7395 7 лет назад
elimu mali sana jman
@deewittie523
@deewittie523 5 лет назад
Kiburi cha uzimaa
@aminizabron7985
@aminizabron7985 7 лет назад
zero zero zeroooooooooooooooooo
@ahazimwaikambo790
@ahazimwaikambo790 7 лет назад
Mh jamani wangemaliza tu utofauti wao Tz ni nchi ya amani
@cornelm9
@cornelm9 7 лет назад
Hii press inatia hasira sana ..... Kwani mnajipendekeza nini kwa huyu jamaa?? Yan mnalazimishwa kuafiki kila kinachosemwa!!! kuwawaqe!.. Upumbavu tu!
@johnbidya119
@johnbidya119 2 года назад
1/1 2022 rest in peace Ruge makonda sio mkuu tena sabaya yuko jela
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
na jiwe loshang'oka
@loner_wolf
@loner_wolf 5 лет назад
Blessed Mh PM , lkn vitu Kama hiv mlitakiwa kumalizana wenyewe CIO mpk mwenye nchi ambaye anakazi nyingi na zamsingi Sana aje awape chakufanya...... Hii issue NI ujinga mtupu halinamsingi wwte ktk jamii ...hasa kwangu mm cioni umuhimu wa Ruge na Paul kuishi Kama kulwa na Dotto.... Kila MMOJA afanye yake TU.
@andrew29468
@andrew29468 2 года назад
Tuishi kwa kiasi.
@dullare
@dullare 5 лет назад
Hypocrisy!! Long explanation for nothing.. Your body language speaks all!!
@eliasakitasa7141
@eliasakitasa7141 7 лет назад
Bashiteeeee
@chunyaone2618
@chunyaone2618 5 лет назад
Yaani muangalie yakwenu na ruge wakat umevamia clouds haujamvamia ruge
@magingijronlinetv2901
@magingijronlinetv2901 7 лет назад
Huu ni upuuuuzi... hawa tef wanachojipendekeza kwa shite ni nn?
@queenyahaya3147
@queenyahaya3147 5 лет назад
Kila nafsi itaonja umauti 😢😢tanguria ruge R.i.P
@noelsanga6853
@noelsanga6853 5 лет назад
Form 4 bwana
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 года назад
We bila magufuli gamma kitu
@Amani715
@Amani715 5 лет назад
Sometimes common sense is not so common to everyone
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 лет назад
Kama ni mkristo......unaomba msamaha hata kama huna kosa.....bila hivo hakuna Mungu ndani ya mtu huyo...anaekataa kupatana
@janelightmbasha3694
@janelightmbasha3694 7 лет назад
kweli kabisa
@jichomtandaoni8281
@jichomtandaoni8281 7 лет назад
simuungi mkono makonda lakini unatudanganya aisee, kuomba msamaha hata kama hujakosewa, umetoa wapi hii kanuni asee kwenye Ukristo
@graysonbunyala6323
@graysonbunyala6323 5 лет назад
sifa sanga
@stephenhosea1113
@stephenhosea1113 5 лет назад
Ni bora kuongozwa na Kondoo kuliko Simba asiye na Hekima
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 года назад
Anaetamba Mpe Muda
@samiralisamir7594
@samiralisamir7594 5 лет назад
uyu mapumbu sijui mapundu sijui likoje
@Hauleshabby
@Hauleshabby 7 лет назад
toka hapa
@masoudykombo9726
@masoudykombo9726 2 года назад
Akamatwe bwana hatumuelewi
@alimakaba6170
@alimakaba6170 7 лет назад
Ukitumia vizuri jicho lako la3 utapata kuelekewa nini Rc amemaanisha ktk hii.. ila ukikurupuka na zile akili zako unazo tumia kukosolea hata pale mawingu ya asubuhi yanapo chora sura ya mnyama angani...kamwe huwezi pata point..alieanza elimu kisha uwandish ukaja baadae anautofauti sana na alieanza uwandish kisha elimu ndio ikafuata ciaoooo
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 10 месяцев назад
Acha kutetea jambaz iloo ww jinga kubwa kiko wap n yuko wap jamaa ako shwaaaa karmaa is bitch maee
@asiasonda5915
@asiasonda5915 2 года назад
Mwenzio ananyea ndoo huko bado zamu yako
@emmanuelhavile2942
@emmanuelhavile2942 6 лет назад
Safi sana makonda!
@zumamarande2969
@zumamarande2969 5 лет назад
Ziro
@allymohamed4764
@allymohamed4764 5 лет назад
Inahitaji akili nyingi sana kumuelewa makonda hivyo siwalaumu mnaomkosoa ni haki yenu
@lilliankhamonya2734
@lilliankhamonya2734 7 лет назад
we do makonda we ni bashite
@jamesnkusi4668
@jamesnkusi4668 2 года назад
Kijyana Makonda kiswari cyako tafazari sio cyamu Tz .
@mkosianga6826
@mkosianga6826 2 года назад
Kweli makonda aliki yake ni hatari sana.busara yake sifuri
@lizbethvintan834
@lizbethvintan834 7 лет назад
kusoma na kuandika
@princekorofi4434
@princekorofi4434 7 лет назад
Man this nigga funny Af,what is he talkin abt
@jamalmdugi6458
@jamalmdugi6458 7 лет назад
For the first time i experience non smart RC kama huyuuu.... He doesnt deserve being at any position of leadership! And he can't ever labda kwakua ana nguvu ya kubebwa na kushikiliwa na mtu fulani
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 7 лет назад
hey,watch your mouth ma' man.....this country has low or poor democracy. ….....this is not kenya where you can talk whatever you want!
