Тёмный
No video :(

Jua Kali | Jumatano Hii 10/07/24 | FULL HD 4K 

WAKONGWE TZ
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@user-ql2lz2hh8e
@user-ql2lz2hh8e 29 дней назад
I love it❤❤❤❤🎉🎉🎉
@theodorachaki5174
@theodorachaki5174 Месяц назад
Juma kakimbia majibu,frank unagongwa natoni maria sikio LA kufa FIBA acha dharau kwa mamako na mjombako sababu Anna
@mwizaluchiba6264
@mwizaluchiba6264 Месяц назад
Juma tupemajibu bas
@NaomiNshashi
@NaomiNshashi Месяц назад
Jamn Anna wew mbingu utaisikia kwa jirani umeamua kuangiza wingi wakati siyo taipu yko kaaah😂😂😂😂Tony wew siku za mwizi orobaini mi nakuhesabia zimebaki mbili kwa ka freak utakufa unajiona😅😅😅😅
@user-kj1bu4wm1b
@user-kj1bu4wm1b Месяц назад
Wakati mwingine maisha yanaweza kupeleka mtu mpaka akashindwa afanye nin japo watu watumuelewi Maria lakini kwa jamii Kuna vipindi huwa tunapitia ambavyo unaweza kufanya mambo ambayo baadae ukifikiri hadi unahisi vibaya
@user-ip2jt3vw9l
@user-ip2jt3vw9l Месяц назад
Point
@user-cw2oj1me1i
@user-cw2oj1me1i Месяц назад
😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅Jaman Anna 😂😅😂😂😅😂😅anaamua kuvaa wigi duh😂😅😅😂😂😅😂😅😂😅Kweli mapenzi shikamoo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Kisa Maria kasifiwa kaona yy hajapendeza hajui km anachezewa akili naaliyemuharibia Vivian 😂😂😂
@Qatar-vh5ff
@Qatar-vh5ff Месяц назад
Anna wacha ujinga buanaa
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Месяц назад
Juma rud kachukue majibu banaa😂
@ukashaissa4685
@ukashaissa4685 27 дней назад
Ivi uyu mjomba ana mke inavyo onekana
@happinesssamira-fp4hh
@happinesssamira-fp4hh Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤
@theodorachaki5174
@theodorachaki5174 Месяц назад
Leo nimekuwa kwanza sijawahi
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs Месяц назад
Bwana wee kupima si kazi kazi kupokea maji u 😂😂😂😂juma kakimbia majibu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Peter hilo shimo unalochimba😂😂
@NurathYunusu
@NurathYunusu Месяц назад
Kumbe Anna poyoyo anataka wigi alosifiwa maria,kumbe taila,
@Winleizerabdy
@Winleizerabdy Месяц назад
😂😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Mjomba miyekaaaa mtoto akililia wembe mpe ukimkata akipata maumivu atajua mwenyewe
@winifridamalila6061
@winifridamalila6061 Месяц назад
Yan saizi so marafiki wadada ndo wanafiki hadi wanaume😅
@DaudLazaro-fy2cj
@DaudLazaro-fy2cj Месяц назад
Juma cc sio wajing kuanglia hii movie tunatak majib yako
@joycejason2868
@joycejason2868 Месяц назад
Juma kupima tu kupokea majibu aaah
@meckkisibo1459
@meckkisibo1459 Месяц назад
Anna ni kichaa kweli 😂
@gasperusaka3814
@gasperusaka3814 Месяц назад
Ni kwel kuna wanawake type ya anna maana namwamgalia adi naogopa 😂
@yasintakingalu7514
@yasintakingalu7514 Месяц назад
Ila Anna ana nini jamani? Bora Diba asimuowe huyu demu. Hajielewi. Ananiuzi sana. Ikifika party yake natamani nipeleke mbele😢
@saumukiduma
@saumukiduma Месяц назад
Ana atakuwa chiz
@user-yv5wh1yk9t
@user-yv5wh1yk9t Месяц назад
Juma mbona hutupi majibu,. Jaman fem na Luka wameenda wap mbona hatuwaon tena?