@allyhamad7999
@allyhamad7999 7 лет назад
aloyce iluminata , Hahaha. You talk nice point
@naeemmadona5889
@naeemmadona5889 7 лет назад
wapuuz nyie
@oswardemil4039
@oswardemil4039 7 лет назад
Kawe wewe mkuu wa mkoa,, ujinga tu.. wabongo mnapinga kila kitu. shwayn.
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 7 лет назад
he always be..never change
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 лет назад
mmmh kiburi kimetawala viongozi waenchi hii
@fatumadrosin996
@fatumadrosin996 7 лет назад
eti mwenye nchi mwenyenchi amesha kufa nyerere
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 лет назад
wa kolomije kwel wa kolomije tu!! et muache wala sihitaj kumuona! mh ni soni ukanasyo gwe inyambala ugweee!! aseeeeeeeeee nalol amahala ghalikumatanga
@mathiaslisu1145
@mathiaslisu1145 7 лет назад
hazimo hata kidogo waandishi mnajidhalilisha
@filbertmatiasbundala7604
@filbertmatiasbundala7604 7 лет назад
yupo sahihi makonda
@johnorinda8195
@johnorinda8195 7 лет назад
kwahyo makonda kasamehe kwasababu ya raisi ila yy hajaridhia kusamehe
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Sikiliza msikilize na ruge utaelewa
@agneschaula3734
@agneschaula3734 7 лет назад
Kweli kuna mungu na Mungu anaeabudiwa na si kila asemae bwana bwana uta urithi ufalme na wengine walisha laaniwa tangu tumboni mwa mama zao na ni wa motoni tu haina haja ya kuhangaika nao just live them kwani kipimo upimiacho wengine ndicho utakachopimiwa
@MrMtulivu
@MrMtulivu 5 лет назад
Na ni kwa nini ulimtumia. RUGE watuwasio julikana ili wamteke?
@asiasonda5915
@asiasonda5915 2 года назад
Ujinga ni kujifanya unajua kila kitu na kujawa na kiburi kujifanya wewe ni mtoto wa mungu.huyu hawezi kuongoza hatq fqmilia yake kwa ubabe huu.sijui ilikuwaje akapewa nchi kiburi huyu.pooh
@karimswai1140
@karimswai1140 5 лет назад
Uyoo jamaa mm sijuwi ata anafanya nn na uwongozii wakee ila ya tapita tu
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 лет назад
unauna kiburi cha kiongozi wetu anasema hataomba radhi duuuuh!!!!!
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 3 года назад
ITAKUTAFUNA SANA HII KITU HATA KABURINI
@mpundempunde1722
@mpundempunde1722 2 года назад
Ni suala la mda tu
@anwaralhabsi1424
@anwaralhabsi1424 5 лет назад
Kiburi na jeuri vilimponza sultan
@adelaidedaycareprenurseryk6324
R.I.P. BROTHER RUGE.
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 5 лет назад
Huo mkutano wa vijana...wote damu inachemka....sasa tuangalie mwenye hekina....
@lauriansimon6805
@lauriansimon6805 7 лет назад
Unapoish na watu angalia ni watu wa namna gan, wengine ni wazee, vijana na wadogo. Xo unapoingia ktk sehem ambyo yakupasa unahitajika kutoa suluhisho la jambo watakiwa kuwa mwazi, xo heb tuambie sababu haswa za ww kutokukubali kuwa umemkosea kakako 1/ kwakuwa upo juu ya sheria? 2/kwakuwa umemdharau Mkubwa alivyowasuluhisha hadharani 3/ ulimwambia Mkubwa afanye vile hadharani watu wajue kuwa nn kinachoendelea?? 4/ Rais alikuwa hana maana kukuita na kukukutanisha na brother ruge? 5/ kwanini msiweke hadharani kuna nn tofauti zenu mpka mnatufanya vipofu wakuelewa kinachoendelea?? 6/ ukiwa una lako jambo tofauti na chama/siasa / mamlaka usiweke wazi ili iwe kazi rahic kufanyiwa usuluhishi kama ilivyo kule tanga kwenye matamasha mengine? 7/ au unatumia madaraka ya kiofc cz kilichopo ndani ya mji wako kipo chini yako?? 8/ brother kubal ya ishe, leo ww kesho yye, xo tusifanyiwe na sisi kuwa na matabaka na ukawa na advantage ya madaraka braza, nakupenda Rais wetu wa dar es salaam lkn ntakuwa na roho ya unyonge napoona Mkubwa anamaliza tatizo alafu ww bado una kinyingo rohon mwako, mshirikishe mungu pia kumbuka aliyekuita na kukusuluhisha nae ana utimamu akiwa na akili ya kukuamin kuwa utayamaliza yote aliyoyafnya ktk jiji la tnga, rbrza cool each and everything uvjal magazeti kukuona ulivyoganya usahihi wa ukwel kwa kumwogopa mungu!! Ni hayo tuu, sorry kama nimemkwaza mtu!!!
@franciscobega2786
@franciscobega2786 7 лет назад
lakini uache kutumia madaraka yako vibaya ishi na watu vizuri
@molimasumbuko4113
@molimasumbuko4113 5 лет назад
ataache kuomba msamaha kwani yenye nani
@michaelnaftary1268
@michaelnaftary1268 7 лет назад
daaaaaa
@stephanokayega2792
@stephanokayega2792 5 лет назад
Eti unasema??
Далее
Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
20:09
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
What the China-Russia Alliance Means for the World
8:10
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37