@user-pf3zc6kv5q
@user-pf3zc6kv5q Месяц назад
sasa nimeelewa Ana fanya upate wigi kama la Maria ilo devis umpate 😂😂😂😂
@user-bo7rb9ls6y
@user-bo7rb9ls6y Месяц назад
Anna jaman ananipa Raha sana😂😂😂
@sarahmasuba
@sarahmasuba Месяц назад
Nasubr msiba wa diba
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs Месяц назад
@@sarahmasuba Diba keshapata muokozi mana Ana anajichanganya na bwana mwengine Ofisini kwa hiyo. Mipango yote aliompangia Diba kwisha habari hapo ni Wazazi WA Diba kushukuru Jini makata linaondoka kwenye Familia Yao Diba na auguze jeraha LA moyo litapona tu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂​@@NamiriNamiri-oz4xs
@talentshow2024
@talentshow2024 Месяц назад
Anna nimeamini hujipendi mwenzio kasifiwa rasta na wewe unaenda kutafuta rasta 😂😂😂 kweli
@maalim1123
@maalim1123 Месяц назад
Kuvaa mawigi tu kupendaa ahh
@RizikiZiki
@RizikiZiki Месяц назад
😂😂😂 Ana anataka wigi la rasta ajasifiwa Ana bana pole yako😂😂
@ericcharsej4651
@ericcharsej4651 Месяц назад
DIBA KACHUKUA UBINGWA BACK TO BACK 😂😂😂😂😂😂😂
@user-ok9oq3rg5m
@user-ok9oq3rg5m Месяц назад
Huyo Ann mwenyew diba ata sidan kma anakuwz tena aky😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Atajua hajui
@buru1235
@buru1235 Месяц назад
Juma anatoa macho jmn and for Maria n Anna Muna Nini yy lkn waah mtafanya umalaya hdi when?
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik Месяц назад
Bola ata Maria maisha ndio yanamupeleka japo hakupaswa awe hivo ila Anna je nini kinamufanya awe hivo
@maimunalibuwa9836
@maimunalibuwa9836 Месяц назад
Marafiki kama Tony wapo tuu wengi
@user-sc5gt6gs3s
@user-sc5gt6gs3s Месяц назад
Yani nivile maria karogwa katupiwa pepo la uzinzi sioni aco mpendea uyo tonny jmn anakicwe kama cha bubu 😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Kwanza Tony kashamsahau Femi tena😂😂😂 eti Mungu nisamehee.yaani huyu Mungu anabeba madhambi yetu mengi sana mwisho wasiku😢
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik Месяц назад
Anamupq kibunda cha pesa
@user-gs5ee7bd1d
@user-gs5ee7bd1d Месяц назад
😂😂😂😂Tonny eti Mungu nisameye 😅😅kumbi una juwa una fanya zambi
@LuvunoTungwa
@LuvunoTungwa Месяц назад
Akina Luka na Femi jamani mliwapeleka wapi mi nawamiwis
@gloriakadzo6500
@gloriakadzo6500 29 дней назад
Ila Ann unapepo la ng'ono kwa kwel😅😅
@winymaulege3084
@winymaulege3084 Месяц назад
Ila anna 😂😂😂
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik Месяц назад
Nikiwa na mjomba kama Rusajo naweza kumumwagia maji ya mo kwenye mudomo wake
@YolandaMahenge-nf2gf
@YolandaMahenge-nf2gf Месяц назад
Bill na Eva Sasa 😮ebu tuone
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 Месяц назад
Ana anaelekea kuwa chizi😅
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Anataka kuvaa resta nayy😂😂😂 aliyemroga amuonee huruma maana naona kashamsahau Diba mpk hiyo mimba yake
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
​@@m.mmarckus6298😂😂
@winnierobert1180
@winnierobert1180 Месяц назад
Kikulacho
@hawaa2227
@hawaa2227 Месяц назад
Anna na maria mtakufa vibaya sanaaaa😂😂😂😂
@MercyMcharu
@MercyMcharu Месяц назад
Mjomba unaongea sana Hadi keto acha na wengine waongee
@user-vi5zj7yi1d
@user-vi5zj7yi1d Месяц назад
Anna poyoyo😂 Devis hakupendiii
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Wemuache ajiingize mzima km fuko lataka
@user-oo5sj8hb5m
@user-oo5sj8hb5m Месяц назад
na Ana bahat tupo negative
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [22]
20:57
Просмотров 52 тыс.
JUMA WA JUAKALI ALIVOMUOMBA EVA GAME UTACHEKA
4:25
Просмотров 161 тыс.
NOOOO 😂😂😂
00:14
Просмотров 10 млн
Qora Gelik
00:26
Просмотров 431 тыс.
THE SPY | Mpelelezi | Full Movie
34:25
Просмотров 61 тыс.
Isha & Taraweeh Prayers , ٢ رمضان/ ١٤٤٥ هجري
1:40:40
BABA YANGU KIPOFU Full episode /26/ #love
25:09
Просмотров 372 тыс.
AMEAMUA KUMPENDA MUUZA CHAKULA WAKATI KWAO NI MATAJIRI
16:10
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 10)
17:51
Просмотров 46 тыс.
NOOOO 😂😂😂
00:14
Просмотров 10 млн